06 - shujaaz.fm - chapta 6

28
CHAPTA 6 INSPIRING KENYAN YOUTH NOT FOR SALE

Upload: well-told-story

Post on 10-Mar-2016

380 views

Category:

Documents


1 download

DESCRIPTION

Chapta 6 - Full Comic

TRANSCRIPT

Page 1: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

CHAPTA 6

INSPIRING KENYAN YOUTH

NOT FOR SALE

Page 2: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

item 3b ni redio ilio na fm, a.m. frequency, naniatainunua kwa mia mbili? chief ameipata kwa mara ya kwanza, ya pili na ya tatu!

...liiii... ...liii..

habari mama, una shida gani?

vitu zangu ndizo zinauzwa kwa auction!

BOYIE

sob

sob

sob

sob

BOYIE aweka chiefkwa noma

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

page 1.pdf 1 7/13/10 12:44 PM

3

Page 3: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

mambo yaliharibika baada ya mume wangu kufariki.Watu walinitumia SMS wakiniambia nihame sababu mimi si mwenyeji

“mume wangu alikuwa na deni kubwa...

“AUCTIONEERS WALICHUKUA VITU VYA NYUMBA

“niliuliza chief usaidizi na akakataana kusema hasaidii watu wa kabila yetu...

NA KUTUHAMISHA KWA SHAMBA YETU...

“NILIPOKUWA MSICHANA NILIKUWA NATAKAKUWA NA SALON. LAKINI SINA MBELE WALA NYUMA. SINA PESA ZA KUJIENDELEZA...”

USIJALI MAMA NITAAMBIA RAFIKI YANGU ALIYE NA KIPINDI YA KUENDELEZA VIJANA KWA REDIO

Siskii kama niko safe hapa na ni lazima nihame

yaani shujaaz fm NA ATAWEZA KUKUSAIDIA.

4

Page 4: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

hii ni shujaaz fm na kijana wenu djb! niaje mafans? nimepata sms kutoka kwa rafiki yangu ambaye mali yake yote iliuzwa na auctioneers!!! amepoteza mali yake yote!

Ni responsibility yetu kama community kusaidiana hata kama ni watu wa community ingine

big-ups kwa mafans wanaonitumia ideas poa za kujiendeleza kama vijanaa...

nitumie ideas za kusaidiafriend ya mine on 3008.

big-ups kwa fan aliyenitumia smsna kuniambia ana idea ya kusaidia friend ya mine ya kujiendeleza. nitawa-connect mara hiohio!

natafuta mama teresa.

ni mimi.

5

Page 5: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

yaani chief hakusaidia? pole, sikujua kuwa maisha yako magumu HIVO

niliskia story yako kutoka kwa

MImi ni kiongozi wa District peace commitee na ninataka kukusaidia.

redio na nikaona naweza kukuSAIDIA twende nikuambie njiani.

unajua nimezoea kufanya kibaruaya kuosha na kupata 50 bob kila siku. lakini haitoshi kutuchunga mimi na watoto...

nashukuru sana.

unajua juu ya women’s fund?

hapana NA SIKUMALIZAMASOMO YANGU, SINA PESA ZA KUFUNGUA ACCOUNTNA KUNUNUA FORM.

HaUHITAJI VITU HIVYOVYOTE. KUPATA FORM NI BURE, NA HAWATAKU-ULIZA JUU YA MASOMO YAKO. TWENDE KWA OFISI YA WOMEN’SFUND ILI UPATE UJUMBE.

ndio hii women’s fund office. twende uongee na wao ili waweze kukusaidia.

mume wangu alikufa, mali yangu ikachukuliwa na auctioneers na hata chief alikuwa anawaangalia wakifanya haya yote. nilimuulizaanisaidie akakataa kwa sababu

ya kabila yangu.

so, ulikuwa unataka kunisaidia kivipi?

6

Page 6: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

hakikisha ujaze hizo forms nauzirudishe kwa women’s fund office

asante sana. sikufikiria ingekuwarahisi hivi ku-apply women’s fund.

asante pia.all the best.

munch!!hcnurk

MUME WANGU! Kwanini hungesaidia huyo mama ILI ASIFAGILIWE na auctioneers?!? wewe ni mkabila! niliskia HIYO STORY KWA show ya

kijana dj b na ikanisumbua sana!

sasa huyo mama hata hana kikombe! unadhani watoto wake wanaishi wapi na

wamefukuzwa kwa nyumba YAO?

NILIFIKIRI KAZI YAKO NI KUCHUNGA WANANCHI KUTOKANA NA MAOVU! YAANI

CHEO YAKO INAKUKUBALISHA KUFANYA HIVO?

NAJUA HAYA YOTE NILIOSEMA HUJASKIA LAKINI LAWAMA NI KWAKO!!!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

page 5.pdf 1 15/07/2010 10:08:19

7

Page 7: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

! ! ! U U U U K

SASA ALIKUWA AKIONGEA JUU YA NINI? NIKIPATA HUYO DJ B NITAMFUNGIA STATION AACHE MAKELELE MINGI!!

ASANTE BOYIE KWA KUNISAIDIA! NILI-SAIDIWA NA MAMA MWINGINE KUPATA WOMEN’S FUND .

NITAAMBIA RAFIKI YANGU DJ B KUWA ALIKUSAIDIA.

SAWA, LAKINI NILIKUWA NATAKA KUMSHUKURU IN PERSON .

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

Page 6.pdf 1 7/14/10 4:01 PM

Women’s FundMwaka wa 2007, serikali ilianzisha womens fund ili kusaidia wanawake kujiendeleza kiuchumi watajitegemee kifedha na kuwa more confident na ku-participate kwa maendeleo ya nchi. Kila constituency imepewa 1 million shillings ili wanawake waweze ku-apply na kui-pata. Womens fund inasaidia ku-build capacity ya wamama wanao omba loans, kwa kusaidia ku-market bidhaa zao na

kuwa-link na companies. Ni wanawake wachache wame-apply kupata women’s fund juu hawajui re-quirements za ku-apply sababu, hawana mali yao, na kuona ikiwa process refu ya ku-apply loans.

Kuna aina mbili za womens fund loans:1. C-WES loan

“Tuinuke Loan”. 0% interest. Unaweza pata loan ya up to 50,000

bob na kurudisha malipo within 12 months (Unaanza kulipa loan baada ya 3 months za kupata loan).

Hii loan inapewa tu kwa groups, si individuals.

Enda kwa CWES office ilio karibu ili kupata more info.

2. Financial intermediaries Registered group ama individual

anaweza-apply. Hizi hupewa na banks na saccos

zilme-authorize-iwa na womens fund.

Interest ni 8 %. Unaweza pata loan ya up to

Ksh.500,000. Malipo ya loan yanaanza kurudiswa within 36 months.

Ili ku-apply kwa womens fund unahitaji1. Kuwa 18yrs and above.2. Kuwa from registered group ilio na

more than 10 members kwa zaidi ya 3 months. Unaweza pata loan kuto-ka kwa Constituency Women Em-powerment Scheme (CWES) inayo-manage-iwa na District Gender and Social Development Officer kwa kila district.

