kujikinga na malaria - equip tanzania · malaria, malaria: huletwa na mbu x 3 tufanye nini ! tumia...

18
i Kujikinga na Malaria Grace Z. Kamonga

Upload: others

Post on 07-Dec-2020

7 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

i

Kujikinga na Malaria

Grace Z. Kamonga

Page 2: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

ii 1

Taasisi ya Elimu TanzaniaS. L. P 35094Dar es Salaam

Tanzania

© Taasisi ya Elimu Tanzania ,2015

Mwaandishi: Grace Z. KamongaMchoraji: Abdul Gugu

Usanifu: Sisi Illustrators

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kutafsiri,kupiga chapa kitabu hiki au sehemu yake kwa njia yoyote ile bila ya idhini ya Taasisi ya Elimu Tanzania.

Page 3: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

ii 1

Mode na mama yake wanaishi mtaa wa Majengo.

1

Mode na mama yake wanaishi mtaa wa Majengo.

Page 4: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

2 32

Mode alizoea kucheza mpira na watoto wenzake.

Page 5: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

2 3

Siku moja, Mode alishindwa kucheza mpira.

3

Siku moja, Mode alishindwa kucheza mpira.

Page 6: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

4 5

Mama yake alimuuliza, “Mode, kwa nini huchezi mpira leo?”

4

Mama yake alimuuliza, “Mode, kwa nini huchezi mpira leo?”

Page 7: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

4 5

Mode alijibu, “Mama, kichwa kinaniuma sana.”

5

Mode alijibu, “Mama, kichwa kinaniuma sana.”

Page 8: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

6 7

Mama alishangaa na kusema, “He! Haya, twende hospitali.”

6

Mama alishangaa na kusema, “He! Haya, twende hospitali.”

Page 9: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

6 7

Mode aliuliza, “Mama, kwa nini mimi naumwa kila mara?” Mama alijibu, “Tutamuuliza daktari.”

7

Mode aliuliza, “Mama, kwa nini mimi naumwa kila mara?” Mama alijibu, “Tutamuuliza daktari.”

Page 10: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

8 9

Daktari Pondo alipompima, alisema, “Ana malaria!” Wote walishangaa!

Page 11: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

8 9

Daktari Pondo alimwambia mama Mode, “Nitampa dawa lakini, zingatieni usafi wa mazingira.”

9

Daktari Pondo alimwambia mama Mode, “Nitampa dawa lakini, zingatieni usafi wa mazingira.”

Page 12: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

10 11

Mode alipopona, walifanya usafi wa mazingira ya nyumba yao.

10

Mode alipopona, walifanya usafi wa mazingira ya nyumba yao.

Page 13: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

10 11

Siku moja, Mode alimwambia mama yake, “Mama, mimi nataka kuwa kama daktari Pondo.”

Page 14: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

12 13

Mama Mode alifurahi sana akasema, “Vizuri mwanangu, utawashauri watu kutunza afya zao.”

Page 15: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

12 13

Mama alimwambia Mode, “Mwanangu, nikikupeleka shule, usome kwa bidii ili uwe kama daktari Pondo.”Mode alifurahi, akasubiri siku angeanza shule.

13

Mama alimwambia Mode, “Mwanangu, nikikupeleka shule, usome kwa bidii ili uwe kama daktari Pondo.”Mode alifurahi, akasubiri siku angeanza shule.

Page 16: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

14 15

Mode aliwafunza wenzake wimbo huu: Malaria, Malaria: ugonjwa hatari x3Tufanye nini ! Fyeka majaniChoma takatakaMalaria, Malaria: ugonjwahatari x 3Tufanye nini ! fukia mashimoSafisha miferejiMalaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kingaNenda zahanati

14

Mode aliwafunza wenzake wimbo huu: Malaria, Malaria: ugonjwa hatari x3Tufanye nini ! Fyeka majaniChoma takatakaMalaria, Malaria: ugonjwahatari x 3Tufanye nini ! fukia mashimoSafisha miferejiMalaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kingaNenda zahanati

Page 17: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

14 15

Maswali1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?2.Je, unafikiri mtu akiumwa apate msaada gani?3.Watoto, ili muweze kuwa madaktari kama Pondo, mfanye nini? 4.Tufanye nini ili tujiepushe na ugonjwa hatari wa Malaria? 5Yataje magonjwa mengine yanayosababishwa na mazingira machafu.

Page 18: Kujikinga na Malaria - EQUIP Tanzania · Malaria, Malaria: huletwa na mbu x 3 Tufanye nini ! Tumia kinga Nenda zahanati. 14 15 Maswali 1.Daktari alisema Mode alikuwa na tatizo gani?

16

Shughuli1.Kuwaongoza wanafunzi kuigiza namna ya kumsaidia mgonjwa. 2.Watoto wabebe uhusika wa daktari, mgonjwa, muuguzi na wasaidizi wa mgonjwa.3.Kuwaongoza kufanya usafi wa mazingira yao kwa kutumia vifaa mbali mbali.