temeke yetu · pango miji- na mazingira na kamati ya afya elimu na uchumi-mwenyekiti wake ni...
TRANSCRIPT
ambapo wagombea
walikuwa wawili.
Mheshimiwa .Benjamin
Ndalichako, ambaye ni
Diwani Kata ya
Chang'ombe alipata
kura 11 kati ya kura 29
wakati Mhe.Juma Rajabu
Mkenga Diwani Kata ya
Miburani alipata kura 18
kati ya kura 29
zilizopigwa na hivyo
mshindi alikuwa
Mhe.Juma Rajabu
Mkenga Diwani Kata
ya Miburani.
Baada ya uchaguzi,
MheJuma Ramadhan
Mkenga alitoa shukurani
kwa baraza zima kwa
kuwa na imani naye na
Halmashauri ya Manispaa
ya Temeke kupitia kikao
chake cha Baraza la
Madiwani,ambalo hufanyi-
ka kila baada ya miezi mi-
tatu, kulifanyika uchaguzi
wa nafasi mbalimbali za
uongozi, uongozi wa Nai-
bu Meya na Wenyeviti wa
Kamati za kudumu.
Uchaguzi huo ulitanguliwa
na kupokea taarifa kutoka
kwenye Kata tofauti ziki-
wemo Kata ya Chamazi,
Kata ya kibonde Maji, Kata
ya Kilakala, Kata ya Ki-
lungule, Kata ya kijichi na
nyinginezo ambazo zilisom-
wa na Waheshimiwa Madi-
wani wa Kata
husika .Hata hivyo baada
ya Kata na kamati mba-
limbali kuwasilisha taa-
rifa na hoja zao,
Mhe.Abdallah Jaffari
Chaurembo alitangaza
upigaji kura kwa
wagombea kulingana
na nafasi walizoomba.
Matokea ya kura katika
nafasi ya Naibu Meya
TEMEKE YAPATA NAIBU MEYA MPYA Rehema Ahmed na Prisca Kikoti
PAULO MAKONDA: WANAOISHI MAENEO HATARISHI WAONDOKE
Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam Mhe. Paul Ma-
konda amewaasa wakazi
wanaoishi maeneo hatari-
shi wi layani Temeke
kuyahama maeneo hayo
kwani ni hatari kwa maisha
yao na uchumi wa taifa
kwa ujumla.
Akizungumza na wananchi
wa Mtaa wa Masaki Kata
ya Toangoma Mhe.
Makonda alisema, “Serikali
inayojali watu wake
haiwezi kukubali na kuona
wanaishi maeneo ambayo
baadae yanaweza kuleta
maafa kwao”.Wale
wanaoishi maeneo hatari-
shi wapo hatarini kupoteza
makazi yao na familia zao
kwani linapotokea janga
lolote lile linalopelekea
Serikali kuanza kuwasaidia
kwa kutumia nguvu
kubwa , nguvu ambayo
inaweza kuepukika kwa
wananchi kujenga sehemu
zilizo salama na zinazofikika
kwa. ……...
Inaendelea uk. na.2
kufanya kazi kwa ushirikiano.
Wenyeviti wa Kamati za Kudu-
mu waliopata kura ni Mhe.
Abdallah Chaurembo yeye ni
Mwenyekiti Kamati ya Fedha
na Uongozi. Wakati Mhe Ram-
adhani Likimangiza kuwa
Mwenyekiti Kamati ya Mi-
pango miji- na mazingira na
Kamati ya Afya Elimu na
Uchumi-Mwenyekiti wake ni
Mhe.Abdallah S. Mtinika,
Kamati ya Ukimwi- Mwenyeki-
ti ni Mhe.Juma Ramadhan
Mkenga ambaye pia ni Naibu
Meya.
Kisha Mhe. Abdallah Jaffari
Chaurembo, Meya wa Hal-
mashauri ya Manispaa ya
Temeke alitoa taarifa mbele
ya Baraza la Madiwani kuhusu
kupokea barua kutoka kwa
Mhe.Profesa Ibrahim Lipumba
iliyohusu kumsimamisha
uanachama Mhe. Elizabeth
Magwaja aliyekuwa diwani
wa viti maalum chama cha
CUF, sababu za kusimamishwa
kwake hazikuwekwa wazi
mpaka sasa.