3. Kuwa na account ya bank au sacco.4. Men wanaweza apply kama wana

30% representation kwa group ya wamama.

Hizi loans ni revolving na lazima watu warudishe malipo ili wengine wai-benefit. Securities za CWES loan ni kama household items na business stocks.Tumia DJ B views na opinions juu ya hii storo ya womens funds on 3008.

8

Page 8: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Tayari Malkia?! Out!

Nitarudi jioni!!

Habari Malkia? Asantekwa kunitembelea

aenda shagz

9

Page 9: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Twende tuchunge kondoo

Nyanya! Zitaniumiza!

Kondoo ni mnyama mtulivu, hawezi kukuumiza

Aaaaaa. Nakumbuka mamako alipokuwa mdogo

Alikuwa analipisha watoto wa kijiji na kuwabeba na

kondoo

Kweli?! Nitamcheka!

Asubuhi na mapema watoto walikuwa wanapanga lainikwa kondoo wakingojea

mamako awafungulie Mama na kondoo!!Haha ha ha ha

Nisaidie na kazi kidogo

Sawa nyanya

Natayarisha kupandamaharagwe. Unajua

kulima?

Hapana nyanya

Kukamua ng’ombe?

Hapana nyanya

Huyu ng’ombe anatoa maziwa mEngi

Ndio nyanya KAAP!!

Kootwaash!

Miguu kubwa kama meli!! Nyanya, kumbe unajuakuchongoa?!

Nilikuwa nikichongoa nilipokuwamdogo. Ingine inaenda, wewe ni

mweusi mpaka kukiwa na gizaunatafutwa na unga ya ugali

Ha!

Ha! Ha!Ha!Ha!

Ha!Ha!

Ha! Ha!

Mapua kubwa kamafirimbi ya jakobo

Una mdomo kubwa hadi ukiifunga inalia kama mlango.

Ha ha ha ha

10

Page 10: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Twende tuchunge kondoo

Nyanya! Zitaniumiza!

Kondoo ni mnyama mtulivu, hawezi kukuumiza

Aaaaaa. Nakumbuka mamako alipokuwa mdogo

Alikuwa analipisha watoto wa kijiji na kuwabeba na

kondoo

Kweli?! Nitamcheka!

Asubuhi na mapema watoto walikuwa wanapanga lainikwa kondoo wakingojea

mamako awafungulie Mama na kondoo!!Haha ha ha ha

11

Page 11: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Mamangu alipenda wanyama gani?Na alisumbua walimu shuleni?Alikuwa na boyfriends wangapi

Uliza mamako, ndie anawezakujibu maswali haya yote.

Mama hana wakati wa kuongeana mimi ninapotoka shule

anashughuli nyingi

Pole, najua mamako anakupendasana na anafanya kazi kwa bidii

ili uwe na maisha mema. Sawa, nisaidiekufanya kazi ingine

Niletee ile ndoo.

Nyanya maharagwe ikondani ya maji

Niliziweka jana usiku ili ziwe tayari kupanda.Kuweka mbegu kwa maji kabla ya kupandainasaidia mbegu zote kumea haraka wakati

wa kiangazi na kupatia mavuno mapema. Ni rahisisana. Twende shambani.

BAADAYE KWA NYANYA

12

Page 12: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Sikuelewa sababu ya kuweka mbegu kwa maji

Nilikuwa napanda mbegu shambani chache ndio zilikua. Nilipata hasara

hadi nilipoanza kuweka mbegu kwa majiusiku na kuzipanda asubuhi.

Mbegu ni kama mtoto, lazima uiTUNZEvizuri ili iwe na mazao mazuri. Mtoto

asiye na afya hushikwa namagonjwa virahisi

Kuweka mbegu kwa maji kunasaidiambegu kupata joto, maji na hewa

zilizo muhimu kwa mmea..Hii ni hakikishokuwa mbegu zote zitakua

Utajua kama nafaka itameakwa uki iweka kwa maji

na kutoa zile zina-float juu ya maji

Wheat 12

Barley 12

Upland rice 12-18

Maize 12-18

Sorghum 10

Pearl millet 10

Chickpea 6-8

Finger millet 8

Cow pea 8

Pigeon pea 8

Groundnut 8

mmea hours za ku-soak mbegummea hours za ku-soak mbegu

13

Page 13: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Asante kwa kunisaidia shambani

Nimefurahiakuwa na wewe

Mimi pia

Nitakuita unisaidiekuvuna maharagwe yetu

Nitakusaidia kuvuna

Kwaheri nyanya

Kwaheri Malkia

Kata hasara kwa kwa ku-soak mbegu kabla ya kupanda na utavuna haraka

Umewahi enda kwa shamba na kupata plants zikimea kwa patches? Hii ni sababu mbegu zingine zina-fail ku-germinate. Wakati mwingine, mbegu zote zinaweza fail ku-germinate kabisa. Hii huwa hasara kubwa kwa wakulima. Ku-soak mbegu kabla ya kupanda ni simple na inahakikisha kuwa mbegu zitamea haraka ili kupata mavuno mapema. Ku-soak mbegu kabla ya kupanda hufanywa kwa areas zilizopata low rains na kwenye ardhi kavu.

Kwanini ni-soak mbegu zangu?a) Mbegu zote zina-grow kuwa mimea healthy. Ni expensive

kupanda mbegu tena, na huna guarantee kuwa hizo mbegu zitamea this time round kuwa healthy.

b) Zina-mature haraka na kuvunwa mbele ya zile hazija-soak-iwa. In that way, wakulima wanaweza panda mimea ingine hata kama ni off season.

c) Zitamea haraka zaidi ya zile haziku-soak-iwa kwa maji. d) Inapunguza weeding sababu mimea ina-compete vipoa na

weeds, Jionee tofauti ya ku-soak mbegu na kuto-soak, kwa kupanda mbegu zime-soak-iwa na zile hazija-soak-iwa kwa separate containers. Steps za ku-soak mbegu1. Weka mbegu kwa maji kwa masaa kadhaa2. Kausha seeds. Unaweza ziweka for several days kabla ya

kuzipanda.

Tumia DJ B views na opinions juu ya hii storo ya ku-soak seeds on 3008.

14

Page 14: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Mchongowano

Sheng

Dictionary/ Dicmusi

1. Mbothe-Story

2. Kinde/Ashara-Ten bob

3. Donda-Makanga

4. Dungia/Kuvutia-Piga simu

5. Mtoi/Mniaju/Mjunia-Mtoto

6. Ukede-Ukimwi

7. Ku-beat/Maruge-

Kuwa mzee

8. Njeve-Baridi

9. Teke-Mguu

10. Genya/Kudedi-Kufa

11. Pepea-Kuenda

12. Was-Shida

13. Kokoto-Githeri

14. Smatt-Bahati

15. Kwara-Kataa

16. Gwara exam/Kuchwera/

Kuloba/Kudunda-

Ku-fail exam

17. Raundi/Skwodi-Kuzurura

18. Kusqudi exams- Kubeba

mwakenya kwa exams

19. Mbanifu- Kuwa mchoyo

20. Gesi/Msoto- Kuwa broke

21. Mote-Thousand bob

22. Muenjoyo-Ku-have fun

1. Kipara yako ni soft hadi inzi

zikikuja zinasema msilaidoo.

