maswali kwa ajili ya bible cup ya pili - kanisalakristo.com filea. haraka b. kwa moyo c. kwa...

25
Warumi Na Waebrania Bible Cup Maswali Kwa Ajili Ya Bible Cup Ya Pili

Upload: lamdan

Post on 02-Mar-2019

317 views

Category:

Documents


2 download

TRANSCRIPT

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Maswali Kwa Ajili

Ya Bible Cup

Ya Pili

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 1

1. Kwa muda wa miaka mingapi Waisrael walimjaribu Mungu? Ebr. 3:9 A. 30 B. 40 C. 400 2. Ni mara ngapi Waebrania Walitakiwa Kuonyana wao kwa wao? Ebr. 3:13 A. Kila Jumapili B. Kila Sabato C. Kila Siku 3. Ni nani ambaye Biblia inasema kuwa “Aliacha Misri?” Ebr. 11:24 - 27 A. Yusufu B. Moses C. Farao 4. Kufuatana na Ebr. 9:4 kulikuwana vipande vya vyombo vingapi katika Patakalifu pa Patakatifu? A. Kimoja B. Viwili C. Vinne 5. Ni na nani aliyehamishwa bila kuona mauti? Ebr. 11:5 A. Melkizedeki B. Moses C. Henoko 6. Ni mara ngapi kuhani mkuu aliingia Patakatifu pa patakatifu? Ebr. 9:7 A. Kila Siku B. Kila Mwezi C. Kila mwaka 7. Ni nani anayeambiwa kuwa ni “Mtume”wa maungamo yetu? Ebr. 3:1 A. Paulo B. Petro C. Yesu 8. Paulo alisema kuwa ameuzwa chini ya nini? Rum. 7:14 A. Sheria B. Dhambi C. Mwilini 9. Ni vitu gani havikuorodheshwa ambavyo watu wasiohaki wamejazwa navyo? Rum. 1:29-31. A. Ubaya B. Uchungu C. Ibada ya Sanamu 10. Ni nini alichosema Paulo kuwa mwanamke atajiita aliyeolewa na mwingine, na wakati mume wake anaishi? Rum. 7 A. Mzinifu B. Mmataifa C. Kahaba 11. Ni nani walioambiwa wayakubali mambo yahiyobora? Rum. 2:17, 18 A. Mungu B. Wayahudi C. Mataifa 12. Ni nani aliyesema kuwa ameachwa peke yake? Rum. 11:2, 3 A. Eliya B. Esaya C. Eli 13. Ni akina nani ambao Paulo alisema wana wa Mungu ni warithi pamoja naye? Rum.8:16,17 A. Mbegu ya Ibrahimu B. Mitume C. Kristo 14. Ni nini Paulo alisema dhambi inatawala ndani? Rum. 5:21 A. Hukumu B. Hukumiwa C. Mauti 15. Ni nani alisema kwa matendo yao, ulimwengu ulihukumiwa? Ebr. 11:7 A. Moses B. Kaini C. Nuhu

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 2

1. Kulikuwa na vitu vingapi katika sanduku la Agano? Ebr. 9:4 A. Kimoja B. Viwili C. Vitatu 2. Yesu alichukuliwa katika mbegu ya nani? Ebr. 2:16 A. Adamu B. Ibrahimu C. Daudi 3. Ni namna gani Waebrania walikuwa wakimbie katika mashindano yaliyokuwa yamewekwa mbele yao? Ebr. 12:1 A. Haraka B. Kwa moyo C. Kwa uvumilivu 4. Kazi ya upendo ya Waebrania ilikuwa ni nini? Ebr. 6:10 A. Imani yao B. Huduma yao kwa watakatifu C. Huduma yao kwa watu wote 5. Ni nini katika neno, “anayetumia maziwa?” Ebr. 5:13 A. Hana akili B. Sio mwaminifu C. Mpambavu wa kusikia 6. Sehemu ya juu ya sanduku la Agano iliitwaje? Ebr. 9:5 A. Kiti cha rehema B. Kupumunzikia makerubi C. Kiti 7. Kufuatana na mwandishi wa kitabu cha Waebrania mbingu na nchi zitachakaa kama? Ebr. 1:10,11 A. Ua B. Nguo C. Mtu 8. Ni nani aliyeambiwa kuwa alikuwa mwaminifu katika nyumba yake? Ebr. 3:2 A. Yesu B. Ibrahimu C. Musa 9. Ni nini Paulo aliandika kwa wote walio kuwa katika roho? Rum. 12:11 A. Bidii B. Uvumilivu C. Wema 10. Ni nini Mungu alichofanya, ambacho hakikumshangaza Ibrahimu? Rum. 4:16, 20 A. Tumaini B. Imani C. Ahadi 11. Ni akina nani walioambiwa hawakuifikia sheria ya haki? Rum. 9:31 A. Mataifa B. Israeli C. Warumi 12. Paulo alizungumza kuwa maandiko? Rum. 1:2 A. Ya milele B. thamani C. Matakatifu 13. Ni wapi Paulo alisema alipanga kwenda katika safari yake? Rum. 15:24 A. Asia B. Galatia C. Hispania 14. Paulo alisema siri ya nini ni kubwa? Rum. 3:16 A. Utakatifu B. Imani C. Neema 15. Ni nini kisichochunguzika ambacho ni kitu cha Mungu? rum. 11:33 A. Hukumu B. Njia C. Matendo

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 3

1. Ni watu wa aina gani watakaokuwa na ujasiri hata katika kifo? Rum. 5:7 A. Haki B. Waliopot ea C. Wema 2. Ni akina nani ambao Paulo alisema Mungu amehubiriwa kwao? Rum. 3:16 A. Watu wote B. Mataifa C. Wayahudi 3. Ni mama yake nani, Paulo aliwaambia Warumi wamsahimie? Rum. 16:13 A. Hucias B. Appele C. Rufo 4. Ni namna gani aliye na nguvu achukuliane na aliye dhaifu? Rum. 15:1 A. Udhaifu B. Mizigo C. Huzuni 5. Ni nani aliyesema Paulo aliuliza “ni nani aliye sadiki habari yetu?” Rum. 10:16 A. Musa B. Yohana C. Isaya 6. Ni nini Paulo alisema kuwa kwa sheria ni ufahamu wa kitu gani? Rum. 3:20 A. Kifo B. Dhambi C. Neema 7. Ni nini Paulo alisema tusijisifu nacho? Rum. 11:18 A. Matawi B. Mzabibu C. Mizizi 8. Ni kundi gani Mungu alihuzunishwa nalo kwa yale yaliyoandikwa katika Waebrania sura ya tatu? 3:17 A. Mataifa B. Wayahudi waliofanya dhambi C. Waedoni 9. Ni nani aliyebarikiwa na Melkizedeki? Ebr. 7:1 A. Ibrahimu B. Musa C. Lawi 10. Mungu amesema katika siku za mwisho kwa kupitia nani? Ebr. 1:7 A. Musa B. Mitume C. Mwana wake 11. Ni kabila gani ambalo Musa hakunena neno lolote juu ya ukuhani? Ebr. 7:14 A. Dani B. Yuda C. Gadi 12. Ni nani aliyeitwa na Mungu kuhani mkuu? Ebr. 5:5 A. Nadabu B. Elihu C. Yesu 13. Kiapo cha kuthibitisha ni mwisho wa nini? Ebr. 6:16 A. Huzuni B. Mashindano C. Kutokuwa na Imani 14. Ibrahimu alikaa pamoja na nani katika hema? Ebr. 11:9 A. Dani na Benjamini B. Isaka na Yakobo C. Dani na Gadi 15. Ni mafuta ya nini aliyotiwa (kupakwa) Yesu na Mungu? Ebr. 1:9 A. Haki B. Shangwe C. Upole

