kitengo cha 2 ccidid - s3-us-west-2.amazonaws.com · al kim rfar ole, pikipiki yangu hairuki juu....
TRANSCRIPT
Kitabu cha mwanafunzi
Kitengo cha 2
cidcidUpelelezi wa Upelelezi wa
uchunguzi wa Bibliauchunguzi wa Biblia
Moyen
Moyen
1
Je,
Munguanakuambia nini
Munguhutumia neno
lake kuongea nasi kila wiki.
el día de
Leo?
“Suala la spishi zinazotishiwa”
Ninaweza kuwa mwenye haki wakati kuna uovu kila mahali.
Tafuta katika google Safina ya Nuhu na Mafuriko | Taasisi ya Utafiti wa UumbajiAngalia jinsi dinosau zinavyotoshea kwenye safina.
“Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu...” Waefeso 6:13
Inaweza kuwa ngumu kumtii Mungu wakati wengine walio karibu hawatii.Tafuta nafasi ya kufanya kile unajua ni haki lakini si kawaida kufanywa na wengine. Mfano: Rudisha fedha za ziada wakati mtu anakupa za ziada kwa sababu amekosea hesabu .
(Hadithi ya Biblia)
kesi(siku) (mwezi) (mwaka)
2
#01
Kutafuta
Neno:
Ninakupenda ukiwa hivi!
Oo. Ujumbe muhimu unakuja.
MNYAMADUNIAMVUANUHUMUNGUSAFINAHAMUNJIWASHEMUYAFETHIUPINDE WADHABIHU
H A M U D E
A U M E H S
F N H Y A A
M V U A B F
J U U F I I
M P G E H N
N I N T U A
Y N U H U D
A D M I U V
M E F N E T
A W I J N B
S A P U H I
“Kesi ya kuona UFO”
Kwa kutumia Wikipedia tafuta
eneo la Bethlehemu katika Israeli na
kugundua kile kilichopo kwenye
mlango wa kaskazini.
Nitaweka nafasi kwa Yesu katika maisha yangu.
“Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.” Ufunuo 3:20
Mwambie Yesu kuja maishani mwako na kuwa bwana wako.Kiri kwa Mungu kwamba huwezi kuwa mzuri kivyako na hivyo unahitaji zawadi yake ya wokovu. Ikiwa tayari wewe ni Mkristo na unafahamu wakati na mahali ulipomkubali, elezea rafiki yako. Muulize rafiki yako kama angetaka kumwalika Yesu maishani mwake na kama angependa msaada wako kufanya maombi.
KUTAFUTA NENO:
#02
3
(Hadithi ya Biblia)
kesi(siku) (mwezi) (mwaka)
MARIA
YOSEFU
PUNDA
YESUNYOTA
DHAHABU
UBANI
HERODE
WAFALME
MANEMANE
BETHLEHEMU
Y E M L A F A W J P
D H A H A B U S E Y
P U N D A T O Y N D
U M E H E L H T E B
F A M E U
E R A R B
S I N O A
O A E D N
J B H E I
Angalia!Mdudu!
gMd
Eeh, wadudu zaidi!
“Kesi ya desibeli za sauti ya juu”
Angalia picha katika google ili kupata picha tofauti za baragumu na kuamua ni
gani ungependa kupuliza.
Nitaitii kwa sababu maagizo ya Mungu hufanya kazi.
“Lakini yeye alisema, Afadhali, heri walisikiao neno la Mungu na kulishika” (Luka 11:28).
Mungu anatupa maagizo ambayo yatatusaidia pia kushinda vita. Anasema, “Uwatii wazazi wako.” Wiki hii sikiliza kwa makini kile wazazi wako wanasema na kutii kila neno, mara moja, bila kusubiri. Pengine utapata si rahisi kufanya, kama tu Yoshua, lakini ina thamani yake.
