taarifa ya kikao cha namba ugc/o09/p04/2016 1 ......ufunguzi wa email ya kampuni:...

32
TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1. MAHUDHURIO MAJINA (NAME) CHEO (RANK) MAHUDHURIO (ATTENDANCE) INNOCENT NINDWA PETER MWENYEKITI (CHAIR-PERSON) PAUL MIZHA CHARLES KATIBU (SECRETARY) Ҳ RAYMOND CHILAMBO MSEMAJI (INFORMATION MANAGER) SULEIMAN MAGAILA MUHASIBU (ACCOUNTANT) Ҳ GODFREY ERIQUE MJUMBE (BM) Ҳ IRENE ANDREW MDOE M/NIDHAMU (DISCIPLINE) DICKSON ELIZEUS MJUMBE (BM) JACOB JUSTUS MJUMBE (BM) JALIA IDRISA NURUH NAIBU KATIBU LAMECK CHACHA MJUMBE Ҳ

Upload: others

Post on 30-Dec-2020

6 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016

1. MAHUDHURIO

MAJINA (NAME) CHEO (RANK) MAHUDHURIO

(ATTENDANCE)

INNOCENT NINDWA PETER MWENYEKITI (CHAIR-PERSON) √

PAUL MIZHA CHARLES KATIBU (SECRETARY) Ҳ

RAYMOND CHILAMBO MSEMAJI (INFORMATION MANAGER) √

SULEIMAN MAGAILA MUHASIBU (ACCOUNTANT) Ҳ

GODFREY ERIQUE MJUMBE (BM) Ҳ

IRENE ANDREW MDOE M/NIDHAMU (DISCIPLINE) √

DICKSON ELIZEUS MJUMBE (BM) √

JACOB JUSTUS MJUMBE (BM) √

JALIA IDRISA NURUH NAIBU KATIBU √

LAMECK CHACHA MJUMBE Ҳ

Page 2: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

AJENDA ZILIZOJADILIWA.

1. KUFUNGUA KIKAO

2. UTAMBULISHO

3. KUSAINI FOMU ZA USAJILI WA JINA LA BIASHARA

4. KUJADILI RIPORT MBALIMBALI ZA KAMPUNINNA KUZIHAKIKI.

5. UWASILISHWAJI WA MIPANGO YA MUDA MREFU (LONG-TERM PLAN)

6. KUJADILI BAJETI ZA KAMATI

7. KUMALIZIA KATIBA

8. AOB

1. KUFUNGUA KIKAO

Kikao namba (5) kimefunguliwa na naibu katibu, na kumkaribisha mjumbe afungue kwa maombi.

2. UTAMBULISHO

Naibu katibu anawakaribisha wajumbe wote wajitambulishe. Wajumbe wote waliohudhuria

wamejitambulisha akiwemo na mjumbe mpya ambaye ni kikao chake cha kwanza Mr. Jacob

Justus.

3. KUSAINI FOMU ZA USAJILI WA JINA LA BIASHARA

Wajumbe waliohudhuria wanasaini fomu za usajili jina la biashara (UNICOOP FARMS). Pia

kikao kinaamua kuwa wajumbe ambao hawajahudhuria watumiwe kwa njia ya barua pepe alafu

watasaini na kuituma kwa kamati ya usajili.

Page 3: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

4. RIPORT ZA KAMPUNI

a. IDARA YA HABARI.

Msemaji wa kampuni Mr. raymond chilambo amewasilisha ripoti ya idara ya habari kama ilivyo

ainishwa hapa chini:

*TAARIFA YA IDARA YA HABARI NA MAWASILIANO*

No. UGC/01/08/2016

TAARIFA RASMI YA IDARA

Utangulizi

Idara hii imeanzishwa maalum kwa ajili ya kutoa matangazo pia kufanya mawasiliano kwa niaba ya kampuni yetu.

Idara hii pia inahusika na mambo yote ya kampuni ya nayo husu kampuni yetu kwa njia ya mtandao. Pia idara hii ni

maalum kwa kuhakikisha kila mjumbe wa bodi anapata taarifa sahihi ndani ya wakati. Taarifa yeyote itakayotoelewa

kwa niaba ya kampuni kupitia idara hii ndio taarifa rasmi ya kampuni.

Shughuli zilizofanyika mpaka sasa.

Idara ya habari mbali na kutoa matangazo mbalimbali ya vikao na matangazo mbalimbali ya kampuni, pia idara hii

imefanya yafuatayo:

1. Ufunguzi wa group la kampuni la WhatsApp: UNICOOP GROUP COMPANY

2. ufunguzi wa group la viongozi: UNICOOP EXECUTIVE

3. Ufunguzi wa email ya kampuni: [email protected]

4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION

5. Ufunguzi wa YouTube channel: UNICORPGROUP

6. Ufunguzi wa Instagram page: @UNICOOP_GROUP

7. Ufunguzi wa twitter account: #UNICOOPGROUP

8. Ufunguzi wa blogs:

i. www.unicorpgroup.blogspot.com

ii. www.unicoopgroup.webpress.com

9. Kwa ajili ya kupanua soko la bidhaa za kampuni, idara ya habari pia imeingia ubia na watu wengine na

kujiunga kutengeneza page, groups na forum mbalimbali za kimasoko na kuongeza wadau wengi. Pages hizo

ni pamoja na:

a. Blogs

i. www.chilament.blogspot.com

ii. www.mauthaman.blogspot.com

Page 4: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

b. Facebook pages:

i. Chilamboentertainment

ii. Mauthaman

c. Project zilizoanzishwa na idara kwa Shughuli za masoko:

i. Soko huru (FREE MARKERT) (Facebook and WhatsApp groups)

ii. Soko huru (free market) twitter

iii. Soko huru (free market) Instagram.

