hatutakiwi

2
Kolonia Santita Laana Ya Panthera Tigrisi By: Enock Maregesi Published on: 9/17/2012 9:19 AM Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama za utandawazi. Sina lazima ya kutoka nje kufanya utafiti wa kazi zangu siku hizi. Nje ninayo hapa ndani!

Upload: enock-maregesi

Post on 19-Jan-2016

41 views

Category:

Documents


7 download

DESCRIPTION

Falsafa ya Hatutakiwi ilihamasishwa na Radia Hosni Ja'far-Saadiq Moustafa El Hadrioui – mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Tunisia! Falsafa hii inapatikana katika ukurasa wa 345 wa Kolonia Santita.Falsafa ya Hatutakiwi ni jibu kwa wale wote waliouliza kama Enock Maregesi aliwahi kufika Tunisia, Meksiko, Urusi, Uingereza, Denmaki – na nchi zote zilizotumika katika kitabu cha Kolonia Santita.

TRANSCRIPT

Page 1: Hatutakiwi

Kolonia SantitaLaana Ya Panthera Tigrisi

By: Enock MaregesiPublished on: 9/17/2012 9:19 AM

◙ Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama za utandawazi. Sina lazima ya kutoka nje kufanya utafiti wa kazi zangu siku hizi. Nje ninayo hapa ndani!

Page 2: Hatutakiwi