mkataba wa huduma - kra · ushahidi wa stakabadhi za uwekezaji. kibali cha uwekezaji na ukurasa...
TRANSCRIPT
MKATABA WA HUDUMA Viwango vya Utoaji Huduma
UAMINIFU UADILIFU UWEZO USAIDIZI
AHADI YETU NI KUFANYA ULIPAJI WA USHURU KUWA
RAHISI NA WAKUPENDEZA KWA WATEJA WETU.
TUNAAHIDI KUWA NA WAFANYAKAZI WENYE UJUZI NA
UFAHAMU WA MICHAKATO NA TEKNOLOJIA YA KISASA
NA WANAOLENGA KUMPA MTEJA HUDUMA SAFI KWA LENGO
LA KUIMARISHA ULIPAJI NA UKUSANYAJI WA USHURU.
AHADI YETU
MALENGO YAHUDUMA ZETU
Kujitolea kukuhudumia kila siku kuanziajumatatu hadi Ijumaa,kuanzia saa mbiliasubuhi (8.00) hadi saa kumi na moja
jioni (5.00) katika afisi zetu kotenchini,vituo vya msaada na vituo vya
huduma.
Kukuhudumia kwa harakavyema na kitaaluma.
Kukuhudumia kwa uadilifu na heshima.
Kuwa na wafanyakaziwanyenyekevu, waadilifu,wenye ujuzi na waliojitolea
katika kutatua shida za wateja.
Kutoa taarifa kamilifu, kwa mudaunaofaa na sahihi kuhusu haki zako na
wajibu chini ya vifungu mbalimbalivya sheria.
Daima kujitolea kukusaida na kukuhudumia kwa wale wasiofahamu
kiingereza.
Kuhifadhi taarifa muhimu na za kibinafsi za mteja.
Kutoa taarifa sahihi kwa ufupi kuhusuhuduma
na bidhaa zetu.
KODI YA NDANI
Pasipoti halisi na nakala yake.Barua ya kutambulishwa kutoka kwa wakala wa kodi au wakili na PINI ya wakala.
Taarifa hiyo iwekwe kwenye fomu ya kielektroniki ya usajili.
Ushahidi wa stakabadhi za uwekezaji.Kibali cha uwekezaji na ukurasaulioidhinishwa wa pasipoti halisi na nakala yake.Risiti ya KRA iliyokubalika.Usajili kwa njia ya mtandao.
USAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA MUDA
KINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI
Siku 1
MUDA
• Kitambulisho cha kitaifa • Usajili kwenye mtandao
baada ya kuwasilisha stakabadhi katika vituo vya huduma–KRA.
Siku uliyojisajili
Mwekezaji wa kibinafsi (Anayeishi nchini Kenya)
Kwa raia wa Kenya
KODI YA NDANI
USAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA
USAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA
Siku 1
Siku 1
• Pasipoti halisi na nakala yake.• Barua ya kutambulishwa kutoka kwa mwajiri au wakala wa mwajiri na PINI ya mwajiri ama wakala. Maelezo lazima yaingizwe katika fomu ya kielektroniki ya usajili.• Nakala halisi ya pasi maalum ya Kenya na ukurasa ulioidhinishwa na nakala yake.• Risiti ya KRA iliyokubalika.• Usajili kupitia kwenye mtandao.
• Pasipoti halisi na nakala yake.• Barua ya kutambulishwa kutoka kwa mwajiri au wakala wa mwajiri na PINI ya mwajiri ama wakala. Maelezo lazima yaingizwe kwenye fomu ya kielektroniki ya usajili.• Kibali halisi cha Kenya cha kufanya kazi nchini na ukurasa ulioidhinishwa wa kibali hicho na nakala yake.• Risiti ya KRA iliyokubalika.• Usajili kupitia kwenye mtandao.
Kwa asiyekuwa raia wa Kenya anayefanya kazi nchini kwa muda usiozidi miezi sita.
Mfanyakazi asiyekuwa raia wa Kenya
MUDA
MUDA
baada ya kuwasilisha stakabadhi kwenye vituo vya huduma–KRA.
baada ya kuwasilisha stakabadhi kwenye vituo vya huduma–KRA.
