iuf mahitaji ya covid-19 ni kuwepo kwa usawapre2020.iuf.org/w/sites/default/files/iuf...

2
Janga la COVID-19 linasabisha kuathirika kwa Uchumi na Afya bora kwa kila mmoja wetu. IUF yaangazia kwamba mfumo wa kijinsia kwa janga la COVID-19 unazingatiwa na waajiri, idara ya afya na serikali. Njia ya kukabiliana na jinsia kwa janga la COVID-19 ni muhimu katika jamii yote ili Kuhakikisha kuwa ukosefu wa usawa wa kijinsia hauendelezwi, kukuzwa au kuongezeka katika muktadha wa janga hili. Hii inajumuishwa katika nafasi za kazi, kupitia vifungu vya utunzaji wa afya na utafiti, na kuzuia unyanyasaji kwa wasichana na wanawake ulimwenguni. IUF : UNITING FOOD, FARM & HOTEL WORKERS WORLDWIDE IUF MAHITAJI YA COVID-19 NI KUWEPO KWA USAWA WAAJIRI 1. Heshimu mahali pa kazi na kutekeleza haki kwa usalama na afya bila madhara na hatari yoyote mahali pa kazi. 2. Jadiliana na Vyama vya wafanyakazi na kutekeleza sera ili kupinga unyanyapaa na unyanyasaji ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa kijinsia mahali pa kazi. 3. Jumuisha wafanyikazi pamoja na wakilishi wa vyama vyao ili kutekeleza hatua za kuzuia jumla ya wafanyikazi wote kwa kuwapa habari sahihi ya afya na usalama, maagizo na mafunzo ya janga la COVID-19. 4. Hakikisha Wanawake wanahusishwa kila wakati kwa maamuzi ya afya pamoja na Kamati za afya na usalama kazini 5. Wafanyikazi wapatiwe vifaa vya kinga vya kibinafsi ambavyo hubadilishwa kwa miili yao (kwa mfano glavu, vifaa vya kupumua, glasi za usalama, suti za jumla na za kinga). 6. Wafanyikazi watengezewe vyoo safi na vyenye usalama na ufikiaji wa maji safi na ya kunywa; na wape wafanyikazi fursa ya unyenyekevu wakati wa kufanya kazi bila kuogopa adhabu au unyanyapaa. 7. Toa idadi inayofaa ya vituo vya kuosha mikono na wafanye sanitizer kupatikana mahali pote pa kazi 8. Tambulisha hatua za ziada za kinga kwa wafanyikazi wanawake wajawazito na kwa wanawake wenye wamekoma kupata hedhi, haswa wanawake wanaopata dalili chungu. 9. Heshimu Haki za wafanyikazi kwa kuhakikisha mpangilio wote muhimu wa kutunza familia zao wakati wa msiba huu. 8 RAMPE DU PONT-ROUGE | 1213 PETIT-LANCY | SWITZERLAND | [email protected] Tumia mwongozo wa IUF kuhusu maswala ya jinsia uliochapishwa hivi karibuni kama mwongozo wa kuleta maswala ya kijinsia kwa afya na usalama wa makazi ili kujadili na kutekeleza mabadiliko muhimu katika sehemu yako ya kazi haswa swala la janga ya COVID-19.

Upload: others

Post on 24-Jan-2021

9 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: IUF MAHITAJI YA COVID-19 NI KUWEPO KWA USAWApre2020.iuf.org/w/sites/default/files/IUF COVID-19...sehemu yako ya kazi haswa swala la janga ya COVID-19. IUF MAHITAJI YA COVID-19 NI KUWEPO

Janga la COVID-19 linasabisha kuathirika kwa Uchumi na Afya bora kwa kila mmoja wetu. IUF yaangazia kwamba mfumo wa kijinsia kwa janga la COVID-19 unazingatiwa na waajiri, idara ya afya na serikali. Njia ya kukabiliana na jinsia kwa janga la COVID-19 ni muhimu katika jamii yote ili Kuhakikisha kuwa ukosefu wa usawa wa kijinsia hauendelezwi, kukuzwa au kuongezeka katika muktadha wa janga hili. Hii inajumuishwa katika nafasi za kazi, kupitia vifungu vya utunzaji wa afya na utafiti, na kuzuia unyanyasaji kwa wasichana na wanawake ulimwenguni.

IUF : UNITING FOOD, FARM & HOTEL WORKERS WORLDWIDE

IUF MAHITAJI YA COVID-19 NI KUWEPO KWA USAWA

WAAJIRI

1. Heshimu mahali pa kazi na kutekeleza haki kwa usalama na afya bila madhara na hatari yoyote mahali pa kazi.

2. Jadiliana na Vyama vya wafanyakazi na kutekeleza sera ili kupinga unyanyapaa na unyanyasaji ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa kijinsia mahali pa kazi.

3. Jumuisha wafanyikazi pamoja na wakilishi wa vyama vyao ili kutekeleza hatua za kuzuia jumla ya wafanyikazi wote kwa kuwapa habari sahihi ya afya na usalama, maagizo na mafunzo ya janga la COVID-19.

4. Hakikisha Wanawake wanahusishwa kila wakati kwa maamuzi ya afya pamoja na Kamati za afya na usalama kazini

5. Wafanyikazi wapatiwe vifaa vya kinga vya kibinafsi ambavyo hubadilishwa kwa miili yao (kwa mfano glavu, vifaa vya kupumua, glasi za usalama, suti za jumla na za kinga).

