upangaji upya wa shule ya msingi ya druid hills cluster · druid hills ms raundi ya 2 chaguo...

25
UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER RAUNDI YA 3 YA MKUTANO WA UMMA NOVEMBA 28, 2018 7:00PM DRUID HILLS MS SWAHILI

Upload: others

Post on 05-Oct-2020

8 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER

R A U N D I Y A 3 Y A M K U T A N O W A U M M AN O V E M B A 2 8 , 2 0 1 8 7 : 0 0 P M

D R U I D H I L L S M S

SWAHILI

Page 2: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

AJENDAKwa nini Upangaji upya?

Mchakato wa Upangaji upya

Maoni ya Raundi ya 3

Kigezo cha Upangaji upya

Mpango Unaopendekezwa Na Wahudumu

Maoni ya Kundi Ndogo ya Raundi ya 3

Page 3: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

Shule Mpya ya Msingi ya ▪

John R. Lewis Itafunguliwa mnamo Agosti 2019

Wanafunzi ▪

waliopangishwaa kwa muda katika Fernbank ES & Briar Vista ES watapangwa upya katika Shule za Msingi za Cross Keys Cluster.

Mamia ya viti inapatikana ▪

katika Fernbank ES

KWA NINI UPANGAJI UPYA?

Upangaji Upya wa Shule ya Msingi ya Druid Hills

Cluster

Maeneo ya Mahudhurio ya ua Shule

Cluster

(Eneo la Mahudhurio la Shule ya Upili na ya Kati)

Hatua ya Kisheria ya Emory (Kulingana na Kesi)

Shujaa

Maili

Upangaji Upya wa Shule ya

Msingi ya Druid Hills Cluster

Maeneo yaliyopo ya Mahudhurio

Jumatatu, 1 Oktoba 2018

Eneo la Mahudhurio

la Fernbank ES

Page 4: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

KWA NINI UPANGAJI UPYA?

Karibu wanafunzi ▪ 250 kutoka Fernbank ES, wanafunzi 60 kutoka Briar Vista ES wanarejea Cross Keys Cluster

Kuna watu kupita kiasi ▪

katika Laurel Ridge ES (asilimia 112%) na McLendon ES (asilimia 95%)

Upangaji Upya wa Shule ya Msingi ya Druid Hills Cluster

Maeneo yaliyopo ya Mahudhurio

Jumatatu, 1 Oktoba 2018

Eneo la Mahudhurio

la Fernbank ES

Upangaji Upya wa Shule ya Msingi ya Druid Hills Cluster

Maeneo ya Mahudhurio ya ua Shule

Cluster

(Eneo la Mahudhurio la Shule ya Upili na ya Kati)

Hatua ya Kisheria ya Emory (Kulingana na Kesi)

Shujaa

Maili

Page 5: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

AJENDAKwa nini Upangaji upya?

Mchakato wa Upangaji upya

Maoni ya Raundi ya 3

Kigezo cha Upangaji upya

Mpango Unaopendekezwa Na Wahudumu

Maoni ya Kundi Ndogo ya Raundi ya 3

Page 6: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

MCHAKATO WA UPANGAJI UPYA

▪Mchakato wa mkutano wa jamii

▪Kila mtu kushiriki kwa usawa

▪Mikutano kuanza na maonyesho ya kundi kubwa

▪Gawanya katika vikao vya makundi madogo

▪Makundi madogo yaliyowezeshwa na

mhudumu mwenye ujuzi

▪Usawa katika mchakato

▪Majadiliano kuhusu kigezo

Page 7: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

MCHAKATO WA UPANGAJI UPYA

Raundi ya 1

Utangulizi na Maoni

(Okt 1, 2018)

Druid Hills MS

Raundi ya 2

Chaguo Mbadala

(Oct. 25, 2018)

Druid Hills MS

Raundi ya 3

Mpango Unaopendekez

wa na Wahudumu

(Nov. 28, 2018)

Druid Hills MS

BodiSomo la Kwanza

Pendekezo la Msimamizi

(Jan. 7 2019)AIC

Idhini yaBodi

Pendekezo la Msimamizi(Feb. 2019)