KODI YA NDANIUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA
KINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI
• Pasipoti halisi na nakala yake.
• Kadi ya Kidiplomasia na nakala yake.
• Barua ya kutambulishwa iliyothibitishwa
na Wizara ya Masuala ya Kigeni.
• Nakala ya ukurasa maalum
ulioidhinishwa wa uhalalishaji kwenye
pasi.
• Risiti ya KRA iliyokubalika.
• Usajili kwa njia ya mtandao.
• Pasipoti halisi na nakala yake. • Pasi ya mtegemezi na ukurasa maalumulioidhinishwa wa pasi maalum na stakabadhi zote mbili.• Nakala ya cheti cha ndoa iliyoidhinishwa.• Kitambulisho cha Kenya na PINI ya bwana ama mke.• Risiti ya KRA iliyokubalika.• Usajili kwa njia ya mtandao.
MUDA
MUDA
Mwanadiplomasia (Anayeishi nchini Kenya)
Siku 1baada ya kuwasilisha stakabadhi kwenye vituo vya huduma–KRA. Raia wa kigeni aliyeoa ama
kuolewa na Mkenya
Siku 1baada ya kuwasilisha stakabadhi kwenye vituo vya huduma–KRA.
KODI YA NDANIUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA
KINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI MUDAKINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI
• Pasipoti halisi, kitambulisho halisi cha shule cha mwanafunzi na nakala ya hati zote mbili.• Barua ya utambulisho kutoka utawala wa taasisi ya kujifunza.• Pasi ya mwanafunzi/tarajali/utafiti na nakala zake na pasi iliyo na ukurasa maalum wa kuidhinishwa kwa mwanafunzi/tarajali/utafiti.• Risiti ya KRA iliyokubalika.
• Nakala ya pasipoti halisi na
vitambulisho vya viongozi na nakala
za stakabadhi zote mbili.
• Ujitambulishaji na uidhinishwaji
kutoka kwa wizara husika.
• Nakala ya ukurasa wa uhalalishaji
uliothibitishwa kwenye pasipoti.
• Risiti ya KRA iliyokubalika.
• Usajili kupitia mtandaoni.
MUDA
MUDA
Mwanafunzi ambaye si raia wa Kenya/Rijali.
Siku 1baada ya kuwasilisha stakabadhi kwenye vituo vya huduma–KRA.
Wafanyakazi wa mashirika yaliyo chini yakifungu cha sheria, cha haki na kinga kifungu nambari 179.
Siku 1baada ya kuwasilisha stakabadhi katika vituo vya huduma–KRA.
Mwekezaji binafsi
(Anayeishi nje ya Kenya)
KODI YA NDANIUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA
KINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI MUDAKINACHOHITAJIKAUSAJILI WA PINI ISIYO YA MTU BINAFSI
• Nakala ya pasipoti iliyonukulishwa na kuthibitishwa na mthibitishaji wa umma wa viapo kutoka nchi ya asili.• Barua ya kutambulishwa kutoka kwa wakala wa Kenya na PINI ya wakala lazima kuingizwa katika mtandao wa kujisajili wa KRA unaokubalisha.• Cheti cha ushahidi wa uwekezaji.• Barua kutoka kwa Halmashauri ya Uwekezaji nchini Kenya na CR-12 kutoka kwa msajili wa makampuni.• Risiti ya KRA inayokubalika.• Usajili kupitia mtandao.
Makampuni, vilabu, vyama, vyama vya ushirika na mashirika
• Cheti cha kujumuisha siku.• PINI ya mkurugenzi. Siku 5
Siku 1baada ya kuwasilisha stakabadhi katika vituo vya huduma–KRA.
MUDA
MUDA
KINACHOHITAJIKAMAREKEBISHO
KODI YA NDANIUSAJILI WA PINI YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA
USAJILI WA PINI ISIYO YA MTU BINAFSI KINACHOHITAJIKA
Siku 5
Siku 2
Mashirika
• Hati ya ushirikiano.
• PINI za washiriki.
