waumini kuhamasisha milioni 100 ili kuw afikia watu … · 1988-01-20 · share their faith. this...

6
WAUMINI KUHAMASISHA MILIONI 100 ILI KUWAFIKIA WATU BILIONI 1 KWA INJILI KUWA SEHEMU YAKE! KILA MUUMINI NI SHAHIDI - KWAPAMOJA TUNAWEZA KUUFIKIA – ULIMWENGU!

Upload: others

Post on 18-Mar-2020

12 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

WAUMINI KUHAMASISHA MILIONI 100 ILI KUWAFIKIA WATU BILIONI 1 KWA INJILI

KUWA SEHEMU YAKE!

KILA MUUMINI NI SHAHIDI - KWAPAMOJA TUNAWEZA KUUFIKIA – ULIMWENGU!

We invite you to join thousands of churches and

ministries worldwide and to dedicate the entire month of May 2020 to sharing the

Gospel of Jesus Christ. Imagine how this will impact your neighborhood, your city,

your country and the world!

www.go2020.world | www.globaloutreachday.

Jesus said: “The harvest is plentiful,

but the workers are few.” Mt 9:37

93% of church members don’t actively

share their faith. This can be changed!

93%

Tunakuarika uungane na maelfu ya makanisa na huduma Ulimwenguni na kujitolea

mwezi mzima wa Mey 2020 wa kushirikisha injili ya Yesu Kristo. Fikiri Hilo litakuwa

na tija gani katika ujirani wako,mkoa wako,taifa lako na ulimwengu!

www.go2020.world | www.globaloutreachday.com

Yesu akasema: " Mavuno ni mengi, watenda Kazi ni wachache."Mt 9:37

93% ya washirika hawshirikishi Imani zao.

Hili linaweza kubadilika!

93%

LENGO:

WAUMINI KUHAMASISHA MILIONI 100 ILI KUWAFIKIA WATU BILIONI 1 KWA INJILI

UTAWEZAJE KUSHIRIKI?Omba pamoja na mamilioni ya Wakristo mwisho wa juma la kwanza la mwezi

Mey.Fanya Aina zote za shughul za uinjilisti wakati wote wa mwezi Mey.

KILA MUUMINI ANAWEZA KUWAFIKIA WATU 5 AU ZAIDI KWA INJILI

Shirikisha Injili kwa mtu mmoja mmoja ,marafiki, majirani, wanachuo na wanafamilia. Mwalike mtu kwa kahawa,shirikisha kwenye mitandao ya kijamii, wajari wenye uhitaji. Ushuhuda wako unaweza

kubadili maisha daima!

KILA KANISA LINAWEZA KU-FANYA SHUGHULI MBALIMBALI ZA UINJILISTI

Kama kanisa, mnaweza kuwafikia watu walipo mitaani na kwenye maegesho,andaa kikundi,shirikisha injili nyumba kwa nyumba,aalika marafiki,na majirani kwenye huduma za uinjilisti au vikao vya Vikundi vidogo

vidogo,fanya shughul za kijamii na zungumza kum-

husu Yesu.

WIKI 5 ZA UINJILISTI MEY 2020

MIAKA 8 YA SIKU YA UINJILISTI DUNIANI

• Kulikuwa na washiriki milioni 36. Wengi

walishiriki imani yao mara ya kwanza

maishani mwao

• Zaidi ya watu milioni 15 waliokolewa.

• Maelfu ya jamii mpya za imani ziliongezewa.

• Zaidi ya waumini wapya 100.000 waliobatizwa

katika Karibiani.

Kubwakuliko! Kwasababu ya Siku ya

Uinjilisti Duniani makanisa yetu 300

yamekuwa na watu 2.300. Na Sasa

wengi wetu tunatoka nje na kushi-

rikisha injili kwa misingi inayofaa.

