matukio muhimu katika teknolojia – maoni kutoka kutoka kwa wakemia

2
MATUKIO MUHIMU KATIKA TEKNOLOJIA – MAONI KUTOKA KUTOKA KWA WAKEMIA Uvumbuzi katika kemia, uhandisi na elektroniki mwishoni mwa karne ya 19 na kuendelea hadi sasa umetuwezesha kurahisisha mawasiliano kutoka sehemu mbali mbali za dunia. Maisha yetu yamebadilika sana kutoka karne iliyopita, kutoka maisha ya vijijini hadi mijini, kutoka kwa jamii ya wasomi hadi elimu kwa umma, kutoka kilimo hadi kazi za utafiti. Maingiliano ya watu, habari, mawazo mapya na mabadiliko ya vifaa mbali mbali imepelekea mabadiliko makubwa ya kijamii duniani. Matukio mbali mbali ya kemia yamechangia katika maendeleo katika nyanja mbali mbali za mawasiliano ikiwemo zile tunazohitaji kuona, kuhifadhi pamoja na kusambza kwa wengine. Mawasiliano kwa njia zisizotumia waya (wireless communcation) na yale yakutumia mkongo (fiber optic) ni kielelezo cha kuanza kuvumbuliwa na kutumika kwa intaneti (internet). Matumizi ya metali za silikoni (silicon) katika kemia pamoja na muungano wa nguvu za polima (polymers) imepelekea kuvumbuliwa kwa kompyuta hizi tunazotumia sasa. Michezo ya sinema (movies), televisheni (television) na picha – vyote hivi hutegemea kemia ambayo husaidia pia kuhifadhi kumbukumbu katika nyanja hii. Mafanikio ya kisayansi katika kemia yamepelekea jamii zinazoishi mbali mbali vijijini kuweza kuwasiliana na wengine sehemu zozote duniani. II. 1. Mawasiliano (Communications Advances) Maendeleo katika sekta za simu Mawasiliano yasiyotegmea waya Faksi na zerografi Mkongo wa mawasiliano II. 2. Teknolojia ya Kompyuta (Computer Technology) Kuvumbuliwa kwa kompyuta Teknolojia ya vitoa-moto Kibanzi cha silikoni na saketi ndogo inayounganisha vitu vingi Skirini na teknolojia ya maonyesho Ghala ya kuhifadhia habari Satalaiti za mawasiliano II.3. Burudani (Entertainment Developments) Senema Televisheni Picha II. 4. Uvumbuzi katika Elektroniki (Innovations in Electronics) Uvumbuzi katika matumizi ya elektroniki Teknolojia ya kutengeneza vifaa mbadala (vya plastiki ngumu) Transista II. HABARI NA MAWASILIANO

Upload: lesa

Post on 15-Jan-2016

134 views

Category:

Documents


0 download

DESCRIPTION

II. HABARI NA MAWASILIANO. MATUKIO MUHIMU KATIKA TEKNOLOJIA – MAONI KUTOKA KUTOKA KWA WAKEMIA. Uvumbuzi katika kemia, uhandisi na elektroniki mwishoni mwa karne ya 19 na kuendelea hadi sasa umetuwezesha kurahisisha mawasiliano kutoka sehemu mbali mbali za dunia. - PowerPoint PPT Presentation

TRANSCRIPT

Page 1: MATUKIO MUHIMU KATIKA TEKNOLOJIA – MAONI KUTOKA KUTOKA KWA WAKEMIA

MATUKIO MUHIMU KATIKA TEKNOLOJIA – MAONI KUTOKA KUTOKA KWA WAKEMIA

Uvumbuzi katika kemia, uhandisi na elektroniki mwishoni mwa karne ya 19 na kuendelea hadi sasa umetuwezesha kurahisisha mawasiliano kutoka sehemu mbali mbali za dunia.Maisha yetu yamebadilika sana kutoka karne iliyopita, kutoka maisha ya vijijini hadi mijini, kutoka kwa jamii ya wasomi hadi elimu kwa umma, kutoka kilimo hadi kazi za utafiti. Maingiliano ya watu, habari, mawazo mapya na mabadiliko ya vifaa mbali mbali imepelekea mabadiliko makubwa ya kijamii duniani.Matukio mbali mbali ya kemia yamechangia katika maendeleo katika nyanja mbali mbali za mawasiliano ikiwemo zile tunazohitaji kuona, kuhifadhi pamoja na kusambza kwa wengine. Mawasiliano kwa njia zisizotumia waya (wireless communcation) na yale yakutumia mkongo (fiber optic) ni kielelezo cha kuanza kuvumbuliwa na kutumika kwa intaneti (internet). Matumizi ya metali za silikoni (silicon) katika kemia pamoja na muungano wa nguvu za polima (polymers) imepelekea kuvumbuliwa kwa kompyuta hizi tunazotumia sasa. Michezo ya sinema (movies), televisheni (television) na picha – vyote hivi hutegemea kemia ambayo husaidia pia kuhifadhi kumbukumbu katika nyanja hii. Mafanikio ya kisayansi katika kemia yamepelekea jamii zinazoishi mbali mbali vijijini kuweza kuwasiliana na wengine sehemu zozote duniani.