2. Uko na macho ndogo

uki blink unapotea.

3. Ati TV yenu ni noma sana

iko na channel mbili

peke...ON AND OFF.

4. TV yenyu ndogo mpaka mki-

watch 100m athletics mnamalizia

kuiona kwa ma-neighbours.

5. Budako ni fala, alienda

ku-buy ngombe akaona

ikikojoa akasema,

sitaki hiyo, imetoboka.

6. Budako ni fala alienda

airport akauliza kama

kuna ndege pick-up.

7. Ati TV yenu ni small mpaka

iko na scrollbars.

8. DJ B! Kwenu mko kibao

mpaka time ya kumanga

mnajipanga in groups of ten.

9. Ati TV yenyu ina shika

station zote mpaka polisi

station.Kim. Machakos.

10. Nywele yako ni ngumu hadi

ukitaka kuchana, lazima

utumie pain killers.

11. Budaako amezoeaga piki piki

siku ali-buy ndai alitoa mguu

moja nje akipiga corner.

Ni Mwas kutoka MCC

Mombasa, dictionary ya sheng

inaitwa dicmusi.

Man those mchongoanos

ziko juu tu sana. I almost

filed a case na high court for

breaking my ribs. Bonface

‘Amwizy’ Amwayi.

Hi DJ B, si u-send me some

Mchongowano atleast

nichanue wasee wa huku shags.

Ni Emma kutoka Kangundo (KDO.

Nice time.

Hi DJ B mimi ni Maimun wa

Malaba, manze si unitumie

hizo dictionary za kisheng jo.

DJ B, si uni-send file ya

sheng?

Nitumieni sh

eng

words zingine il

i tuji-

update n

a ku-sh

are kama

vijana. Au sio?

Kumbuka, SMS

yangu ni 3008. Na

taka kuskia

juu yako fan

wa mine il

i

tuweze kuelimishana ka

ma

vijanaa na tu

saidiane ku

jenga

hii countr

y yetu!!!

Tuko

gangare kuruka!!!

Ni-send-ie

mchongwano

free style

zingine

motomoto on

3008.

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512 www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Bridget Deacon Layout Design: Joe Barasa Art: Daniel Muli, Eric Zøe Muthoga, Salim Busuru, Movin Were, Joe Barasa Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio.

Well Told Story © 2010 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication. 15

Page 15: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Nawa-sa

lute vij

anaa kwa

kunitumia hizi in

spiring

messages. N

awa-wish all

the

best kwa ya

le yote m

na-do.

Vijana wanao-improve maisha yao

Ni-text-ie

on 3008 SMS im

eiva na

nitakupati

a T-sho nikiip

enda!

SMS zilizo

na zim

ejishindia

T-Sho.

Congrats mashujaa!!

It’s so educative that there’s an urgent

need to enlarge the magazine. Any

youth, student coming across it won’t

leave it behind. Davy Musyoka.

Niaje, mi ni manzi wa ghetto, thanks

kwa kila kitu mna-do kutuelimisha.

Nilicheki vijana wana-like job zao.

Nawa-show wawe strong. Life

hai-choose mtu, ni bidii yako.

Thanks for the Shujaaz mag,

ilini-uplift sana to think about mambo

ya bizna although nimeenda college but

sijawahi get job, thanx kwa kuni-boost

morale. Miriam Mwangi.

Niaje DJ B, Fiona hapa, mimi na siz tuna

business plan ya kuuza cosmetics huku

mtaani Utawala.

Niaje DJ B, wajua nini, uncle yangu hana

job lakini aliungana na vijana kadhaa

mtaani Ukwaguru wakaunda mikokoteni mbili

tu za kubebea akina mama mboga na maji

na kumbeba tataka sasa wako na tanker yao

ya kuuza maji kila mtaa mjini Nairobi.

Wanona vijana waugane watatu ama tu

wengi, wakijipanga, wataedelea

DJ B nime-like mago yako na nime-

exploit talent ya ku-draw na kumake dooh

mob hapa mtaa. Ni Antony Mugambi. Maua,

Meru.Sema DJ B mavijana wanaweza pata

dooh wakianza bizna ya kushika mole

kwa shamba za watu. Alan Nato, Nyeri.

Hi DJ B, watu mob wana-complain

hakuna job na wako na ma-certificates,

kwani hawawezi ku-do job ya mjengo? A.D.

(Adams), Mombasa.

Hi DJ B sisi kwetu tumeanza projo ya

kufuga ngombe, tunaendaga kwa vibanda

za skuma na kuchukua hizo vijiti na kupea

ngombe. Tunakamua na kuuzia neighbours

maziwa.

Hi DJ B, nina idea ya ku-make bricks.

Unauza moja at 10 bob. Mike Musyoki

from Kaveta-Kitui.

Hi DJ B, nina bizna ya salon, napanga

kuanza kufunza vijana kupata dooh kwa

kutengeneza watu. Mercy, Webuye.

Hi Shujaaz I live in Nyeri. Nili-start biz ya

kulea guinea pigs na kuuzia ma-

university student wenye wanafanya PHD in

medicine na mi huwauzia 500/- kamoja and

they are so easy to keep, problem ni

ku-advertise.

Hi DJ B, nina idea mpya ya ku-search

dooh, ma-youths can get ma-leaves

za kunde na kales na kuzi-dry, wa-store

in sacs na ku-sell time za kiangazi,

zitakuwa na nutrients kama kawa. Justus,

Kiunduani.

Hi Shujaaz, ile risto ya chakula ya

kuku ilinigiwa kazi, aki thanks.

Vipi DJ B? Manze kweli we ni

Shujaa coz hizo teachings zako

zinani-bless sana. The advice from

Chapta 1 mpaka 5 ime-save life ya

ma-boyz wangu na sasa tunaeza

kujitegemea kimaisha than

kurandaranda mtaani. Najua the

more we stick by you, the more we’ll

learn much in life. That’s why

naendelea kuku-introduce mpaka

kwa vijanaa wa ma-neighbours wetu.

Danex, Oyugis.

Mambo DJ B, mnani-jazz sana mimi

nilifungua hall ya video na kuonyesha

ball. Saa hizi nimeokota dooh nataka

kufungua Cyber. Calvin. Siaya.

Kudos DJ B. Maze nimekua

niki-struggle ku-get school fees

hadi inabidi mi na mthama tu-work na

niko 4th. But idea yako ya ku-apply

bursary imeni-save. Thanx sana.

Winny, Meru.

Hi DJ B I just want to give you idea.

