je, unahitaji elimu bora ya awali na msingi kwa … · web viewunapenda kuwatangazia nafasi za...
TRANSCRIPT
Je, Unahitaji elimu bora ya awali na msingi kwa mtoto wako?
Je, Umemaliza darasa la saba na unahitaji kujiunga kidato cha kwanza?
Je, Umemaliza kidato cha Nne(4) na unataka kujiunga kidato cha Tano(5)?
Uongozi wa NEW AMBASSADOR
INTERNATIONAL SCHOOLUnapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa
mwaka 2017-2018 na kwa wale wanataka kuhamia
kama ifuatavyo; Shule ya awali na
msingi (Nursery & Primary) kutwa na bweni
Sekondari kidato cha I, II, III na IV.
Pre-form Five kwa michepuo yote ya sanaa, biashara na Sayansi.
NEW AMBASSADOR INTERNATIONAL
SCHOOLS
LA KWANZA HADI KIDATO CHA
NAFASI ZA KUHAMIA DARASA
PIA TUNATOA
RESITTERS
PGM, PCB na PCMHKL, EGM, ECA, HGK, HGL, HGE,
kwenye michepuo ya
Nafasi ya kidato cha TANO na SITA
TABATA – SEGEREA(DAY & BOARDING)
Nursery School, Primary School, O’ Level & A Level Secondary School.
Je, Unatafuta shule ya kuhamia?
Ni NEW AMBASSADOR INTERNATIONAL
SCHOOLS pekee inayoweza
kukupa mahitaji hayo.
NEW AMBASSADOR INTERNATIONAL
SCHOOLS
Suspendisse potenti.
SHULE INA: Mazingira mazuri ya
kujifunza na kujisomea.
WALIMU wakutosha wenye uzoefu wa kufundisha.
Usafiri wa Uhakika kwa wanafunzi wa kutwa.
Inatoa CHAI (Breakfast) na CHAKULA cha mchana (Lunch) kwa wanafunzi wote.
Maabara za Kisasa zinazomwezesha
fomu mapema watapata punguzo maalum la ADA.
Kwa wanafunzi watakaowahi kuchukua
ADA zetu ni nafuu sana na inaweza kulipwa kwa
awamu NNE huku mtoto akiendelea na masomo.
kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni.
wanaohamia fomu zinapatikana shuleni NEW
AMBASSADOR INTERNATIONAL SCHOOL
Kwa wanafunzi
OFA MAALUM Kwenda
semina(BURE). Kuhudhuria midahalo
ya kielimu (Debates) katika vyombo vya habari (BURE).
Kwenda ziara za kielimu (Study Tour) ndani na nje ya nchi.
Masomo ya ziada (EXTRACURRICULAR) kwa watoto (BURE).
MUHIMUMajirani wote wanaoizunguka shule watapata punguzo maalum la ada.
FIKA SASA KUJIONEA MABADILIKO
WOTE MNAKARIBISHWA
MAWASILIANO:
Simu: 0653 433005 / 0620 756869Barua pepe: [email protected]