10 - shujaaz.fm - chapta 10

29
CHAPTA 10 NOT FOR SALE

Upload: well-told-story

Post on 29-Mar-2016

372 views

Category:

Documents


1 download

DESCRIPTION

Chapta 10 - Full Comic

TRANSCRIPT

Page 1: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

CHAPTA 10NOT FOR SALE

Page 2: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

unaweza dhani kila msee a

naishi life ya kawaida. Lakini si hivyo...

Hapa Kenya, nchii ya w

atu wanakaribia 38 million,

Hapo kwa shule zenu, kwa m

asham

ba, kwa m

asoko, na ma-hao, kuna watu special

Wanaitwa SH

UJA

AZ

. Kw

a hii comic, unaweza cheki stori zao.

Labd

a uta-discover

kuw

a wew

e ni mm

oja wa hawa

SH

UJA

AZ!

Ili ku-help ma-youth wa-improve lives zao, Boyie, ambaye hu-spend life yake akiunda ma-electronics, alijenga a pirate radio station - Shujaaz.FM. Akijiita DJ B, anaendelea ku-empower vijanaa huku anajificha from Chief na ma-gangs. 3

Page 3: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

KUJENI NYOTE MFANYIWE HIV TESTING NEXT WEEK KWA CLINIC YETU JUU TUTAKUWA NA OPEN DAY.

TUKO TAYARI, TUNA-ENCOURAGE WASEE WAKUJE MAPEMA ILI WAONE TUTASHINDA MATCH MAPEMA NA TWENDE HOME MAPEMA.

MNAFANYA HII TALENT SHOW MARA NGAPI?

KUMBE...

kumbe wanajenga

hapa...

Equipment ya Boyie ililipuka! Shujaaz.FM ime-die?

...Mara hiyo hiyo, chief akamua kuanzisha TV station yake...

...Scarface na ma-gangs wakagundua, na ni kama wana mpango wao....

hapo awali...

share risto yako!

4

Page 4: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

WAAAAAAAA!

EQUIPMENT YETU IMESANYWA!

TUTAAMBIA CHIEF NINI?

ATI NINI!? NI WALE MA-GANGS WASHENZI

WAMEFANYA HIKI KITENDO! NAJUA! WATAKIONA, SITAWA-SPARE!!!

5

Page 5: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

CHIEF NI LOSER...

HIYO WIRE SI YA HAPO! FALA HII! WEE NYAMAZA! NAJUA KILE

NINAFANYA! SI HII SHIMO NI YA ROUND?

wacha mchezo! uta-blow fuse!

SOON TUKIANZISHA HII TV STATION, TUTAKUWA FAMOUS DUNIA NZIMA!

SEMENI KING SCAR-FACE!

KING SCAR-FACE

MFALME!!

KING SCAR-FACE

MFALME!!

6

Page 6: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

MAZE NIKO-DISCOURAGED! TUMEPATA HIZI EVENTS zote lakini HAKUNA TV STATION YA KUZI-PLAY.

haidhuru, HATA HIYOEQUIPMENT HAINGE WORK, ni YA kitambo!

si tunaweza post videos kwa website?

NDIO MSEE! INTERNET NDIO THE FUTURE!

HIYO NI IDEA POA!

EEE! HATA SI NGUMU KU- upload!

NA NDIO NJIA BEST YA KUJULISHA KIJIJI KILE KINA- FANYIKA HUKU!

hiyo idea iko juu. nitajulisha beshte ya mine, itambamba!

7

Page 7: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

ka-pussy, nikipata hawa wakora wanajiita ma-gangs! ee?

watajuta siku ile waliniona mara ya kwanza!!

woooi!!

nimerudi na shujaaz.fm ni stronger na even better! niko na website ya kiajabu! icheki www.shujaaz.fm!

tap

semeni, ni king scar-face...

malaika nakupenda, malaika...

tuko gangare kuruka!niaje ma-fans? hii ni shujaaz.fm, ikiletwa na the one and only dj b!

malaika nakupenda...krrrkk...

nyamaza! ni siku gani nitakaa na amani?

aah...pengine tv ina mazuri.

8

Page 8: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

DJ B: Nini kilikufanya u-decide ku-join KNN?

Steve: Nilikuwa nikitaka ku-portray ile side positive ya mtaa ile hizi media zingine hazifanyangi.

DJ B: Ni stories gani zimekubamba zaidi ku-do?

Steve: Ile story poa nili-do ni about HIV/AIDS. Unajua watu wengi wako positive na wanaogopa ku-come out na wabonge juu ya hali yao.