Gharama.

Mpaka hivi sasa idara bado haijaanza kutumia gharama za kampuni hivyo muda si mrefu idara ndio itaanza kutenga

budget maalum kwa ajili ya Shughuli za kampuni. Ila kwa sasa kulingana na kampuni yetu ndio inaanza idara imeona

isitengeze budget maalum.

Muda

Taarifa hii ni ya ripoti ya idara kuanzia tarehe 1/7/2016 mpaka leo tarehe 14th August 2016, taarifa zingine zitatolewa

ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo au pale idara itakapoona inafaa.

Hitimisho

Idara inawashukuru wale wote waliochangia kwa namna yeyote ile kufanikiwa kwa mambo yote ya idara hata kwa

mawazo. Pia inawaahidi mambo mazuri Zaidi yanakuja kupitia idara yetu. Pia inaomba ushirikiano wa wajumbe wote

ili tufanikiwe dhamira yetu.

MUNGU AWABIRIKI SANA

Imetolewa na: IDARA YA HABARI

INFORMATION MANAGER (IM): Mr. RAYMOND CHILAMBO

b. TAARIFA YA USAJILI WA JINA LA BIASHARA.

Kamati ya usajili chini ya Mwenyekiti wake Mr. raymond chilambo imewasilisha taarifa ya usajili

kama ilivyoainishwa hapa chini:

*TAARIFA YA KAMATI YA KATIBA, USAJILI NA MAENDELEO*

No. UGC/01/08/2016

TAARIFA YA USAJILI WA JINA LA BIASHARA

Utangulizi

Page 5: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

Mnamo tarehe 26/7/2016 Kamati yetu ilianza usajili wa jina la biashara ambalo linakwenda kutumika katika biashara

yetu ya kilimo cha mazao, usajili huu ulifanyika kwa njia ya mtando (online) ambapo kwa mujibu wa sheria, mtandao

w serekali wa kusajili majina ya biashara BRELLA uliotumika.

Mchakato (process)

Kwenye usajili huu taarifa mbalimbali za wajumbe zilihitajika ikiwemo mahali ambapo wanaishi namba za simu

pamoja na namba za simu za kila mjumbe ambapo vyote vilipatikana japo nje ya wakati.

Usajili huu uliofanywa kwa njia ya mtandao ulihusisha taarifa zifuatazo:

1. Jina la biashara: UNICOOP FARMS

2. Shughuli za biashara: FARMING AND SELLING AGRICULTURE PRODUCTS

3. Aina ya usajili: PARTNERSHIP BUSINESS

4. Jumla ya idadi ya wajumbe waliosajiliwa kama partners: NANE (8)

5. mahali biashara ilipo: KIGAMBONI FERI

6. majina ya wajumbe waliosajiliwa:

a. INNOCENT PETER NINDWA

b. ERICK GODFREY ELIDIUS

c. IRENE ANDREW MDOE

d. RAYMOND LESLEY CHILAMBO

e. PAUL MIZAH CHARES

f. JALIA IDRISA NURUH

g. DICKSON ELIZEUS PASTORY

h. SULEIMAN MAGALIA

(Note: kwa wajumbe mapya; JACOB JUSTUS & LAMECK CHACHA, majina yao yanatarajiwa kuongezewa baada

ya usajili Kutokana kwa sasa system hairuhusu kuongeza wajumbe kwa sasa.)

Gharama.

Kamati imetumia jumla ya shilingi 5000/= kwenye gharama za mtandao kwa ajili ya usajili mpaka sasa.

Maendeleo (progress)

Kwa mujibu wa Msajili, jina limeshakubaliwa na sasa imebakia kusaini fomu ambayo imeambatanishwa hapa chini

pamoja na kulipia ili usajili ukamilike.

Muda

Taarifa hii ni ya ripoti ya usajili kuanzia tarehe 1/7/2016 mpaka leo tarehe 13th August 2016, taarifa zingine zitatolewa

ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo au pale kamati itakapoona inafaa.

Hitimisho

Kamati inawashukuru wale wote waliohusika kukamilisha au kufikia hapa na pia inawashukuru wajumbe wote kwa

kutuma taarifa zao.

Wajumbe wamehakiki na kupitisha taarifa hizi zilizoainishw hapo juu.

Page 6: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

5. UWASILISHWAJI WA MIPANGO YA MUDA MREFU

Kamati ya mipango na maendeleo chini ya Mwenyekiti wake Mr. raymond chilambo inawasilisha

mikakati na mipango ya kampuni ambayo itachukua miaka 20 ya utekelezaji. Kama ilivyoainishwa

hapa chini,

INTRODUCTION Unicoop group company started after a group of individuals decided to join and formulate the

particular company, the idea was initially founded by ten individuals who then formulate the

company so as to fulfil their long dreams of their lives. The company base particularly in business

and services as well as social service assistance to the founding members of the company. Among

the plan of the company is to make sure quality products and best services are provided to the

Tanzanian people and the whole world in general so as to help eradicating poverty in developing

countries. Also the company aim on becoming the leading company in the world on providing

employment opportunities.

The name UNICOOP, as explained in the company constitution, Unicoop is the acronym of the

two words “unity” and “cooperation” together to form UNICOOP. Which means unity and

cooperation.

The company expected to undertake its activities in two (2) broad levels namely, primary level

and secondary level. In that case, every level will be done within the duration of ten (10) years

whereas in general will make the total of twenty (20) years. Within the time being every member

will be allowed to send any proposal of any business to be carried out by the company.

Primary level will be done in two (2) phases, such as phase one (production) which will be

undertaken in the period of five (5) years and phase two (transportation & distribution) which also

will be done in five (5) years. Therefore, phase one will only base on primary production of

Page 7: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

commodities such as agriculture and pastoralism products. And phase two will mainly be based

on transportation of commodities from one area to another.

