umuhimu wa vyama imara kwa maendeleo ya tasnia ya … · maendeleo ya tasnia ya nyama suzana m....

26
UMUHIMU WA VYAMA IMARA KWA MAENDELEO YA TASNIA YA NYAMA Suzana M. Kiango (Msajili) na Ezekiel Maro (Afisa Usajili) Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016 09/10/2016

Upload: others

Post on 08-Jan-2020

24 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

UMUHIMU WA VYAMA IMARA KWA MAENDELEO YA TASNIA YA NYAMA

Suzana M. Kiango (Msajili) na

Ezekiel Maro (Afisa Usajili)

Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 201609/10/2016

Ushirika/ kikundi/chama/kampuni/ nk ni namna yakuwaleta watu/washiriki pamoja kwa lengo fulani;

Vikundi vinaanzishwa kwa malengo mbalimbaliikiwemo kujifurahisha, kujilinda, uhalifu, biashara,kumiliki mali, kutoa huduma kwa wengine, kidini, nk;

Kikundi kinajitambulisha kutokana na lengo husikamfano kikundi cha kujifurahisha kinaweza kujilikanakama CLUB au kibiashara Company, nk.;

Pamoja na majina yote haya siri ilifichika ni kuwaletawatu/washiriki pamoja ili kutimiza lengo lao;

Kikundi kinaweza kutambuliwa kwa jina lolote ilimradilengo lake linafikiwa;

Muhimu ni kupata utaratibu mwafaka, ulio rahisi naunaokubalika na kikundi/chama husika katikakujitambulisha;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Aina za vikundi zinazotambuliwa kisheria hapa nchini ni:-i. Asasi za kiraia (NGOs); ii. Azaki za Kiraia (CBOs);iii. Vyama (Society/Association)iv. Ushirika (Cooperative);v. Kampuni (Company);vi. Ushikiano (Partnership);vii. Trustee

09/10/2016Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM

7/8/October, 2016

Inakadiriwa kuwa hapa Tanzania kuna zaidi yaNGO 3,000 za kitaifa na kimataifa;

NGOs ni chama cha hiari chenye mamlaka kamili(autonomous) ya kujisimamia;

NGOs inaweza kuanzishwa na mtu binafsi auTaasisi;

NGOs inaweza kuanzishwa katika ngazi yoyote nausajili wake hufanyika katika ngazi husika;

NGOs nyingi zinajishughulisha na masuala yajinsia, haki za binadamu, mazingira na maendeleojumuishi n.k.;

NGOs zinajikimu zenyewe na sio kwa ajili yabiashara au kuzalisha faida;

Usajili - Ofisi ya Makamu wa Rais

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Sera na sheria za kuanzisha, kusimamiana kuendesha NGOs ziko wazi;

Kusajiliwa katika ngazi yoyote; Utaratibu wa maombi na rufani pale

yanapokataliwa uko wazi; Hakuna mtaji unaohitajika; Sio mwafaka kwa wafugaji wadogo Ada kwa mwaka ni Tshs 50,000/=; Kutoruhusiwa kufanya biashara; Usajili wakati mwingine unachukua muda

mrefu;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Azaki za kiraia ni chama cha hiari kilicho namamlaka kamili (autonomous) ya kujisimamia;

Kinaweza kuanzishwa na watu binafsi, kikundi auTaasisi katika ngazi ya jamii;

Azaki za kiraia zinajishughulisha na masuala yamaendeleo ya jamii husika;

Azaki za kiraia zinajikimu zenyewe na sio kwaajili ya biashara au kuzalisha faida kwa ajili yakikundi, faida ni kwa ajili ya jamii;

Usajili wa Azaki za kiraia unafanywa na wizara yamambo ya ndani;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Sera na sheria za kuanzisha, kusimamia nakuendesha CBOs ziko wazi;

Ni mwafaka kwa ajili ya wafugaji wadogo; Hakuna ukomo wa wanachama; Hakuna mtaji unaohitajika; Ada ya maombi na usajili ni Tshs. 110,000 na

ada ya mwaka ni Tshs 40,000/= ; Ukisajiliwa kama CBO hutaruhusiwa kufanya

biashara; Usajili wake unafanyikia Wizara ya Mambo ya

Ndani DSM tu Usajili wakati mwingine unachukua muda

mrefu;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Vyama vya ushirika vinaanzishwa chini yaSheria ya Ushirika Na. 20 ya 2003; sheriainatambua pia vyama vya awali;

Historia ya ushirika hapa nchini inaonyeshakuwa ulikuwa imara sana kabla na baada yauhuru;

Baada ya uhuru serikali imekuwa ikiendelezavyama vya ushirika aidha, uingiliaji wa mojakwa moja wa serikali miaka ya 1980ulisababisha hali mbaya ya vyama na vinginekufa;