II. 1. Mawasiliano (Communications

Advances)Maendeleo katika sekta za simu Mawasiliano yasiyotegmea waya Faksi na zerografiMkongo wa mawasiliano

II. 2. Teknolojia ya Kompyuta (Computer Technology)Kuvumbuliwa kwa kompyuta Teknolojia ya vitoa-moto Kibanzi cha silikoni na saketi ndogo inayounganisha vitu vingi Skirini na teknolojia ya maonyesho Ghala ya kuhifadhia habari Satalaiti za mawasilianoII.3. Burudani (Entertainment Developments)SenemaTelevisheni PichaII. 4. Uvumbuzi katika Elektroniki (Innovations in Electronics) Uvumbuzi katika matumizi ya elektroniki Teknolojia ya kutengeneza vifaa mbadala (vya plastiki ngumu)Transista

II. HABARI NA MAWASILIANO

Page 2: MATUKIO MUHIMU KATIKA TEKNOLOJIA – MAONI KUTOKA KUTOKA KWA WAKEMIA

II. HABARI NA MAWASILIANO

A. Graham Bell

Senema ya kwanza,The Jazz Singer, inayotumia

muziki pamoja na maongezi.

Philo T. Farnsworth na mirija ya mionzi

ya cathode (cathode ray tube)

ENIAC

Transista ya

kwanza duniani.

Saketi ya kwanza ndogo inayounganisha

vitu vingi.

Kibanzi cha silikoni

(silicon chip )

Telstar

Kodak-Instamatic

The Intel’s 4004 4-bit prosesa (processor)

Mkongo wa mawasiliano (fiber

optics) ukisambazwa kwa mara ya kwanza

Chicago

Matukio:

1876 Alexander Graham Bell akamilisha mtambo wa kwanza wa simu.

1926 The Warner brothers yakamilisha kutengeneza senema ya kwanza iliyotumia kwa pamoja muziki pamoja maongezi.

1926 Njia mbili za maongezi kuvuka bahari ya Atlantiki zaanza kutumika kwa mara ya kwanza.

1927 Philo T. Farnsworth aanza matangazo ya televisheni kwa kutumia mionzi ya cathode (cathode ray tube).

1946 ENIAC, kompyuta ya kwanza katika mfumo wa dijitali (digital) yaanza kutumika. Mhangari, John von Neumann ni miongoni mwa wanasayansi waliofanyia mabadiliko mfumo hesabati katika ENIAC.

1947 Transista yavumbuliwa katika maabara ya simu ya Bell Telephone.

1955 Reynold Johnson aboresha disketi (disk drive) ya kwanza duniani.

1958 Jack Kilby wa Texas Instruments avumbua saketi ndogo inayounganisha vitu vingi (integrated circuit (IC)).

1961 Kibanzi cha metali ya silikoni (silicon chips) chaanza kutumika.

1961 Telstar, satalaiti ya kwanza yatumwa katika njia ya mzunguko wa dunia (obiti – orbit).

1961 Kampuni ya Eastman Kodak yazindua kamera ya Instamatic ambayo ina filamu.

1971 Kampuni ya Intel yazindua kompyuta yenye kutumia mfumo wa 4004 4-bit maikroprosesa (microprocessor) kwa wateja.

1977 Chicago yazindua kwa mara ya kwanza mfumo mkongo wa mawasiliano (fiber-optic communications system).

1983 Simu za mikononi (cellular phones) zapata umaarufu kutokana na mawasiliano yake kutounganishwa na waya.

1984 CD-ROM (compact-disc-read-only memory) yavumbuliwa sambamba na compact disc (CD) za kawaida.