Secondary level also will be done with two (phases) such as, (phase three) services which will

take also (5) years and (phase four) industries which will be the highest aim of the company also

will be done in a timeframe of five (5) years.

In every year the company will prepare some amount for the start of the new following phase. And

even the other phase will be in action while the previous phase will continue to be operational

without stopping.

LEVEL SUB- LEVEL TIME (YEARS) TOTAL TIME

(years)

PRIMARY Phase one (PRODUCTION) 5

Page 8: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

PRIMARY LEVEL This will be the first step of the company where the company will mainly base on production of

primary production such as agricultural activities and pastoralism and later in this level the

company will engage in transportation of products produced by the company and also products

that are not produced by the company.

1) FIRST PHASE (Production).

In this phase the company will base mainly on production of agricultural products and pastoralism.

This phase also will include owning of some areas for investments and area for storing company’s

products.in farming the company will have the following long term plans:

a. Farming.

Farming will be undertaken with three main steps and activities.

i. Small scale monoculture.

small scale monoculture, here the company will produce particular crop so as to generate more

capital, this investment is expected to be a rented area were the first company production activities

will be starting and acquire how the production process will be undertaken.

ii. Medium extensive scale horticulture

This will be the second investment where the company will decide whether to proceed with the

previous crop or start a new one or both but more modern way of production will be applied and

Phase two (TRANSPORTATION) 5

20

SECONDARY Phase three INDUSTRIES 5

phase four SERVICES 5

Page 9: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

more area but also purchasing some of the areas so as to minimize cost of production. This step

also will involve the production of different areas. The company is expected to invest not less than

ten (10) hectors. This production will extend within the specific amount of time until the company

reaches 100 hectors on cultivation of different commercial crops.

iii. Green house farming & extensive/ intensive farming.

In this phase this will be the greatest level as the company stars producing with green house

technologies which will maximize profit and minimize cost. In this step the company will invest

more in modern agricultural technology in production as the use of tractors, water tanks,

greenhouses, planting machines, irrigation systems and water pumps etc. also this will include the

purchase of godowns for storage in different areas around and outside the country for the

production will be too high.

b. Pastoralism.

During phase one also the company will be engaged in keeping animals for the purpose of business

activities. In this sector the company will divide the capital enough for animals keeping in modern

way this will include three areas such as:

i. Animals keeping

The company will keep cattle’s such as cows’, goat’s, sheep’s and any animals which will be

decided by the board for the production of milk, skin, meat and fertilizers. the company will

possess some ranches in different areas for animals keeping.

ii. Birds keeping.

Page 10: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

This will involve the keeping of chicken and other birds for eggs production and meat for the

business that will be involved within this phase. This also will be done in a very modern way so

as to increase production and minimization of cost.

iii. Fish farming

Due to the market purposes the company also will engage in production of fish for selling and this

will be done in a very modern way and intensively.

2. SECOND PHASE (Transport and distribution).

This is the second phase which will be deployed soon after 5 years of production. This phase will

help the growing of 1st phase and will involve the increase of market. After the success of phase

one this phase will immediately put on action. This phase is expected to start within 5-10 years

where it will involve the transport investment that includes buying of some transportation vehicles.

This phase will operate in three different aspects.:

a. Transportation of goods

The company will be involved in transportation of goods from area of production to the market

area. This will involve both products that are produced by the company and goods that are not

produced by the company. This will include the following aspects.

Guta, three legged motorcycles.

Carry truck,

Canter,

Fuso, trucks

Page 11: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

Ships and boats.

Train, E.tc

b. Transportation of people

The company also will be involved in the transportation of people business which will be within

and outside the country. And this will operate also in three levels such as regional level where it

will involve taxi transportation, daladala, inter-district transportation (costa) and bodaboda.

National level which will involve the transportation of people from one region to another (bus

services). International level which will involve transportation of people to different countries.

Later this business will involve air transportation. Thus this aspect will involve

bodaboda,

Bajaj

Taxi

Daladala (costa)

Buses (coaches)

Boats

Electrical trains

Ship

Helicopter

Airplane

c. Distribution of commodities

The company will be involved in distribution of different commodities, this will involve

importation and exportation of goods from one area to another all over the world. This will include:

i. Car dealers

Page 12: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

Selling of different cars and importation of vehicles

ii. Import and export of goods.

iii. Distribution of goods.

iv. Online store

SECONDARY LEVEL After the success of primary level, the company will be advanced into secondary level of business

which will also be taking ten years to make the total of 20 years of operation. This level will

transform the company from local level to advanced investment. This level also is divided into two

phases such as:

1) Phase three (services).

In this phase the company will emphasize on investing in social services businesses which will

include opening of different service centers such as:

a. Service centers

Here the company will involve;

Page 13: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

i. Schools, colleges and Universities

ii. Sports academies

iii. Sports teams and grounds

iv. Hotels.

v. Monetary centers

1. Banks

2. Saccoss

b. Communication

This will involve the opening of a cellular network and network provider.

2) Phase four (Industries).

In this phase the company is expected to start different industrial level and type. These industries

will be producing different products and they will be located in different areas around the globe

these industries will be started according to the body likeliness due to the need at that particular

time. These industries will be divided into to three aspects:

a. Processing industries.

These are industries which will be operating to process some of the products to both finished goods

and industrial use. Some of these industries will base on agricultural products which will base on

packaging and other activities, all of these will be decided by the board.

b. Manufacturing Industries.

Manufacturing industries will be started and will base on manufacturing of different commodities

and refinery of some products including oil and sugar.

Page 14: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

c. Assembling industries.