Kuanzisha na kuendeleza vyama vya ushirikaimekua shida sana katika miaka ya hivikaribuni;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Watu wenye nia ya kuanzisha ushirikawatakutana chini ya uenyekiti wa Afisa ushirikakwa lengo la kuchagua Bodi;

Bodi itajishughulisha na uanzishaji wa ushirikakwa kuzingatia aina na lengo la ushirika, kujuaidadi ya wanachama waanzilishi na ukubwa washughuli zao,

Kutathmini hisa na mtaji kulingana na idadi yawajumbe waanzilishi, na watarajiwa;

Kuandaa sheria ndogo za ushirika; Kuandaa katiba; Baada ya hayo kukamilika barua ya utambuzi

hutolewa kwa ushirika au hati ya usajili kwaushirika;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Aina tofauti za vyama vya ushirika vinawezakuanzishwa kwa lengo la kutumia fursa zakiuchumi kwa washiriki na kutoa hudumastahiki kwa washiriki na jamii kwa ujumla;

Vyama vya ushirika vya mifugo vinawezakusajiliwa kwa malengo kama; uzalishaji,ununuzi, usindikaji, uuzaji, usambazaji, namalengo mengine kama haya;

Vyama vingine vinaweza kusajiliwa kamavyama vya walaji, viwanda, wapangaji,SACCOS, ushirika wa wafugaji na ushirikawa ubia (Vyama viwili au zaidi);

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Ushirika unaanzishwa katika ngazi ya chini (chama cha msingi/Primary cooperative);

Vyama vya msingi vinakuwa na mamlaka kamili katika baadhi ya mambo;

Ngazi inayounganisha vyama kadhaa vya msingi huunda umoja yaani ‘union’;

Union kadhaa zinaweza kuunda shirikisho pale inapoonekana inafaa au ni lazima;

Mfumo huu ni tofauti na wa vyama vinavyoanzishwa ngazi ya kitaifa na kuwa na matawi ngazi za chini;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Sheria na miongozo iko bayana; Upo mfumo wa kuandaa katiba ua ushirika; Ni mfumo sahihi wa kuwezesha kufanya

biashara na faida kugawiwa wanachama; Sharti la kufanya uchambuzi yakinifu ni tatizo

kwa wafugaji wadogo; Maafisa ushirika ni wachache na hawana

uwezeshaji wa kuwafikia wanaotaka kuanzishaushirika;

Watanzania wengi wana uzoefu mbaya naushirika;

Ushirika unakopesheka lakini vyombo vingi vyafedha havikotayari kukopesha ushirika;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Kampuni ni aina ya ushirikianoinayosimamiwa na Sheria ya Kampuni Na. 213;

Kampuni inasajiliwa BRELA; Lengo kuu la kuanzisha kampuni ni kufanya

biashara; Zipo aina mbalimbali za makampuni

kuligana na mahitaji ya washiriki au wabia, kwa mfano:-

Ushirikiano (Partnership), company limited by shares, company limited by guarantee and not having a share capital,

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Ushirikiano (Partnership) inasimamiwa na“Contract Ordinance No 1 of 1961”;

Idadi ya chini ya washiriki ni wawili na juuni ishirini;

Katika mfumo huu uwajibikaji hauna ukomobaina ya washiriki;

Malipo ya usajili wa ushirikiano ni:- Ada ya maombi Tshs 13,000/= Ada ya mwaka Tshs 1,000/=

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Ni mfumo mzuri kwa ajili ya biashara; Ni rahisi kusajili; Ada ya usajili na mwaka inalipika; Wanakopesheka kwa masharti ya kuweka

dhamana; Kuanzisha na kusimamia hauhitaji afisa

ushirika wala upembuzi; Watu wachache kufikia 20 ndio wanaweza

kujiunga; Inategemea sana uaminifu na uelewano wa

washiriki;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Hakuna Idadi ya chini wala ya juu ya hisa; Katika mfumo huu ukomo wa uwajibikaji

unaishia kwenye hisa; Ada ya maombi na Ada ya mwaka

inabadilika kulingana na kiwango cha hisa;(kati ya Tshs. 7,200 na 300,000/=)

Ada ya wakili iko juu (Tshs. 200,000/= na700,000/=);

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Kampuni inauwezo wa kisheria uliotenganishwana wanahisa;

Kampuni inaweza kuingia mkataba, kumiliki mali,kushtaki au kushtakiwa bila kuathiri haki nawajibu wa wanahisa;

Usajili wake unachukua muda mfupi ni mfumomzuri wa kuendesha biashara;

Inaaminika zaidi katika vyombo vya fedha; Sio nzuri kwa wafugaji wadogo kutokana na

mfumo wa kodi, ukaguzi na uandikishaji wake; Gharama za huduma za kisheria ziko juu; Lugha ni kiingereza;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Hakuna Idadi ya chini wala ya juu ya wana hisa; Katika mfumo huu ukomo wa uwajibikaji unaishia

kwenye hisa; Ada ya maombi na Ada ya mwaka inabadilika

kulingana na kiwango cha hisa; (kati ya Tshs.50,000 na 120,000/=);