DJ B: Ukifanya hii jobo ni part gani unapenda kufanya?

Steve: Mi hubambika niki-edit story na kuona ime-postiwa kwa You tube na wasee wamei-watch.

DJ B: Asante Steve!

Umewahi watch TV na ku-wish ungekuwa news reader? Sasa unaweza!

haiya! woooi!!

ati tunasemaa? toa pesa...

hizi fuse zina nuks!

si nilikuambia usicheze na wire?

kwa

bw a m!a

Nilibonga na Steve, member wa KNN, na ali-share hizi experiences...

KNN ina youth members 20 kama Steve wenye wana-record storos interesting wakitumia ‘flip cameras’. Then wana-download hizo storo kwa www.youtube.com ili stories zionekane kwa internet na wanakijiji.

Wanakijiji hu-encourage-iwa kutumia KNN SMS juu ya vitu zinafanyika Kibera.

Anzisha kitu kama hii kwa area yenyu na kuwa citizen journalist kisha unitumie story yako. Nitaiweka kwa website yangu www.shujaaz.fm then sote tunaweza kuwa ma journalists. Hapo vipi?!

Steve, Collins na Jacob

.knn

kibera news network

Kibera News Network

9

Page 9: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

si story za sembe tu

10

Page 10: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

achenikupigana!

leo utakipata!

nishakula!maji yakimwagika hayazoleki!

nini kina-happen?

nilikuwa na maziwa kwa bag yangu na ni huyu ameiiba.

sikuiba, imagine nilikuwa naskia njaa.

hatukula supper jana.

kwetu hatuna dooh mob na tuko wengi. food huwaga kitu light kama sukuma na supu mob. si story za sembe tu. yaani ni food ya kudanganya tumbo, leo niliamka nikiskia njaa , supper ilikuwa supu ya beans.

11

Page 11: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

12

Page 12: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

karibu, ni poa mme-come! niko na

karibu lunch! nimewapikia chapati imepikwa na butter, pilau na nyama mob. mtakunywa maziwa kama drink. tudishi wasee!

maziwa huwa na proteins, vitamins na iron.

ding! d

ng!

ding! do

ng!

surprise!

13

Page 13: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

hii food ni poa lakini siwezi i-afford.

ulikuwa ukisema? meza food tuone nani anaweza mwengine!

sema kile unataka kusema juu mimi ni m-thin, lakini si kupenda kwangu.

ooh, hutaki kula na unataka vita?

aaai, wasee, acheni kupigana! ni kweli hii food ni expensive, lakini si lazima ukule hivi. unahitaji maziwa na nyama kidogo tu kila siku ili kupata nutrients unahitaji kujenga mwili.

chap!

munch! chap!

boof!

Kwanza, uliniibia maziwa, na saa hizi unajifanya hautaki

kula?

14

Page 14: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

shika hii kuku. itakupatia mayai ya kula. then utaweza kupata chicks zingine.

asante malkia!

woooi!

na kakuku kameku-like!

chakula imeenda wapi? ilikuwa ya uncle yako! usijali...

uncle yanguni m-fat, ha-need kukula zaidi!

Bwaar !!

a kpo

op!

KULA CHAKULA KUTOKA KWA MIFUGO...Unakuwanga m-sick kila time? Basi labda ni poa

u-change diet yako! Food yenye inatoka kwa animals kama mayai, nyama na fish, zinaweza kuku-help kupona kama wewe ni m-sick, na pia

kukupatia nguvu.

Benefits za kufuga kuku: Ni rahisi kuchunga, na ni cheap kulisha. Kuku

hutaga mayai yenye unaweza kula ama kuuza. Na dooh zenye uta-get

kwa kuuza mayai, unaweza ku-buy nayo nyama na maziwa!

Pia unaweza fuga sungura ama mbuzi.

KAA RADA NA HEALTH YAKO!Wasee wasipokula animal products za kutosha, wanaweza kuwa wa-sick sana. Products za animals zina ma-vitamins na ma-minerals zenye zitakupe nguvu na afya poa.

Usi-worry ati ni expensive. Ukifuga wanyama home, una-get food virahisi, kwanza hapo tu kwako!

Mayai ni poa kwa eyesight na hukinga msee na heart attacks.

Nyama itakupatia nguvu.

Maziwa ina-strengthen mifupa na meno, na skin yako pia itakuwa poa. Itaku-help kujikinga na ma-sickness mob.