• Usajili kupitia mtandao.
• Hati ya amana.• PINI za wadhamini kuthibitisha nyaraka ya usajili kwa ajili ya mashamba na ujenzi.
Kitambulisho cha kitaifa(Iwapo ungependa kubadilisha jina)
MUDA
MUDA
MUDA
Wanunuzi wa mashamba na wajenzi naamana.
Mtu binafsi
Siku 5
MAREKEBISHO YA KUONGEZA MAJUKUMU/ KINACHOHITAJIKA
KINACHOHITAJIKAWAJIBU
KINACHOHITAJIKA
KODI YA NDANI
WAJIBU KATIKA PINI
Hakuna kinachohitajika.
Idhini ya meneja wa kituo chako chaKRA.
Kuondoa majukumu au wajibu katikaPINI
Nyongeza
Isiyo ya mtu binafsi
Miezi 2
MUDA
MUDA
MUDA
• Barua ya kuomba marekebisho.
• Cheti cha maelezo kuhusu marekebisho
yanayotakikana.
• Usajili kupitia mtandao.Siku 2
Siku 2
WAJIBU
CHETI CHA KUONYESHAYA KWAMBA UNALIPA KODI
USAJILI
WA MALIPO YA UZEENI
KODI YA NDANIKINACHOHITAJIKA
MAOMBI YA KUFUTILIWA MBALI KWA KODIYA KUONGEZEKA THAMANI (VAT) KINACHOHITAJIKA
KINACHOHITAJIKA
• Hakuna kinachohitajika.• Usajili kupitia mtandao.
• Kuwasilisha ombi kwa Afisi ya Hazina ya Kitaifa.• Madai ya malipo ya mwenye kutoa huduma.
Kuwasilisha ombi la usajili
Siku 5baada ya malipo iwe huna madeni.
Siku 30
Siku 30baada ya kuwasilisha ombi, na
kupewa idhini kutoka kwa Afisi ya
Hazina ya Kitaifa.
MUDA
MUDA
MUDA
Ripoti ya ukaguzi wa KRA.
KODI YA NDANIRIDHAA YA USHURU WA BIDHAA KINACHOHITAJIKA
MUDA
RIDHAA YA KODI YA ONGEZEKO LATHAMANI
KINACHOHITAJIKA
MUDA
RIDHAA YA KODI YA ONGEZEKO LATHAMANI INAYOHITAJI UKAGUZI
KINACHOHITAJIKA
• Barua ya ombi.• Ripoti ya ukaguzi wa KRA.
• Ombi kupitia mtandao.• Ripoti ya ukaguzi.• Cheti cha ukaguzi.• Ripoti ya mapato kwa kipindi unachodai.
kuanzia tarehe ya kupokea ombi. Siku 90
kuanzia tarehe ya kupokea ombi. Siku 60
kuanzia tarehe ya kupokea ombi. Siku 60
MUDA
KINACHOHITAJIKA
MUDA
MUDA
Stakabadhi za kuthibitisha madai yako.
MADAI KINACHOHITAJIKA
KINACHOHITAJIKAMAOMBI YA RIDHAA YA MAPATO KWAMTU BINAFSI
KODI YA NDANIRIDHAA INAYOHUSIANA NA MAUZOYA NCHI ZA NJE
90
• Thibitisho la mauzo kulingana na bidhaa husika.• Stakabadhi za mauzo ya nje.
• Stakabadhi zinazoonyesha madai yako.• Stakabadhi za malipo ya kodi.
kuanzia tarehe ya kuwasilisha ombi.
MUDA
Siku 60
baada ya kuwasilisha ombi.
Ndani ya siku
30 baada ya kuwasilisha ombi.
Ndani ya siku
KINACHOHITAJIKA
KINACHOHITAJIKA
KWA WALEMAVU
MALIPO YA RIDHAA YASIYO YA MTU
ULIPAJI WA MADAI
KINACHOHITAJIKACHETI CHA UHALALISHAJI WA KUTO-LIPA USHURU
KODI YA NDANI
• Stakabadhi za kuthibitishia madai husika.• Ripoti ya ukaguzi.