HALIUZWI 14-8-Hadi—15-9 –2017 Toleo na.0013
TEMEKE YETU
Baraza la
Madiwani
Manispaa
ya
Temeke
Kutoka kulia ni
Mstahiki Meya
Mhe. Abdallah
Chaurembo, Bw.
Nassib Mmbagga
Mkurugenzi na
Bw. Hashim Kom-
ba Katibu Tawala
-Kushoto
Mhe.Paulo
Makonda
Mkuu wa
Mkoa Dar
ahimiza
watu
kuhama
maeneo
hatarishi
Mhe. Juma R.Mkenga Naibu Meya 2017/2018
Mhe. Elizabeth Magwaja
ambayo baadaye yanawal-
etea shida wao na familia
zao, na akatoa onyo kali kwa
matapeli hao na kuagiza
vyombo v inavyohusika
kuwasaka na
kuwachuku l ia
hatua kali wale
w o t e
wanaowai b ia
w a n a c h i
kwenye Mitaa
yao.
Aidha Makonda
a l i w a a s a
viongozi wa
Serilkali za Mitaa
kufanya wajibu
wao wa kulinda
mali za umma
na kuimarisha ulinzi
wa wananchi wao.
Pia waache kuchukua rush-
wa kutoka kwa wananchi
wanaowaongoza ambao
wengi wao ni maskini,
aliongeza kuwa ushirikiano
wa viongozi na wananchi ni
muhimu kwani unaboresha
utendaji kazi, ambao
utachangia maendeleo ya
wananchi wa jamii husika
na taifa kwa ujumla.
Naye Diwani wa Kata hiyo
Mhe. Mohamed Suleiman
aliiomba Serikali kuisaidia
Kata hiyo hasa katika suala
zima la ardhi kwani wanan-
chi wengi wamekuwa
wak i la lamika kuhusu
kutapeliwa, akitoa mfano
kuwa wananchi wake
wamekuwa wakisumbuliwa
sana na migogoro ya ardhi
na hivyo kutokujua mus-
takabali wao .
Akihitimisha Mhe.Makonda
aliwaasa wakazi wa
Toangoma na Halmashauri
ya Manispaa ya Temeke
kwa ujumla kuishi kwa
amani kwani Serikali ya
awamu ya tano inawajali
na kuwataka wafanye
shughuli zao kwa ku-
bugudhiwa na mtu.
hilo.Gazeti la Temeke Yetu
lilitaka kupata ufafanuzi juu
ya gumzo linalosemwa na
wafanyabiashara hao,
hivyo lilimtafuta msemaji wa
Manispaa na mahojiano
yalikuwa kama ifuatavyo;
“kumekua na sintofahamu
nyingi kuhusu soko hilo kuto-
kana na kuibuka kwa
gumzo na minong'ono
Halmashauri ya Manispaa
ya Temeke ipo katika mka-
kati wa kumpata mwekezaji
katika eneo lilipo soko la
Tazara, hata hivyo wafan-
yabiashara wadogo
wadogo waliopo ndani ya
soko hilo hawafahamu
lolote kuhusu kuondoka
kwao kutoka eneo
mingi miongoni mwa
wafanyabiashara, wapo
baadhi yao wanahofia
kuyumba kwa biashara zao,
kuyumba katika zoezi la
ulipaji wa mikopo midogo
midogo waliyochukua, lakini
pia baadhi ya wafanya
biashara wamekua na
wasiwasi mkubwa wakihofia
inaendelea uk. na.3
Inatoka ukurasa 1 WANAOISHI MAENEO HATARISHI …….
SOKO LA WAMACHINGA TAZARA Prisca Kikoti na Rehema Ahmed
Page 2
huduma mbalimbali za kija-
mii kama vile maji, umeme
masoko na vyombo vya
uokoaji, Mkuu huyo wa
Mkoa alisema.
Aidha aliongeza kuwa
anaandaa mpango wa
kupeleka maafisa ardhi kila
Kata, ambao kwa kiasi
kikubwa sana watasaidia
kupunguza kero na mi-
gogoro ya ardhi kwenye
Kata hizo, kwani chanzo
kikubwa cha migogoro ya
ardhi kunasabibishwa na
kutokuwepo kwa maafisa
ardhi karibu na wananchi
yaani kwenye Kata.
