manabii 1...2018/11/08  · manabii 3 kazi ya unabii 1 • manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe...

13
MANABII 1 Udumishaji wa agano katikati ya wana wa israeli Vitabu vingi katika Biblia vinaingia kikatika kundi hiki. Kuna ”wakubwa” wanne; Isaya, Jeremia, Ezekieli na Danieli na kuminawawili ”wadogo” ambao tunawakuta mwishoni mwa Agano la Kale. Kama ni mkubwa au mdogo hainasababu nyingine isipokua ni kipimo cha ukurasa wa kitabu aliyotuachia. Witabu hivi viliandikwa kati ya mwaka 760 na 460 kKr. Na vitabu hivi vinaujumbe kutoka kwa Mungu. Maumbile ya unabii Vitabu hivi ni vigumu kuvifafanua, ni kwamba mfano wake hamna kabisa. Mara nyingi inatokana na jinsi msomaji anavyoelewa lengo au kusudi la unabii au ujumbe anayoutoa. Ujumbe ya unabii Wengi tunafikiria ”siku za mbele” tunaposikia unabii. Kitu ambacho kinakuja na mara tunaanza kuangalia katika maandiko ya aina hiyo kusudi tuelewe kitu gani kiko mbele.... Shida ni kwamba hapo tunapoteza 95% ya ujumbe ambayo unatolewa katika maandiko ya aina hii. Chini ya 2% inahusu Massiha. Chini ya 5% inahusu Agano Jipya. Chini ya 1% inahusu mambo ambayo mpaka leo haijatokea (ambayo baado tunaisubiri..) Mara nyingi manabii walitabiri juu ya mambo ambayo yalikua mbele, lakini mara nyingi haikua ”mbele sana”. Mara nyingi ilihusu Israleli, Yuda au mataifa jirani. Siyo mengi yanayotuhusu sisi au wakati wetu. Njia moja ya kuweza kuwaelewa manabii ni kuangalia jinsi waliyoyatabiri yalikuja kufanyika baadaye.

Upload: others

Post on 06-Nov-2020

3 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 1• Udumishaji wa agano katikati ya wana wa israeli

• Vitabu vingi katika Biblia vinaingia kikatika kundi hiki. Kuna ”wakubwa” wanne; Isaya, Jeremia, Ezekieli na Danieli na kuminawawili ”wadogo” ambao tunawakuta mwishoni mwa Agano la Kale. Kama ni mkubwa au mdogo hainasababu nyingine isipokua ni kipimo cha ukurasa wa kitabu aliyotuachia. Witabu hivi viliandikwa kati ya mwaka 760 na 460 kKr. Na vitabu hivi vinaujumbe kutoka kwa Mungu.

• Maumbile ya unabii • Vitabu hivi ni vigumu kuvifafanua, ni kwamba mfano wake hamna kabisa. Mara nyingi

inatokana na jinsi msomaji anavyoelewa lengo au kusudi la unabii au ujumbe anayoutoa.

• Ujumbe ya unabii • Wengi tunafikiria ”siku za mbele” tunaposikia unabii. Kitu ambacho kinakuja na mara

tunaanza kuangalia katika maandiko ya aina hiyo kusudi tuelewe kitu gani kiko mbele.... Shida ni kwamba hapo tunapoteza 95% ya ujumbe ambayo unatolewa katika maandiko ya aina hii. Chini ya 2% inahusu Massiha. Chini ya 5% inahusu Agano Jipya. Chini ya 1% inahusu mambo ambayo mpaka leo haijatokea (ambayo baado tunaisubiri..)

• Mara nyingi manabii walitabiri juu ya mambo ambayo yalikua mbele, lakini mara nyingi haikua ”mbele sana”. Mara nyingi ilihusu Israleli, Yuda au mataifa jirani. Siyo mengi yanayotuhusu sisi au wakati wetu.

• Njia moja ya kuweza kuwaelewa manabii ni kuangalia jinsi waliyoyatabiri yalikuja kufanyika baadaye.