When you plant sukuma, zikichanuka,

Kausha mbegu hizi, humea vizuri, pia

unaweza ziuza.

Thanks kwa ku

endelea

kuniambia vile

Shujaaz.FM

ime-change li

fe zenu!Credits

16

Page 16: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Roles za Polisi

DJ B, keep up the good job mko juu tu

sana! Mi ninge-advice mavijana wakuwe

at the right place na at the right time ili wa-

avoid mezesha na makarau. Gilbert toka

Thika.In reference to Shujaaz.FM chapta 5 mag,

the same thing’s happening around us, no

investigations, corruption, harrassment.

People are being tortured to accept

someone’s deeds. Then illiteracy among us,

we don’t know our rights and to fight them,

the little we know, kuchota karao ili

akanyangie hizo stories.

For me sijawahi lakini ningependa sana

kujua rights zangu incase nikajipata kwa

situation kama hiyo. Isabel Kiama.

Pia na kubambwa na karao kama Boyie ni

kawaida, lazima tujue rights zetu. Ruth

Wanjala.

Kuzuia violence

Sasa DJ B? Huyu ni Wendy from Nairobi.

Hii Chapta 4 ni great sana. Nimefundisha

my pals kumaliza violence kwa estate.

Hapo sawa DJ B, mara mob conflict

huanza na rumours za uwongo. Lazima

watu waache udaku na mastori zenye hata

hawahusiki juu italeta vita unnecesary.

Trevor.Niaje DJ B, nime-go through storo ya

Maria Kim juu ya youth against violence,

na tui-make reality Nyax, Athi River.

Hi Shujaaz, Jeymoh hapa. Nawa-support

kwa hiyo stori ya tribalism. Wakenya

tunafaa kuwa as a nation not as a tribe, let’s

think, love each other and do good to them.

Be a hero.

Chicken vaccines

Hello DJ B, mi nimefanya course ya

animal health but sija-get works ni-

connect kwa wasee niwafanyie vaccination.

Godfrey Ngura, Thika

Thanks for saving me on vaccination za

kuku, hakuna hata moja imededi. Ted,

Limuru.

TribalismNiaje DJ B? M-show Charlie asi-give up

ku-make fathake a-realize how good it is

to have neighbours around. Our grandpa had

the same problem but not anymore. Melly

from Webuye.

Maze DJ B hii risto ya hate speech, ni

noma sisi kama ma-youth tunafaa

kuonyesha example, kwa ku-socialise

pamoja without looking at tribe.

Mafans,

hizi ni evide

nce kuwa st

oro

za mine za

comic ni true!!

Vijana wanao-improve maisha yao

Ni-text-ie

on 3008 SMS im

eiva na

nitakupati

a T-sho nikiip

enda!

SMS zilizo

na zim

ejishindia

T-Sho.

Congrats mashujaa!!

Hi DJ B, watu mob wana-complain

hakuna job na wako na ma-certificates,

kwani hawawezi ku-do job ya mjengo? A.D.

(Adams), Mombasa.

Hi DJ B sisi kwetu tumeanza projo ya

kufuga ngombe, tunaendaga kwa vibanda

za skuma na kuchukua hizo vijiti na kupea

ngombe. Tunakamua na kuuzia neighbours

maziwa.

Hi DJ B, nina idea ya ku-make bricks.

Unauza moja at 10 bob. Mike Musyoki

from Kaveta-Kitui.

Hi DJ B, nina bizna ya salon, napanga

kuanza kufunza vijana kupata dooh kwa

kutengeneza watu. Mercy, Webuye.

Hi Shujaaz I live in Nyeri. Nili-start biz ya

kulea guinea pigs na kuuzia ma-

university student wenye wanafanya PHD in

medicine na mi huwauzia 500/- kamoja and

they are so easy to keep, problem ni

ku-advertise.

Kudos DJ B. Maze nimekua

niki-struggle ku-get school fees

hadi inabidi mi na mthama tu-work na

niko 4th. But idea yako ya ku-apply

bursary imeni-save. Thanx sana.

Winny, Meru.

Hi DJ B I just want to give you idea.

When you plant sukuma, zikichanuka,

Kausha mbegu hizi, humea vizuri, pia

unaweza ziuza.

DJ B! Maze hii storo ya kujua rights

zangu nikiwa arrested na polisi

imenielimisha sana. Cheki No.8. Mara

nyingi nimesumbuliwa kwa kukosa ID

usiku nikitoka job na saa hiyo niko na ID

ya job. Nitakua nikitembea na hii

Shujaaz.FM comic Chapta 5. Polisi

wakinishika na wa-show No.8 ya rights

zangu. Tuelimishe zaidi. Asante. Mi ni

Helen Treza Mukosi wa Nairobi.

Nimepata

SMS kibao

kutoka k

wa wasee w

aliotaka

kujua

vile wanaweza

kuwa community

vaccinators. Thanks guys!

Nijulishe vi

le mnaendelea na ku

-

vaccinate

kuku.

CHAPTA 5

17

Page 17: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Ee msupa, chill

kidogo...

Sema mresh, najua umeni-

miss.

Sikuwa supposed kukwambia, lakini take care

sweetness, kuna watu hawafurahishwi na kile

unafanya.

Si-understand...

Sasa Maria, naeza ongea na

wewe?

In private.

Mwambie kile unataka nikiwa

hapa.

Twende J.K.

GRRRRRRRR!

18

Page 18: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Nimepata new

info juu ya LATF na ina projects za

constituencies kote nchini.

Last year, constituency yetu

ilipata 4 Million na ikatumiwa kujenga

library.

Hio ni poa, lakini sijaona laibu hapa.

Iko?

si naweza kuwa nafanya homework

kwa laibu?

Fathangu ni pastor. Twende

tumuulize.

Unajua pale library

iliojengwa iko?

Naijua. Twende niwaonyeshe.

19

Page 19: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Hii library ilijengwa na 300,000 shillings!

Nilituma SMS kwa 3002 na

kupata hiyo information.

Asante sana.

Yaani pesa za laibu zime-

tumika vibaya bila sisi wenyeji

kujua?!

Mmm... 3002. Nitajulisha congreta-tion na watu wengine juu ya hio number kwa sermon ya Sunday. Elimu ni nguvu!

Siamini!!

4 million!

Ndio hii library!

Mlitoa 4 million

wapi?

20

Page 20: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Hatutakubali! Wacha ku-jam

hivo Maria, kumbuka fathangu alisema, knowledge is

power.

Finally jobo

imeisha.

Tutaweka hizi posters kesho

morning.

Kwani ulikuwa ukitaka?

Kesho morning ni too late! Hebu tuziweke

usiku!

Sawa, tuanze na sides gani?

LATF meeting ya next itakuwa September. Tunaweza julisha watu juu ya

umuhimu wa kui-attend na juu ya 3002 SMS service. Then watu

wanaweza jua venye LATF inatumiwa kwa area zao na ku-question

maendeleo ya area yao.

21

Page 21: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Sunrise inapendeza.