#03
4
(Hadithi ya Biblia)
kesi(siku) (mwezi) (mwaka)
A T E B M U R A T JJ E G R K Y E R I K O U MK I R A O I G L I H S E JP A M S U B M A E I R I SR A H A B U L Y P L I G AT U K U T A U H A U E S BA N D A M A N A B I R K A
YOSHUAYERIKO MALAIKAPIGA KELELE
JESHIKIMYASABASIRI
TARUMBETAUKUTARAHABUANDAMANA
Kasi ya Juu ya 100
MPH!
Ninawezaje kuwa nyota? Ninakuwa
k tik oogle ili kupata
KUTAFUTA NENO:
“Kesi ya mtumiaji mjeuri”
Namikaribishwa wakati wowote kurudi kwa Mungu.
“Mtu huyu huwakaribisha wenye dhambi, tena hula nao.” Luka 15: 2b
Kuna wanafunzi walioenda kanisani mara moja tu, labda muda mrefu uliopita.Shauriana na mwalimu wako wa Biblia kwa mapendekezo fulani ya wanafunzi ikiwa huna habari yoyote. Waalike kurudi kanisani na uwe makini kuwafanya wahisi wamekaribishwa vizuri.
Hatimaye, mimi ni bingwa.
Kutafuta Neno:
#04
5
(Hadithi ya Biblia)
(siku) (mwezi) (mwaka) kesi
NGURUWE
CHAKULA
MPOTEVU
URITHI
KUTUMIA
MTUMISHI
NDUGU
SHEREHEKEAMWANAPETE BABA PESA
N G U R U W E N G U B
D U V E T O P M K R A
U R B T K U T U M I A
G I A E G S B A B A N
U T S P C H A K U L A
S H E R E H E K E A W
T I P I H S I M U T M
Buscar slop del cerdo en las imá-genes de Google
ydecidir si te gusta
comer.
Na sasa, wimbo wa kijani ... j
Angalia katika google kwa picha za kile
ambacho nguruwe hula na kuamua ikiwa
ungependa kula.
“Kesi ya mgeni katika mashamba”
Mungu anaweza kufanya kitu kizuri kutokana na hali yangu mbaya.
“Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.”Warumi 8:28
Aamua kuimarisha urafiki wako na mtu unayemjua. Unahitaji kuwasaidia ili kuwa upande wao katika mazingira magumu. Kwa mfano, unaweza kuwasaidia kusoma kwa ajili ya mtihani, kumaliza kazi haraka au kufanya mazoezi ya michezo (kushika mipira ya besiboli, mazoezi ya miguu ya soka, mipira ya vikapu amabyo mara nyingi inagonga neti, nk) Kama Ruthu tu, hata wakati wanasema, “Hapana, naweza kufanya hilo peke yangu,” kuwa katika upande wao na kuwa rafiki mzuri anayewasaidia.
#05
6
(Hadithi ya Biblia)
kesi(siku) (mwezi) (mwaka)
RUTHU MOABU ISRAELI ALIKUFABETHLEHEMUIMEREJESHWA ELIMELEKI UPENDO
WANA NAOMI ORPA
Skrini hii tupu sasa inawakilisha mawazo yangu.
Je, unaweza kupata njia kutoka Moabu hadi Bethlehemu?
Ungependa kuitembea?
Lazima nipate kutunza
nyoyo hizi.
E I I A R
L O S W U
I D R H B
M N A S EE E E E TL P L J HE U I E LK A M R E
I L O E H
W I A M E
A K N I M
R U T H U
M F U B P
A A A K I
B O R P A
M W A N A
“Kesi ya binamu maarufu”
Mungu ananihitaji niwe tofauti na watu mwingine.
“Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu.” Warumi 12: 2
Mungu anaweza kuhitaji uwe tofauti na wengine katika rika lako.Labda huruhusiwi kutazama filamu sawa kama marafiki wengine au kuangalia vipindi vya TV au kusikiliza muziki sawa, au kuvaa mavazi sawa. Kazi yako ni kuacha kunung’unika na kuwashukuru wazazi wako kwa kushauri kuwa tofauti. Labda unajua mtu ambaye wazazi wake wanataka awe tofauti, waheshimu kwa kuitikia kufuata maagizo ya wazazi wao na kuwaunga mkono wakati wengine wanawacheka kwa kuwa tofauti.