Pia aliwaomba wananchi
kuwa makini hasa kipindi hiki
kuepuka kutapeliwa na
w a t u a ma v i o n g oz i
wanaojifanya wana mam-
laka kwenye mitaa na
Vitongoji ambao wanawa-
sababishia wananchi wasi-
oelewa wajenge maeneo
TEMEKE YETU AGOSTI /SEPTEMBA 2017
2
WAANDAAJI WA GAZETI
Bibi Joyce
Msumba
Afisa Uhusiano
Mhariri na
muumbaji
Bibi Edda Mmary
Afisa Habari
Mhariri msaidizi
Methew Jonas
Mpiga Picha na
Mchanganyaji
picha za video
TMC TV
Nicodemas
Masanja
Mpiga picha /
mwandishi
Mazoezini
Prisca Kikoti Mwanahabari
Mazoezini
Beatrice Jonathan
Mwanahabari
Mazoezini
Mwajabu
Mwanahabari
Mazoezini
Rehema Ahmed
Mwana habari
Mazoezini
Mhe. Paulo Makonda
Mkuu wa Mkoa
huenda mahala watakapo
tengewa na Serikali
huenda kusiwe na
uchakarikaji wa biashara
kama ilivyo eneo hilo la
barabarani ”.
Bibi Joyce Msumba
ambaye ni Afisa Uhusiano
alisema ''Serikali inania nzuri
na wafanya biashara wa
soko la Tazara, na nikweli
tumepata mwekezaji lakini
bado tupo katika hatua za
mazungumzo ya mkataba
na mwekezaj huyo,
wafanyabiashara wasiwe
na hofu kuhusu maeneo
watakayopelekwa.
Serikali tayari ina maeneo
ya wazi katika masoko
mengine ili waweze
kuhamishiwa huko.
Akiongeza Bibi Msumba
alisema, Manispaa ya
Temeke ina zaidi ya
masoko 19 ambayo mengi
hayana wafanyabiashara
wengi, hivyo basi idadi ya
wafanyabiashara
wanaotoka Tazara
watakwenda katika
masoko hayo kutegemea
na shughuli wanazozifan-
ya, kama ni wauzaji wa
nguo, watengenezaji
vyombo vya vyuma na
majiko ama wauzaji mbao
ama wauzaji wa mboga
mboga na vyakula, Idara
ya Fedha na Biashara
itaratibu uhamaji huo.
Bibi Msumba aliendelea
kusema kuwa Serikali
inawajali wananchi wake.
kwani katika mikakati ya
maendeleo ya mwaka wa
fedha huu, Mkurugenzi
ameamua kutenga
maeneo yaliyo wazi kwa
ajili ya magulio, pamoja na
kuwa na siku maalum
ambapo magulio hayo
yatafanyika.
Halmashauri yao ni
sikivu, inawaomba wawe
wavumilivu kwa kipindi hiki
tunachoshughulikia suala la
soko hilo . ''alimaliza
kwa kusema hayo.
Temeke Bw. Hashimu
Komba, siku ya usafi
ambayo kiwilaya ilifanyika
Kata ya Tandika ikihusisha
wananchi wakazi wa
Tandika, watumishi, Wakuu
wa Idara na wanamichezo
wanajogging wa Temeke
Usafi ni jukumu la wananchi
na wakazi wa Temeke
kwani usafi huleta Afya bora
Wananchi wa Halmashauri
ya Manispaa ya Temeke
muwe na tabia ya kufanya
usafi mara kwa mara
kwenye maeneo yenu,
kuweni na vyombo vya
kuwekea taka na kulipa
ada ya usafi kila mwezi kwa
wakandarasi.
Hayo yalisemwa na Katibu
Tawala wa Wilaya ya .
Inatoka uk.2 Soko la wamachinga……...
WANANCHI WA TEMEKE WAKUMBUSHWA
Beatrice Jonathan
Page 3
TEMEKE YETU AGOSTI /SEPTEMBA 2017
3
kwa pamoja vitaweza
kuwafanya wabuni shughuli
mbalimbali. ambazo zita-
wafanya wakopeshwe na
kufanikisha miradi yao
ambayo watakuwa
wameibuni, hivyo
kuondokana na adha ya
ukosefu wa kipato na umasi-
kini kwenye jamii zao.