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 4

1. Paulo alisema nini katika Kristo? Rum. 9:1 A. Sheria B. Amri C. Kweli 2. Wasikiaji wa sheria wakoje mbele za Mungu? Rum. 2:13 A. Bure B. Haki C. Waaminifu 3. Ni nini alichosema Paulo alimtumikia Mungu pamoja na? Rum. 1:9 A. Roho B. Upendo C. Neema 4. Paulo alisemaje kuhusu wote wanaoongozwa na Roho hawakupokea roho ya?Rum. 8:14,15 A. Mchagulio B. Hofu C. Utumwa 5. Ni nini Paulo alichosema kisiwe na unafiki? Rum. 12:9 A. Neema B. Upendo C. Rehema 6. Ni kitu gani kinacho wafanya watawala wawe watu wa kuogofya? Rum. 13:3 A. Huzuni B. Wema C. Uovu 7. Ni nani atakuwa baba wa wote waaminio? Rum. 4:11 A. Ibrahimu B. Mungu C. Isaka 8. Ni nini alichoasema Paulo kwa Warumi walio kuwa watumishi wa dhambi na kuwa walikuwa huru kutoka? Rum. 6:20 A. Utakatifu B. Haki C. Usafi 9. Kitu gani kuhani mkuu alikuwa amezungukwa nacho? Ebr. 5:2 A. Huruma B. Imani C. Udhaifu 10. Ni nini Yesu alichofanya hasa pale Agano lililo bora linapohusika? Ebr. 7:22 A. Mdhamini B. Kuhani C. Mpatanishi 11. Ibrahimu alimpa nani sehemu ya kumi ya vitu? Ebr. 7:2 A. Lawi B. Kuhani mkuu C. Melkizedeki 12. Kwa nini Yesu alifanywa mdogo kuliko malaika? Ebr. 2:9 A. Afanyike kama mtu B. Akutane na majaribu C. Kuteseka mpaka kufa 13. Wote waliodharau sheria walikufa (Kuuawa) kwa mashahidi wangapi? Ebr. 10:28 A. Wawaili au watatu B. Watatu au wanne C. Wanne au Watano 14. Kwa nini Wayahudi hawakuruhusiwa kuingia pumnziko la Mungu? Ebr. 3:19 A. Hawakuwa na Upendo B. Kwa kutokuamini C. Walimchukia Mungu 15. Ni namna gani Yesu amekuwa na jina lililotukufu kuliko malaika? Ebr. 1:4 A. Kwa Imani B. Kwa utii C. Kwa Kurithi

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 5

1. Paulo alikuwa na maana gani aliposema “tuwe na nia ya Kiroho!” Rum. 8:6 A. Amani B. Igroho C. Roho 2. Kitu gani kutoka kwa Warumi kilikuwa kimehubiriwa katika ulimwengu mzima? Rum. 1:8 A. Upendo B. Utii C. Imani 3. Ni Kitu gani hakikuhesabiwa pale ambapo hapakuwa na sheria? Rum. 5:11 A. Utii B. Dhambi C. Neema 4. Ni nani aliye ambiwa na Paulo wasahimu Warumi? Rum. 16:21 A. Julia B. Hema C. Sosipatro 5. Ni wapi Mungu alisema “nitawaita watu wangu?” Rum. 9:25 A. Hosea B. Mika C. Nahumu 6. Ni nini alichosema Paulo kuwa wote wanaosimama, wanasimam a katika? Rum. 5:2 A. Neema B. Imani C. Tumaini 7. Ni nini dhambi ilichofanya kwa Paulo? Rum. 7:11 A. Hukumu B. Danganya C. Tia udhaifu 8. Yeye asiyekula asimfanyie nini anayekula? Rum. 14:3 A. Hukumu B. Hukumia C. Chukia 9. Kufuatana na Waebrania 1:1 ni nani aliyesema “zamani”? A. Ibrahimu B. Musa C. Mungu 10. Ni kitu gani alichotakiwa kuwa nacho kuhani mkuu kwa wasiojua? Ebr. 5:2 A. Huruma B. Upendo C. Msamaha 11. Kitu gani Waebrania waliambiwa waangalieni wao kwa wao? Ebr. 10:24 A. Imani na upendo B. Upendo na kazi njema C. Imani na kazi njema 12. Wakati wa mababa Mungu alizungumza kupitia kwa nani? Ebr. 1:1 A. Musa B. Mitume C. Manabii 13. Kwa njia ya nini Wayahudi walitakaswa? Ebr. 10:10 A. sadaka ya mwili wa Kristo B. Kazi ya sheria ya Musa C. Imani yao kwa Sheria ya musa 14. Kitu gani Mungu alipenda kukionyesha kwa warithi wa ahadi? Ebr. 6:7 A. Enzi yake B. Mausia yake yasiyo badirika C. Enzi yake isiyobadir ika 15. Yesu alitoka katika kabila gani? Ebr. 7:14 A. Benjamini B. Lawi C. Yuda

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 6

1. Ni nini alichosema Paulo baada ya Warumi kuwekwa huru kutoka dhambi? Watoe matunda yao katika? Rum. 6:22 A. Usafi B. Utakatifu C. Haki 2. Ni nani aliyeuza uzaliwa wake wa kwanza? Ebr. 12:16 A. Yakobo B. Yusufu C. Esau 3. Paulo alisema nini kuwa wote ambao Mungu aliwapa haki? Rum. 8:30 A. Kuwatukuza B. Kukombolewa C. Walisamehewa 4. Ni akina nani Mungu alichukizwa nao katika Ebrania 3? Ebr. 3:17 A. Mataifa B. Wayahudi waliofanya dhambi C. Wenye mizaha 5. Ni kitu gani Paulo aliwaambia aliokuwa anawaandikia kufurahia? Rum. 12:12 A. Imani B. Neema C. Tumaini 6. Nini kilichosemwa kuwa Mungu hawezi kusahau katika msisitizo kwa Wayahudi? Ebr. 6:10 A. Kazi yao ya Upendo B. Kutokuwa waaminifu kwao C. Dhambi zao 7. Ni nini kilichosemwa kwa yule anayehukumu wengine kuwa? Rum. 2:1 A. Bure B. Hana Udhuru C. Bila kuelewa 8. Ni kitu gani kati ya hivi hakikuwepo sehemu ya patakatifu? Ebr. 9:4 A. Kunara B. Mkate wa uonyesho C. Chetezo Cha dhahabu 9. Ni wapi waliishi wale wote ambao Paulo alitamani kuokolewa kwao? Rum. 15:31 A. Kenkria B. Ilicum C. Yuda 10. Ni nani aliyeambiwa alifanyika kamili kupitia mateso? Ebr. 2:10 A. Paulo B. Stefano C. Kristo 11. Ni kwa nani ilinenwa, “anafanya upatanisho kwa Mungu kinyume na Israeli? Rum. 11:2 A. Eliya B. Paulo C. Esai 12. Ni nani aliyeitwa ni mtu mbaya? Ebr. 12:16 A. Kaini B. Esau C. Shetani 13. Ni nini alichosema Paulo tuache Mungu awe? Rum. 3:4 A. Upendo B. Kweli C. Mwaminifu 14. Ni nani aliyeweka hema ya kweli? Ebr. 8:2 A. Ibrahimu B. Musa C. Yesu 15. Mungu aliita nini enzi ya ukuu wa Yesu? Ebr. 8:1 A. Enzi ya haki B. Enzi ya uaminifu C. Enzi ya Ubwana