Page 2: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 2• Manabii kama wajumbe

• Tunapoteza lengo kama tunawaona manabii kama waliyotabiri tu, yale yatakajokuja, zaidi walihusika na mambo ya wakati wao. Katika mamia ya manabii wamechaguliwa 16 tu kuwa wajumbe kwetu katika maandiko. (Wa AK 15 na Johanna wa AJ)

• Wengine tumekuja kuwaelewa vizuri zaidi kwa vile wanasimuliwa katika vitabu vingine katika Biblia, kama Eliya au Elisha. ”Wanabii wa maandishi” walituachia ujumbe katika kitabu chao lakini siyo rahisi kuelewa mazingira ya kisiasa na mengine ambayo inaweza kutusaidia kuelewa hali ya wakati ule.

• Kuna manabii kama Gadi (1Sam 22:5; 2Sam 24), Nathani (2Sam 7, 12; 1Faf 1ff) na Hulda (2Fal 22)tunaposoma juu yao tunaelezwa juu ya historia ya wakati wao pia, kidogo kama Yoeli na Danieli.

• Halafu tena mara nyingi ni vigumu kusoma kitabu cha namna hii kwa mfululizo. (Labda tu kama ni ujumbe mmoja) Bila shaka hazikukusudiwa kusomwa hivyo, maana utakuta ni habari nyingi tofauti inayoletwa katika vitabu hivi.

• Pia maandishi yako katika mtindo wa mashairi (poetry) nayo vile vile inaongeza ugumu.

• Shida za kihistoria • Siyo kwa sababu yaliyotokea yalitokea katika nyakati za zamani sana, na pia kwamba lugha ya

wakati ule na leo ni tofauti sana.

• Ugumu unatokana na shida ya kuelewa mazingira ya kidini na siasa na utamaduni wa wakati ule. (Ujumbe mara nyingi unahusika na kule kuanguka kwa Israeli katika dini zingine za mataifa jirani, lakini sisi hatuelewi jinsi walivyoabudu)

Page 3: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 3KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika

sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana zilizokusudiwa kuwajia. • Mungu alikua kiongozi wao na aliwapa maneno ya kusema. • Baraka zilizoahidiwa kama walishika agano tunaweza kusoma katika Law

26:1-13; Kum 4:32-40; 28:1-14. • Laana zilizoahidiwa kama walivunja agano tunaweza kuona katika Law

26:14-39; Kum 4:15-28; 28:15-32:42. • Manabii hawakutunga laana au baraka. Walikuwa na msingi wao katika agano

hata kama waliivika katika ”nguo” tofauti kutokana na jinsi walivyoandika, kwa kuongozwa na Mungu. Yalikuwa ni maneno ya Mungu waliponena

• Kwa kifupi tunaweza kusema kwamba baraka zilihusika na: Uhai, maendeleo, mafanikio katika kazi na kilimo, heshima na usalama

• Laana zinahusika na: Mauti, ugonjwa, ukame, upungufu, hatari, uharibifu, kushindwa, kutekwa, dhiki na kudharauliwa.

• Karibu kila ujumbe unafiti katika sehemu mojawapo hapo juu.

Page 4: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 4• KAZI YA UNABI 2 • Angalia: Amosi 9:11-15 [Baraka]; Hosea 8:14; 9:3 [Hukumu/laana].

• Katika mda wa 800-600 kKr ujumbe mara nyingi ulikua hukumu, au laana hiyo ilikua kabla ya kuchukuliwa Babeli (taifa ya kazkazini 722kKr na ya kusini 587kKr). Baada ya kupata adhabu ujumbe unabadilika, Mungu anaanza kuwafariji na kuahidi baraka zitakazokuja siku za mbele.

• Sababu ya ”mabadiliko ya ujumbe” ni kwamba Mungu anaendelea na mpango wake wa ukombozi wa dunia (Kum 4:25-31). (Ile kuanguka na kuadhibu Israeli ni kama dharura ambayo inashughulikiwa kabla ya kuendelea na kazi ya muhimu)

• Unaposoma vitabu vya unabii tafuta;

• 1: Inahusu dhambi ya Israeli au upendo wa Mungu ?