Ukikula poa, hauta-need kuenda kwa doki kila time,so uta-save dooh!

* Si lazima ukule animal products kila time. Ukizipata mara chache tu kwa wiki, uta-cheki difference! 15

Page 15: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

Tips Juu Ya Ku-Deal Na Authority

Mimi hu-print tisho na kuuzia wasee gheto! Hii talent ilianza nikiwa mtoi. I used 2 print ma tyshoz using biro ink but I thank God now niko poa! Of late na-work in hand na beshte yangu 4rm Nai ambaye namtumia hizo tysho den anauza kwa chuo yao! So wid dat nimeweza kufungua bank account yangu na I have saved more dan 10k n am waiting nimade chuo so dat i can fully commit ma self na ma talent!Dave Kangusty.

talents

Me nilipoenda kuregister ID niliishia peke yangu. Huyo msee wa registrar alikuwa ananiuliza maswali lakini alipo-ona nina confidence akanishughulikia mara pap! Ahmed Mohammed Abdallah

Vile unaweza fanya ni kujua rights zako. Dont beg coz they’l take advantage of u. Definitely don’t bribe, kuwa firm but respect pia is important. Rachie Prity Prittie

If u want to speak to someone in authority, 1st u have 2 b very keen on wat u want 2 talk about. If u have 2 go thru other rep. b4 being directed don’t tell dem all the facts just be brief n to d point then be patient. When ur wid the person present your issues point by point giving room 4 discussion. Mind your language, kuwa courteous n manner counts a lot. I think even the person will hear n understand u n may help u. That’s my opinion. Monique Sherylin

Niaje, DJ B! Mimi ni stude KU, nina bizna ya kushona viatu kampo na mi huget poke kutoka kwa hii bizna. From Marx.

Ka una talent ya kusing unaeza kuparticipate kwa ma-concert na compe za muzik na uget

doh kama mimi.Steve Okach.Thogotto locition.

15 yearz.

Wow! DJ B I wish kungekuwa na Shujaaz TV. I like playing drum sets. Many pupils in Gilgil DEB like calling me DJ-C. So know u have your partner. Cylus.M.Njoroge, Gilgil. I love Shujaaz.fm.

Big up kwa ma-fans wote wa Sh comic. Tumeendelea sababu ya kupata en

messages kutoka congrats kwa wal

kwa messages mmeshinda t-s

Check out ma-fans using their talents

in many ways...

16

Page 16: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

latf

ideas za ku-make dooh

healthy seed

Tunafaa first ku-understand purpose ya hii trust fund ndio hizi doo ziki miss-appropriatiwa tuweze kujua na tu-find which is the best course of action to take. We can also come up with our own projects to ensure pesa hai lay idle kwa hizo trust funds. Christopher Mwai

Niaje DJ B. Nina idea ya kumake chap take ile waste ya makaa ile vumbi mix na red soil hazin mould the mixture into sizeable balls n live them to dry in th e sun atlist 1wk then sell them. They burn 4a longer time hii ni plan b ya charcoal ni Sam from Utawalaa.

DJB this season ni hot sana maze. Watu mob hawaja plant seeds zao, nimevumbuwa siri ya healthy seeds ku-soak-iwa kwa maji before zipandwe, nimeshow wa kulima na wamefata instractions, maze mimea kwa sasa zina grow vizuri sana, maze tuko happy kwa hiyo. Oduor Butula.

Maze hio risto ya seeds ime-help sana.shosho yangu ju aliziwekaga ovyoovyo.but tumepata solution. Thanks DJB (gtg)

a hujaaz.FM

a ku-grow couraging

kwenyu. liopata

zao, sho!

Endelea kunitumia ideas poa poa kama hizi juu ya Shujaaz kwa kuni-SMS on 3008,

Facebook: DJ Boyie fan page. Tuendelee kujijenga

sisi vijanaa ili tujenge Kenya yetu!

shujaa of the month!

Hi DJ B! Wazee mnani-inspire vinoma. Baada yakua na water-shortage huku Kisumu ndogo nilijolea kutafuta maji na kuuzia raia kweli nilimake dooh. Ndunda from Malindi.

This is my 2nd time kuchop shujaaz mag. Kimenitowa kwa state of idleness na sasa nimeanza kusave little cash ili ni start bizna tuki-end semester. Big up. Niko nanyinyi na blood yangu ina-taste Shujaaz. Ben. Kisii.