Kutafuta Neno:
#06
7
(Hadithi ya Biblia)
(siku) (mwezi) (mwaka) kesi
MAJIMAJIMTOMTOYESUYESUYUDEAYUDEA
ASALIASALINZIGENZIGEYORDANIYORDANIROHO ROHO
MTAKATIFUMTAKATIFUSAMEHESAMEHEUBATIZO UBATIZO DHAMBI DHAMBI YOHANAYOHANA
R Y O R D A N I M T Y
I U F I T A K A T M E
B D D J R E H E M A S
M E H A O G U B A T U
A A A M H I N Z I G O
H I M B O Z I T A B U
D Y O H A N A S A L I
Naweza kuruka vizuri kutoka hapa.
Je! Ungetaka
kuwa rafiki
Angalia katika Wikipedia mchakato wa kutengeneza nguo kutoka kwa manyoya ya ngamia.Kisha amua kama ungependa kuvaa nguo zilizotengenezwa hivyo.
“Kesi ya msafiri aliyechanganyikiwa”
Angalia katika Wikipedia kwa magari ya farasi ya vita na ya usafiri. Gundua ni aina gani inayoweza kutumiwa na zaidi ya mtu mmoja.
Nitatafuta fursa ya kuwaambia watu kuhusu Yesu.
“Vivyo hivyo nasi tukiwatumaini kwa upendo mwingi, tuliona furaha kuwapa, si Injili ya Mungu tu, bali na roho zetu pia” 1 Wathesalonike 2: 8a
Tumia kichochea kuanza majadiliano kuhusu Yesu na watu wa karibu.Baadhi ya vichochea maarufu (vianza) ni kucheza muziki wa Kikristo ili wengine wasikilize, kubeba Biblia, kuisoma katika maeneo ya umma, na kupeana maandishi inayotoa ushuhuda.
Chura huyu mdogo sasa ana nguo za kijani.
Kutafu-
ta Neno:
#07
8
(Hadithi ya Biblia)
kesi(siku) (mwezi) (mwaka)
MAJIMAJIGAZAGAZAISAYA ISAYA MALAIKA MALAIKA
YERUSALEMU YERUSALEMU
UBATIZO
KUHUBIRI KUHUBIRI
BARABARA BARABARA
BIBLIA BIBLIA
U M E L A S U R E Y
K U H U B I R I B I
A K I A L A M G A S
G B A R A B A R A
Z U B A T I Z O Y
I S Y I J A M A
U B A I L B I B
Sasa jicho langu
linaonekana vizuri.
o:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
“Kesi ya mzazi anayeasi”
Mungu ana mpango juu yangu.
“Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.” Yeremia 29:11
Uliza watu katika familia yako wanachodhani ni hatima yao ya baadaye. Chukua mapendekezo haya kwa Mungu kwa njia ya maombi na kumwuliza ikiwa anakubali au ana mipango tofauti kwako.
#08
9
(Hadithi ya Biblia)
(siku) (mwezi) (mwaka) kesi
MUSA MUSA NILE NILE MTOMTOMAMABINTIALIZALIWAKIMYAFARAO
DADA DADA FICHWAFICHWAKIKAPU KIKAPU MIRIAMU MIRIAMU UFUKWEUFUKWEMFALMEMFALME
K Z M M I T N I BI W U F U K U M F
K U S A M A M T IA F A R A O A O CP U D A D A I N HU K I M Y A R I WA W I L A Z I L AB E M L A F M E Z
Tatu za juu!
BINBINALALKIMKIMFARFAR
Ole, pikipiki yangu
hairuki juu.
Pata kujua jinsi mto wa Nile unavyokaa kwa sasa? Fikiria kuhusu mtoto katika kikapu ukingoni.