This will be trademarks industries which will be operated in different parts of Africa, this will

include car assembling industries, mobile phones, computers and drinks.

FINANCIAL PLAN In this area the plan base on financial activities which are expected to be applied on the company

so as to fulfill the desire of the company goals.

This part explains the revenue and expenditure that are expected to be used in every level of

production. N. B this area only shows monetary expectation and does not business plans of the

company.

This plan here ender used the onion plantation and selling business and this does not obligate that

the business will be changing according to the board’s decision.

Financial distribution.

The company is expected to distribute the profit before tax as explained here under.

Capital Investment

(salary later)

Revenue liability revenue Profit

5,000,000/= 5,000,000/= 20,000,000/= 5,000,000/= 15,000,000/= 10,000,000/=

Profit distribution for the first year.

PERCENTAGE

50% 20%

30% 40% 10% 10% 10%

Page 15: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

DISTRIBUTION

CAPITAL

GAIN

OFFICES

INITIATIVES

WELFARE

INCENTIVES

TO OWNERS

PROFIT TO

INVESTMENT

OF OWNERS

For the first

investment.

10,000,000/=

4,000,000/= 1,000,000/= 1,000,000/= 1,000,000/= 3,000,000/=

TOTAL =10,000,000/=

NOTE: this expectation is provided under the following assumptions

1. The price of 1 bag of onions is 100,000/= Tshs

2. Every heka produce 100 bags of onions

3. The company will produce onions for five years.

Level

investment

Sub- level Biashara Capital amount Year of

investment

Description Revenue

Primary

Production

farming

Onions

5,000,000/=

1st

Onion cultivation first

investment

20,000,000/=

9,000,000/=

2nd

Onion cultivation first

investment

40,000,000/=

17,000,000/= Second investment 80,000,000/=

33,000,000/= Third investment 160,000,000/=

Projection of profit primary level (tax included)

1st year 2nd 3r Total

1st investment 2nd investment 3rd investment 1st investment 2nd investment 3rd investment

Capital 5,000,000/= 10,000,000/= 20,000,000/= 40,000,000/= 80,000,000/= 160,000,000/= 320,000,000/= 635,000,000/=

Revenue 20,000,000/= 40,000,000/= 80,000,000/= 160,000,000/= 320,000,000/= 640,000,000/= 1,280,000,000/= 2,540,000,000/=

Profit b4 tax 10,000,000/= 20,000,000/= 40,000,000/= 80,000,000/= 160,000,000/= 320,000,000/= 620,000,000/= 1,250,000,000/=

Investment

gain 5,000,000/= 10,000,000/= 20,000,000/= 40,000,000/= 80,000,000/= 160,000,000/= 320,000,000/= 635,000,000/=

40% 4,000,000/= 8,000,000/= 16,000,000/= 32,000,000/= 64,000,000/= 128,000,000/= 256,000,000/= 508,000,000/=

10% 1,000,000/= 2,000,000/= 4,000,000/= 8,000,000/= 16,000,000/= 32,000,000/= 64,000,000/= 282,000,000/=

20% 2,000,000/= 4,000,000/= 8,000,000/= 16,000,000/= 32,000,000/= 64,000,000/= 128,000,000/= 254,000,000/=

30% 3,000,000/= 6,000,000/= 12,000,000/= 24,000,000/= 48,000,000/= 96,000,000/= 192,000,000/= 381,000,000/=

Tax (30%) 900,000/= - - 12,600,000/= - - 100,800,000/= 114,300,000/=

Profit after

tax (year) 2,100,000/= - - 29,400,000/= - - 235,200,000/= 266,700,000/=

4th year 5th year Total

Page 16: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

Key:

40% = capital gain

20% = welfare

30% = profit

10% = office initiative.

Tax = 30% of the profit. (of the 30% profit)

From the table above the following are the important description:

1) Capital

This will include the following aspects.

Production amount used at the farm which will include seed, employee

salary, fertilizers, green houses, water cost, etc.

Transportation cost

Managing costs

Land rental fee and buying

Storage

Petty cash for the administration activities

Etc.

2) Revenue

All of the income that is collected after the investment see table below.

Revenue table.

1st investment 2nd investment 3rd investment 1st investment 2nd investment 3rd investment 5 investments

Capital 640,000,000/= 1,280,000,000/= 2,560,000,000/= 5,120,000,000/= 10,240,000,000/= 20,480,000,000/= 40,955,000,000/=

Revenue 2,560,000,000/= 5,120,000,000/= 10,240,000,000/= 20,480,000,000/= 40,960,000,000/= 81,920,000,000/= 163,820,000,000/=

Profit

before tax

1,280,000,000/= 2,560,000,000/= 5,120,000,000/= 10,240,000,000/= 20,480,000,000/= 40,960,000,000/= 81,890,000,000/=

Investment

gain

(salary)

640,000,000/= 1,280,000,000/= 2,560,000,000/= 5,120,000,000/= 10,240,000,000/= 20,480,000,000/= 40,955,000,000/=

40% 512,000,000/= 1,024,000,000/= 2,048,000,000/= 4,096,000,000/= 8,192,000,000/= 16,384,000,000/= 32,764,000,000/=

10% 128,000,000/= 256,000,000/= 512,000,000/= 1,024,000,000/= 2,048,000,000/= 4,096,000,000/= 8,460,000,000/=

20% 256,000,000/= 512,000,000/= 1,024,000,000/= 2,048,000,000/= 4,096,000,000/= 8,192,000,000/= 16,382,000,000/=

30% 384,000,000/= 768,000,000/= 1,536,000,000/= 3,072,000,000/= 6,144,000,000/= 12,288,000,000/= 24,573,000,000

Tax (30%) - - 806,400,000/= - - 6,451,200,000/= 7,371,900,000/=

Profit after

tax (year) - - 1,881,600,000/= - - 15,052,800,000/= 17,201,100,000/=

Net profit

(five years) 17,201,100,000/=

Page 17: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

Investment

Years 1st 2nd 3rd

1st 20,000,000/=

2nd 40,000,000/= 80,000,000/= 160,000,000/=

3rd 320,000,000/= 640,000,000/= 1,280,000,000/=

4th 2,560,000,000/= 5,120,000,000/= 10,240,000,000/=

5th 20,480,000,000/= 40,960,000,000/= 81,920,000,000/=

Total. 163,820,000,000/=

3) Profit before tax

This is the amount that’s remain after deducting only

Capital used

Investment gain

4) Investment gain.