• 2: Matokeo ni ya namna gani? Hukumu au baraka..?

• Katika vitabu hivi utakuta ujumbe mara nyingi inahusika na mambo hayo.

Page 5: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 5• KAZI YA UNABI 3 • Nabi hakunena kwa niaba yake, alinena kwa niaba ya Mungu.

• Mungu aliwachagua manabii • (Kut 3:1 Musa; Isa 6; Yer 1; Ezek 1-3; Hos 1:2; Amosi 7:14-15; Jona 1:1). • Wale ambao hawakuitwa na Mungu walikua nabii bandia (Yer 14:14; 23:21) Neno nabi ni kiebrania na

inatoka katika kitenzi (verb) nabu ya lugha ya kisemiti (Semite) ambayo tafsiri yake ni ”ku ita”. Wailpo nena walianza au kumaliza na ”asema Bwana”, mara nyingi wananena kama vile wao ni Mungu ”Mimi ni Mungu niliyewatoa….

• ”Nabii hakuja na habari mpya... • Kazi yake ilikua kukumbusha maana ya agano, nao walitumia lugha ya kisasa na referenses ya kimazingira

kusudi watu wa wakati wao waipate na kuelewa walilolisema. • kwa mfano: Hos 4:2 ”Hapana neno ila kuapa kwa uongo, na kuvunja ahadi, na kuua, na kuiba, na kuzini;

huruka mpaka, na damu hugusana na damu” Hosea ana zungumza juu ya jinsi Isreali walivyoishi (750-722 kKr).

• Tunaona amri tano kati ya zile kumi zinaguswa katika mstari huo. • ”kuapa” inahusu amri ya tatu, ”Usilitaje bure jina la Bwana , Mungu wako” (Kut 20:7) ”kuvunja ahadi”

ni amri ya kumi, ”Usimshuhudie jirani yako uongo” (Kut 20:16) ”Kuua” ni amri ya sita, ”Usiue” (Kut 20:13) ”Kuiba” ni amri ya nane ”usiibe” (Kut 20:15) ”Kuzini” amri ya saba ”usizini” (Kut 20:14).

• Kuna sababu ya kutaja amri tano bila kutumia mpangilio wa mwanzo, maana hiyo itamfanya msomaji / msikilizaji kufikiri amri zote. Kutumia ujanja huo inamfanya yule anayesikia afikirie yanayosemwa nakuyapata kuliko kama angesomewa sheria katika ”mazoea yake”.

• Hata wanapo tabiri juu ya Massiha hakuna jipya bali wanakumbusha juu ya Kum 18:18, angalia Luk 24:44 hapo Yesu anasema kwamba alishatajwa katika Torati. Hata Joh 1:45 inatukumbusha Kum 18:18.

• Lakini kazi yao hasa ni kupambanua na kutuelewesha maana ya maandiko yale yaliopo. Inatusaidia kuelewa maana ya maandiko ya awali.

Page 6: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 6• *EXEGESES • Hitaji la msaada kutoka nje • Wapo wanaodai kwamba, kwa vile Biblia ilaandikwa kwa ajili

yetu, pia kwa sababu Roho Mtakatifu anakaa ndani yetu, hakuna ugumu katika kuelewa mandiko. Hiyo si kweli Zab 92:6; Isa 55:8 inatuambia kuwa Mungu hatuwezi kumpambanua kwa akili zetu. Siyo ajabu hata ujumbe wake kwetu inatupa shida kuelewa mara kwa mara...Tunahitaji kufanya kazi kama tutaielewa Biblia yetu.

• Kusoma kitabu kwa ”kulipua” inaweza ikatufanya kuelewa kidogo kusudi au ujumbe wa kitabu hiyo. Lakini kama tutafahamu vizuri kusudi na ujumbe wa mwandishi inabidi tufanye kazi sana, bila kazi haitawezekana.

• Ni vizuri kua na vifaa wakati tunaposoma manabii, ensaiklopidia, ”AMP Bible”, kamusi na ”commentary” ya Biblia inatusaidia kupata picha nzuri ya kitabu fulani cha Biblia.