Bwana Komba aliwataka
maafisa maendeleo ya ja-
mii kwenye Kata mbalimba-
li za Temeke kuanzia sasa
wapewe elimu kuhusunam-
na ya kupata mikopo nam-
na ya kuunda vikundi ili
kukamilisha malengo yao
kwa vitendo.
Akihitimisha Bw. Komba ali-
waomba wakazi wa Halmas-
hauri ya Manispaa ya Temeke
kwa kushirikiana na viongozi
wao kushirikiana kwenye zoezi
hili la
usafi sambamba na kulinda
jamii zao yaani ulinzi shirikishi,
hivyo kuifanya Temeke kuwa
sehemu safi na tulivu ya kuishi,
na kutokomeza matukio yote
yakihalifu. “kama wakazi wote
wakiazimia yote haya basi
Temeke mpya iliyo safi na isiyo
na magonjwa inawezekana”
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE
TANGAZO
LIPA KODI KWA MAENDELEO YA TEMEKE
MKURUGENZI WA MANISPAA YA TEMEKE
ANAWATANGAZIA WAKAZI NA WAFAN-
YABIASARA WOTE WA TEMEKE KUWA
HALMASHAURI INAWATAKA KULIPA
KODI, ADA NA USHURU WANAODAIWA
KWENYE VYANZO VIFUAFAVYO;
KODI YA HUDUMA (CITY SERVICE
LEVY)
ADA YA LESENI ZA BIASHARA NA
VILEO
USHURU WA MBAO ZA MATAN-
GAZO (BILL BORADS)
ADA YA UZOAJI TAKA NGUMU
KODI ZA VIZIMBA NA VIBANDA
KWENYE MASOKO
EPUKA USUMBUFU KWA KULIPA KODI
KWA WAKATI
"
KODI YAKO NDIYO ITAIMARISHA UWE-
ZO WA HALMASHAURI KATIKA UTOAJI
WA HUDUMA KWA WANANCHI WAKE".
NASSIB B. MMBAGGA
MKURUGENZI
MANISPAA YA TEMEKE
Bw. Komba
alitumia fursa hiyo pia
kuwaomba wananchi
hasa wakina mama na
vijana wa Halmashauri
ya Manispaa ya Temeke
kuunda vikundi vidogo
vidogo ambavyo
Bw.Nassib Mmbagga, Mkurugenzi –mwenye kofia akishiriki siku ya usafi
kukabidhiwa bustani ya
kwa Azizi Alli. kufikia mwa-
ka 1999 nilihamishiwa kati-
ka ofisi ya Mkuu wa wilaya
ya Temeke. mwaka 2000
nikahamia katika ofisi ya
halmashauri ya manispaa
ya Temeke ndipo nili-
popewa rasmi kusimamia
kitengo cha utunzaji maz-
ingira pia nikapewa na
vijana wapatao 18 waku-
saidiana nami. Wakati huo
wote Temeke ilikua na
bustani ya kipekee kulin-
ganisha na wilaya zingine
hapa jijini Dar es salam,
bustani ilikua iking'aa sana
mpaka hivi.sasa.
Mwandishi; hongera sana,
eneo hili linaukubwa gani?
Chilemba; eneo lote la
bustani ni hekta moja na
nusu kwa ujumla.
Mwandishi; njia gani za
kufuata ili kupata bustani
yenye kupendeza kama
hii?
Chilemba; kikubwa ni
kuzingatia kanuni za
upandaji na kutunza busta-
ni yako,namba moja uwe
na udongo mweusi
14-8 Hadi 15.9.2017
TEMEKE YETU
Bustani ya maua ya Halmas-
hauri ya Manispaa ya
Temeke ni miongoni mwa
maeneo adimu kupatikana
katika jiji la Dar Es Salaam,
ambapo eneo hilo la busta-
ni limekua kivutio kikubwa
kwa wageni kutoka nje ya
nchi na ndani ya
nchi,mfano nchi za jirani
kama Uganda,na wale
wanaokaribia kupata hudu-
ma mbalimbali hapa
Manispaa, pia ni kivutio
kikubwa hata kwa wenyeji.