• Madai yaliyothibitishwa.• Kuwepo kwa ushahidi wa madai ya kodi mengineyo.
Barua kutoka kwa mashirika ya watu wanaoishi na ulemavu. Siku 30
MUDA
MUDA
MUDA
30 baada ya kuwasilisha ombi.
Ndani ya siku
Siku 4baada ya kukubaliwa kwa ombi, na kutegemea uwepo wa fedha.
BINAFSI
Miezi 2
KODI YA NDANI
USHURU
PIN
KINACHOHITAJIKA
KINACHOHITAJIKA
KINACHOHITAJIKA
• Barua ya maombi.• Katiba ya kampuni.• Barua kutoka kwa utawala wa mikoa.• Cheti cha usajili.• Taarifa kutoka katika benki na hati nyingine muhimu.
Tembelea kituo cha ulipaji ushuru.
• Maombi yanafanywa kupitia mtandao.• Lipa madeni uliyonayo.• Endelea kujaza fomu ya mapato kila mwezi mpaka itakapoidhinishwa.
Miezi 6kulingana na hali iliyopo
Siku 60
CHETI CHA UHALALISHAJI WA KUTOLIPAUSHURU MUDA
MUDA
MUDA
KUONDOA PINI
PINI ISIYOTUMIKA
FORODHA
kuandaa stakabadhi ya kibali cha ukubalifu.
FORODHAUTARATIBU WA FORODHA KINACHOHITAJIKAMAELEKEZO
Saa 24
MALIPO KINACHOHITAJIKA
MUDA
Kuchukua taarifaD.P.C.
Kupata nambari maalum za E.P.Z
Kuandaa maridhiano ya masoko.
Ukaguzi wa D.R.S.
MAELEKEZO MUDA
• Maombi ya ana kwa ana.• Uwasilishaji wa stakabadhi sahihi zote zinazohitajika.
• Wasilisha rekodi zote na stakabadhi zinazohitajika.
Siku 1
Siku 2
• Uwasilishaji wa taarifa sahihi ikiwemo stakabadhi zote kama ushahidi.• Kulipa ushuru kwa wakati.
Siku 5
Siku 10
Uwasilishaji wa taarifa sahihi.
MUDA
MSAMAHA WA KUTOLIPAUSHURU
UKAGUZI MAELEKEZO KINACHOHITAJIKA MUDA
KINACHOHITAJIKA
FORODHA
USHURUChini ya siku
2
10Ndani ya siku
Kujiandikisha kupata cheti cha msamaha wa kutolipa ushuru.
Wasilisha stakabadhi muhimu zinazohitajika.
Ukaguzi wa bidhaabaada ya kuwasili nchini.
Wasilisha stakabadhizote zinazohitajika, maelezo na rekodi zote.
MAELEKEZO
VINAVYOHITAJIKA MUDA DHAMANA YA USALAMA MAELEZO
.
.
.
MUDAMAELEZO
.
.
MALIPO YA RIDHAA
FORODHA
Saa
48
Siku
3
WIKI
2
MIEZI
6
MUDA DHAMANA YA USALAMA
MUDAMAELEKEZO
MALIPO YA RIDHAA
FORODHA
KINACHOHITAJIKA
KINACHOHITAJIKA
Utekelezaji dhamana ya usalama. Siku 3
Saa 48
Wiki 3
Miezi 6
Ufutaji wa dhamanaya usalama
Ustaafu wa dhamana.
Toa habari kamili kuhusu dhamana yako.
Jaza fomu za C-26 na uambatanishe na stakabadhi zote husika.Hakikisha ya kwamba matukio yote yamefafanuliwa.
Jaza fomu za C-26 pamoja na nakala tatu za dhamana halisi na stakabadhi zote zinazohitajika.
Uandikaji wa maombi ya kudai ridhaa.
Wasilisha stakabadhi muhimu zinazohitajika.
MAELEKEZO
FORODHA
4Ndani ya miezi
14Ndani ya siku
3Ndani ya miezi
Kwa wakala wa kupokea na kusafirisha mizigo,makampuni,vifaa vya bohari na leseni ya bidhaaza usafiri.