“Kesi ya umati ambao haukukanyagana”
Nitashukuru kwa kile ambacho Mungu amenijalia.
“Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake; Wajulisheni watu matendo yake.” 1 Mambo ya Nyakati 16:8
Inamisha kichwa chako kabla ya kula (hata ukiwa shuleni au mgahawani) na kumshukuru Mungu, “shukrani kwa kunipa hii.”
#09
Angalia! Nipo hapa!
10
(Hadithi ya Biblia)
kesi(siku) (mwezi) (mwaka)
ANDREAANDREAYESU YESU TANO TANO SAMAKISAMAKIVIKAPUVIKAPU
KUMI NA KUMI NA
MBILI MBILI KAMBI KAMBI WATUWATUKIKUNDIKIKUNDI
NUNUA NUNUA KAA CHINIKAA CHINI
MKATE MKATE CHAKULA CHAKULA
Kutafuta Neno:
Tafuta Bahari ya Galilaya na kugundua
umbali walivyotembea watu.
Tamuu. Juisi ya wadudu.
M K U S E Y S M A
A E T A K M W A N
M K A A C H I N I
A I W K H I K D M
I K A M A S A R U
L U B K K M A E K
I N U N U A B A T
B D W K L C H I A
M I U P A K I V N
B I B L I A M K O
“Kesi ya watumishi wa Mfalme wasiotii ”
Tafuta tanuri ili kujua kile tunachotumia kwa sasa kwa ajili ya kutengeneza chuma
na kuyeyusha kioo, nk. Je! Ungependa kufanya kazi karibu na moja?
Hata nikishawishiwa kufanya kitu kibaya, sitakubali.
“Mwanangu, wenye dhambi wakikushawishi, Wewe usikubali..” Mithali 1:10
Usishawishiwe kudanganya au kuangalia majibu wakati wa mtihani.Iwapo rafiki anataka umsaidie na majibu, sema “hapana.” Unapokuwa katika duka na hakuna anayeangalia, usiibe kitu
#10
11
(Hadithi ya Biblia)
(siku) (mwezi) (mwaka) kesi
Kutafuta Neno:
Gazeti hili halinitaji.
Neno:
Kunaendelea vipi?
T I K A H S E M U Z I SI D U T D H A H A B U IR M B E S A N A M U N KU U A B E D N E G O E IN Z B M P R D H L O N LA I I U I A B I K I D IT K Z R G K B S H D A ZP I G A M A G O T I B AS I K T B U D U B A U K
DHAHABU SANAMUMUZIKI TANURI
TARUMBETA PIGA MAGOTISIKILIZA BABILONI SHADRAKA
MESHAKI ABEDNEGOKUABUDU
“Kesi ya kutoroka gerezani”
Ninaposhutumiwa kufanya kitu ambacho sikufanya Mungu ana baraka maalum kwa ajili yangu.
“Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu.” Mathayo 5:11
Kuwa na uwazi na kuzungumzia kuhusu wokovu wako, ya kwamba wewe ni Mkristo halisi.Watu wanapokutukana, na kukucheka, usijilipishie. Badala yake, nyamaza na uombe Mungu akuonyeshe njia tofauti ambazo umebarikiwa.
#11
12
(Hadithi ya Biblia)
kesi(siku) (mwezi) (mwaka)
Sihitaji kutatua hili. Mimi ni chura
mdogo tu!
Hii ni chumba cha gereza cha Paulo na Sila.
Tafuta picha katika Google
ili kupata picha zingine.
Masanduku mawili ya wadudu
kutoka eBay!