Page 7: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 7• Mazingira ya kihistoria • Tunahitaji kuelewa mazingira kwa sehemu mbili wakati tunaposoma maandiko ya kiunabii. Ya kwanza

mazingira ya mda ule (historia katika upana), ya pili mazingira ya pale tamko au ujumbe unapotolewa (historia katika ukaribu) .

• ”Katika upana”: Vitabu vya kiunabii vimeandikwa katika muda mfupi wa historia (760-460 kKr) ni miaka 300 tu. Kwa nini hakuna maandiko ya namna hii kabla ya hapo au baada ya hapo?

• Sababu tatu; • 1: Wakati wao ulikua na mapinduzi ya kisiasa, kiuchumi, kijeshi na ya kijamii. • 2: Kulikuwepo uasi wa hali ya juu, ambao matokeo yake ilikua kwamba watu hawakujali Torati au

mafundisho yake. • 3: Makabila ”walizunguka” kulikuwepo uhame, mipaka ilibadilika. Katika hayo yote, ambayo ilikua ni

mvurugu mtupu Mungu aliwatumia manabii kwa kuweza kusikika. • 761 k.Kr. Israeli ilikua imegawanyika katika vipande viwili, mgawanyiko huo ulitokana na vita ya ndani

iliyokuwepo kwa muda mrefu. Kabila za kazkazini ambayo waliitwa Israeli au Efraimu valijitenga na kabila ya kusini Yuda. ”Kipande” cha kazkazini walienda mbali zaidi katika uasi, waliachwa na Mungu wa angamie kwa sababu ya dhambi zao. Amosi (kuanzia 760) na Hosea (Kuanzia 755) walitangaza kwamba hukumu unakuja. Taifa ya kazkazini ilianguka kwa nguvu za Ashuru, 722 k.Kr.

• Baada ya hapo manabii walijihusisha na dhambi za Yuda na pia utawala uliyotokezea wa Babeli. Waliyosema juu ya hayo ni Isaya, Jeremia, Joeli, Nahumu, Habakuki, na Sefania. Hata Yuda iliangamia kwa sababu ya uasi mwaka 587 k.Kr.

• Baada ya hapo walikuja Ezekieli, Danieli, Zekaria na Malaki. Walihubiri kwamba Mungu anapenda kuwaweka huru, kuwainua wakimrudia yeye tena. Walisema kwamba taifa lao litajengwa upya na kwamba Torati itapata heshima inayostahili tena. Hayo yote yanafuata kanuni za Kum 4:25-31.

• Ni muhimu sana kufahamu mambo hayo kama tutaelewa ujumbe wa manabii. Mungu anasema ndani ya historia kuhusu historia, kama tutaweza kumpata lazima tujifunze historia.

Page 8: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 8• Mazingira ya mahali yanapo nenwa na kufanyika:

• Kwa mfano: Hosea 5:8-10 Soma. Ujumbe mfupi mkali. Kama ungeangalia katika ”commentary” ungefahamishwa kua ujumbe huo unatangaza vita. Ilisema kwamba hukumu ya Mungu itakuja kwa njia ya vita.

• Ujumbe wa namna hii kwa kawaida umeundwa katika muundo maalum. 1, Sikieni kuna hatari inakuja. 2, Inaeleza juu ya hiyo hatari jinsi ilivyo. 3, Inasema juu ya matokeo ya hatari hii inayokuja. Ni vizuri kuelewa muundo wa ujumbe lakini ni muhimu pia kuelewa historia ya wakati ule.

• Muda ni 734 k.Kr. Wasikilizaji ni watu wa Efraim. Ujumbe unahusu miji maalum ambayo iko njiani toka Jerusalemu (mji mkuu) kufikia Beteli ”center” ya uasi (ya kuabudu miungu) katika Israeli. Hali ya kisiasa ni kwamba kuna vita. Yuda inawashambulia Israeli mana wao walitangulia kushambulia Yuda pamoya na Ashuru (2Wafalme 16:5) Lakini hawakuweza kufaulu kwa sababu ya nguvu za Ashuru (2Wafalme 16:7-9). Katika mifano Mungu anawaonya, kupitia mtumishi wake Hosea, miji ambayo vilikua katika eneo la Benjamin ilikuwa chini ya utawala wa kazkazini (mst 8). Angamizo itakuja (mst 9) kwa vile Yuda wanateka nchi ya ndugu zao. (Mpaka unahamishwa) Lakini hata Yuda inapatwa na hasira ya Mungu kwa sababu ya kitendo hiki cha vita, na pia kwa ajili ya kuasi kwao (2Wafalme 16:2-4). Wote, Yuda na Israeli walikua wamekatazwa na Mungu kupigana vita.