Jinsi ya kutoa dhamana.
Mwombaji leseni mpya. Uwasilishaji maombi na stakabadhi zote zinazohitajika.
Maombi mapya ya leseni.
Uwasilishaji wa maombi na stakabadhi zote muhimu na nakala zakupokea na kusafirishamizigo,makampuni na leseni ya wasafirishajimizigo.
1. Fomu ya P26. 2. Stempu ya ushuru. (inapatikana kutoka kaunta ya uhasibu wa forodha). 3. Nakala nne halisi za dhamana.
MUDALESENI MAELEKEZO KINACHOHITAJIKA
KINACHOHITAJIKA MUDA JINSI YA KUTOA MIZIGO KATIKA
UWANJAWA NDEGE WA JKIA
Kutolewa mizigo moja kwa moja.
Wasilisha stakabadhi zote sahihi zinazohitajika. 1
unapowasilisha nyaraka sahihi.
2
12
KINACHOHITAJIKA MUDA MAELEKEZO KUPOKEA NA KUONDOA ABIRIA
FORODHA
1 3
AINA A NA B-DAKIKA-1
AINA C-DAKIKA-3
Kutolewa mizigo mapema.
Kuwasilisha stakabadhi zote sahihi.
Kuwasilisha stakabadhi sahihi.
Kutolewa mizigo kwa njia ya kawaida.
Ndani ya saa
Chini ya saa
baada ya uwasilishajiwa nyaraka sahihi.
Saa
baada ya uwasilishaji wa stakabadhi sahihi na kufuzu uingizaji katika DPCU.
Kupokea na kuondoa abiria wanaoingia Kenya.
Kuwasilishwa kwa abiria, kuwasilisha vibali vyao vya usafiri na mizigo kwa forodha.
MAELEKEZO
KINACHOHITAJIKA MUDAUINGIZAJI BIDHAA NCHINIKWA MUDA MFUPI
KINACHOHITAJIKA MUDA MAELEKEZOUHAMISHO WA FEDHA
FORODHA
Uandikishaji wa ombila muda la kuingiza bidhaa nchini kwa mujibu wa kifungu cha 117 cha EACCMA, 2004.
Tuma maombi ya kuzingatiwa yakiambatana na stakabadhi za ununuzi kutoka nje kwa mujibu wa bidhaa husika.
Siku 3
Siku 2Fanya uhamisho wa fedha kutoka sehemu moja hadi nyingine.
Tuma maombi ya uhamisho wa fedha, ushahidi wa malipo yaliyofanywa kulingana na wasilisho na nakala za wasilisho na stakabadhi za kupokea/wapokeaji.
MAELEKEZO
KINACHOHITAJIKAMADUKA YASIYOLIPISHWAUSHURU
FORODHA
24
MAELEKEZO MUDA
Kupokea bidhaa za mabohari.
Bidhaa za zamanizilizohifadhiwa katikamabohari.
Kuongeza muda wa kuhifadhi katika mabohari.
• Kupeana stakabadhi kamili za kuingia forodhani na stakabadhi za kuthibitisha.• Uwezekano wa kupata dhamana ya kutosha ya usalama.• Weka mwenyewe bidhaa zako katika maduka yasiyolipishwa ushuru.
• Tuma maombi kwa wakati unaofaa.• Wasilisha stakabadhi zote zinazohitajika.
• Tuma maombi kwa
wakati unaofaa.
• Wasilisha maombi
marefu na stakabadhi
zote muhimu
zinazohitajika.
Ndani ya saa
24 Ndani ya saa
48 Ndani ya saa
HAKI ZA WALIPA KODI
HAKI ZA WALIPA KODI
.
HAKI YA MAELEZO
Una haki ya kupata taarifa sahihi na kamilifu kuhusu vitengo na wajibu wako kulingana na
vifungu mbalimbali kisheria.
HAKI YA KUHOJI
Una haki ya kuhoji habari, ushauri na huduma zinazotolewa kwako. Tutakueleza kuhusu
njia mbadala zilizoko za kusuluhishia mizozo na tutashirikiana nawe kufikia mwafaka.