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 7

1. Ni nani waliopokea uhuhani? Ebr. 7:5 A. Yesu B. Haruni C. Wana wa Lawi 2. Ni kufuatana na kitu gani Israeli waliona kuwa adui? Rum. 11:28 A. Injili B. Kanisa C. Bwana 3. Ni nini Yesu alichofanya kuhusiana na ahadi iliyofanyika katika mababa? Rum. 15:8 A. Aliitimiza B. Aliithibitisha C. Aliiheshimu 4. Ni kitu gani Paulo alichosema kuwa baadhi watafanya wakati wa hukumu? Rum. 3:4 A. Kushinda B. Watapotea C. Utukufu 5. Ni nani aliyekuwa dada yake Olimpa? rum. 16:15 A. Luciasi B. Nerea C. Arbani 6. Ni nini alichocema Paulo kuwa Mungu amewapa wengine roho ya? Rum. 11:8 A. Usingizi B. Utii C. Upendo 7. Paulo alisema nini kuhusu kazi ya uthabiti wa moyo? Rum. 5:3, 4 A. Uvumilivu B. Tumaini C. Imani 8. Ni nini alichosema Paulo kuwa nia ya mwili iko kinyume na Mungu? Rum. 8:7 A. Dhambi B. Kutokuwamtii C. Uadui 9. Ni nini Yesu “Aishiye milele” anafanya kwa wote wanaomjia Mungu? Ebr. 7:25 A. Neema B. Imani C. Upatanish i 10. Ni nani ambaye imesemwa “Alimpendeza Mungu”? Ebr. 11:5 A. Yesu B. Henoko C. Musa 11. Ni wapi Musa alipopokea mwongozo kusudi ajenge hema? Ebr. 8:5 A. Jangawani B. Juu ya Mlima C. Misri 12. Ni wapi makuhani walipo kamilishia huduma yao kwa Mungu? Ebr. 9:6 A. Patakatifu pa Patakatifu B. Hema la Kwanza C. Hema la Pili 13. Ni kwa njia gani Waebrania walielewa kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu? Ebr. 11:3 A. Historia B. Kwa Imani C. Neno la Mdomo 14. Ni nini matokeo za kurudiwa (kuonywa) na Mungu? Ebr. 12:10 A. Imani B. Faida C. Neema 15. Mungu alitoa ahadi kwa nani pale alipompa? Ebr. 6:13 A. Adamu B. Musa C. Ibrahimu

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 8

1. Ni kwa akina nini Paulo alisema namna ya nani? Rum. 6:19 A. Yeye mwenyewe B. Yesu C. Wanadamu 2. Paulo alisema ni kwa nani aliko kuwa anawiwa? Rum. 1:14 A. Wayunani B. Mungu C. Timotheo 3. Kwa njia gani Paulo alisema mtu anapata haki? Rum. 3:24 A. Imani B. Kweli C. Neema 4. Ni nini alichosema Paulo kuwa ameisha utumia? Rum. 13:12 A. Usiku B. Mchana C. Neno 5. Paulo alisema nini kuhusu wema wa Mungu unavyoongoza? Rum. 2:4 A. Haki B. Wokovu C. Toba 6. Ni nini alichosema Paulo kwa alifanya katika sheria ya Mungu, baada ya utu wa ndani? Rum. 7:22 A. Kufa B. Pendeza sana C. Dhambi 7. Ni kitu gani cha Mungu kilichokuwa kinatafutwa zamani? Rum. 11:33 A. Njia B. Hukumu C. Ufahamu 8. Ni nini ambacho “wazee . . . . walipokea taarifa njema”? Ebr. 11:2 A. Sheria B. Imani C. Neema 9. Kufuatana na mwandishi wa kitabu cha Waebrania ni namna gani mtu anaweza kukikar ibia kitu cha Rehema? Ebr. 4:16 A. Kwa hofu B. Ujasiri C. Kwa heshima 10. Ni wakati gani Agano lilipokuwa na nguvu? Ebr. 9:16, 17 A. Kufa Mrithi B. Kufa kwa aliyelifanya C. Kufa kwa mrithi na aliyelifanya 11. Imeandikwa ni kwa kitu gani Yesu alivitegemea vitu vyote? Ebr. 11:3 A. Kwa kuonyonyesha mfano wa utu wake B. Kwa imani ya Mungu asiyeonekana C. Kwa neno la nguvu zake 12. Kufuatana na Waebrania 10:12, 13 ni nini kinafanywa kuwa chini ya miguu ya Yesu? A. Maadui wake B. Dunia C. Kazi za Shetani 13. Ni nani aliyewekwa kuwa mrithi wa vitu vyote? Ebr. 1:2 A. Mkristo B. Musa C. Yesu 14. Kulikuwa na sehemu ngapi katika hema? Ebr. 9:2, 3 A. Moja B. Mbili C. Tatu 15. Ni nani Biblia imesema yuko juu ya nyumba yake? Ebr. 3:6 A. Ibrahimu B. Musa C. Yesu

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 9

1. Ni kitu gani mtume Paulo alichosema Israeli alikuwa nacho kwa Mungu? Rum. 10:2 A. Imani B. Ufahamu C. Juhudi 2. Kufuatana na Paulo ni wana gani wanaohesabiwa kuwa ni mbegu? Rum. 9:8 A. Mwili B. Sheria C. Ahadi 3. Ni nini wale wote wanaoonyesha rehema wanapaswa kufanya? Rum. 12:8 A. Uchangafu B. Neema C. Upendo 4. Ni kitu gani Paulo alisema “kuwa watu wa nia ya mwilini ? Rum. 8:6 A. Mauti B. Wa Mwilini C. Dhambi 5. Paulo alisema ni kitu gani kitakacho kuwa kwa wote wafanyao vema? Rum. 2:10 A. Maisha ya milele B. Baraka za kiroho C. Amani 6. Ni nini alichosema Paulo kwa wale aliokuwa akiwaandikia kuwa dhambi zao? Rum. 13:5 A. Utii B. Jema C. Wema 7. Ni nani Paulo aliosema kuwa Mtu aliyebarikiwa? Rum. 4:6 A. Yesu B. Daudi C. Ibrahimu 8. Ni kitu gani ambacho Paulo na Warumi kingewafariji pamoja? Rum. 1:12 A. Upendo B. Imani C. Tumaini 9. Utakaso wa Agano la Kwanza ulikuwa ni aina gani ya Utakaso? Ebr. 9:1 A. Ulimwengu B. Kiroho C. Makosa 10. Ni kwa njia gani Yesu atamharibu yeye aliye na nguvu za mauti? Ebr. 2:14 A. Mauti B. Imani C. Nguvu za neno lake 11. Ni nani mwandishi wa kitabu cha Waebrania alitamani aliokuwa anawaandikia wasiwe nacho? Ebr. 6:12 A. Kutokuwa na Imani B. Dhaifu C. Uvivu 12. Kristo ni kuhani kwa mfano wa nani? Ebr. 5:12 A. Haruni B. Melkizedeki C. Lawi 13. Ukuhani mkuu wa Haruni ulitwaliwa kutoka kwa nani? Ebr. 5:1 A. Yeye mwenyewe B. Mungu C. Wanadamu 14. Kwa kitu gani Biblia inasema kuwa Yesu aliingia katika patakatifu? Ebr. 9:12 A. Imani B. Upendo C. Damu 15. Kwa nini Wayahudi hawakupata faida kwa neno? Ebr. 4:2 A. Hawakulisikia B. Walifanya dhambi katika mioyo yao C. Halikuchanganyikana na Imani