• Tukielewa hayo ni rahisi zaidi kuelewa ujumbe wa Hosea 5:8-10.

Page 9: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 9• Mipaka ya ujumbe (utabiri) • Ni vizuri kama unaweza kupata ujumbe unaanzia na kuishia wapi. Inaweza ikawa kazi ngumu na

inawezekana ukahitaji kitabu cha kommentary kuweza kufaulu. Lakini siyo vibaya kujaribu kutafuta uchambuzi a ”structure” .

• KAZI. • Soma Amosi 5 fanya ”structure” kufuatana na jinsi ujumbe unavyobadilika

• Muundo wa maandishi wa ujumbe wa kiunabii • Kama waandishi wengine pia manabii wanatumia muundo fulani katika maandishi yao, na ujube

wao. • Onyo (kesi): Soma Isa 3:13-26.

• 1.Wahusika wanakusanyika na kesi ya Israeli inaanza 13-14a. • 2.Mashitaka yanasomwa 14b-16 • 3.Kwa vile inaonekana kwamba Israeli wanamakosa hukumu unatolewa 17-26.

• Masikitiko (ole): Soma Habakuki 2:6-8; • 1.Kuna hali ya sikitiko, dhiki (Mara nyingi inaanza na neno ole ambayo inaonyesha pia hali

yenyewe) • 2.Sababu ya shida iliopo. • 3.Tangazo ya hukumu inayokuja, au tangazo kwamba hukumu utakuja.

• Ahadi: ujumbe ya wokovu, Soma Amosi 9:11-15 • 1.Inaeleza kwamba ujumbe unahusu siku za mbele. • 2.Unaeleza kua kutakuwepo mabadiliko makubwa • 3.Baraka.

Page 10: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 10• Manabii kama mashairi

• Maandishi mengi ya kiunabi yameandikwa katika mtindo wa kimashairi, inaleta urahisi katika kukalili kama imeandikwa kwa njia hiyo, kushinda maandiko ya kawaida. Hapa yanafuata mitindo mbali mbali iliyotumika katika kuandika kwa njia ya ushairi.

1.Usambamba unaofananamaana. Sentensi inayofuata hurudia au kuthibi3sha hisia yasentensiyamwanzo,kamaka3kaIsaya44:22:

``Nimeyafutamakosayakokamawinguzito,nadhambizakokamawingu.’’

2.Usambamba unaopingana. Sentensi inayofuata hupingana na wazo la sentensi yamwanzo,kamaka3kaHosea7:14:

``Walahawakunililiakwamoyo,lakiniwanalalamikavitandanimwao.’’3.Usambambawa kisanisi. Sentensi inayofuata huongezea kwenye sentensi yamwanzokwahaliyakuletataarifazaidi,kamaka3kaObadia21:

``TenawaokoziwatakweajuuyamlimaSayuniilikuuhukumumlimawaEsau;nahuoufalmeutakuwanimaliyaBWANA.’’

• Kumbuka kuwa uwasilishi wa mawazo kwenye ushairi hautakuchanganya ukisoma kwauangalifunaufahamu.Ushairihuelewekakamamasimuliziukizijuakanunizake.