AIC

Raundi ya 1-3 zitajumuisha mikutano ya umma na maoni ya mtandaoniwww.dekalbschoolsga.org/redistricting

Page 8: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

MCHAKATO WA UPANGAJI UPYA

▪ Raundi ya Kwanza – Druid Hills MS– Oktoba 1, 2018▪ Madhumuni: Kukusanya mchango wa jamii kulingana na

kigezo kilichoidhinishwa cha bodi

▪ Raundi ya Pili – Druid Hills MS– Oktoba 25, 2018▪ Madhumuni: Kukusanya mchango wa jamii kuhusu chaguo

zilizowasilishwa za upangaji upya kulingana na kigezo kilichoidhinishwa

▪ Raundi ya Tatu – Druid Hills MS– , Novemba 28, 2018▪ Madhumuni: Kukusanya mchango wa jamii kuhusu Mpango

Uliopendekezwa wa Wahudumu kulingana na kigezo kilichoidhinishwa

Page 9: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

MCHAKATO WA UPANGAJI UPYA

▪Bodi iliidhinisha kuwa mpango wa upangaji upya uliotokana na mchakato huu utaanza kutumika Agosti 2019

▪Wanafunzi wanaoingia gredi ya 5 watakuwa na chaguo la kuendelea katika shule yao ya awali, bila huduma zozote za usafiri

▪Mapendekezo ya Msimamizi yanategemea maoni kutoka kwa raundi zote tatu za kushiriki kwa umma na huenda yasifanane hata kidogo na chaguo zilizowasilishwa leo (raundi ya tatu)

Page 10: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

AJENDAKwa nini Upangaji upya?

Mchakato wa Upangaji upya

Maoni ya Raundi ya 3

Kigezo cha Upangaji upya

Mpango Unaopendekezwa Na Wahudumu

Maoni ya Kundi Ndogo ya Raundi ya 3

Page 11: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

MAONI KUTOKA RAUNDI YA 3

▪Wasiwasi wa jumla kuhusu trafiki katika Clifton Rd na njia za Scott Blvd na kuhusu matokeo ya majengo ya baadaye.

▪Chaguoa la 1- Unda Briar Vista Montessori na Kituo cha Masomo

ya Mapema: Hutoa nafasi za ziada za kusoma mapema, hutoa msaada wa kutojaa kupita kiasi.

▪Chaguo la 2- Kulenga Mitaa Thabiti: Hutoa msaada zaidi wa kutojaa kupita kiasi, Huweka mitaa ya Medlock na iliyo karibu kwa pamoja, na inapendelewa kuliko chaguo la 1

Page 12: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

AJENDAKwa nini Upangaji upya?

Mchakato wa Upangaji upya

Maoni ya Raundi ya 3

Kigezo cha Upangaji upya

Mpango Unaopendekezwa Na Wahudumu

Maoni ya Kundi Ndogo ya Raundi ya 3

Page 13: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

KIGEZO CHA UPANGAJI UPYA

▪Tangazo la Sera ya Bodi: Ubadilishaji wa Maeneo ya Mahudhurio ya Shule huelezea kigezo cha msingi na cha pili

▪Kigezo cha Msingi, kulingana na utaratibu

▪Ukaribu wa Kijiografia

▪Uwezo wa masomo

▪Usajili unaotazamiwa

Kumbuka: Huenda wanafunzi wasiwekwe katika shule iliyo karibu nao, kwa kuwa lazima kigezo kingine kizingatiwe.

Page 14: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

KIGEZO CHA UPANGAJI UPYA

▪Kigezo cha Pili, wakati kigezo cha msingi kinaashiria zaidi ya chaguo moja la hatua

▪Mipangilio ya usalama na trafiki

▪Upangaji upya wa awali

▪Kusawazisha mipango maalum , (i.e., ESOL, chaguo la shule, n.k.)

▪Ulainishaji wa shule kuu

▪Mitaa thabiti

▪Shughuli bora na za kiuchumi

Page 15: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

AJENDAKwa nini Upangaji upya?