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 10

1. Paulo aliwaambia Warumi kuwa wako chini ya? Rum. 6:14 A. Neema B. Haki C. Tumaini 2. Ni nini alichosema Paulo Kuwa haikuwa na utii wa Sheria ya Mungu? Rum. 8:7 A. Mapepo B. Shetani C. Nia ya Mwili 3. Ni namna gani Paulo alisema “uvumilivu au saburi unavyofanya kazi? Rum. 5:3, 4 A. Neema B. Tumaini C. Uthabiti 4. Ne nani aliyesema “acha meza zao ziwe mtego?” A. Eliya B. Daudi C. Esiya 5. Fibi mtumishi wa kanisa alikuwa wapi? Rum. 16:1 A. Yerusalem B. Iliraum C. Kenkrea 6. Ni namna gani wanayokuwa wale wote wanao kwenda nje ya njia ya Bwana? Rum. 3:12 A. Hawafai B. Sio haki C. Sio waaminifu 7. Ni nani mhudumu wa tohara wa kweli ya Mungu? Rum. 15:8 A. Paulo B. Yesu C. Petro 8. Ni sehemu iliyofuatia pazia la pili iliitwaje? Ebr. 9:3 A. Ukumbi B. Sehemu ya maandalizi C. Patakatifu pa Patakatifu 9. Ni Nani wanaoelezwa “roho watumikao”? Ebr. 1:13 - 14 A. Mitume B. Wanafunzi C. Malaika 10. Ni kitu gani kuhani mkuu alitoa? Ebr. 5:1 A. Matoleo na dhabihu B. Matoleo, dhabihu na maombi C. Sadaka na maombi 11. Ni kitu gani kilibadirika pamoja na mabadiriko ya ukuhani? Ebr. 7:12 A. Amri la ukuhani B. Sheria C. Nguo za kukuhani 12. Ni nani ambaye mwandishi wa Waebrania anasema alitumwa kwa uhuru? ebr. 13:23 A. Yeye mwenyewe B. Tito C. Timotheo 13. Ni nani aliyeambiwa kuwa amefanyika “mrithi wa haki”? Ebr. 11:7 A. Nuhu B. Ibrahimu C. Henoko 14. Imeandikwa kuwa nani aliyekwenda mahali ambako alikuwa hajui aendeko? Ebr. 11:8 A. Gideon B. Ibrahimu C. Musa 15. Ni vitu vingapi vilipatikana katika “Patakatifu” anavyoelezea mwandishi wa kitabu cha Waebrania? Ebr. 9:2 A. Kimoja B. Vitatu C. Vitano

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 11

1. Ni kitu gani kuhani mkuu alipaswa kuwa nacho ili achukuliane na wasiojua? Ebr. A. Huruma B. Udhaifu C. Imani 2. Malaika waliambiwa wawahudumie akina nani? Ebr. 1:14 A. Watoto Wadogo B. Watakaoroithi wokovu C. Wanadamu Wote 3. Ni nani aliyekuwa mjenzi wa mji ambao Ibrahimu alikuwa akiutafuta? Ebr. 11:10 A. Wakanani B. Mungu C. Musa 4. Wazazi wa Musa walimficha kwa sababu alikuwa mtoto wa aina gani? Ebr. 11:23 A. Mwema B. Dhaifu C. Mzuri 5. Ni hali ya namna gani kuanguka kutoka katika mikono ya Mungu aliye hai? Ebr. 10:31 A. Inatiisha B. Ajabu C. Tumaini 6. Ni nani aliyetolewa sadaka na Ibrahimu? Ebr. 11:17 A. Yokobo B. Isaka C. Ishmael 7. Bila kuwa na nini mtu hawezi kumwona Mungu? Ebr. 12:14 A. Imani na utakatifu B. Imani na Amani C. Amani na Utakatifu 8. Ni namna gani Yesu alijifunza kuwa mtii? Ebr. 5:7 A. Mfano B. Mateso C. Imani 9. Ni nini alicho sema Paulo hukaa ndani yake? Rum. 7:17 A. Mungu B. Roho C. Dhambi 10. Ni nini kwa wale wote ambao Paulo aliwaandikia ili kuwa? Rum. 12:13 A. Subira B. Upendo C. Ukarimu 11. Paulo alisema nini kwa wote waliofia sheria wahudumu katika upya wa nini? Rum. 7:6 A. Roho B. Barua C. Uzima 12. Ni kuimbe gani alikifanya kitiishwe kwa? Rum. 8:20 A. Sheria B. Ubatili C. Mungu 13. Ni kitu gani ambacho Paulo alisema ametengwa kwa hicho? Rum. 1:1 A. Injili B. Imani C. Bwana 14. Paulo alisema nini kuwa karama ya neema ni kwa ajili ya makosa ya wengi katika? Rum. 15:16 A. Hukumu B. Haki C. Utakaso 15. Kwa nini mtume Paulo Alisema “Matawi yame kwisha kukatwa? Rum. 11:20 A. Kutokuamini B. Kuto kutii C. Sio Nyoofu

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 12

1. Ni nani aliyeandikwa kuwa hakuangamia pamoja na wasio amini? Ebr. 11:31 A. Musa B. Joshua C. Rahabu 2. Ni kitu gani ambacho Israeli walikichimbia chini? Rum. 11:3 A. Hekalu B. Madhabahu C. Ufalme 3. Ni nani aliye simamisha hema ya kweli? Ebr. 8:2 A. Mfalme Suleman B. Bwana C. Musa 4. Ni kwa nini baadhi hawakuwa kama Mungu atakavyo? Rum. 1:28 A. Upendo B. Ufahamu C. Utiifu 5. Mwandishi wa Waebrania aliwaagiza kuwa ni upendo wa aina gani uendelee? Ebr. 13:1 A. Mkristo B. Undugu C. Kiulimwengu 6. Ni kitu gani Paulo alisema “Mungu alionyesha? Rum. 9:16 A. Rehema B. Neema C. Uvumilivu 7. Kila kuhani mkuu aliwekwa ili kufanya nini Ebr. 8:3 A. Kutoa matoleona sadaka B. Kubatiza C. Kutoa msamaha 8. Ni nini alilchosema Paulo kuhusu kuwa vitu vyote ni? Rum. 14:20 A. Vizuri B. Safi C. Kupendwa 9. Ni namna gani Waebrania ilikuwa waingie katika pumnziko? Ebr. 4:3 A. Kusoma Biblia kila siku B. Imani katika Mungu C. Kuomba bila kukoma 10. Ni kitu gani ambacho Wayahudi walivunja sheria kwacho? Rum. 2:27 A. Matendo B. Kiburi C. Andiko au Bania 11. Ni nini kilichokuwa kikitia kivuli katika kiti cha rehema? Ebr. 9:5 A. Makerubi wa utkufu B. Fimbo ya haruni C. Pazia la pili 12. Ni nani ambaye Paulo amesema kuwa ni mfungwa mwenzake? Rum. 16:7 A. Apele B. Urbane C. Yunia 13. Kufuatana na mwandishi wa Waebrani, ni akina nani aliosema nao Mungu wakati ulipita? Ebr. 1:1 A. Wayahudi B. Wanafunzi C. Mababa 14. Ni sehemu gani ya mwili aliyoisema Paulo kuwa ni nzuri kwa wao wanaohubiri injili ya neema? Rum. 10:15 A. Miguu B. Midomo C. Moyo 15. Ni nani aliyetoa sadaka kufuatana na sheria? Ebr. 8: A. Wayahudi B. Wanafunzi C. Makuhani