Page 11: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 11

• Mapendekezo ya (kihermeneutics) ufafanuzi wa maandiko hayo • Kuna kitu gani ambacho Mungu anapenda kutufundisha

kutoka maandiko ya kiunabii? • Kuna mengi ya wakati ule ambayo tunaweza kuyatumia

sasa pia. • Kwa mfano hata sisi tunaamini kwamba Mungu

atamuhukumu anaye ”uza mwenye haki kwa pesa na maskini kwa pea moja viatu” (Amosi 2:6)

• Au anayetumia dini kwa kujihifadhi katika tamaa zake (Isa 1:10-17)

• Au anayechanganya ukristo na upagani kwa pamoja. (Hos 13:2-4)

• Kuna dhambi ya wakati ule ambayo hata leo tunaitambua.

Page 12: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 12• Nabii alitabiri juu ya mambo yatakayokuja

• ”Mambo ya mbele” zaidi ili husu mda wa karibu. Soma kwa mfano Ezek 25-39 utaona anayotabiri yanakuja kufanyika miaka michache tu baada ya yeye kutoa ujumbe. (karibu yote aliyoyatabiri ilifanyika baada ya miaka michache) Mengine yalihusu mda wa Agano Jipya Ezek 37:15-28 lakini nyingi inahusu mda wa Agano la Kale.

• Mara nyingi tunamaliza nguvu zetu katika kutafuta ujumbe wa ”kimasiha” (yanayomhusu Masiha) au ujumbe unayotueleza matokeo ya mbele yetu katika maadiko ambayo hayahusiki na mambo hayo. Lazima ufafanuzi wetu utakuwa wa kimakosa.

• Kitu muhimu nikuona kwamba walipotabiri ilifanyika kama walivyosema, maana yake Mungu akisema inafanyika

1 2

• Picha hizo mbili zinaonyesha kitu kimoja. Inategemea unaposimama na kuangalia jinsi picha inavyojitokeza. Katika picha ya kwanza hatuoni umbali wa kutoka mviringo wa kwanza mpaka wa pili. Lakini katika picha ya pili inaonekana wazi kwamba hazikukaa pamoja.

• Wakati watu waliposikia ujumbe hawakujua itatokea lini, ila tu walijua kwamba kuna mambo yanakuja huko mbele. Sisi ambayo tunasoma maandiko tunaweza kuona picha yote, ujumbe unapotabiriwa na pia wakati unapokuja kutokea.

Page 13: MANABII 1...2018/11/08  · MANABII 3 KAZI YA UNABII 1 • Manabii walikua wamechaguliwa wahakikishe kwamba watu wanazishika sheria • Walinena juu ya baraka , na pia juu ya laana

MANABII 13• Kufikiria: Unabii na tafsiri yake ya pili • Katika Agano Jipya mara nyingine tunaona tafsiri ya kiajabu wakati wanafasiri

Agano la Kale. Kwa mfano 1Kor 10:4 inatupa ”fasiri mpya” ya Kut 17:1-7 na Hes 20:1-13. Hapo mwamba inakua **analojia ya Kristo. Mambo hayo tunakuta waandishi wa agano jipya wanayafanya ila SISI HATURUHUSIWI KUFANYA HIVYO ! Wao walitumwa na Mungu kufanya hivyo (Imethibitishwa kwa vile ipo katika Biblia) lakini sisi hatujaambiwa na Mungu kubadili maadiko.

• Sisi tunatakiwa kufuata yale ambayo maandiko yanatuambia. Fungo ambazo zimepata tafsiri ya kiajabu baadhi ni zifuatayo. Matt 1:22-23 (Isa 7:14) Matt 2:15 (Hos 11:1) Mat 2:17-18 (Yer 31:15) Joh 12:15 (Zak 9:9).

• Waliyo andika maandiko ya Biblia walipewa ufahamu kutoka kwa Mungu, waliyoandika A.K. na pia A.J. Mungu aliamua waandike kwa jinsi walivyoandika lakini hiyo haituruhusu sisi kufasiri kama tunavyopenda.

FaidayaMwisho:Mkazosehemumbili;ImaninaDesturi(utendaji)• Hakuna tofauti kati ya ”agano letu” na ”agano lao” tunahitaji kukaa ”katika agano

letu” kuishi ndani ya mafundisho katika utekelezaji. Tukifanya hivo tunapewa baraka la sivyo hukumu inatusubiri. Yak 1:27; 2:18; Ef 2:8-10.