This is the amount that will be taken from profit before tax which will be the same

amount as capital used so as to pay allowance to the board of directors and for the

following phase investment. i.e. phase two.

The development and constitution advice the board to be given allowances so as to

be able to provide to their family as shown in the table below.

YEAR Investment Investment gain

amount

Allowance

amount

Phase two

investment

amount.

Total amount

of @

individual.

Monthly

amount.

1st 1st 5,000,000/= 5,000,000/= 0/= 500,000/= 160,000/=

2nd

1st 9,000,000/= 5,000,000/= 4,000,000/= 500,000/= 160,000/=

2nd 17,000,000/= 10,000,000/= 7,000,000/= 1,000,000/= 330,000/=

3rd 33,000,000/= 20,000,000/= 13,000,000/= 2,000,000/= 660,000/=

3rd

1st 65,000,000/= 40,000,000/= 25,000,000/= 4,000,000/= 1,320,000/=

2nd 129,000,000/= 80,000,000/= 49,000,000/= 8,000,000/= 2,640,000/=

3rd 257,000,000/= 160,000,000/= 97,000,000/= 16,000,000/= 5,280,000/=

Page 18: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

4th

1st 513,000,000/= 320,000,000/= 193,000,000/= 32,000,000/= 10,560,000/=

2nd 1,025,000,000/= 640,000,000/= 385,000,000/= 64,000,000/= 42,000,000/=

3rd 2,490,000,000/= 640,000,000/= 1,850,000,000/= 64,000,000/= 21,120,000/=

5th

1st 4,097,000,000/= 640,000,000/= 3,457,000,000/= 64,000,000/= 42,000,000/=

2nd 8,193,000,000/= 640,000,000/= 7,553,000,000/= 64,000,000/= 42,000,000/=

3rd 16,385,000,000/= 640,000,000/= 15,745,000,000/= 64,000,000/= 42,000,000/=

Total: 13 32,777,000,000/= 5,760,000,000/= 29,378,000,000/= 576,000,000/= 210,230,000/=

From the table above the committee advice that the investment gain amount will be distributed

into two areas where the amount for allowance and amount for next phase investment. These

allowance will commence at the fiscal year 2012/2018 where every month the directors will be

given allowance.

5) Capital gain (40%).

This is the amount that will be added into the existing capital for the new investment

for increase of the capital.

6) Welfare.

This is the monetary organization as explained in the company constitution which

will organize and solve the board member’s problems and ceremonies.

7) Profit & loss (30%)

This is the taxable profit after deducting all the company’s deductions.

8) Office initiative (10%)

This amount will be used as office initiative for renting and building companies

office so as to operate in more professional way this also will be used to buy office

equipment’s of the company such as computers, stationary equipment’s and other

necessary equipment.

Page 19: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

9) Tax (30%)

This is government deduction as in company act of the Tanzanian government.

10) Profit after tax

This is the actual amount of the profit that is distributed to the board. This is the

amount that will be distributed to the board each year as the profit after deducting

every necessary deduction. The distribution will be divided accordingly to every

board member of the company recognized by the constitution.

SECOND PHASE FINANCIAL PROJECTION.

At this level the company is expected to invest the capital of 15,000,000/= USD (30,000,000,000/=

Tshs.). where this phase is expected to be collected from investment gain above where the

company will get 29,378,000,000/= Tshs. (14,689,000/=USD.) from company’s investments of

phase one. The remaining amount will be added by the board of directors. 622,000,000/=

(311,000/= USD)

Financial plan.

In the table below shows the total asset that will be owned by the company this only includes

capital after five years and cash for investment from investment gain.

Asset (mali) Cash for investment

32,777,000,000/= 33,532,000,000/=

Page 20: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

Total

capital: 74,487,000,000/=

In this investment company will categorize into two categories such as:

Investment type Starting capital

Goods transportation (logistic) 22,000,000,000/=

People transportation 11,532,000,000/=

GOODS TRANSPORTATION &

DISTRIBUTION. This investment will base on transportation of goods which will include the buying of trucks and

cars which will be used in transportation of commodities. This trucks will include containerized

semi-trailers and also refrigerated trailers and also oil transportation vehicles. Also this will include

small cars and trucks for inter-regional transportation of commodities.as explained here under.

This investment also will include buying and selling of commodities that are not produced by the

company and also will include the buying and selling of commodities at different areas.

Investment

asset

Cost @ Capital allocated Offices and yards Operation and

insurances.

Total

Semi-

trailers

200,000,000/= 8,000,000,000/= 4,000,000,000/= 2,000,000,000/= 14,000,000,000/=

Trucks 70,000,000/= 3,500,000,000/= 1,000,000,000/= 1,000,000,000/= 5,500,000,000/=

Small

trucks

10,000,000/= 500,000,000/= 500,000,000/= 500,000,000/= 1,500,000,000/=

Three

legged

cycles.