“I attended a LATF meeting 4 our ward and had the opportunity 2 ask the council some

questions. This waz afta reading the Shujaaz comic. I’m proud of what I did coz I had a say in development matters in ma locality. It’s time we held our leaders accountable. There waz a certain project that had stalled mid-way. It waz a social hall n they explained that it

waz goin 2 be finished by March. That’s why I’ll make sure I will attend any development meeting in the area n take ma yuts coz it’s

part of being a responsible citizen.”

Kila mwezi, nitapatia mmoja wenyu ma-fans award ya

Shujaa of the month! Ili kupata hii award, unahitaji kuwa umefanya

kitu unique.

ABDUL VIDUKER 18 years old,

from athi river

17

Page 17: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

Cooker yenu ni mzee inatumiwa na national museum kuonyesha

evolution!

Wewe ni fala hadi ukinunua smokie

unaenda kukulia kwa smoking zone!

Nyinyi ni wa-weird design, nyi hupika chapo

na Robb ndio zikue chapo menthol! Buda wako ni

mnono, siku za wedo wana borrow shati yake

watumie kama tent!

Una kichwa ndogo, ukisoma gazeti watu

wanadhani ni fullstop!Gari yenu ni

mzee hadi imemea kitungu kwa stering!

Gari yenyu ni mzee ukipiga start inatoa

kikohozi!

mungorio (n) Mobile phone.eg: Mongori ya yuas ina ringtones smatta!

nudhu (n) Nusu mkate.mbwekiko (n) Suit.

eg: Naona umeng’ara bwakiko brandy! Waenda harusi nini?

ololo (n) Kaloleni.eg: Anti wa mine anatulia Ololo

pax (v) Pause/relax.eg: Hebu pax hiyo ngoma ni-chat na Mdhamas

third mobile operator (n) Mobile thief.eg: Huyo mgedes ni third mobile operator.

paisha (v) Drive.eg: Budaz hupaisha mat ya Kaloleni.

murenga (n) Car.eg: Neighbour ame-buy murenga ya yellow.

cold case (n) Cold food.eg: Manze mi sipendi cold case. Itanipatia minyoo.

Sheng Dictionary mchongoano

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512 www.wts.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

Content producers: Audrey Wabwire, Purity Mumbi Content: Paul Peter Kades, Bridget Deacon, Charles Ouda, David Ouma Art Producer: Fatima Aly Jaffer Layout Design: Joe Barasa Art: Daniel Muli, Eric Muthoga, Kevin Mmbasu, Movin Were, Salim Busuru, Joe Barasa Radio team: Audrey Wabwire and Eunice Maina Special thanks to Sodnet and Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio Well Told Story © 2010 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information

contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

Kumbuka SMS ni 3008 na

Facebook fan page ni DJ Boyie! Pia niambie Jina, age na kwenye

unatoka

18

Page 18: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

Sasa Musa, karibu!

ahsante, lakini hata

sikai...

Mtoto wangu ameambiwa asirudi

shule kama hajalipa pta fees...

Musa, si uambie MP atusaidie na hii

maneno ya fees?

aii!! mp huwezi kumwona tu hivihivi... ana

security kali!

Si wewe ni wa kabila

yake?

acha nitajaribu kumwambia,

asante.

unaweza nisaidia?Ukini-lend dooh

kidogo, nitairudisha nikipata.

Pole Musa, unajua sikuwagi na

dooh mob. Umemuliza Kaunda? Maybe

anaweza kuku-loan.

kwa kaunda...

huyu dem wa mtaa ni orphan anaye-raise bro

wake, na huku anang’ang’ana na chuo.

Ana-face challenges mob sana, Lakini hakubali

anything kumzuia kuzima corruption. mafala pekee

ndio hu-try kum-challenge.

only the brave hujaribu kum-ask out!

uta-do?

19

Page 19: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

Yaani 3 hours zimepita na bado tuko kwa line!

Wooi, githeri yangu itaungua nikiendelea

kuwa hapa!

Mhemishiwa ako-busy kwa

mkutano. Ngojeni atawaona akimaliza.

Okay, hebu niende kidogo.

Niambie tukipata-score ingine!

Okay, Daddy!

Gooooaaal!

Daddy, tumeshinda!!

20

Page 20: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

Ahem…Hamjambo wananchi! Ehe, shida yako ni gani, ndugu?

Mtoto wangu hajapata bursary!

Nitaiangalia.

Hello. Eh? Kweli! Oh!

Aaaa… Nakuja!

Tumeingisha ingine?

Ndio na tumeshinda!

Excuse me, Mheshimiwa. Ni

hii karatasi…

Iko sawa. Print and distribute.