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 13

1. Ni vizuri moyo ufanywe na nini? Ebr. 13:9 A. Upendo B. Neema C. Fundisho la uongo 2. Paulo alisema yule aliyekufa ni huru katika nini? rum. 6:7 A. Huzuni B. Laumu C. Dhambi 3. Ni katika siku ipi Mungu alipumunzika kutoka katika kazi yake? Ebr. 4:4 A. Siku ya kwanza B. Siku ya tatu C. Siku ya Saba 4. Mungu ameeleza kuwa ni Mungu wa? Rum. 15:5 A. Faraja B. Neema C. Upendo 5. Katika Waebrania 10:9 inasema “analiondoa la kwanza na kulisimamisha lipi?” A. Jipya B. La Pili C. Bwana 6. Ni kitu gani alichosema Paulo hakifanyi kuwa na aibu? Rum. 5:5 A. Upendo B. Imani C. Tumaini 7. Ni nani alitahadharishwa na Mungu pale alipokuwa karibu kujenga hema? Ebr. 8:5 A. Kristo B. Musa C. Haruni 8. Ni kitu gani Paulo aliwaambia wale aliokuwa amewaandikia wasikifuatishe? Rum. 12:2 A. Uovu B. Kujikweza C. Dunia 9. Ni nini ziliyokuwa na heshima kubwa Ebr. 3:3 A. Nyumba B. Mjenzi wa nyumba C. Mbuni wa plan ya nyumba 10. Ni kitu gani Paulo alihitaji kupata kutoka kwa Warumi? Rum. 1:13 A. Matunda B. Jina Zuri C. Neema 11. Kinara cha taa, meza na mkate wa wonyesho vilikuwa wapi katika hema? Ebr. 9:2 A. Patakatifu pa patakatifu B. Ukumbi wa nje C. Patakatifu 12. Ni nini alichosema Paulo kuwa Roho ni uzima kwa sababu ya? Rum. 8:10 A. Wema B. Haki C. Utakatifu 13. Katika siku za mwisho Mungu amesema nasi kupitia nani? Ebr. 1:2 A. Petro B. Yesu C. Paulo 14. Ni katika haki gani iliahidiwa kuwa Ibrahimu atakuwa mrithi wa nchi aliyo kuwa amepewa yeye? Rum. 9:7 A. Sheria B. Tohara C. Imani 15. Ni wapi Musa alioona kielelezo cha kujenga hekalu? Ebr. 8 A. Jangwani B. Mlimani C. Ndoto

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 14

1. Kufuatana na Ebr. 10:10 tumetolewa utakaso kwa sadaka ya nani? Ebr. 10:10 A. Dume ya Ng’ombe na mbuzi B. Fedha C. Mwili wa Kristo 2. Ni katika nani Paulo alisema mbegu ndiyo atakavyoitwa? Rum. 9:7 A. Isaka B. Ibrahimu C. Gakobo 3. Agano bora liliamniwa juu ya nini? Ebr. 8:6 A. Ahadi iliyobora B. Katika Kiapo C. Kukiri 4. Ni nini wanatafuta wale ambao kwa uvumilivu wanaendelea kutafuta? Rum. 2:7 A. Tumaini B. Kukumbukwa C. Utukufu 5. Ni nani walioandikiwa walisikia na kumkasirisha? Ebr. 3:16 A. Mafalisayo B. Baadhi ya watu aliowaongoza musa watoke Misri C. Wakanaani 6. Ni katika nini Paulo alisema sheria imefanywa dhaifu? Rum. 8:3 A. Neema B. Amri C. Mwili 7. Kama lile _________ la kwanza halingekuwa na makosa, isingetafutwa nafasi ya la pili Ebr. 8:7 A. Ubatizo B. Agano C. Sadaka 8. Kuanguka kwa Israeli kulikosemwa kuwa ni utajiri wa? Rum. 11:7, 12 A. Ulimwengu B. Mataifa C. Neema 9. Fimbo ya Haruni ilikuwa ndani ya nini? Ebr. 9:4 A. Chetezo cha dhahabu B. Sanduku la Agano C. Patakatifu 10. Kitu gani alichosema Paulo kuwa amefungwa katika utukufu wa Mungu? Rum. 3:7 A. Haki B. Kweli C. Imani 11. Mungu alisema atafanya na nani agano jipya? Ebr. 8:8 A. Ibrahimu na Musa B. Yakobo na Esau C. Yuda na Israeli 12. Ni kazi za aina gani alizosema Paulo zitaangamizwa? Rum. 13:12 A. Mwovu B. Giza C. Mwili 13. Yesu alifikiriwa kuwa ni? Ebr. 1:3 A. Mngao wa utukufu wa Mungu B. Kitovu cha utukufu wa Mungu C. Utimilifu wa utukufu wa Mungu 14. Ni kwa nani Mungu alisema atakuwa na rehema? Rum. 9:15 A. Musa B. Ibrahimu C. Isaka 15. Kufuatana na nyumba ya Israel Bwana alisema ataweka sheria yake katika? Ebr. 8:10 A. Katika kitabu chake B. Katika maisha yao C. Katika mioyo yao

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 15

1. Kufuatana na Ebr. 10:11 ni mara ngapi kuhani alitoa sadaka? Ebr. 10:11 A. Kila juma B. Mara mbili kwa juma C. Kila siku 2. Ni Kitu gani ambacho Paulo aliwaambia wote aliokuwa anawaandikia wajazwe nacho? Rum. 15:14 A. Upendo B. Ufahamu C. Amani 3. Ni nini lililo kali kuliko upanga ukatao kuwili? Ebr. 4:12 A. Ulimi B. Akili C. Neno la Mungu 4. Paulo alisema nini kuwa kwa amri dhambi inakuwa? Rum. 7:13 A. Sio takatifu B. Takatifu C. Dhambi 5. Bwana alisema nitakuwa Mungu kwao, nao watakuwa _ _ _ _ kwangu? Ebr. 8:11 A. Ibrahimu B. Bwana C. Familia 6. Paulo alisema nini kufuatana na ukweli? Rum. 2:2 A. Lawana B. Wokovu C. Hakumu 7. Kwa nini watu wa Israel hawakuruhusiwa kuingia katika pumnziko? Ebr. 3:18,19 A. Uasherati B. Dhambi ya Ibrahimu C. Kutokuamini 8. Ni nani alisema “nitawatia wivu”? Rum. 10:19 A. Isaya B. Daudi C. Musa 9. Ni nani alisema “wote watanijua mimi tangu mkubwa hata mdogo?” Ebr. 8:11 A. Ibrahimu B. Bwana C. Musa 10. Ni nini alichosema Paulo kuwa waliookolewa wamegeuka kinyume na Yakobo? Rum. 11:26 A. Kutokuanini B. Ubaya C. Dhambi 11. Waebrania 1:4 inasema Kristo alifanywa bora kuliko nani? Ebr. 1:4 A. Mitume B. Manabii C. Malaika 12. Paulo alisema mtu huokolewa kwa? rum. 8:24 A. Neema B. Imani C. Tumaini 13. Ni kitu gani kilichokuwemo ndani ya kopo la dhahabu? Ebr. 9:4 A. Mana B. Fimbo ya Haruni C. Maji matamu 14. Ni kitu gani kilichoweka wazi kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu? Rum. 1:4 A. Heshima B. Nguvu C. Neema 15. Kufuatana na mwandishi wa Waebrani ni kitu gani cha kufikiria? Ebr. 3:1 A. neno la Mungu B. Yesu C. Vitu vilivyojua