KUTOPENDELEA
Una haki ya kisheria kutobaguliwa.Ni wajibu wa KRA kukusanya kiasi kamili cha kodi, ada,
nyongeza na malipo.
UADILIFU NA HISANI
Una haki ya kuhudumiwa kwa njia ya uadilifu, hisani na kutobaguliwa wakati wa kufanya kazi
na maafisa wa KRA, iwe katika kutaka habari muhimu, kupanga mahojiano, uhasibu ama
shughuli nyinginezo zinazohusiana na KRA.
HAKI ZA WALIPA KODIKUDHANIWA KUWA MWAMINIFU
Uko mwaminifu hadi pale ambapo itathibitishwa kuwa kinyume na hivyo.
SIRI
Unahakikishiwa ya kwamba taarifa yako ya kibinafsi na ya kifedha inayotolewa kwa KRA
itatumika tu kwa madhumuni ya kutekeleza majukumu yake kulingana na sheria na wala
haitatumika vinginevyo isipokuwa kwa amri ya mwenyewe ama inavyoruhusu sheria.
UDUMISHAJI WA USAWA
Tutawajibika kisheria kuhakikisha kwamba kila mtu analipa kodi kwa njia sawa.
Tutazingatia hali yako ya kimapato kwa mujibu wa sheria.
KITAMBULISHO
Una haki ya kuitisha kitambulisho rasmi cha KRA kutoka kwa maafisa wetu wote wanaokutembelea ama kukuhudumia wanapokuwa kazini. Pale una shaka nao, piga simu kwenye kituo cha huduma ili kuhakikisha kitambulisho na uhalali wa afisa aliyekutembelea.
UWAKILISHI
HAKI ZA WALIPA KODI
.
Kama umechaguliwa kwa ajili ya uhasibu, una haki ya kujulishwa mapema, ingawa katika hali
fulani,huenda ukafanyiwa uhasibu ama ukaguzi wa ghafla.
Ikiwa unakubaliana na matokeo ya utafiti au sehemu ya matokeo ya uhasibu/uchunguzi,
utahitajika kulipa haraka malipo ya makubaliano pamoja na fidia zingine ili kuepuka
kuongezeka kwa malipo na ushuru wa ziada kwa ushuru unaodaiwa.
Una haki ya kupinga tathmini ya uhasibu ndani ya siku 30 kuanzia tarehe ya suala na
kukubaliana na matakwa yote, ambayo yanahusisha stakabadhi zote zinazohitajika ili
malalamishi yaweze kukubalika.
Una haki ya kuwakilishwa na mamlaka/wakala yeyote aliye na leseni uliyemchagua wewe.
HAKI ZA WALIPA KODI
Una haki ya kupinga uamuzi wa Mkuu wa Halmashauri ya KRA. Ikiwa unaazimia kutumia njia
mbadala ya usuluhishaji wa mizozo, basi unahitajika kujulisha halmashauri ya utatuzi wa
mizozo ya mashirika kitengo cha KRA kuhusu nia yako ya kufanya hivyo mradi tu ushuru
ambao hauna ubishi umelipwa.
Iwapo hujaridhika na maamuzi yaliyotolewa hapo juu, una haki ya kukata rufaa kwa Tume
ya Rufaa ya Kutatua Mizozo ya Ushuru (Chini ya kifungu cha sheria cha Tume ya Kutatua
Mizozo ya Ushuru) ili kuamua kesi yako.
Iwapo suala halitakuwa limesuluhishwa kwa njia ya kuridhisha hapo juu, una haki
ya kwenda kwenye Mahakama Kuu.
WAJIBU WA WALIPA KODI
– Una wajibu wa kujiandikisha kupata PINI yako ya kodi. Usajili
– Walipakodi wote wanaolipia bidhaa na waliojisajili wana wajibu wa Tasijala ya kielektroniki ya kodi (ETR)
kutumia njia hiyo ya malipo.
– Una wajibu wa kutoa taarifa kuhusu malipo ya kodi na kulipa kwa mujibu wa vifunguKutuma taarifa ya malipo ya kodi
mbalimbali kisheria.