Poleni tena, lakini mkutano umeanza.

Kujeni mwezi ujao na

nitawahudumia nyote.

ala!

21

Page 21: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

Pole hukuona MP, Musa. Shika 5 sok. Najua utanirudishia,

najali kijana yako na masomo yake.

Asante Kaunda. Kweli wewe ni

beshte m-real.

Thanks for tip yako, Kaunda

alinisaidia sana.

Maria Kim!

Haya, tuonane baadaye…

22

Page 22: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

cheki... Ili wekwa chini ya mlango

wangu...

Nonsense!

Hakuna mtu ataskia hu ufala! Tusha-learn lesson ya ukabila the

hard way.

Kweli na-hope

tume-learn!

23

Page 23: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

Zawadi ni yako!Kweli wewe ni

beshte m-real.

Manze, M

usa lazim

a

a-make

decision hardest.

Ana-

need sana do

h za ku-su

pport

family y

ake. Sa

sa, aku

bali kulipw

a

na MP ndio afu

kuze w

asee w

a

kablia d

ifferent?

Ama, akata

e

hizo doh za

MP na achunge

beste yake

?

Musa hajui a-choose side gani, ya urafiki na Kaunda au ya ukabila na MP wake. Je, wewe unge chagua kufanya?

Cheki ma-ad

vice

wasee w

amempatia kw

a

Fan Pag

e ya DJ

Boyie ya

Facebook…

Thanks sana m

a-youth

s kwa

advice yenu po

a. Musa a

tabambika

kujua

mnam-suppo

rt. Ukich

eki MP am

a leade

r

yeyote aki-b

ehave kwa nj

ia haiku

baliki,

m-report kwa ka

cc -

Kenya Anti-Corruption Commission

Helen Teresia M. Musa! First your MP did not meet

u to assist u when u needed him most. But Kaunda

was there for you. He lent you money to pay for

ur fees. Kaunda is a true friend. Keep him – don’t

harm him. Tell ur MP off, u r 4 peace. Also record a

statement with the police station near you. Musa,

remember we are all one family despite it all.

Mary O. Ethnicity sio poa. It all starts with u and

me 4 any change 2 occur. Origin,authority and

destiny- strong words with some sense. Origin-

urbackground doesn’t matter. Authority - u’ve

the power 2 change whateveryour hurdle is.

Destiny- it can b different if u take a risk. E.g the

referendumwas an ideal example.

Alex Nicks N. Ma hood iz Kiambu n i will tell Musa

that tribalism ilipitwa na wakati. We are all

Kenyans. We r one people irrespective of our

ethinic backgrounds. Musa! Pls don fight. Just

report yr MP to the relevant authority!! Mavijana

ukabila tumesare!

Kalary Dymian N. Musa - you r in a dilemma but

u r not at fault. Your MP is misleading u bcoz he

is supposed to set a gud example. Kaunda is an

example of a caring Kenyan. He did not consider ur

tribe when he helped u. Ur MP is one of the people

hu is thea to b seen n not to act. Report this matter

to the authorities.

Jesse M. What you have there aint a leader. He is

someone who should be visiting court rooms. What

does he help you with even if he is of your tribe?

NOTHING – he just creates enmity btwn you and

people who help you. You are a better thinkers than

him to follow his stupid advise.

Beatrice G. Musa remember dat we have only 2

tribes in Kenya 1. Rich. 2. Poor. Why hurt ur fellow

Kenyan who is of d same tribe as u?

Helen Teresia M. Nikiongezea kidogo, pia kupigia

police simu kiplani. Ndio wa save watu on time.

Nipoa kua na number za simu za police station /

Chief’s office near u.

Timothy Timo M. Weh 2na nja ya ma big fish wa

post election alafu huyu MP analeta mouth ya hate

speech. Weh, Musa huyu mse apelekwe mbele mara

pap na nyinyi majaji mkiletewa mse ka huya akuna

ati kesi kuahirishwa kama kuna stong evidence

omito mara pap.

KACC Hotlines: 020 2717468,

0727-285663, 0733-520641

email: [email protected]

24

Page 24: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

...seed poa... ...seed

poa...

...seed poa...

...seed poa...

...seed mbaya...

...seed mbaya...

...seed mbaya...

...seed mbaya...

hii kazi inachosha!

Phew!

na hao vijana wangu wako wapi nikihitaji

usaidizi?