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 16

1. Agano jipya, limelifanya la kwanza _ _ _ _ ? Ebr. 8:13 A. Kamilifu B. Kuukuu C. Sio sheria 2. Ni nini alichowaandikia Paulo Warumi kuwa wawe wavumilivu? Rum. 12:12 A. Imani B. Katika dhiki C. Huzuni 3. Ni nani aliyekuwa mtoto aliyefichwa na wazazi wake kwa miezi mitatu? Ebr. 11:23 A. Yusufu B. Yakobo C. Musa 4. Ni nani ambaye Paulo anamtaja kwetu kuwa askari? Rum. 16:23 A. Gayo B. Julia C. Jasoni 5. Kufuatana na mwandishi wa kitabu cha Waebrania ni kitu gani neno la Mungu linatambua? Ebr. 4:12 A. Mawazo na Kusudi B. Kazi Zetu C. Imani yetu kwa mwingi 6. Ni nini alichokifanya Mungu kwa Wayahudi? Rum. 3:1,2 A. Neema B. Haki C. Mausia 7. Ni mara ngapi kuhani mkuu alikwenda peke yake katika hema ya Pili? Ebr. 9:7 A. Mara moja kwa mwaka B. Mara mbili kwa mwezi C. Katika kila Sabato 8. Paulo alisema Yesu alifufuka kwa? Rum. 4:24, 25 A. Tumaini B. Haki C. Ukombozi 9. Kwa imani kuta za Jeriko zilianguka baada ya wana wa Israeli kuzunguka mji kwa siku ngapi? Ebr. 11:30 A. Tano B. Saba C. Kumi 10. Ni kitu gani kiliwapata wanadamu wote kwa kosa la mtu mmoja? Rum. 5:18 A. Kutokutii B. Haki C. Hukumu 11. Katika Ebr. 1:5 Mungu anazungumza kuhusu Yesu kuwa atakuwa kama nini? Ebr. 1:5 A. Mwana wake B. Kondoo wake C. Mhudumu wake 12. Ni namna gani Warumi walijua? Rum. 7:1 A. Sheria B. Mungu C. Sheria na Manabii 13. Katika Ebr. 10:13 inasema “adui wa Yesu watafanywa kuwa nini? Ebr. 10:13 A. Kuwa dini ya miguu yake B. Watumishi C. Marafiki 14. Paulo alisema mtu anaweza kusimama au kuanguka kwa nani? Rum. 14:4 A. Mkuu wake B. Bwana wake C. Ndugu yake 15. Kristo alipenda haki na kuchukia nini? Ebr. 3:9 A. Usio haki B. Udanganyifu C. uovu

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 17

1. Ni kitu gani kuhani mkuu alichukua wakati alipokwenda katika hema ya pili? Ebr. 9 A. Kondoo B. Damu C. fimbo ya Haruni 2. Ni wapi ilikosemwa kuwa Epaineto alikuwa malimbuko kwa Kristo? Rum. 16:5 A. Akaya B. Makedonia C. Senkaea 3. Ni nini kilicho bayana ya vitu vitarajiwayo? Ebr. 11:1 A. Amini B. Upendo C. Imani 4. Ni namna gani Paulo alisema kuwa Israeli walikuwa katika uhusiano na haki ya Mungu? Rum. 10:3. A. Kutokujua B. Juhudi C. Kutokuwa na imani 5. Ni namna gani Wakristo Waebrania walikuwa wakiendee kiti cha rehema? Ebr. 4:16 A. Hali ya ukimya B. Ujasiri C. Heshima 6. Paulo alisema nini kuhusu kuwa wengine wanakuwa na kweli katika? Rum. 1:18 A. Kuthamini B. Bila uaminifu C. Pasipo haki 7. Ni nini kilichosemwa pokea malipo ya lawaidi? Ebr. 2 A. Uvunjaji B. Kazi mbovu C. Ushahidi wa Uongo 8. Ni nini walichoambiwa Warumi wasivitoa viungo vyao kutumika? Rum. 6:13 A. Makosa B. Tamaa C. Yasiyo haki 9. Ni nani mwanzillishi na mkamilishaji wa Imani yetu? Ebr. 12: 2 A. Paulo B. Kristo C. Petro 10. Paulo alijita mwenyewe ni mtu wa aina gani? Rum. 7:24 A. Mtu wa mwili B. Mwenye dhambi C. Maskini 11. Kila kuhani mkuu alitwaliwa miongoni mwa wanadamu ilikuwa atoe nini? Ebr. 5:1 A. Njiwa B. Zawadi C. Matoleo na Dhabihu 12. Ni kwa kitu gani Paulo alisema mtu hupata haki? Rum. 3:28 A. Imani B. Neema C. Kweli 13. Katika Ebr. 10:15 ni nani aliyesemwa kuwa ni shahidi wetu? Ebr. 10:15 A. Mungu B. Roho Mtakatifu C. Yesu 14. Ni nini wanachotakiwa kuwa nacho wale wote wenye kutoa? Rum. 12:8 A. Upendo B. Moyo mweupe C. Moyo wa kuchangamke 15. Ni nani watakaomwabudu Yesu ajapo mara ya pili kufuatana na mwandishi wa Ebrania? Ebr. 1:6 A. Wayahudi Wakristo B. Malaika wa Mungu C. Makuhani wakuu

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 18

1. Kufuatana na Waebrania 5:2 ni kundi gani kahani mkuu alipaswa kuwa na huruma nalo? Ebr. 5:2 A. Masikini B. Wasiojua C. Wagonjwa 2. Ni nini ambacho Paulo alikuwa na ushahidi katika Roho Mtakatifu? Rum. 9:1 A. Dhamiri yake B. Kazi yake C. Imani yake 3. Mungu wetu ni nini ulao? Ebr. 12:29 A. moto B. Nuru C. Mtu 4. Ni nini alichosema Paulo kuwa alitukuzwa katika hicho? Rum. 5:3 A. Neema B. Dhiki C. Huzuni 5. Ni nini kilicho kuwa kinagawa kati ya patakatifu na patakatifu pa patakatifu? Ebr. 9:3 A. Ukuta B. Makeribi C. Pizia 6. Ni akina nani ambao hawakukipata kile kitu walichokuwa wakikitafuta? Rum. 11:7 A. Warumi B. Wanadamu wote C. Israeli 7. Kristo alikuwa awe kuhani milele kwa mfano wa? Ebr. 5:5,6 A. Melkizedeki B. Ezra C. Yeremiah 8. Ni nini alicho uliza Paulo, kama Mungu alivyokuwa kwa sababu alilipiza kisasi? Rum. 2:5 A. Sio haki B. Mwenye haki C. Mlipiza Kisasi 9. Ni nini alichotia Bwana hapo mwanzo mbali na nchi? Ebr. 3:10 A. Kazi zake B. Msingi wake C. Kiumbe chake 10. Ni nini alichosema Paulo kwa wale aliokuwa akiwaandikia kuwa wanajiwekea akiba wenyewe? Rum. 2:5 A. Uzuri B. Tumaini C. Hasira 11. Katika Ebr. 10:20 pazia linamaanisha nini? Ebr. 10:20 A. Pazia la hekalu B. Mwili wa Yesu C. Sheria ya Musa 12. Ni nini alichowaambia wale wote Paulo aliokuwa anawaandikia kulipa? Rum. 13:6 A. Makini C. Madeni C. Kodi 13. Kufuatana na mwandishi wa Waebrania kila mmoja atumiaye maziwa ni? Ebr. 5:13 A. Mfuasi B. Mkubwa C. Mtoto Mchanga 14. Ni kwa nini yote yaliyotangulia ya liandikwa? Rum. 15:4 A. Kujengana B. Kujifunza C. Kufurajiana 15. Ni nani mpatanishi wa Agano Jipya? Ebr. 12:24 A. Marko B. Yohana C. Yesu

