s5 press release 11th april kiswahili

4
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA YA GALAXY S5 IKILENGA MAMBO MUHIMU YA WATEJA WAKE Teknolojia ya kisasa duniani, camera iliyobora zaidi sokoni, na unmatched support for fitness na kusaidia kufanya maisha ya kila siku ya wateja wa Samsung kuwa na maana zaidi” Dar es salaam, Aprili 11, 2014 - Kampuni inayoongoza kwa kutengeneza vifaa vya umeme ya Samsung imeungana na nchi nyingine duniani kuzindua simu ya mkononi mpya ya Galaxy inayojulikana kama Galaxy S5 ; simu ya kisasa na bora zaidi ya mkononi ilitengenezwa kwa matakwa ya mtumiaji Simu mpya ya Galaxy S5,nyepesi, inayofanya kazi kwa haraka na imezinduliwa rasmi siku ya leo tarehe 11/4/2014 kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dar es salaam. Simu mpya ya Galaxy S5 inamrahisishia vitu vingi mtumiaji na kumpa ujuzi kupitia features maalum anavyoweza kutumia katika shughuli zake za kila siku Akiongea na waandishi wa habari Meneja wa kitengo cha simu na teknohama wa vifaa kampuni ya Samsung Tanzania Bwn.Kishor Kumar alikua na haya ya kusema “Kupitia Galaxy S5,Samsung imevuka matarajio yetu kwa kutuletea bidhaa inayolenga zaidi matakwa ya wateja wake.” Bw. Kishor Kumar aliendelea kwa kusema “ Wateja wanataka bidhaa na simu ambazo zitawarahisishia kwa njia moja au nyingine maisha yao ya kila siku. Simu ya Galaxy S5 imetengenezwa na ubunifu wa kipekee wa hali ya juu ikiwa na vigezo vyote zinazotegemewa na watu”

Upload: lukaza2013

Post on 25-May-2017

262 views

Category:

Documents


11 download

TRANSCRIPT

Page 1: S5 Press Release 11th April KISWAHILI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA YA GALAXY S5

IKILENGA MAMBO MUHIMU YA WATEJA WAKE“Teknolojia ya kisasa duniani, camera iliyobora zaidi sokoni, na unmatched support for fitness na kusaidia kufanya maisha ya kila siku ya wateja wa Samsung kuwa na maana zaidi”

Dar es salaam, Aprili 11, 2014 - Kampuni inayoongoza kwa kutengeneza vifaa vya umeme ya Samsung imeungana na nchi nyingine duniani kuzindua simu ya mkononi mpya ya Galaxy inayojulikana kama Galaxy S5 ; simu ya kisasa na bora zaidi ya mkononi ilitengenezwa kwa matakwa ya mtumiaji

Simu mpya ya Galaxy S5,nyepesi, inayofanya kazi kwa haraka na imezinduliwa rasmi siku ya leo tarehe 11/4/2014 kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dar es salaam. Simu mpya ya Galaxy S5 inamrahisishia vitu vingi mtumiaji na kumpa ujuzi kupitia features maalum anavyoweza kutumia katika shughuli zake za kila siku

Akiongea na waandishi wa habari Meneja wa kitengo cha simu na teknohama wa vifaa kampuni ya Samsung Tanzania Bwn.Kishor Kumar alikua na haya ya kusema “Kupitia Galaxy S5,Samsung imevuka matarajio yetu kwa kutuletea bidhaa inayolenga zaidi matakwa ya wateja wake.” Bw. Kishor Kumar aliendelea kwa kusema “ Wateja wanataka bidhaa na simu ambazo zitawarahisishia kwa njia moja au nyingine maisha yao ya kila siku. Simu ya Galaxy S5 imetengenezwa na ubunifu wa kipekee wa hali ya juu ikiwa na vigezo vyote zinazotegemewa na watu”

Bw.Kishor alienda mbali zaidi kwa kuongeza kua simu ya Galaxy S5 imeboreshwa maradufu; rahisi kwenye utumiaji na imuongezwa ubora wa kamerayake pamoja na vipimo vya kulinda usalama wa simu (security feature).

