somo la 5 kwa ajili ya februari 2, 2019divai.’”(ufunuo 6:5-6) nyeusi ni kinyume cha nyeupe....

11
Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019

Upload: others

Post on 10-Oct-2020

3 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019divai.’”(Ufunuo 6:5-6) Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK

Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019

Page 2: Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019divai.’”(Ufunuo 6:5-6) Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK

FUNGU KIONGOZI

Page 3: Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019divai.’”(Ufunuo 6:5-6) Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK

Ujumbe wa Mihuri Saba ni Muhtasari wa historia ya Kanisa tangu mwanzo hadi kurudi kwa Yesu mara ya pili.

Mihuri inafuata mfano ule ule wa kihistoria alioutumia Yesu katika Mathayo 24.

MATHAYO 24 Ufunuo 6

Dalili za mapema

(4-14)

Vita, matetesi ya Vita, njaa, Tauni, Injili kuhubiriwa.

Injili kuhubiriwa, Upanga, Njaa, Tauni.

Wapanda Farasi wanne (6:1-8)

Dhiki(21-22)

Dhiki Kuu

Roho chini ya madhabahu wakilalamikia dhiki zao

Muhuri ya tano(6:9-11)

Ishara juu ya anga (29)

Jua, Mwezi, Nyota na nguvu za Mbingu

Ishara katika Jua, Mwezi, Nyota na Mbingu

Muhuri ya sita(6:12-17)Mwana wa

Adamu aonekana (30)

Ishara juu ya mbingu, dunia kuomboleza

Watu wanajificha kutoa kwenye hasira ya Mwana-kondoo

Page 4: Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019divai.’”(Ufunuo 6:5-6) Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK

ayaMwenye

uhaiFarasi Mpanda farasi Alipewa

Kipindi(BK)

1-2

3-4

5-6

7-8

wa kwanza

wa pili

wa tatu

wa nne

Mweupe

Mwekundu

Mweusi

Wa kijivu

ana uta

Alikuwa na mizani mkononi

mwake

Jina lake ni Mauti, na Kuzimu akafuatananaye

Mamlaka juu ya robo ya nchi, waue kwa upanga, kwa njaa, kwa tauni na kwa hayawani wa nchi.

Taji

Upanga mkubwa

Maelekezo juu ya gharama ya chakula

31-100

100-313

313-538

538-1517

Alipewa kuiondoa

amani katika nchi

Page 5: Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019divai.’”(Ufunuo 6:5-6) Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK

“Nikaona, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda ana uta, akapewa taji, naye akatoka, ali

akishinda tena apate kushinda.” (Ufunuo 6:2)

Muhuri ya kwanza ilifunguliwa, na Yohana aliona farasi mweupe. Naye aliyempanda alipepea kwa silaha (uta) na kushinda (taji).

Farasi huyu ni ishara ya kanisa la Awali.

Kanisa la Awali lilipokea nguvu siku ya Pentekoste na “wakaenda wakiwa washindi na kushinda”

Ni miaka 30 tu baada ya kifo cha Yesu, Paulo alisema kwamba Injili “ilihubiriwa katika viumbe vyote chini ya mbingu.” (Colossians 1:23)

Page 6: Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019divai.’”(Ufunuo 6:5-6) Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK

“Akatoka farasi mwingine, mwekundu sana, na yeye aliyempanda alipewa kuiondoa amani katika nchi, ili watu wauane, naye akapewa upanga mkubwa.” (Ufunuo 6:4)

Yesu alikuwa ametabiri kuwa Injili itakumbana na Upinzani kutoka kwa nguvu za Mwovu (Mathayo 10:34).

Himaya ya Kirumi iliua Wakristo wengi na kumwaga damu nyingi ya mashahidi tangu karne ya pili.

Mauaji yalikuwa makali wakati wa utawala wa Diocletian, Maximian, Galerius na Constantius.

Kipindi hicho kiliisha pale Constantius alipositisha mauaji.

Page 7: Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019divai.’”(Ufunuo 6:5-6) Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK

“Nikaona, na tazama, farasi mweusi, na yeye aliyempanda ana mizani mkononi mwake. Nikasikia kama sauti katikati ya hao wenye uhai wanne, ikisema, kibaba cha ngano kwa nusu rupia, na vibaba vitatu vya shayiri kwa nusu rupia, wala usiyadhuru mafuta wala divai.’” (Ufunuo 6:5-6)

Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK na 538 BK.