Kama wewe, Maria...

er... um...Hebu nicheki

brathangu….

Thanks J.K! Tuchekiane baadaye

22

Page 22: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Nonsense!

Deal na huyu msichana once and

for all! Hii ni serious bizness! Naskia unapenda huyu msichana.

Nakupa advice,Pata pesa na wasichana wataifuata. Mnyamazishe

mara moja!

Local Authority Transfer Fund/ LATF ilianzishwa 1999 kupitia LATF act No. 8 ya 1998 ili ku-improve huduma kwa local community kwa kuendeleza projects kwa wards kote nchini. A certain percentage ya budget kwa kila council huwa ni ya LATF.

Mkutano hu-anncounce-iwa ili wana-ward wa-attend. Mmoja wa community hu-appoint-iwa ku-chair mkutano wa ward. Kisha wana-ward hu-discuss venye wanaweza ku-solve shida zao kwa kuanzisha projects kwa ward. Hizi projects ni kama health, education, maji, na ingine itakayo benefit watu wa community.

Community ina-prioritize projects tatu zitakazo anzishwa. Hizi proposed projects hu-forward-iwa kwa council committee inayo-forward kwa local council ili zi-present-iwe kwa Annual LATF Meeting.

Kila mwaka, council huwa na Annual LATF Meeting inayo-announce-iwa through newspapers. Kwa annual LATF meet-

ing, wenyeji wa wards zote za council hukutana na ku-present projects zao ili ziwe-considered kwa plans za council.

Hata kama hizi meetings hu-advertise-iwa, wananchi wachache hujua juu ya hizi meetings za ward na councils. Hii inafanya decisions kufanya na wachache. Miradi pia huchukuliwa na watu wanao ji-benefit wenyewe /cartels na impact ya miradi haifikii wenye kijiji.

Ili LATF fund iweze kutumika ku-benefit local communities, ni kuhimu kwa wenyeji

1. Kupata info juu ya dates za mikutano kupitia posters badala ya newspapers sababu ni wachache hupata kuona announcement Annual LATF Meeting ya kupitia newspapers. Posters na mbinu zingine zinaweza kutumika.

2. Wananchi wachukue jukumu la ku-attend LATF meetings kwa wards wa-participate kwa ku-identify na ku-

run projects ili kuji-develop. In that way, watapata ku-own hizo projects. Ni responsibility yako ku-participate kwa maendeleo ya area yenu.

Infonet imeunda SMS system ya ku-saidia wananchi na info juu ya funds zilizo allocate-iwa kwa matumizi ya LATF kote nchini. Tuma SMS yako kwa 3002 iliyo na jina la ward na mradi/project na utapata amount iliotengwa kwa hiyo project. Hii info itasaidia kufanya viongozi kuwa accountable na transparent.

Mfano: Rabai#Education.

Tumia DJ B views na opinions juu ya hii storo ya LATF on 3002.

Endeleza area yako through LATF

23

Page 23: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Tuna enda so-ko-ni!

Tuna enda so-ko-ni!

Tuna enda

Nyamaza na hizo nononi zako! Kwani una-enjoy

sokoni?

Wacha kurukaruka kwingi Charlie!

Kusanya vitu tutauza sokoni.

Tunachelewa na hakuna matatu?! Tuanze kutembea!

Ngoja baba. Naona matatu

inakaribia.

sukumeni!

aki hii barabara!

Hii ni soko ama mbolea?! Taabu, tafuta space ya

kuuzia.

WOi!

Saidia mama weee!!! Taabu! Una

shida gani? Umeharibu

bidhaa zetu!!

Kichwa yangu huumia kwa kufikiria vile nitaenda sokoni! Sio barabara,

mbaya. Matatu ni matata, kanjo hawafanyi kazi

yao!!

24

Page 24: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

sukumeni!

aki hii barabara!

Hii ni soko ama mbolea?! Taabu, tafuta space ya

kuuzia.

WOi!

Saidia mama weee!!! Taabu! Una

shida gani? Umeharibu

bidhaa zetu!!

Kichwa yangu huumia kwa kufikiria vile nitaenda sokoni! Sio barabara,

mbaya. Matatu ni matata, kanjo hawafanyi kazi

yao!!

sukumeni!

aki hii barabara!

Hii ni soko ama mbolea?! Taabu, tafuta space ya

kuuzia.

WOi!

Saidia mama weee!!! Taabu! Una

shida gani? Umeharibu

bidhaa zetu!!

Kichwa yangu huumia kwa kufikiria vile nitaenda sokoni! Sio barabara,

mbaya. Matatu ni matata, kanjo hawafanyi kazi

yao!!

sukumeni!

aki hii barabara!

Hii ni soko ama mbolea?! Taabu, tafuta space ya

kuuzia.

WOi!

Saidia mama weee!!! Taabu! Una

shida gani? Umeharibu

bidhaa zetu!!

Kichwa yangu huumia kwa kufikiria vile nitaenda sokoni! Sio barabara,

mbaya. Matatu ni matata, kanjo hawafanyi kazi

yao!!

sukumeni!

aki hii barabara!

Hii ni soko ama mbolea?! Taabu, tafuta space ya

kuuzia.

WOi!

Saidia mama weee!!! Taabu! Una

shida gani? Umeharibu

bidhaa zetu!!

Kichwa yangu huumia kwa kufikiria vile nitaenda sokoni! Sio barabara,

mbaya. Matatu ni matata, kanjo hawafanyi kazi

yao!!

sukumeni!

aki hii barabara!

Hii ni soko ama mbolea?! Taabu, tafuta space ya

kuuzia.

WOi!

Saidia mama weee!!! Taabu! Una

shida gani? Umeharibu

bidhaa zetu!!

Kichwa yangu huumia kwa kufikiria vile nitaenda sokoni! Sio barabara,

mbaya. Matatu ni matata, kanjo hawafanyi kazi

yao!!

25

Page 25: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Baba, ume-pick pocket-iwa na

yule mtu!Mwizi! Shika

mwizi!

Waa waa!

Fathe una-chomoa

styles za goalkeeper!

Aaah Mifupa! Puua Puu! Nanuka mbolea!

Habari mzee, lipia ticket ya

soko hapa!

Pesa ya? Hii mbolea?

Forget it!! wewe kabila

gani?!

Napata hasara kwa

kuja na kuuza kwa hii

mbolea!

Yaani tume-fungwa macho! Tunalipia ser-vices ambazo

hatupati.

Ona, kuna uchafu, barabara ni mbaya,

hakuna maji, ni total balaa hapa

sokoni.

Kila muuzaji analipa ili kuuza kwa

soko. Kweli au rongo?

Kweli!!!

Wateja wame-pungua sababu

hawataki kutem-bea juu ya

uchafu. Kweli au rongo?

Hatutauza kwa hii

soko ikiwa hali hii.

Kweli!!!Ndioo!!!

Baba, ume-pick pocket-iwa na

yule mtu!Mwizi! Shika

mwizi!

Waa waa!