Mchungaji

Marcio Fabiano Barboza Cesar

Rio Grande do sul, Brazil

Omba kwa watu wengi kuokolewa. FUNGUA NA

UFUNDISHE kila muumini katika uinjilishaji wa

kibinafsi. Pakua Mafunzo ya STEPS 3 kwenye

www.go2020.world

Hupaswi kusubiri Hadi Mey 2020.Anza kutoka

na kujenga vuguvugu la Uinjilisti.Tafadhali wa-

fahamishe Wachungaji na makanisa mengine

wajue kuhusu Mwezi wa uinjilisti Ulimwenguni

na VUGUVUGU ENDELEVU

WAFUNDISHE Waumini wapya na waweke

kanisani mwako,anzisha vikundi vidogo na makanisa.

MOVEMENT

CONTINUE to share the Gospel:

- Every month or week as a church.

- Every week or day as a believer.

October 31 – November 1, 2020: Baptize new believers at the worldwide baptizing weekend.

Mwisho wa juma la kwanza la mwezi Mey:

Omba pamoja na waumini milioni 100,Watu-

me Kanisa lako

Mwezi wa Mey: Makongamano yote na shug-

hul za Uinjilisti wa mtu mmoja mmoja.

Mey 30,2020: kila muumini na kanisa

lishirikishe kumhusu Yesu wakati wa

Siku Ya Uinjilisti Duniani

KABLA YA MEY

MEY 2020

BAADA YA MEY

SHUGHULI

KILA MUUMINI NI SHAHIDIKwa pamoja tunaweza kuwafikia watu bilioni 1 kwa Injili 2020!

MaombiWaumini milioni 100 wataomba pamoja ili watu wengi wapate kuokoka 2020.

UinjilistiMakanisa milioni 1 na Waumini milioni 100 kushirikisha Injili katika kipindi chote Cha mwezi Mey.

KongamanoVijana wadogo wanaweza KUSHIRIKI Konga-mano la kimataifa kwa alama ya THEFOUR.

Kuwafanya WanafunziWaumini wapya watafundishwa na kujumuish-wa katika makanisa yaliyopo na mapya.

MatukioMatukio makubwa katika kila bara na Maelfu ya matukio madogo ya Uinjilisti.

UbatizoWakati wa mwishoni mwa juma la mwisho la mwezi Oktoba 2020, Mamilioni ya Waumini wapya watabatizwa.

Mwezi wa uinjilisti Ulimwenguni husaidia kanisa lako kukua na kuvumbua mtindo wa Maisha wa Uinjilisti.

Tembelea leo www.go2020.worldPakua "Mafundisho ya Hatua 3"na

rasilimali zingine zenye kusaidia.Sajili

Kanisa lako na utume malengo yako.

MAWASILIANOGlobal Outreach

+49 30 499 874 60

[email protected]

www.go2020.world

/GlobalOutreachDay

@globaloutreachday

@GO_Out_Day

Please let other pastors, churches and believers know about GO 2020.

KUWA SEHEMU YA GO 2020

Shiriki ushuhuda wako kwenye media ya

kijamii ukitumia #globaloutreach # go2020

...na wengine

Mwezi wa uinjilisti Ulimwenguni ni Toleo maalum la SIKU YA UINJILISTI DUNIANI

WADAU

Global Outreach Day is a great way to encourage people to start sharing their faith!

Steve Douglass, Pres. Campus Crusade for Christ

The Gospel is the greatest message ever told and we're called to share it, breaking the silence of Christianity! Imagine the impact GO 2020 can have with every believer being a witness.

Werner Nachtigal, President Global Outreach Day

GO 2020 is a wonderful way to live out what we as Christians believe we are all called to be a witness! I encourage all who bear the Name of Jesus worldwide to get behind Global Outreach and carry out the Great Commission!

John Sorensen, President / CEO Evangelism Explosion International

GO 2020 is an opportunity for believers all over the world to have a month to go out and bear witness of Jesus Christ. I appeal to everyone, that we go out and proclaim and share the good news of salvation.

Bishop Efraim Tendero, World Evangelical Alliance

GLOBAL OUTREACH DAY

3STEPSIN PERSONAL EVANGELISM

TRAINING BOOK

Werner Nachtigal

GLOBAL OUTREACH DAY

3STEPSIN PERSONAL EVANGELISM

TRAINING BOOK

Werner Nachtigal

GLOBAL OUTREACH DAY

3STEPSIN PERSONAL EVANGELISM

TRAINING BOOK

Werner Nachtigal