Njaa na umasikini vingeteketeza wafanyakazi kama kibaba cha ngano kilivyogharimu mshahara wa kazi ya siku nzima.

Biblia ilitelekezwa, na watu wakaathirika kwa njaa ya Neno la Mungu (ngano na shayiri).

Hata hivyo, bado Mungu alitoa wokovu kupitia Roho Mtakatifu (mafuta) na damu ya Yesu (divai).

Page 8: Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019divai.’”(Ufunuo 6:5-6) Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK

“Nikaona, na tazama, farasi wa rangi ya kijivijivu, na yeye aliyempanda jina lake ni mauti, na kuzimu akafuatana naye. Nao

wakapewa mamlaka juu ya robo ya nchi, waue kwa upanga na kwa njaa na kwa tauni na kwa

hayawani wa nchi” (Ufunuo 6:8)

Rangi ya huyu farasi ni rangi ya mpauko wa maiti anayeoza. Ni ishara ya kufa kiroho kama madhara ya kuitelekeza Biblia na kanuni za Injili.

Hii ni sawa na wakati wa kipindi cha ujumbe kwa kanisa la Thiatira, kanisa lililokufa kiroho.

Adhabu mpya (mauti na hayawani) zimeongezwa kwa zilizotangulia (upanga na njaa). Labda hili ni jaribio la Kiungu la kuliamsha Kanisa na kulifanya litoke katika uasi (Walawi 26:21-41).

Page 9: Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019divai.’”(Ufunuo 6:5-6) Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK

MUHURI YA TANO“Na alipoifungua muhuri ya tano, nikaona chini ya madhabahu roho zao

waliochinjwa kwa ajili ya neno la Mungu, na kwa ajili ya ushuhuda waliokuwa nao.”

(Ufunuo 6:9)

Katika Hekalu, damu ya waathirika ilimwagwa kwenye madhabahu ya kuteketeza (Walawi 4:25).

Hapo ndipo Yohana—Kiishara—aliona watu (roho, angalia 1Wafalme. 15:29) waliouawa na Kanisa la Rumi kwa sababu ya Imani zao.

Wale waaminifu walitazamwa kwa wamestahili (angalia Ufu. 3:4) na walihakikishiwa kuwa Mungu hajawasahau. Wasubiri muda mchache hadili pale kila kesi itakapoamuriwa na ndipo Kristo arudi tenan “ kumlipa kila mmoja kadri ya kazi yake.” (ufU. 22:12)

Kwa wakati huo, watafufuliwa na kuungana na “wajoli wao na ndugu zao.”

Page 10: Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019divai.’”(Ufunuo 6:5-6) Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK

11/1/1755 Tetemeko la

Lisbon

19/5/1780 Giza nene kuanziasaa 4 asubuhi

19/5/1780 Mwezi

kuonekanakutiwa damu

13/11/1833 Kuanguka kwa

kimondokikubwa

Tunaishi katika kipindi cha wakati wa Muhuri ya sita, hadi hapo kila mtu atakapoijua kweli ya Injili. Wale wanaoikataa kweli watataka kukimbia kutoka mbele ya uwepo wa Mwana-kondoo. “Na ni nani atakaeweza kusimama?”

Tutapata jibu la swali hili katika Sura ya 7.

Dalili ambazo aya hii inatabiri zilitimia vilevile kama zilivyopangiliwa:

Page 11: Somo la 5 kwa ajili ya Februari 2, 2019divai.’”(Ufunuo 6:5-6) Nyeusi ni kinyume cha Nyeupe. Usafi wa Injili ya farasi mweupe ulipotoshwa wakati wa kipindi kati ya mwaka 313 BK

“Ulimwengu unapotea kwa kukosa Injili.

Kuna njaa ya neno la Mungu. Wapo

wachache wanaolihubiri neno ambalo

halijachanganywa kwa tamaduni za

kibinadamu. Japo wanadamu wana Biblia

mikononi mwao, hawapokei mibaraka

ambayo Mungu ameiweka ndani yake.

Mungu anawaita watumishi wake wabebe

ujembe na kuupeleka kwa watu. Neno la

uzima wa milele ni lazima litolewe kwao

wanaoangamia dhambini.”

E.G.W. (Christ’s Object Lessons, cp. 18, p. 228)