Fathe una-chomoa

styles za goalkeeper!

Aaah Mifupa! Puua Puu! Nanuka mbolea!

Habari mzee, lipia ticket ya

soko hapa!

Pesa ya? Hii mbolea?

Forget it!! wewe kabila

gani?!

Napata hasara kwa

kuja na kuuza kwa hii

mbolea!

Yaani tume-fungwa macho! Tunalipia ser-vices ambazo

hatupati.

Ona, kuna uchafu, barabara ni mbaya,

hakuna maji, ni total balaa hapa

sokoni.

Kila muuzaji analipa ili kuuza kwa

soko. Kweli au rongo?

Kweli!!!

Wateja wame-pungua sababu

hawataki kutem-bea juu ya

uchafu. Kweli au rongo?

Hatutauza kwa hii

soko ikiwa hali hii.

Kweli!!!Ndioo!!!

Baba, ume-pick pocket-iwa na

yule mtu!Mwizi! Shika

mwizi!

Waa waa!

Fathe una-chomoa

styles za goalkeeper!

Aaah Mifupa! Puua Puu! Nanuka mbolea!

Habari mzee, lipia ticket ya

soko hapa!

Pesa ya? Hii mbolea?

Forget it!! wewe kabila

gani?!

Napata hasara kwa

kuja na kuuza kwa hii

mbolea!

Yaani tume-fungwa macho! Tunalipia ser-vices ambazo

hatupati.

Ona, kuna uchafu, barabara ni mbaya,

hakuna maji, ni total balaa hapa

sokoni.

Kila muuzaji analipa ili kuuza kwa

soko. Kweli au rongo?

Kweli!!!

Wateja wame-pungua sababu

hawataki kutem-bea juu ya

uchafu. Kweli au rongo?

Hatutauza kwa hii

soko ikiwa hali hii.

Kweli!!!Ndioo!!!

Baba, ume-pick pocket-iwa na

yule mtu!Mwizi! Shika

mwizi!

Waa waa!

Fathe una-chomoa

styles za goalkeeper!

Aaah Mifupa! Puua Puu! Nanuka mbolea!

Habari mzee, lipia ticket ya

soko hapa!

Pesa ya? Hii mbolea?

Forget it!! wewe kabila

gani?!

Napata hasara kwa

kuja na kuuza kwa hii

mbolea!

Yaani tume-fungwa macho! Tunalipia ser-vices ambazo

hatupati.

Ona, kuna uchafu, barabara ni mbaya,

hakuna maji, ni total balaa hapa

sokoni.

Kila muuzaji analipa ili kuuza kwa

soko. Kweli au rongo?

Kweli!!!

Wateja wame-pungua sababu

hawataki kutem-bea juu ya

uchafu. Kweli au rongo?

Hatutauza kwa hii

soko ikiwa hali hii.

Kweli!!!Ndioo!!!

Baba, ume-pick pocket-iwa na

yule mtu!Mwizi! Shika

mwizi!

Waa waa!

Fathe una-chomoa

styles za goalkeeper!

Aaah Mifupa! Puua Puu! Nanuka mbolea!

Habari mzee, lipia ticket ya

soko hapa!

Pesa ya? Hii mbolea?

Forget it!! wewe kabila

gani?!

Napata hasara kwa

kuja na kuuza kwa hii

mbolea!

Yaani tume-fungwa macho! Tunalipia ser-vices ambazo

hatupati.

Ona, kuna uchafu, barabara ni mbaya,

hakuna maji, ni total balaa hapa

sokoni.

Kila muuzaji analipa ili kuuza kwa

soko. Kweli au rongo?

Kweli!!!

Wateja wame-pungua sababu

hawataki kutem-bea juu ya

uchafu. Kweli au rongo?

Hatutauza kwa hii

soko ikiwa hali hii.

Kweli!!!Ndioo!!!

Baba, ume-pick pocket-iwa na

yule mtu!Mwizi! Shika

mwizi!

Waa waa!

Fathe una-chomoa

styles za goalkeeper!

Aaah Mifupa! Puua Puu! Nanuka mbolea!

Habari mzee, lipia ticket ya

soko hapa!

Pesa ya? Hii mbolea?

Forget it!! wewe kabila

gani?!

Napata hasara kwa

kuja na kuuza kwa hii

mbolea!

Yaani tume-fungwa macho! Tunalipia ser-vices ambazo

hatupati.

Ona, kuna uchafu, barabara ni mbaya,

hakuna maji, ni total balaa hapa

sokoni.

Kila muuzaji analipa ili kuuza kwa

soko. Kweli au rongo?

Kweli!!!

Wateja wame-pungua sababu

hawataki kutem-bea juu ya

uchafu. Kweli au rongo?

Hatutauza kwa hii

soko ikiwa hali hii.

Kweli!!!Ndioo!!!

Baba, ume-pick pocket-iwa na

yule mtu!Mwizi! Shika

mwizi!

Waa waa!

Fathe una-chomoa

styles za goalkeeper!

Aaah Mifupa! Puua Puu! Nanuka mbolea!

Habari mzee, lipia ticket ya

soko hapa!

Pesa ya? Hii mbolea?

Forget it!! wewe kabila

gani?!

Napata hasara kwa

kuja na kuuza kwa hii

mbolea!

Yaani tume-fungwa macho! Tunalipia ser-vices ambazo

hatupati.

Ona, kuna uchafu, barabara ni mbaya,

hakuna maji, ni total balaa hapa

sokoni.

Kila muuzaji analipa ili kuuza kwa

soko. Kweli au rongo?

Kweli!!!

Wateja wame-pungua sababu

hawataki kutem-bea juu ya

uchafu. Kweli au rongo?

Hatutauza kwa hii

soko ikiwa hali hii.

Kweli!!!Ndioo!!!

Sasa tutauzia

wapi?

Barabarani ofcourse!

Lazima kanjo

anirud-ishie pesa za ticket!

Woiyee rudini tuongee.Basi sitawalipisha!

aki!

keshoye...Sijui tutauzia

wapi kama soko imefungwa.

Cheki juu ya mlima!

Habari, njia ya kwenda sokoni ni

gani?

Ni pande ile, lakini soko imefungwa.

Service mbaya ya kanjo imefanya wauzaji wakatae kuuza sokoni.

26

Page 26: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Baba, ume-pick pocket-iwa na

yule mtu!Mwizi! Shika

mwizi!

Waa waa!

Fathe una-chomoa

styles za goalkeeper!

Aaah Mifupa! Puua Puu! Nanuka mbolea!

Habari mzee, lipia ticket ya

soko hapa!

Pesa ya? Hii mbolea?

Forget it!! wewe kabila

gani?!

Napata hasara kwa

kuja na kuuza kwa hii

mbolea!

Yaani tume-fungwa macho! Tunalipia ser-vices ambazo

hatupati.

Ona, kuna uchafu, barabara ni mbaya,

hakuna maji, ni total balaa hapa

sokoni.

Kila muuzaji analipa ili kuuza kwa

soko. Kweli au rongo?