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 19

1. Mwanadamu aliumbwa nini ukilinganisha na malaika? Ebr. 2: A. Mkubwa kuliko Malaika B. Sawa na malaika C. Mdogo kuliko Malaika 2. Ni nini alichosema Paulo kuwa Roho atafanya katika miili yetu ya kufa? Rum. 8:11 A. Kuiponya B. Kuipa haki C. Ataihiusha 3. Kufuatano na Ebr. 10:22 tukaribie karibu pamoja na nini? Ebr 10:22 A. Mikono ya haiari B. Moyo wa kweli C. Mwili safi 4. Ni kitu gani alichokisema Paulo kuwa hakina nguvu juu ya Kristo? Rum. 6:10 A. Mauti B. Kaburi C. Mtu 5. Nyama ngumu ni kwa wale ambao ni? Ebr. 5 A. Waliobatizwa B. Umri wa kutosha C. 111 6. Ni kitu gani alichosema Paulo kwa wote walio pata haki hufurahia? Rum. 5:1,2 A. Imani B. Dhiki C. Tumaini 7. Kiti cha enzi cha haki maana yake ni nini? Ebr. 1:8 A. Uzima B. Utukufu wake C. Ufalme wake 8. Ni nini ambacho wengine wanadai kuwa Paulo alisema, tufanye ili neema ije? Rum. 3:8 A. Neema B. Haki C. Mabaya 9. Katika torati vyombo vyote vilikuwa vinasafishwa na? Ebr. 9: A. Sufu nyekundu B. Hisopo C. Damu 10. Paulo alisema Kristo ni mwisho wa nini? Rum. 10:4 A. Manabii B. Sheria C. Mauti 11. Kristo alijifunza utii kupitia? Ebr. A. Mama yake B. Kwa vitu alivyoteseka C. Neno 12. Ni kitu gani alichosema Paulo kuwa alikuwa nacho katika moyo wake? Rum. 9:2 A. Furaha B. Huzuni C. Imani 13. Ni nani aliyesema “Nimeshikwa na hofu na kutetemeka? Ebr. 12:21 A. Musa B. Paulo C. Mathayo 14. Ni nini alichosema Paulo anakitukuza? Rum. 11:13 A. Huduma yake B. Imani yake C. Kristo 15. Kufuatana na mwandishi wa Waebrania kiumbe kitachakaa kama nini? Ebr. A. Nguo B. Sheria C. Vazi

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 20

1. Katika Ebr. 10:28 Chini ya sheria ya Musa mtu ilikuwa auawe baada ya mashilidi wangapi kuthibitisha? Ebr. 10:28 A. 7 au 8 B. 4 au 5 C. 2 au 3 2. Ni nini ambacho wote waufuatao mwili akili zao hifikiria? Rum. 8:5 A. Shetani B. Sheria C. Mwili 3. Tutapataje kupona kama tusipojali kitu gani kikubwa? Ebr. 2 A. Kiongozi B. Wokovu C. Mfalme 4. Ni nani aliyemsema Paulo kuwa hakujipendeza yeye mwenyewe? Rum. 15:3 A. Musa B. Mwenyewe C. Kristo 5. Tunapokea nini, ambacho hakitetemeshui? Ebr 12:28 A. Ufalme B. Dunia C. Mafundisho 6. Ni sheria ipi ambayo ilikuwa ianzishwe? Rum. 3:31 A. Kweli B. Neema C. Imani 7. Kristo alikuwa katika ukuhani aliwekwa na nani? Ebr. 5:5 A. Mungu B. Yohana Mbatizaji C. Wanadamu 8. Ni namna gani watu aliowaandikia Paulo walitakiwa kufikiria? Rum. 12:3 A. Haki B. Kiasi C. Wema 9. Musa aliwanyunyizia nini watu wote pamoja na kitabu? Ebr. 9:19 A. Damu ya ndama na mbuzi pamoja na maji na sufu nyekundu na hisopo B. Damu ya mbuzi pamoja na maji na hisopo C. Damu ya mbuzi pamoja na maji na sufu nyekundu 10. Paulo alisemaje juu ya ndugu kuwa wasiwe wadeni wa? Rum. 8:12 A. Nia ya mwilini B. Sheria C. Mwili 11. Kwa kuwa wote, atakasaye, na wao ambao wakoje wote ni mmoja? A. Haki B. Waliooshwa C. Takaswa 12. Ni nani ambaye Paulo anasema ni “jamaa yake”? Rum. 16:11 A. Herode B. Hema C. Pesisi 13. Katika Ebr. 10:26 haibaki sadaka kwa ajili ya dhambi wakati Mkristo? Ebr. 10:26 A. Wanapoinuana wao kwa wao B. Anapotenda dhambi kusudi C. Anapotenda dhambi bila kusudi 14. Paulo alisema yule anayefanya mema atakuwa na Rum. 13:3? A. Vizuri B. Heshima C. Sifa 15. Iwapo kusikia kwao hakukua kuzito, mwandishi wa Waebrania alikuwa na maneno mengi kuhusu nani? Ebr. 5:11 A. B. C.

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 21

1. Ni mlima upi unaozungumziwa katika Ebr. 12:22 A. Sayuni B. Ararati C. Giliadi 2. Paulo alisema watu wamekuwaje katika kufuata Sanamu? Rum. 1:21 A. Wajinga B. Bure C. Wabaya 3. Ni kwa ajili ya nini ilisemwa “Hatashindw a”? Ebr. 3:12 A. Ahadi yake B. Nguvu zake C. Miaka yake 4. Ni nini alichosema Paulo kuwa kinamtawala mtu maadamu anaishi? Rum. 7:1 A. Sheria B. Mungu C. Dhambi 5. Musa alinyunyizia kitu gani baada ya kuzungumza kila kitu kwa watu wote kufuatana na sheria? Ebr. 9 A. Kitabu na watu wote B. Watu wote na mbuzi C. Watu wote na Vyombo 6. Paulo alisema nini juu ya wote waliopata haki, wamepata kwa nini yaKristo? Rum. 5:9 A. Kifo Chake B. Kufufuka Kwake C. Damu yake 7. Ni nini kwa wasichojua wale wote wanaotamani maziwa hawajui? Ebr. 5:12 A. Neno B. Kula C. Mwenendo 8. Paulo alimsema nani kuwa ni jasiri? Rum. 10:20 A. Moses B. Isaya C. Daudi 9. Ni nani aliyewekwa mkono wa kuume wa Mungu? Ebr. 12:2 A. Paulo B. Timotheo C. Yesu 10. Paulo alisema Wayahudi waliitegemea nini? Rum. 2:17 A. Matendo Yake B. Imani Yake C. Sheria 11. Yesu Alisema atalihubiri nini mbele ya ndugu? A. Kazi zake B. Jina lao C. Nguvu zake 12. Maandiko yana msema nani kuwa “Kwa kusudi hili nalikusimanisha”? Rum. 9:17 A. Estha B. Musa C. Farao 13. Kwa kutumiwa nini tunazizoeza akili zetu kuchagua zuri na ovu? Ebr. 5:14 A. Chakula Kigumu B. Pumunziko la amani C. Upatanishi 14. Wale wote ambao kwa wakati uliopita hawakuwa wanaamini, lakini sasa wana pokea nini? Rum. 11:30 A. Neema B. Rehema C. Imani 15. Ebr. 10:35 inasema “tusiutupilie mbali nini? Ebr. 10:35 A. Mizigo yenu B. Ujasiri wenu C. Uvumilivu wenu