5,000,000/= 400,000,000/= 300,000,000/= 300,000,000/= 1,000,000,000/=

TOTAL 285,000,000/= 10,400,000,000/= 5,800,000,000/= 3,800,000,000/= 22,000,000,000/=

Page 21: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

PEOPLE TRANSPORTATION The company also is expected to start the transportation of the people from different parts of

Tanzania and outside the country. This will involve bus services, daladala and bodaboda. And

also the allocation of the capital will be distributed according to the necessity of the company.

As according to the table below it shows how the capital will be distributed according.

Investment

asset

Cost @ Capital allocated Offices and yard Operation and

insurance

Total.

Coach

services

200,000,000/= 3,000,000,000/= 1,000,000,000/= 1,500,000,000/= 5,500,000,000/=

Bus

services

70,000,000/= 2,000,000,000/= 500,000,000/= 1,000,000,000/= 3,500,000,000/=

Bodaboda 2,000,000/= 432,000,000/= 200,000,000/= 600,000,000/= 1,232,000,000/=

Taxi 10,000,000/= 500,000,000/= 300,000,000/= 500,000,000/= 1,300,000,000/=

TOTAL 282,000,000/= 4,400,000,000/= 2,000,000,000/= 3,600,000,000/= 11,532,000,000/=

From the above two investments the company is expecting to receive revenue as expected below

in each investment for five years.

1) Semi-trailer business.

2) Trucks business

3) Small trucks business

4) Three legged motorcycles.

5) Coach bus services business.

This is expecting to assume the following assumptions.

a. The route will be DAR-ES-SALAAM to MBEYA

b. The fare (transportation fees) 40,000/=

c. The starting working coach buses will be 10.

d. The total number of seats per bus is full 40 seats.

e. The projection will be cover 5 working years.

REVENUE PER DAY PER MONTH PER YEAR FIVE YEARS.

16,000,000/= 496,000,000/= 5,952,000,000/= 29,760,000,000/=

6) Street bus services business

This will expect to assume the following assumptions

a. The working vehicles are 20.

b. Every vehicle brought 100,000/= @ day.

c. All vehicles will be in operation for 5 years.

REVENUE PER DAY PER MONTH PER YEAR FIVE YEARS

Page 22: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

2,000,000/= 62,000,000/= 744,000,000/= 3,720,000,000/=

7) Taxi bus services business

This will assume the following assumptions.

a. The working vehicles are 50

b. Every vehicle brought 200,000/= @ week

c. All vehicles will be operation for 5 years.

REVENUE PER WEEK PER MONTH PER YEAR FIVE YEARS

10,000,000/= 40,000,000/= 480,000,000/= 2,400,000,000/=

8) Bodaboda services business.

This business also assumes

a. Every bodaboda brought 50,000/= @ week

b. The working bodaboda are 200 operational

c. All vehicles are working for 5 consecutive years.

REVENUE PER WEEK PER MONTH PER YEAR FIVE YEARS

10,000,000/= 40,000,000/= 480,000,000/= 2,400,000,000/=

SECONDARY LEVEL FINANCIAL PLAN This level is expected to start after the success of level one. Up to this point the company will start

to invest with intense capital. This will include heavy and huge investments of money time and

ideas. This investment will be undertaken in a space of 10 years of time. This investment will also

be divided into two phases as stated above i.e. phase three and phase four.

PHASE THREE (SERVICES) this is expected to start with 1,000,000,000,000/= Tshs. Where

this amount of money will be accumulated over a period of ten years of different investments. This

investment will pose on social services and they will be divided into two main parts as explained

in the table below.

INVESTMENT SOCIAL

SERVICES

MEDIA &

ENTERTAINMENT

NO. OF

YEARS

TOTAL

AMOUNT 500,000,000,000/= 500,000,000,000/=

SUB-

CATEGORIES

Hotels Studio

Schools Radio station

Colleges TV station

Universities Sports teams

Super markets Football team

Page 23: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

OF

INVESTMENTS

Market cities Cinema centers

5

1,000,000,000,000/= Banks Kids centers

Shops, boutique

and fashion

Gaming centers

Bars, groceries and

restaurants.

Betting investments

Etc. Distribution

Etc.

Phase four (industries), this phase will include all types of industries and communication. This

level of investment will use 10,000,000,000,000/=Tshs. Which will be distributed as in the table

below:

Communication Processing

industries

Manufacturing

industries

Assembling industries &

trademarks

Refinery

industries

Sub

investments

Cellular network juice Textile

industries

Computers oil

Internet provider Soda Jeans industries Mobile phones gas

Monetary services Water Soap Cars salt

Ice cream Shoes Home theatre sugar

oil

Gas

Beer

Etc.

Conclusion

The plan might seem very huge but if we all work hard we can achieve our goals, we believe that

every person has been given a purpose in this word our purpose is to make our lives very much

better in many ways. Even huge companies like Microsoft, apple, dell, Bakhresa, Mohamed Dewji,

to mention a few they didn’t start and become huge and successful companies they start with ideas

and now they are where they are, let’s do this lads, everything is possible if we all believe in one

another.

Page 24: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

DISCLAIMER.

This plan is to be used by the board of UNICORP GROUP OF COMPANIES ONLY.