Kweli!!!

Wateja wame-pungua sababu

hawataki kutem-bea juu ya

uchafu. Kweli au rongo?

Hatutauza kwa hii

soko ikiwa hali hii.

Kweli!!!Ndioo!!!

Sasa tutauzia

wapi?

Barabarani ofcourse!

Lazima kanjo

anirud-ishie pesa za ticket!

Woiyee rudini tuongee.Basi sitawalipisha!

aki!

keshoye...Sijui tutauzia

wapi kama soko imefungwa.

Cheki juu ya mlima!

Habari, njia ya kwenda sokoni ni

gani?

Ni pande ile, lakini soko imefungwa.

Service mbaya ya kanjo imefanya wauzaji wakatae kuuza sokoni.

Sasa tutauzia

wapi?

Barabarani ofcourse!

Lazima kanjo

anirud-ishie pesa za ticket!

Woiyee rudini tuongee.Basi sitawalipisha!

aki!

keshoye...Sijui tutauzia

wapi kama soko imefungwa.

Cheki juu ya mlima!

Habari, njia ya kwenda sokoni ni

gani?

Ni pande ile, lakini soko imefungwa.

Service mbaya ya kanjo imefanya wauzaji wakatae kuuza sokoni.

Sasa tutauzia

wapi?

Barabarani ofcourse!

Lazima kanjo

anirud-ishie pesa za ticket!

Woiyee rudini tuongee.Basi sitawalipisha!

aki!

keshoye...Sijui tutauzia

wapi kama soko imefungwa.

Cheki juu ya mlima!

Habari, njia ya kwenda sokoni ni

gani?

Ni pande ile, lakini soko imefungwa.

Service mbaya ya kanjo imefanya wauzaji wakatae kuuza sokoni.

Sasa tutauzia

wapi?

Barabarani ofcourse!

Lazima kanjo

anirud-ishie pesa za ticket!

Woiyee rudini tuongee.Basi sitawalipisha!

aki!

keshoye...Sijui tutauzia

wapi kama soko imefungwa.

Cheki juu ya mlima!

Habari, njia ya kwenda sokoni ni

gani?

Ni pande ile, lakini soko imefungwa.

Service mbaya ya kanjo imefanya wauzaji wakatae kuuza sokoni.

Sasa tutauzia

wapi?

Barabarani ofcourse!

Lazima kanjo

anirud-ishie pesa za ticket!

Woiyee rudini tuongee.Basi sitawalipisha!

aki!

keshoye...Sijui tutauzia

wapi kama soko imefungwa.

Cheki juu ya mlima!

Habari, njia ya kwenda sokoni ni

gani?

Ni pande ile, lakini soko imefungwa.

Service mbaya ya kanjo imefanya wauzaji wakatae kuuza sokoni.

27

Page 27: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Watu wetu walikuwa na shida kama hiyo. Wali-kubaliana na council

kuwa wauzaji wangetumia nusu ya malipo ya soko kui-maintain na nusu ingine kwa council.

Tunahitaji hio idea sokoni. Twende

tuambie fathangu.

Ati niongee na nani? Siongei na watu wa kabila

ingine.

Usijali Charlie, ebu tuwapeleke kwa uncle yangu.

Najua atawasikia...

Habari zenu?

Mmeniletea wageni?

Kwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuon-gea na council na kukubaliana wauzaji

wange-maintain soko na nusu ya malipo ya soko.

Nusu ingine inapewa council.

Twende tuulize

council juu ya huo

mpango.

Baadaye, sokoni...

Huo ndio mpango wa kuendeleza hii soko.

Naona ni bora tuchukue huo mpango ili soko iwe safi na inaendele vizuri.

Watu wetu walikuwa na shida kama hiyo. Wali-kubaliana na council

kuwa wauzaji wangetumia nusu ya malipo ya soko kui-maintain na nusu ingine kwa council.

Tunahitaji hio idea sokoni. Twende

tuambie fathangu.

Ati niongee na nani? Siongei na watu wa kabila

ingine.

Usijali Charlie, ebu tuwapeleke kwa uncle yangu.

Najua atawasikia...

Habari zenu?

Mmeniletea wageni?

Kwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuon-gea na council na kukubaliana wauzaji

wange-maintain soko na nusu ya malipo ya soko.

Nusu ingine inapewa council.

Twende tuulize

council juu ya huo

mpango.

Baadaye, sokoni...

Huo ndio mpango wa kuendeleza hii soko.

Naona ni bora tuchukue huo mpango ili soko iwe safi na inaendele vizuri.

Watu wetu walikuwa na shida kama hiyo. Wali-kubaliana na council

kuwa wauzaji wangetumia nusu ya malipo ya soko kui-maintain na nusu ingine kwa council.

Tunahitaji hio idea sokoni. Twende

tuambie fathangu.

Ati niongee na nani? Siongei na watu wa kabila

ingine.

Usijali Charlie, ebu tuwapeleke kwa uncle yangu.

Najua atawasikia...

Habari zenu?

Mmeniletea wageni?

Kwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuon-gea na council na kukubaliana wauzaji

wange-maintain soko na nusu ya malipo ya soko.

Nusu ingine inapewa council.

Twende tuulize

council juu ya huo

mpango.

Baadaye, sokoni...

Huo ndio mpango wa kuendeleza hii soko.

Naona ni bora tuchukue huo mpango ili soko iwe safi na inaendele vizuri.

Watu wetu walikuwa na shida kama hiyo. Wali-kubaliana na council

kuwa wauzaji wangetumia nusu ya malipo ya soko kui-maintain na nusu ingine kwa council.

Tunahitaji hio idea sokoni. Twende

tuambie fathangu.

Ati niongee na nani? Siongei na watu wa kabila

ingine.

Usijali Charlie, ebu tuwapeleke kwa uncle yangu.

Najua atawasikia...

Habari zenu?

Mmeniletea wageni?

Kwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuon-gea na council na kukubaliana wauzaji

wange-maintain soko na nusu ya malipo ya soko.

Nusu ingine inapewa council.

Twende tuulize

council juu ya huo

mpango.

Baadaye, sokoni...

Huo ndio mpango wa kuendeleza hii soko.

Naona ni bora tuchukue huo mpango ili soko iwe safi na inaendele vizuri.

Tumekubali kufuata huo mpango wa wauzaji na

council!

YeeeEEa!!!

HAiYA!

Shika mwizi wa ng’ombe!!!

Shika mwizi!

Shika mwizi!

Watu wetu walikuwa na shida kama hiyo. Wali-kubaliana na council

kuwa wauzaji wangetumia nusu ya malipo ya soko kui-maintain na nusu ingine kwa council.

Tunahitaji hio idea sokoni. Twende

tuambie fathangu.

Ati niongee na nani? Siongei na watu wa kabila

ingine.

Usijali Charlie, ebu tuwapeleke kwa uncle yangu.

Najua atawasikia...

Habari zenu?

Mmeniletea wageni?

Kwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuon-gea na council na kukubaliana wauzaji

wange-maintain soko na nusu ya malipo ya soko.

Nusu ingine inapewa council.

Twende tuulize

council juu ya huo

mpango.

Baadaye, sokoni...

Huo ndio mpango wa kuendeleza hii soko.

Naona ni bora tuchukue huo mpango ili soko iwe safi na inaendele vizuri.

Tumekubali kufuata huo mpango wa wauzaji na

council!

YeeeEEa!!!

HAiYA!

Shika mwizi wa ng’ombe!!!

Shika mwizi!

Shika mwizi!

28

Page 28: 06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Wenyeji wa Samburu council wamefanya kitu hakijafanyika nchini, lakini ni poa ku-learn kutoka kwao na kuijaribu kwa area yenu. Committee ya wanasoko wa Samburu wameku-baliana na council yao kuwa watasaidiana ku-maintain soko. Wenyeji wa Samburu wanasema kuwa mamilioni ya pesa hupitia mikononi yao kila siku.

Nusu ya malipo ya soko huenda kwa council na nusu ingine hutumiwa kwa mahitaji ya soko kama maintenance, wana kitty ya kusaidia wanasoko na loans ndogo za ku-attend mahitaji ya kibinafsi kama ku-provide higher education bursaries

na kulipa bills za hosi. Kila mwaka, wenye soko hukutana na kupewa report ya vile pesa zimetumika ili kuwa accountable.

Councils zingine zime-visit Samburu council ili ku-learn zaidi vile wana-operate soko zao. Inaaminiwa kuwa itakuwa rahisi kwa wenye soko kukubali kuchukua mpango kama wa Samburu Council wakiona vile itawa-benefit. Wenye soko wata-create employment kwa wenyeji. Unaweza iliza council yenu ku-adopt hii idea juu ime-work kwingine na kufanya soko kuwa maintained vipoa, na kusaidia wanasoko kujiendeleza.

usiwe kama fathake charlie aliekosa kupata new ide-as kutoka kwa wasamburu kwa sababu kuwa wa kabila ingine. kuwa open minded na wise kama uncle yake ro-sie na utafaidika kwa njia nyingi zaidi!!

Wenyeji wa Samburu wana-manage soko yao

Watu wetu walikuwa na shida kama hiyo. Wali-kubaliana na council

kuwa wauzaji wangetumia nusu ya malipo ya soko kui-maintain na nusu ingine kwa council.

Tunahitaji hio idea sokoni. Twende

tuambie fathangu.

Ati niongee na nani? Siongei na watu wa kabila

ingine.

Usijali Charlie, ebu tuwapeleke kwa uncle yangu.

Najua atawasikia...

Habari zenu?

Mmeniletea wageni?

Kwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuon-gea na council na kukubaliana wauzaji

wange-maintain soko na nusu ya malipo ya soko.

Nusu ingine inapewa council.

Twende tuulize

council juu ya huo

mpango.

Baadaye, sokoni...

Huo ndio mpango wa kuendeleza hii soko.

Naona ni bora tuchukue huo mpango ili soko iwe safi na inaendele vizuri.

Watu wetu walikuwa na shida kama hiyo. Wali-kubaliana na council

kuwa wauzaji wangetumia nusu ya malipo ya soko kui-maintain na nusu ingine kwa council.

Tunahitaji hio idea sokoni. Twende

tuambie fathangu.

Ati niongee na nani? Siongei na watu wa kabila

ingine.

Usijali Charlie, ebu tuwapeleke kwa uncle yangu.

Najua atawasikia...

Habari zenu?

Mmeniletea wageni?

Kwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuon-gea na council na kukubaliana wauzaji

wange-maintain soko na nusu ya malipo ya soko.

Nusu ingine inapewa council.

Twende tuulize

council juu ya huo

mpango.

Baadaye, sokoni...

Huo ndio mpango wa kuendeleza hii soko.

Naona ni bora tuchukue huo mpango ili soko iwe safi na inaendele vizuri.

Watu wetu walikuwa na shida kama hiyo. Wali-kubaliana na council

kuwa wauzaji wangetumia nusu ya malipo ya soko kui-maintain na nusu ingine kwa council.

Tunahitaji hio idea sokoni. Twende

tuambie fathangu.

Ati niongee na nani? Siongei na watu wa kabila

ingine.

Usijali Charlie, ebu tuwapeleke kwa uncle yangu.

Najua atawasikia...

Habari zenu?

Mmeniletea wageni?

Kwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuon-gea na council na kukubaliana wauzaji

wange-maintain soko na nusu ya malipo ya soko.

Nusu ingine inapewa council.

Twende tuulize

council juu ya huo

mpango.

Baadaye, sokoni...

Huo ndio mpango wa kuendeleza hii soko.

Naona ni bora tuchukue huo mpango ili soko iwe safi na inaendele vizuri.

Watu wetu walikuwa na shida kama hiyo. Wali-kubaliana na council

kuwa wauzaji wangetumia nusu ya malipo ya soko kui-maintain na nusu ingine kwa council.

Tunahitaji hio idea sokoni. Twende

tuambie fathangu.

Ati niongee na nani? Siongei na watu wa kabila

ingine.

Usijali Charlie, ebu tuwapeleke kwa uncle yangu.

Najua atawasikia...

Habari zenu?

Mmeniletea wageni?

Kwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuon-gea na council na kukubaliana wauzaji

wange-maintain soko na nusu ya malipo ya soko.

Nusu ingine inapewa council.

Twende tuulize

council juu ya huo

mpango.

Baadaye, sokoni...

Huo ndio mpango wa kuendeleza hii soko.

Naona ni bora tuchukue huo mpango ili soko iwe safi na inaendele vizuri.

Tumekubali kufuata huo mpango wa wauzaji na

council!

YeeeEEa!!!

HAiYA!

Shika mwizi wa ng’ombe!!!

Shika mwizi!

Shika mwizi!

Watu wetu walikuwa na shida kama hiyo. Wali-kubaliana na council

kuwa wauzaji wangetumia nusu ya malipo ya soko kui-maintain na nusu ingine kwa council.

Tunahitaji hio idea sokoni. Twende

tuambie fathangu.

Ati niongee na nani? Siongei na watu wa kabila

ingine.

Usijali Charlie, ebu tuwapeleke kwa uncle yangu.

Najua atawasikia...

Habari zenu?

Mmeniletea wageni?

Kwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuon-gea na council na kukubaliana wauzaji

wange-maintain soko na nusu ya malipo ya soko.

Nusu ingine inapewa council.

Twende tuulize

council juu ya huo

mpango.

Baadaye, sokoni...

Huo ndio mpango wa kuendeleza hii soko.

Naona ni bora tuchukue huo mpango ili soko iwe safi na inaendele vizuri.

Tumekubali kufuata huo mpango wa wauzaji na

council!

YeeeEEa!!!

HAiYA!

Shika mwizi wa ng’ombe!!!

Shika mwizi!

Shika mwizi!

29