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 22

1. Ni nani aliyefanywa kuhani mkuu milele kwa mfano wa Melkizedeki? Ebr. 6 A. Yesu B. Petro C. Yokobo 2. Ni amri ipi iliyoamru? Rum. 7:10 A. Mauti B. Dhambi C. Uzima 3. Ni nani aliyehamishwa au nyakuliwa ili asionje mauti? Ebr. 11:5 A. Kaini B. Henoko C. Nuhu 4. Ni nini alichokiweka Mungu wengine wamekibadirisha? Rum. 1:23 A. Utukufu wake B. Neno lake C. Haki yake 5. Mungu si hata asahau kazi yenu na utumishi? Ebr. 6 A. Upendo B. Furaha C. Kuchukia 6. Ni akina nani imesemwa kuwa wanapaswa kumtukuza Mungu kwa Rehema zake? Rum. 15:9 A. Waisraeli B. Mataifa C. Manabii 7. Akina nani ni wahudumu, roho watumikao? Ebr. 3:14 A. Warithi wa wakovu B. Mitume C. Wagonjwa 8. Paulo alisema Ibrahimu aliamini katika nini? Rum. 4:8 A. Mungu B. Neema C. Tumaini 9. Ni nani kwa chakula kimoja aluiza ukubwa wake? Ebr. 12: A. Daudi B. Musa C. Esau 10. Ni nini kitakacho kuwa kwa wote wanaoasi mamlaka? Rum. 13:2 A. Malipo B. Hukumu C. Huzuni 11. Mungu Alimwahidi nani pale alipoweka kiapo kwa hakuna mkubwa zaidi ya yeye? Ebr. 6:1 A. B. C. 12. Ni nini matazamio ya viumbe vinavyosubiri kudhihirisha kwa? Rum. 8:19 A. Wana wa Mungu B. Mungu C. Ufufuo wa wafu 13. Ni nini kilichofunika mbao za Agano? Ebr. 9:4,5 A. Makerubi wa utukufu B. Fimbo ya Haruni C. Dhahabu 14. Ni nani aliyeandika kitabu cha Warumi? Rum. 16:22 A. Nerias B. Tertio C. Luciasi 15. Katika Ebr. 12:7 Ni kitu gani tunatakiwa kustahimili? Ebr. 12:7 A. Kupingana B. Kurudiwa C. Dhambi

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 23

1. Wote waliokuwa katika nuru, imeandikwa kuwa wamekwisha onja nini? Ebr. 6:4 A. Nyama ngumu B. Roho Mtakatifu C. Maziwa 2. Ni miongoni mwa nani Jina la Munguwalikuwa wamekufuru? Rum. 2:24 a. Wayahudi B. Watu wote C. Mataifa 3. Ni nani aliyeonywa na Mungu kwa imani vitu visivyoonekana, alikwenda kwa hofu? Ebr. 11:7 A. Nuhu B. Henoko C. Abeli 4. Imani imefanywa kuwa nini iwapo wanakuwa Warithi kwa sheria? Rum. 4:14 A. Haki B. Nguvu C. Bure 5. Kwa sababu Yesu alijaribiwa na kuteswa, anaweza kufanya nini kwa wote wanaojaribiwa? A. Atawasaidia B. Thibitisha C. Atawaonya 6. Paulo alisema nini kuhusu kuwa sheria ilikuwaje? Rum. 7:12 A. Takatifu B. Dhaifu C. Hai 7. Ni dhahiri kuwa Bwana wetu alitoka katika kabila lipi? Ebr. 7:14 A. Yuda B. Mungu C. Lawi 8. Paulo alisema ni siraha gani tunazotakiwa kuvaa? Rum. 13:12 A. Kweli B. Upendo C. Nuru 9. Ni nani aliye mwamuzi wa wote? Ebr. 12:23 A. Paulo B. Mungu C. Esau 10. Wote waliokatika mwili, matunda yao ni katika? Rum. 7:5 A. Shetani B. Mauti C. Sio haki 11. Kwa sababu Yesu anaendelea milele, ni kitu gani ambacho hakibadiriki kwake? Ebr. 7:24 A. Uzima B. Ahadi C. Ukuhani 12. Paulo alisema wengine wamejinenea wenyewe kuwa/ Rum. 1:22 A. Wema B. Waaminifu C. Hekima 13. Ebr. 10:36, Inasema “tunahitaji kitu gani? Ebr. 10:36 A. Saburi B. Imani C. Ujasiri 14. Ni nani anayenenwa kuwa ni wakili wa mji? Rum. 16:23 A. Erasto B. Sosipeta C. Teation 15. Kufuatana na Ebr. 7:22 na 26 Yesu amefanwa kuwa juu ya zaidi kuliko? Ebr. 7:22 & 26 A. Dunia B. Mbingu C. vitu vyote

Warumi Na Waebrania Bible Cup

Sheet 24

1. Katika Ebr. 12:10 ni kitu gani lazima tuwe washiriki? Ebr. 12:10 A. Maonyo B. Utakatifu wake C. Anasa au starehe 2. Ni katika upendo wa aina gani Mungu amewaacha wengine? Rum. 1:26 A. Bure B. Sio safi C. Upotovu 3. Lawi alikuwa katika viuno vya nani pale Melkizedeki alipokutana naye? Ebr. 7:10 A. Mama yake B. Kaka yake C. Baba yake 4. Paulo alisema wale waliolewa kwa Kristo wanapaswa kutoa nini kwa Mungu? Rum. A. Neema B. Matunda C. Imani 5. Ni kitu gani kilichokuwemo ndani ya sanduku la Agano? Ebr. 9:4 A. Kopo la dhahabu pamoja na mana, fimbo ya haruni B. Kopo la dhahabu pamoja na mkate wa wonyesho C. Mkate wa wonyesho, fimbo ya Haruni na kinara 6. Paulo alisema ni namna gani watu aliokuwa anawandikia wanapaswa kuenenda? Rum. 13:13 A. Tahadhari B. Uaminifu C. Katika Upendo 7. Na wala haikanumishiki kuwa mdogo hupata _______ iliyo bora? Ebr. 7:7 A. Baraka B. Kufikiriwa C. Fahamika 8. Ni nini alichosema Paulo kuwa kwanza alikuwa bila sheria? Rum. 7:9 A. Hai B. Amekufa C. Katika dhambi 9. Ni nani kwa imani alitoa kwa Mungu sadaka iliyobora? Ebr. 11:4 A. Kaini B. Abeli C. Adamu 10. Ni nini alichosema Paulo hakikuwepo wakati antipakuwa na sheria? Rum. 4:15 A. Imani B. Neema C. Makosa 11. Yesu amekuwa mdhamini wa nini? Ebr. 7:22 A. maisha bora B. Ulimwengu Bora C. Agano Bora 12. Ni nini alichosema Paulo kuwa Mungu atakihukumu? Rum. 2:16 A. Matendo B. Siri zote C. Maneno 13. Ni nani aliyeketi katika mkono wa kuume wa ufalme? Ebr. 8:1 A. Mungu B. Enzi C. Yesu 14. Ni kitu gani ambacho wale wanaotawala wanapaswa kuwa nacho? Rum. 12:8 A. Bidii B. Rehema C. Uvumilivu 15. Ni katika mji upi ambao Paulo alisema anataka kwenda kuwahudumia watakatifu? Rum. 15:25 A. B. C.