PREPARED BY CONSTITUTION, DEVELOPMENT AND PLAN COMMITTEE

WITH RESPECT OF Mr. RAYMOND CHILAMBO & Mr. LAMECK CHACHA & Mr. JACOB JUSTUS

Page 25: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

Wajumbe wameipitisha mipango hiyo na kukubaliana kuwa na wakuu wa idara kwa ajili ya

utekelezaji kama ilivyoainishwa hapa chini

COMPANY DEPARTMENT STRUCTURE DEPARTMENTS AND COMPANIES UNDER UNICORP GROUP

a. AGRO COMPANIES (Chief executive director: Ms. Jalia Idrisa Nuruh.)

i. Unicoop farms

Agriculture products

Farming

Greenhouses

plantations

ii. Unicoop livestock & co.ltd

Animals keeping

Chicken keeping

ranches

iii. Milling and packaging co.ltd.

iv. Unicoop processing industries

b. TRANSPORT AND LOGISTIC COMPANIES (CED: Mr. Lameck Chacha)

i. Unicoop transports & co ltd

Cargo transportation.

ii. Unicoop bus services co ltd

iii. Unicoop daladala co ltd

iv. Unicoop taxi services ltd

v. Uniboda co ltd

vi. Unicoop marine co ltd

vii. Unicoop airline ltd

c. SOCIAL SERVICES COMPANIES (CED: Mr. Dickson Elizeus & Mr. Paul Mizzah)

i. Unicoop schools & co ltd

Primary schools

Secondary and high schools.

Page 26: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

ii. Unicoop colleges ltd

iii. Unicoop university

iv. Unicoop bank & co ltd

v. Unicoop boutique and fashion co.ltd

vi. Unicoop hotels, lodges ltd

vii. Unicoop stationaries

viii. Unicoop market city.

ix. Unicoop barbershops

x. Internet cafes

xi. Day care centers

xii. Restaurants.

d. UNICOOP MEDIA (CED: Mr. Raymond Chilambo & Mr. Jacob Justus)

i. Unicoop studios & co ltd

ii. Unicoop television.

iii. Unicoop books and distribution co. Ltd

iv. Unicoop sports club

v. Unicoop football club

vi. Unicoop sports academy.

vii. Unicoop night & cinema clubs

viii. Betting co & limited

ix. Gym and fitness centers

x. Gamming centers

xi. Decoration & concerts.

xii. Publishing

xiii. Online stores

xiv. Game development and designs

xv. Law firms.

e. UNICOOP INDUSTRIES (CED: Mr. Erique GodFrey & Ms. Irene Mdoe)

i. Uni textile co ltd

ii. Unicoop jeans & co.ltd

iii. Unicoop assembling industries

iv. Unicoop beer division &co.ltd

v. Unicoop soft drinks division

vi. Unicoop water division

vii. Unicoop packaging co.ltd

viii. Unicoop mobile assembly & co.ltd

ix. Unicoop mobile assembly

x. Shoes division

Page 27: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

f. COMMUNICATION (CED: Mr. Suleiman Magalia)

i. Cellular network

g. TRADE AND REAL ESTATE (CED: Mr. Innocent Peter)

i. Buildings and construction

ii. Import and exportation trade co.ltd.

iii. Tourism

iv. Lumbering and furniture

v. Real estate agency

vi. Real estate developers

Wajumbe wanaafiki mipango na mikakati hiyo na kuendeleza na ajenda nyingine.

6. BAJETI ZA KAMATI.

a. Kamati ya usajili mipango na maendeleo inawasilisha bajeti yake kwa mwaka

2016/17 kama ilivyoainishwa hapa chini:

BUJETI YA KAMATI.

Hii ni bajeti ambayo kamati ya Katiba, usajili, mipango na maendeleo itatumika kutumia ili

kufanikisha malengo yake. Kamati hii inatarajia kukamilisha mipango yake iliyojiwekea ndani ya

mwaka huu wa fedha 2016/2017 ikiwemo usajili wa kampuni, usajili wa jina la biashara, usajili

wa Tax Identification Number (TIN) pamoja na leseni ya biashara. Pia kamati inatarajia

kukamilisha Katiba ya kampuni na kuichapisha kwa ajili ya kila mjumbe wa kamati kuu. Kamati

pia inashughulikia kupatikana kwa offisi ya kampuni ambapo itakuwa inatumika kama

headquarters (HQ) ya kampuni.

Budget hii imegawanyika katika makundi matatu,

1. USAJILI

Kwenye usajili kamati inatarajia kusajili kwa kutumia Mchanganuo ulioainishwa kwenye jedwali

hapa chini:

Shughuli Kiasi Mchanganuo Jumla

maelezo Kiasi

30,000/= JINA LA

BIASHARA

(business name)

30,000/= Usajili wa jina brella 20,000/=

Nauli 5,000/=

Usajili wa jina online 3,000/=

Kuprint na kuscan document za

kusainiwa na wajumbe

2,000/=

Usajili wa tax

identification

number (TIN)

5,000/= Usajili TRA Bure (free)

5,000/= Nauli 5,000/=

Page 28: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

Usajili wa

kampuni

750,000/= Usajili wa kampuni brella kupitia big

result organization

720,000/=

750,000/= Nauli 10,000/=

Dharula 20,000/=

Usajili wa leseni

ya biashara

155,000/= Usajili wa leseni 150,000/= 155,000/=

Nauli 5,000/=

Total

940,000/=

2. KATIBA YA KAMPUNI.

3. OFFISI YA KAMPUNI.

Bado kamati inafanya utafiti ni sehemu gani itafaa pamoja na gharama zitakazo tumika

kupangisha jengo la office ya kampuni.

Kulingana na jedwali yaliyopo hapo juu budget ya kamati ya Katiba, usajili, mipango na

maendeleo kwa ujumla wake imeanzishwa hapa chini.