Daddy! mambo?!?

uta-plant gani na tutakula gani???

una-sort seeds???

hii ni pile ya seed poa???

unafanya???

na ile ni pile ya seed

mbaya???

Mgeni wa ajabu

25

Page 25: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

eh?

siwezi waste seed poa shambani! Hizo ndizo

tunakula!

nitapanda hizo seed

mbaya shambani...

kweli seed mbaya kama hizi zinaweza kumea kitu

safi?

sauti hiyo inatoka huku...

26

Page 26: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

tunaikula lini?

charlie pele! umetokezea

wapi?!?! hii siikuli!mahindi hii hapa ndiyo naitumia shambani!

tangu zamani sana, imekuwa muhimu

kutumia mimea nzuri ku-plant tena, ili

mimea zako shambani ziendelee vyema.

wacha niifunike isiguzwe na ma-hawks. naenda ku-harvest sorghum

kutoka sehemu nyingine ya shamba.

nilikuambiaje? hawa majirani

hawaelewi mambo...

nadhani kuna mwizi shambani!

LO!

27

Page 27: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

ndiyo huyo...

oho! nimemmulika

mwizi!

ahm... ahem... pole kwa kukuamsha... urm... unajua, mahindi yako

ni nzuuuuuri sana, ehm...

nilikuwa nimekuja

kui-admire tu! iko smartest!

iko juu tu sana....

si tuisherekee pamoja, labda kamA "midnight

snack"???

lakini niliwaambia, siikuli! naipanda

shambani!

wajinga tu ndio hupanda seed

mzuri badala ya kuila! sawa basi!

kaa nayo!

aki wewe!

28

Page 28: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

charlie huyo ni wewe?

nilikuambia nini juu ya kurukaruka

usiku?

fafa!

pole kwa kukushtua!

sema!

...lakini nimekuja kukuonya.

...vile unavyochagua mbegu zako za

kutumia shambani...

...unavyolea mtoto ndivyo

anavyoendelea maishani. na

shamba yako si tofauti.

unajua...

ukichagua sorghum mbaya ya

kupanda, kila generation itaendelea na shida

iliyotangulia.

nimeona generations nyingi

za wakulima ambapo watu

hawaelewi umuhimu wa kuganga

yajayo.

29

Page 29: 10 - Shujaaz.FM - Chapta 10

ona shamba yako...

...na ya jirani

wako...

...kumbuka yote niliyokwambia...

zake zitakaa miaka mingi...

...ili watoto wako wasife njaa...

JANA ALiKUWA ANAPANGA KU-PLANT SEED MBAYA LAKiNi LEO AMECHUKUA SEEDS POA

YA UJi NA KUZiPANDA SHAMBANi...

Chagua mbegu poa utapata mavuno poa!Ulijua unaweza pata seed kutoka kwa mmea? Ni poa! Chagua

mimea few iliyo-healthy kwa shamba itakayokupatia seeds za kupanda

next season!

Mark mimea utakayotumia kupata mbegu za kupanda kwa kufunga cloth kidogo kwa stem. Hii itakusaidia kujua hiyo plant ni ya ku-produce mbegu na itavunwa separate na mimea ingine.

Ngojea plant yako itoe maua na pods au mbegu. Hii itakuwa possible kama area ni ya baridi especially kwa sukuma wiki. Seeds zako zitakuwa za quality poa kama hutazi-harvest leaves au part yeyote kabla ya wakati wa kuvuna. Funika seeds za mimea uliyochagua na gunia ili seeds zizikuliwe na ndege.

Vuna mimea uliyo-select ili upate seeds za kupanda kama iko tayari.

Safisha mbegu kwa kutoa dust, mabaki ya mimea na vitu vingine, kisha ukaushe na ku-grade mbegu kabla ya kuzi-store.

Kabla ya ku-store mbegu, i-test kama ita-germinate kwa kuweka seeds chache kwa cotton wool safi iliyo na maji. Ziki-germinate, jua seeds zako ziko poa za kupanda.

Toa seeds zile: zimeoza zime-change rangi zilizo diseased. zilizovunjika za aina tofauti na

mbegu zingine.

Chagua seeds zile: za size moja hazijaharibiwa na

VarietyChagua variety ya seeds zilizo marketable na

zilizo resistant kwa diseases na wadudu.

Unaona? Ni rahisi sana! Jaribu na kisha u-share na DJ B matokeo

kwa kutumia sms on 3008 au kwa facebook fanpage ya DJ Boyie ili

tuwe ngangare kama vijana!

insects kwa shamba. with thanks to CABI for their help & advice.30