F A G J P U M O N O K I M
S I L A Z U L H K G U K O
W A U I L G I J I E T E K
P L U L M I N Y O R O R O
O S M I G M Z P B E R E B
W A A M I N I F U Z O Z I
A W A A M I A K A K
F H M A J E R A H A
PAULO PAULO SILA SILA MIGUU MIGUU MIKONO MIKONO
FAMILIA FAMILIA GEREZAGEREZAMLINZI MLINZI KIBOKO KIBOKO
MINYORORO MINYORORO
MAJERAHA MAJERAHA WAAMINIFU WAAMINIFU
KUTOROKA KUTOROKA
“Kesi ya uamuzi wa kutumia fedha ovyo”
Nitakapokiri dhambi zangu, Yesu atanisamehe.
“Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.” 1 Yohana 1:9
Cheza katika uchafu, angalia mikono yako, waza kwamba unachokiona katika uchafu ni dhambi kwako. Sasa safisha mikono yako, na kuwaza kwamba kutubu kwa Yesu kile ulichofanya kibaya leo ni kama kuoshwa na kuwa safi. Omba na kumwambia kuwa unasikitika kwa yale uliyoyafanya ambayo hayajampendeza, ukiamini ni Yeye tu anaweza kukuosha ndani jinsi ulivyoosha mikono yako michafu.
#12
13
(Hadithi ya Biblia)
(siku) (mwezi) (mwaka) kesi
Kutafuta Neno: YESUYESUSIMONISIMONIMWANAMKEMWANAMKEKULIAKULIAPOLEPOLEIMEOSHWAIMEOSHWAMACHOZI MACHOZI ASANTEASANTEALITEMBEAALITEMBEAKRISTO KRISTO MIKONOMIKONOMIGUUMIGUU
Tatizo: hakuna friji. o: hakuna friji.
Tafuta katika Google kwa manukato ya gharama ya juu ambayo yanaweza kulipa mshahara wa mwaka kwa sasa. Oooh
dooby-Oo
doo
Picha za mafuta ya nardo kama yale Maria angeweza kutumia.
M M A B Y P L A MA W H S O E M I IC A K L A Z S L GH N E O E N O U UO A M T B B T K UZ M W S M I P E YI K A I E NZ E N R T OO N O K I MM G U U L IY E S O A S
“Kesi: Je, ilikuwa dawa, homoni, au steroidi?”
Mungu amenipa vipawa ili kuvitumia kutimiza mpango Wake.
“Lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yeye yule, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo yeye. 1 Wakorintho 12:11
Patia mtu katika familia zawadi itakayomsaidia kufanya kazi yake. Mfano: kijiko cha kugawa kwa mama, mmea kwa mababu wako, glavu kwa baba, penseli nzuri kwa kaka au dada yako. Fikiria jinsi Mungu amekupa yote unayohitaji kutimiza mpango Wake kwako.
#13
14
(Hadithi ya Biblia)
kesi(siku) (mwezi) (mwaka)
Kutafuta Neno:
SAMSONISAMSONIDELILA DELILA KIONGOZIKIONGOZINYWELENYWELE
KATAKATAGAZA GAZA MLANGOMLANGOMJIMJI
ISRAELIISRAELIWAFILISTIWAFILISTIMWENYE NGUVU MWENYE NGUVU
Bado nadhani kuruka ni
rahisi kuliko kukimbia.
Hii ni rahisi kuliko kuruka. uka.
Tafuta katika Wikipedia: “Wafilisti” ili kupata sehemu walimoishi na kugundua ni nani aliyekuwa adui wake hatari zaidi.
D E L I K U R U E K I A J
A I F M W A F I L I S T I
L N G U L V T Z E W R N Y
I N O S M A S A W S A M O
L K U V U G N E Y N E W M
E A L J A Z A G N V L J W
D E T K I O N G O Z I G A
W A L I M O I S H I W O F
Medium 2 CBI Swahili
[email protected] are located in Mexico.00-52-592-924-9041
Bora zaidi kwa lishe ya kila siku
UpendoNjiaMungu ya
Mungu wa
mkubwa
“Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi, Kwa maana nimekutumaini Wewe.
Unijulishe njia nitakayoiendea,
Kwa maana nakuinulia nafsi yangu.”Zaburi143:8