Eneo hilo ambalo
linatunzwa kitaalamu na
wataalamu waliobobea
katika fani hii ya mazingira
wamekua wabunifu katika
kupangilia maua mbalimba-
li yenye kulete mvuto na
kivuli. Temeke Yetu lilikutana
na mtaalamu anayeitunza
bustani hiyo ya Temeke
Manispaa, Ndugu Selemani
Khamis Chilemba ambapo
alikutwa katika bustani
ameeleza namna alivyoan-
za kuitunza bustani hiyo vi-
zuri mpaka kufikia kuwa ya
kuvutia namna hiyo;
Mwandishi; habari yako
bwana shamba?
Chilemba; salama,karibuni.
Mwandishi; asante, bustani
yako inapendeza na kuvu-
tia sana,nini siri ya mafanikio
haya?
Chilemba; matunzo mazuri
na kuipenda kazi yangu.
Mwandishi; tupe kwa kifupi
historia yako
Chilemba; nilianza kazi
mwaka 1983 Karimjee, kipin-
di hicho ilikua halmashauri
ya jiji. mwaka 1985 niliham-
ishiwa Temeke kama Afisa
Maliasili Msaidizi na
4
TEMEKE YA KIJANI NA MAZINGIRA BORA Edda Mmari na Rehema Ahmed (top layer soil), pili kuwa na
mbolea ya samadi na tatu
kufuata ushauri wa kitaalam,
pia bila kusahau uwepo wa
vitendea kazi.
Mwamdishi; je maua ya-
natakiwa kumwagiliwa mara
ngapi kwa siku, na je ni wa-
kati gani muafaka wakuyam-
wagilia?
Chilemba; kwa siku mara
mbili,wakati mzuri ni asubuhi.
Mwandishi; je miche hii ya
maua hawa unaipataje?
Chilemba: mwanzoni nilikua
na nunua,ila baadae ni-
kaona ili kuipunguzia halmas-
hauri gharama nimeamua
kuwa na vitalu vyangu
vya maua na miti hapa
hapa, kwa hiyo 95% ya miche
ya maua tunazalisha
wenyewe.
Mwandishi;Ndugu Chilemba
naona kila baada ya muda
muonekano wa bustani hii
hubadilika,je nayo ni hatua
gani?
Chilemba;ni kweli ni kawaida
bustani yoyote ili izidi kuvutia
inabidi uibadilishe muoneka-
no wa maua hata mpangilio
mpya wa bustani yako.
Mwandishi; tutarajie nini
katika maboresho ya busta-
ni yetu.
Chilemba; tupo kwenye
maandalizi ya kuboresha
bustani yetu kufikia mwezi
wa 10 mwaka huu tuna-
tarajia kuwa na mwoneka-
no wa tofauti ,bustani ita-
tanuka kuanzia geti la Elimu
msingi mpaka geti la Elimu
sekondari, pia kuna mkakati
wa kukata miti ya zamani
na kupanda miti midogom-
idogo.
Lengo kubwa ni kuleta
mwonekano mzuri katika
Halmashauri yetu.
Mwandishi; tunashukuru
sana kwa ushirikiano
wako,na tukutakie kazi
njema
Chilemba; asante na ka-
ribuni sana.
Hayo yalikua mahojiano kati
ya mwandishi wetu wa
Temeke Yetu na mtaalam
wa mazingira katika halmas-
hauri ya Temeke, Temeke
Yetu ilikutana na mmoja wa
wageni ambaye ameone-
sha hisia zake bila kuficha
alipokutwa na mwandishi
wetu akiwa amepumzika
alisema, "naburudika kwa
kweli,nikiangalia hapa napa-
ta amani rohoni mwangu,
inafurahia sana kuona maua
haya yaliyostawi na kupen-
deza,nawapongeza sana
Temeke kwa utunzaji mzuri wa
mazingira" alisema Bi. Ashura
Musa.
Hata hivyo Temeke
Manispaa imekua barozi
mzuri wa utunzaji mazingira
yake tangu mwaka 1999
halmashauri ilipoanzishwa..
Temeke tunasema mazingira
ya kijani inawezekana endapo
wananchi tutaamua kutunza
mazingira yetu.