Galaxy S5 ina umbile jembamba la kuvutia, kioo kikubwa cha simu, fremu ya metalic, chaguo kubwa la rangi za kisasa, finishing choices ambazo zinaonyesha muundo mpya wa simu duniani. Simu hii inajumuisha kamera ya kisasa,muunganiko wa kasi wa mtandao, vifaa vya kuangalia ubora wa hali yako

Page 2: S5 Press Release 11th April KISWAHILI

and vifaa vilivyoboreshwa vya ulinzi (protection and security feature) ambavyo vinakufanya uwe na mawasiliano in style.

Express modern, glam lookThe Galaxy S5 blends the iconic Samsung design with modern trends to appeal to a range of consumer tastes and interests. It features a perforated pattern on the back cover creating a modern glam look. Its new contoured shape comes in an array of vivid colors, including Charcoal Black, Shimmery White, Electric Blue and Copper Gold, to compliment the style of the individual consumer.

In addition, the 5.1” full HD super AMOLED screen enhances a consumer’s visual experience due to its optimized color range, saturation and sharpness of display. These features provide a crystal clear display at a lower power consumption therefore allowing the consumer to experience the gallery, camera, internet, video and other smart remote apps with a display specially adapted to them.

Capture the moments that matterCapturing and saving precious memories is one of the most important smartphone features today. The new Galaxy S5 offers superior camera functionality, featuring a 16 megapixel camera with an enhanced menu and user interface that allow consumers to effortlessly take, edit and share photos.

Auto focus and Selective focus

Be more fit and activeConsumers are increasingly becoming more conscious about healthy living, and fitness is becoming a core part of their lives. With the enhanced S Health 3.0, the new Galaxy S5 offers more tools to encourage people to engage in a healthier lifestyle and achieve their ultimate fitness goals. It provides a comprehensive personal fitness tracker to help users monitor and manage their behavior, along with additional tools including a pedometer, diet and exercise records, and a new, built-in heart rate monitor.

Galaxy S5 users can further customize their experience with an enriched third party app ecosystem and the ability to pair with next generation Gear products for real-time fitness coaching.

Gear Fit; the ultimate modern fitness solutionSamsung Gear Fit is the industry’s first curved, Super AMOLED wearable device for the active consumer. The Gear Fit offers the convenience of Samsung Gear technology with the most comprehensive fitness tools available thus enabling consumers stay physically active without sacrificing personal style or mobile connectivity.

The new Gear Fit provides superior connectivity benefits of Samsung wearable technology with a custom, real time fitness coaching to provide unique, personalized advice and workout recommendations. This brings a positive change in a consumer’s way of life.

Essential device protectionThe Galaxy S5 is IP67 dust and water resistant, meaning that it is protected against entry of dust and can resist damage from temporary immersion in water (can be in 1 meter of water for up to 30 minutes).

Page 3: S5 Press Release 11th April KISWAHILI

It also offers a Finger Scanner embedded in the home key, providing a secure, biometric screen locking feature and a seamless and safe mobile payment experience to consumers. Consumers therefore benefit from enhanced security without compromising on convenience.

ADH PremiumSamsung will offer consumers who own a Galaxy S5 Accidental Damage from Handling (ADH) assurance for up to two years. If a consumer damages their device in any way in the first year (12 months) they are entitled to a free swap for another Galaxy S5, or a free repair twice in the year. If a consumer does not incur any incidents, then this is carried over to the second year where the consumer can claim up to four repairs. This smart swap – smart value guarantee is only applicable if the consumer downloads the Samsung Premium Android App as soon as they buy the phone.

The Galaxy S5 is useful to everyone as it is designed to make life easier. It allows consumers to experience the utmost comfort of access and usage. Smart built-in capabilities help consumers figure out what they want from the smartphone.

The device will be available across the country through Samsung’s service shops, Samsung brand shops, mobile operator shops etc

About Samsung Electronics Co., Ltd.Samsung Electronics Co., Ltd. is a global leader in technology, opening new possibilities for people everywhere. Through relentless innovation and discovery, we are transforming the worlds of TVs, smartphones, tablets, PCs, cameras, home appliances, printers, LTE systems, medical devices, semiconductors and LED solutions. We employ 286,000 people across 80 countries with annual sales of US$216.7 billion. To discover more, please visit www.samsung.com