takwimu kwa maendeleo siku ya takwimu afrika...18 novemba, 2013 siku ya takwimu afrika takwimu bora...

2
18 Novemba, 2013 Siku ya Takwimu Afrika Takwimu Bora kwa Maendeleo ya Afrika OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU Takwimu kwa Maendeleo Sifa za Takwimu bora. ·Zipime uhalisia - ·Ziwe sahihi - ·Zitolewa kwa wakati - T ·Zenye Kupatikana - ·Za kuaminika - Takwimu bora ni lazima ziwe na maana ile ile hata kama imekusanywa kutoka vyanzo tofauti na/au zimekusanywa na watu tofauti. Takwimu bora ni lazima ziwe sahihi ili ziweze kutumika ipasavyo na kukidhi mahitaji ya mtumiaji. akwimu bora ni zile zinazopatikana kwa wakati ili ziweze kutumika kwa lengo stahiki. akwimu bora lazima zipatikane kipindi zinapohitajika (mwezi, robo mwaka) ili ziweze kutoa taarifa sahihi na kushawishi maamuzi katika kutoa huduma au usimamizi. Ni lazima zipatikane kupatikana kwa urahisi zinapohitajika kwa ajili ya matumizi. Takwimu bora ni zile zinazoaminika, zisizokinzana na zinazotoa mwelekeo wa uhalisia, imara na thabiti wakati wote wa mchakato wa ukusanyaji kwa kipindi maalum.

Upload: others

Post on 09-Feb-2021

4 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • 18 Novemba, 2013Siku ya Takwimu Afrika

    Takwimu Bora kwa Maendeleo ya Afrika

    OFISI YA TAIFA YA TAKWIMUTakwimu kwa Maendeleo

    Sifa za Takwimu bora.

    ·Zipime uhalisia -

    ·Ziwe sahihi -

    ·Zitolewa kwa wakati - T

    ·Zenye Kupatikana -

    ·Za kuaminika -

    Takwimu bora ni

    lazima ziwe na maana ile ile hata

    kama imekusanywa kutoka vyanzo

    tofauti na/au zimekusanywa na watu

    tofauti.

    Takwimu bora ni lazima

    ziwe sahihi ili ziweze kutumika ipasavyo

    na kukidhi mahitaji ya mtumiaji.

    akwimu bora

    ni zile zinazopatikana kwa wakati ili

    ziweze kutumika kwa lengo stahiki.

    akwimu bora lazima zipatikane kipindi

    zinapohitajika (mwezi, robo mwaka)

    ili ziweze kutoa taarifa sahihi na

    kushawishi maamuzi katika kutoa

    huduma au usimamizi.

    Ni lazima

    zipatikane kupatikana kwa urahisi

    zinapohitajika kwa ajili ya matumizi.

    Takwimu bora ni zile

    zinazoaminika, zisizokinzana na

    zinazotoa mwelekeo wa uhalisia,

    imara na thabiti wakati wote wa

    mchakato wa ukusanyaji kwa

    kipindi maalum.

  • Characteristics of Quality Data

    · Relevancy -

    · Accuracy -

    · Timeliness or punctuality -

    · Validity -T

    · Reliability - G

    The extent to

    which statistical information

    meets the needs of clients and

    users.

    The degree to

    which statistical information

    correctly describes the

    phenomenon it is measuring.

    Quality Data must be available

    for the intended use within a

    reasonable time period. Data

    must be available quickly and

    frequently enough to support

    information needs and to

    influence service or

    management decisions.

    he case with

    which the users are able to get

    hold of statistical information

    and use it.

    ·ood quality data

    should reflect stable and

    consistent data collection

    processes across collection

    points and over time.

    18 November, 2013African Statistics Day

    Quality Data to Support African Progress

    National Bureau of Statistics - NBSStatistics for DevelopmentCharacteristics of Quality Data

    ·· elevancy

    ·· ccuracy

    ·· imeliness or punctuality

    ·· ccessibility

    · eliability

    Page 1Page 1