Ada ya wakili iko juu (Tshs. 200,000/ na600,000/=);

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Hakuna hisa zinazohitajika washiriki wanaamuaaina na namana ya kuchangia mtaji;

Mfumo huu ni mzuri kwa unganiko la wafugaji; Pia ni mzuri kwa kundi linalotaka kufanya

biashara; Mfumo huu unakubalika zaidi katika vyombo vya

fedha; Mfumo unaaminika zaidi kwa washiriki; Ada ya kusaji na ya kisheria ni kubwa (Tshs

150,000 mpaka 400,000/= au zaidi) Lugha inayotumika katika nyaraka za kuanzisha

kampuni ni kiingereza;09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM

7/8/October, 2016

Hii ni aina ya ushirikiano unaosimamiwa sheriajumuishi (Cap. 375)(Sehemu ya 2);

Mdhamini/wadhamini ni mtu au watu walioteuliwakwa niaba ya kikundi fulani (taifa, warithi, mkoa,dini, elimu, n.k) ili kusimamia lengo lao;

Mfumo huu wa ushirikiano unafaa kwa kundilinalojihusisha na kutoa huduma na sio biashara;

Ada ya usajili Tshs 40,000/= Ada ya mwaka Tshs 8,000/= Mfumo huu haufai kwa wafugaji, inaruhusiwa

washiriki 10 tu;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Ushirikiano huu unaanzishwa kwa hiari katikangazi ya wilaya/mkoa/taifa;

Ni ngazi ya pili ya ushirikiano/ ushirika; Ni kundi linaunganishwa katika ngazi ya juu Shirikisho linaundwa kuleta karibu vyama vya

kijiji vilivyo mbali na biashara ya dunia namawasiliano;

Shirikisho linaweza kushawishi mabadiliko yasera, kuajiri wataalam kulinganisha na vyamavya ngazi za chini;

Shirikisho linaanzishwa kutokana na mahitaji yavyama vya ngazi ya chini;

Vyama hivyo lazima viwe vimekomaa kabla yakufikiria kuanzisha shirikisho;

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

MIFUMO IMARA – KATIBA◦ kuainisha mambo mbalimbali muhimu kwa wanachama katika Katiba ya

chama; ◦ Kuweka kanuni mbalimbali zikiwemo za fedha, uendeshaji wa chama na

vikao vyake; ◦ Kuweka kanuni ya uchaguzi; na◦ mpango mkakati.

KUAINISHA VYANZO VYA MAPATO VYA NDANI VYA CHAMA◦ ada za wanachama;◦ michango ya wanachama;◦ kuwa na mifuko maalum – kama mtapenda?; na◦ kuchangia huduma za chama – mafunzo + stadi.

KUSHIRIKIANA NA WADAU WENGINE (SEKTA YA UMMA NA BINAFSI)

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Katiba inayojitosheleza/Kanuni Malengo ya Chama yanayotekelezeka Majukumu ya Chama yanayoendana na mahitaji

ya wanachama Ngazi mbalimbali za uongozi na Mamlaka ya kila

ngazi Kuainisha Majukumu na Kazi za Uongozi Huduma /Manufaa kwa Wanachama Uendeshaji na Usimamizi Rasilimali◦ Fedha◦ Vitendea kazi vya chama◦ Wanachama

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

◦ Kuwa na viongozi waadilifu na wenye nia ya kuendeleza sektaya kuku

◦ Viongozi watakaosimamia matakwa ya wanachama kwakuzingatia Katiba

◦ Kuwa na mipango ya muda mfupi, wa kati na muda mrefuyenye viashiria vinavyopimika

◦ Kuwa na viongozi wabunifu, wenye mapenzi mema na chamana wanaojitoa kutumikia wanachama

◦ Kuwa na wanachama wanaojitoa na kushiriki kikamilifu katikakutekeleza majukumu ya chama

◦ Kuwa na wanachama na viongozi waadilifu, wawazi nawawajibikaji

09/10/2016Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM

7/8/October, 2016

09/10/2016 Mkutano wa TPS, DAR ES SALAAM 7/8/October, 2016

Kuwa na sauti ya pamoja katika masuala yote yanayohusu tasnia

Kuharakisha maendeleo ya kiuwekezaji ndani ya tasnia

Karahisisha usimamizi, Uratibu na Uendelezaji wa mnyororo mzima wa thamani wa kuku

Kuiwezesha serikali kuisimamia tasnia ya kuku kwa ufanisi zaidi

Kuboresha mawasiliano miongoni mwa vyama vya tasnia

09/10/2016Mkutano wa TAPIFA, Morogoro

17. Sept, 2016