– Sheria inatoa adhabu kwa wanaohadaa kwa kutoa taarifa isiyo sahihi Usahihi wa mapato yako/uingizaji wa Forodha
ikiwemo kifungo, kwa uzembe na kuhadaa.
– Una wajibu wa kufanya malipo ya kodi kuambatana na tarehe zilizowekwa.Malipo ya kodi na adhabu
– Ni wajibu wako kuwasilisha madai yako ndani ya miezi 12 kuanzia tarehe ya malipo; la sivyo maombi yako Madai na Fidia
hayatashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
– Pale ambapo kuna ubishi unatakiwa kutoa malipo yasiyokuwa na ubishi tu. Malipo mengine yatafidiwa Malumbano
kupitia njia nyingine kama pesa taslimu, ama dhamana ya benki ama mdhamini.
– Una wajibu wa kushirikiana na maafisa wa KRA, kuwapa heshima na uhuru wa kufanya Ushirikiano na Maafisa wa KRA
kazi yao.
– Una wajibu wa kufichua na kutoa habari zote muhimu, kumbukumbu na stakabadhi zote Kutoa taarifa ya habari muhimu
zinazohitajika na maafisa wa KRA wakati wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao kuambatana na sheria.
WAJIBU WA MLIPA KODI
AINA YA MAPATO WAKATI WA KUJAZA WAKATI WA KUWASILISHA
Kodi ya ongezeko la thamani
(V.A.T) Kila mwezi
Kila mwezi
Kodi ya zuio Kila mwezi
Kodi ya makampuni a
Mapato ya watu binafsi
T.O.T. Siku ya 20 ya mwezi wa nne.
Kila malipo
Ushuru wa bidhaa Kila mwezi
WAJIBU WA MLIPA KODI
Kodi ya uwekezaji raslimali
Kila mwaka
Kila mwaka
Mnamo tarehe 20 au kabla ya mwezi
ufuatao.
Mnamo tarehe 9 au kabla ya mwezi
ufuatao.
Mnamo tarehe 20 au kabla ya mwezi
ufuatao.
Siku ya 30 ya mwezi wa nne baada ya
mwisho wa mwaka wa mahesabu.
Siku ya 30 ya mwezi wa sita baada ya mwisho wa mwaka.
Siku hiyo au kabla ya kuweka maombiya uhamisho katika afisi za Wizara ya Ardhi.
Mnamo tarehe 20 au kabla ya mwezi
ufuatao.
Baada ya robo ya mwaka
Kodi ya mapato yatokanayo na ajira (P.A.Y.E.)
TEMBELEA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA K.R.A. KATIKA JUMBA LA TIMES TOWER, KITUO CHA K.R.A. KILICHO KARIBU NAWE, KITUO CHA USAIDIZI CHA K.R.A. AMA HUDUMA KENYA Ikiwa unahitaji msaada wa kujua kituo cha KRA kilicho karibu
mtandao wa www.kra.go.ke kwa maelezo zaidi.
254 20 4999999 or 0711-099999
katika
12.00 hadi
Kama hatutimiza ahadi zetu: Andika malalamishi yako kwa: [email protected] Ikiwa hujaridhika, andika Barua pepe kwa Kamishna Mkuu:
Ikiwa unahitaji msaada wa kujua kituo cha KRA kilicho karibu, mtandao wa www.kra.go.ke kwa maelezo zaidi.
254 20 4999999 or 0711-099999
tembelea
12.00 hadi
Kama hatutimizi ahadi zetu:
Andika malalamishi yako kwa: [email protected]
Ikiwa hujaridhika,andika barua pepe kwa Kamishna Mkuu:
Ilichapishwa: Juni 2017
TEMBELEA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA KRA
KATIKA JUMBA LA TIMES TOWER, KITUO CHA KRA
KILICHO KARIBU NAWE, KITUO CHA USAIDIZI CHA KRA AMA
HUDUMA KENYA
Kenya Revenue Authority
@KRACare
Kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa
kati ya saa kumi na mbili asubuhi na
saa kumi na mbili jioni.