KITENGO KIWANGO CHA FEDHA

USAJILI 940,000/=

KATIBA 50,000/=

OFFICE IN PROGRESS…

JUMLA 990,000/=

Kwa mwaka wa fedha 2016/2017, kamati ya Katiba, usajili, mipango na maendeleo inatarajiwa

kuwa shilingi laki tisa na tisini tu. (990,000/=)

Imeandaliwa na kamati ya:

KATIBA, USAJILI, MIPANGO NA MAENDELEO

2016/2017

Shughuli Mchanganuo Kiasi Jumla

KATIBA YA

KAMPUNI

Uchapishaji 4000/=@ copy X 10 copies

40,000/=

Cover 1000/=@copy X 10 copies 10,000/=

Total 5000/= @copy X 10 copies 50,000/=

Page 29: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

Kwa heshima ya:

MR. RAYMOND CHILAMBO, MR. JACOB JUSTUS &

MR. LAMECK CHACHA

Wajumbe wote wamekubaliana na kupitisha bajeti hii ya kamati ya mipango kwa mwaka huu wa

2016/17.

b. Kamati ya biashara kupitia Mwenyekiti wake Mr. Dickson Elizeus amewasilisha

kama ilivyoainishwa hapa chini

THE FIRST DRAFT FOR BUSINESS PLAN.

(I) TIPS

Here we shall analyses the whole compelling story about our business, by explaining WHO, WHY,

HOW, WHAT, WHEN, and WHY. The plan will define specific business objective, and goals

with General parameters to guide our company.

NOTE: This business plan will be updated timely.

(II) (II). CONTENTS

A) Business Description and Visions

B) Definition of The Market

C) Description of Products and Services

D) Organization and Management of the business.

E) Market and Sales Strategies

F) Financial Management

G) Operational production location

H)

Now the first draft that is presented to you by the chairperson of the committee made up of Jalia,

Erick, Irene, Dickson

Is the following

A) BUSINESS DESCRIPTION AND VISIONS

Here the business will fallow the main goal or general goals from the development and plan

committee. Driving to achieve goals, directed by missions and visions of UNICOOP GROUP

COMPANY

B) DEFINITION OF THE MARKET

Page 30: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

The targeted markets for ONIONS will be:

1. Dar Es salaam for domestic uses .it will take place in

a. public markets such as temeke srerio k/koo, Manzese, Mabibo, Buurui

2. institutions and organization like hospitals, schools and colleges. prisons forces, hotels, Army

camps

3. Madalali. This will take place from farm.

C) DESCRIPTION OF PRODUCTS AND SERVICES

our product will be RED ONIONS

We believe will be better for they will be technically produced by the professional

farmers

The company will afford it since its capital is within our abilities

Researched prices:

a. Madalali=100000tsh/ one suck or bag

b. public market 1000tsh/kg mean price

D) ORGANIZATION AND MANAGEMENT

Here the plan shall be updated by the general meetings who to manage it with the assistance of

the watchman and the and the technician.

E) MARKETING AND SALES STRATEGIES

The markets have been identified in C above. The markets are reliable and the marketing

committee shall be formed to achieve goals.

This committee should make sure they meet our estimated prices to avoid losses.

F) FINANCIAL MANAGEMENT

Here is where the heart of our business is. We have planned to invest about 2.5 million per hector

The costs will start immediately in September 2016. This committee has drowned the cost

schedule from January to March 2017 accordingly. Consider the table below

G) BUSINESS LOCATION AND OPERATIONS

The whole farming activities will take place in KILOSA MOROGORO TANZANIAN. It will

have one permanent employee. The man/ woman will work as the agricultural technicians and

the farm supervisor.

"THE END"

Page 31: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

COST SCHEDULE

January February March

Shughuli Kiwango (Tshs) Shughuli Kiwango (Tshs) Shughuli Kiwango (Tshs)

Kuandaa shamba 200,000/= Palizi 100,000/= Palizi 100,000/=

Mbegu 175,000/= Maji Maji

Kusia mbegu 10,000/= Msimamizi Msimamizi

Kutunza kitalu 30,000/= Dharula 100,000/= Kuvuna 200,000/=

Maji Kupakia kwenye magunia

Msimamizi Dalali

Upandaji 200,000/= dharula 100,000/=

Dawa 75,000/=

Mbolea 200,000/=

Vifaa 200,000/=

Usafiri 50,000/=

Dharula 100,000/=

Total 1,040,000/= 200,000/= 400,000/=

Grand total 1,640,000/=

Wajumbe wamekubaliana kupitisha bajeti hiyo na kuwapa muda wa kukamilisha badget hiyo ili

iweze kuwa yakinifu.

Pia wajumbe wamekubaliana kukusanya pesa kwa ajili ya kukodi shamba ambalo linatakiwa

kukodi mwezi wa tisa mwaka huu 2016. Wajumbe wamekubaliana kuwa pesa hii itakusanywa

kwa Mwenyekiti wa kamati ya biashara Mr. Dickson Elizeus. Wajumbe wote wameagizwa

kukusanya michango ya mwezi wa nane kwenda kwa Mr. Dickson Elizeus.

7. KUMALIZIA KATIBA

Wamepitisha Katiba ambayo imekamilishwa na kamati ya Katiba. Kwa kupitia mjumbe wa kamati

hiyo bwana Jacob Justus, wajumbe wamehakiki vifungu vilivyokuwa vinahitaji marekeisho na

kupitisha Katiba hiyo.

8. ANY OTHER BUSINESS

Page 32: TAARIFA YA KIKAO CHA NAMBA UGC/O09/P04/2016 1 ......Ufunguzi wa email ya kampuni: unicorpgroup2016@gmail.com 4. Ufunguzi wa page ya Facebook: UNICOOPFOUNDATION 5. Ufunguzi wa YouTube

Katika Mengineyo wajumbe wote wameshauriwa kufanya kazi kwa bidii ili kukamilisha mipango

na mikakati ya kampuni ndani ya muda. Pia wajumbe wameshauriwa kuchangiwa michango ndani

ya muda ili kukamilisha mipango ndani ya wakati.

TAARIFA HII YA KIKAO CHA NNE (4) IMETOLEWA NA NAIBU KATIBU MKUU

MS. JALIA IDRISA NURUH

TAREHE: 30TH AUG 2016