Mchakato wa Upangaji upya

Maoni ya Raundi ya 3

Kigezo cha Upangaji upya

Mpango Unaopendekezwa Na Wahudumu

Maoni ya Kundi Ndogo ya Raundi ya 3

Page 16: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

MPANGO UNAOPENDEKEZWA NA WAHUDUMU

Kulingana na maoni ya jamii:

▪ Wasiwasi wa Trafiki

▪ Wasiwasi wa kujaa kupita kiasa baadaye hasa na idadi kubwa ya nyumba mpya zinazopangwa kujengwa

Page 17: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

CHAGUO LINALOPENDEKEZWA NA WAHUDUMU

A: Wanafunzi ▪ 23 wa Briar Vista ES watapelekwa Fernbank ES

Page 18: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

B: Wanafunzi ▪ 0 wa Laurel Ridge ES watapelekwa Briar Vista ES

C: Wanafunzi ▪ 154 wa Laurel Ridge ES watapelekwa Fernbank ES

D: Wanafunzi ▪ 46 wa McLendon ES watapelekwa Fernbank ES

CHAGUO LINALOPENDEKEZWA NA WAHUDUMU

Page 19: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

MPANGO UNAOPENDEKEZWA NA WAHUDUMU MUHTASARI

Ufafanuzi

Chaguo Linalopendekezwa na Wahudumu

Kuhamishwa kwa

Wanafunzi Upunguzaji

223 -10

Page 20: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

BRIAR VISTA ES MONTESSORI

• Katika mpango unaopendekezwa na wahudumu, Briar Vista Elementary itaendelea kuwa shule ya mtaa kwa Mpango wa sasa wa Montessori.

• Wanafunzi waliopangwa upya watakuwa na chaguo la kusalia katika Mpango wa Montessori katika Briar Vista ES bila usafiri.

Page 21: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

AJENDAKwa nini Upangaji upya?

Mchakato wa Upangaji upya

Maoni ya Raundi ya 3

Kigezo cha Upangaji upya

Mpango Unaopendekezwa Na Wahudumu

Maoni ya Kundi Ndogo ya Raundi ya 3

Page 22: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

MAONI YA KUNDI NDOGO YA RAUNDI YA 3MALENGO

Kukusanya mchango kulingana na kigezo kilichoidhinishwa cha bodi

Mfululizo wa maswali ya majadiliano

Page 23: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

1. Je, kuna faida na hasara gani kwa Mpango Unaopendekezwa na Wahudumu (kulingana na maoni ya jamii)?

2. Kuna vipengee vingine vinavyohusiana na kigezo kilichoidhinishwa na Bodi ambavyo Msimamizi anapaswa kuzingatia anapokuwa akiwasilisha Mapendekezo ya Msimamizi kwa Bodi?

MAONI YA KUNDI NDOGO YA RAUNDI YA 3MASWALI

Page 24: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

MAONI YA KUNDI NDOGO YA RAUNDI YA 3KANUNI

▪Wasaidizi ni washiriki walengwa

▪Wanaweza kuzingatia tu michango inayohusiana na kigezo

▪DCSD imejitolea kupokea na kuzingatia michango yote mwafaka

▪Lazima wahudumu wasawazishe madhumuni kadhaa na vikwazo vya utaratibu katika kukuza mipango, kwa hivyo si michango yote inaweza kuzingatiwa.

▪Heshimu maoni ya kila mtu

▪Tafadhali andika maswali kwenye kadi za manukuu

▪Maswali yatajibiwa kwenye tovuti ya www.dekalbschoolsga.org/redistricting

Page 25: UPANGAJI UPYA WA SHULE YA MSINGI YA DRUID HILLS CLUSTER · Druid Hills MS Raundi ya 2 Chaguo Mbadala (Oct. 25, 2018) Druid Hills MS Raundi ya 3 Mpango Unaopendekez wa na Wahudumu

ASANTE KWA KUJA!

www.dekalbschoolsga.org/redistricting