6. Wafanyikazi watengezewe vyoo safi na vyenye usalama na ufikiaji wa maji safi na ya kunywa; na wape wafanyikazi fursa ya unyenyekevu wakati wa kufanya kazi bila kuogopa adhabu au unyanyapaa.

7. Toa idadi inayofaa ya vituo vya kuosha mikono na wafanye sanitizer kupatikana mahali pote pa kazi

8. Tambulisha hatua za ziada za kinga kwa wafanyikazi wanawake wajawazito na kwa wanawake wenye wamekoma kupata hedhi, haswa wanawake wanaopata dalili chungu.

9. Heshimu Haki za wafanyikazi kwa kuhakikisha mpangilio wote muhimu wa kutunza familia zao wakati wa msiba huu.

8 RAMpE DU pONT-ROUGE | 1213 pETIT-LANcy | SWITzERLAND | [email protected]

Tumia mwongozo wa IUF kuhusu maswala ya jinsia uliochapishwa hivi karibuni kama mwongozo wa kuleta maswala ya kijinsia kwa afya na usalama wa makazi ili kujadili na kutekeleza mabadiliko muhimu katika sehemu yako ya kazi haswa swala la janga ya COVID-19.

Page 2: IUF MAHITAJI YA COVID-19 NI KUWEPO KWA USAWApre2020.iuf.org/w/sites/default/files/IUF COVID-19...sehemu yako ya kazi haswa swala la janga ya COVID-19. IUF MAHITAJI YA COVID-19 NI KUWEPO

IUF MAHITAJI YA COVID-19 NI KUWEPO KWA USAWA

SERIKALI

1. Kutunga sheria kwamba iwe haki kwa wafanyikazi kulipwa likizo ya ugonjwa na malipo iwe bure kwa huduma za afya bila kujali uhusiano wa ajira katika uchumi rasmi na usio rasmi.

2. Kulinda mshahara na mapato, na kuweka rehani, kodi na kupunguza mzigo wa mkopo.

3. Weka rekodi mwafaka ya wafanyikazi wahamiaji ambao hawajaandikiswa.

4. Toa fedha za dharura kusaidia wafanyikazi wote wanaopoteza ajira kwa muda mfupi au vibali pamoja na wafanyikazi wote wahamiaji na kuhakikisha Wamelindwa.

5. Kuanzisha mazungumzo ya dharura kati ya Waajiri, wafanyikazi na serikali ya kuanzisha utoaji wa dharura na utunzaji wa watoto na usalama wa usafiri kwa wafanyikazi wanawake ambao wanapaswa kuendelea kufanya kazi katika mimea, shamba au upandaji miti.

6. Kuanzisha mazungumzo ya dharura kati ya Waajiri, wafanyikazi na serikali dhidi ya kutoa malazi ya ziada kwa wanawake walioadhirika na unyanyasaji wa nyumbani (Ikiwa ni pamoja na mahoteli yanayo nafasi) ili waweze kutoroka haraka kutoka kwa mazingira hatari yanayotishia maisha; na watengeze orodha ya wataalamu wa dhuluma za nyumbani na mashirika kama watoa huduma muhimu.

7. Ongeza rasilimali kwa afya ya uzazi na kuakikisha haitumiki kwa madhumuni mengine.

8. Hakikisha kuwa wanawake wengi hujumuishwa kwa maamuzi yanayohusiana na afya ya umma (Ikiwa ni pamoja na COVID-19) pamoja na afya na usalama wa kazini.

9. Fanya utafiti juu ya athari (Ikiwa ni pamoja na athari za kiuchumi na kijamii) ya COVID-19 na uhakikishe kuwa utafiti wote kama huo na matokeo yake unatii maswala ya kijinsia.

10. Hakikisha kuwa utafiti wa matibabu ili kujua dawa au chanjo Unazingatia tofauti za kijinsia ndio ikasaidie kila mmoja kwa njia mwafaka.

Athari Ya COVID-19 Kwa WanawakeKufikia sasa, wanawake na wanaume wameambukizwa sawa na virusi lakini kuna tofauti katika vifo na hatari ya ugonjwa huo. Ushahidi unaonyesha kuwa wanaume wanakufa zaidi ya wanawake. Sembuse hayo, wanawake na wanaume huathiriwa kwa njia tofauti na Mgogoro wa COVID-19. Wanawake wapo mstari wa mbele wa janga hili. Katika sekta ya afya na huduma ya jamii, 70% ya wafanyikazi ni wanawake na pia ndio sehemu kubwa ya wafanyikazi kwenye maduka makubwa na korosho.

Katika sekta za IUF athari za janga hili kwa wanawake ni mingi sana. Viwanda vya kilimo na usindikaji wa chakula viko chini ya shinikizo kubwa na mlipuko wa COVID-19. Sekta ya Hoteli, Upishi na Utalii imepatwa na shida kubwa.

l Wanawake huunda hadi 66.5% ya wafanyikazi wa kilimo katika nchi zenye kipato cha chini

l Wanawake wanamiliki katika tasnia ya kuku na huunda asilimia kubwa ya wafanyikazi katika tasnia ya usindikaji wa chakula.

l Katika sekta ya HRCT, wanawake wanawakilisha wafanyikazi wengi wa nyumba na mikahawa.

l Wanawake ambao tayari wamewakilishwa katika kazi ya hatari, ya kawaida na ya malipo ya chini, watakuwa wa kwanza kuguswa na mzozo mkubwa wa kiuchumi na kijamii.

l Hadi leo, mamia ya mamilioni ya watoto wametumwa nyumbani kutoka shuleni. Hii ina athari kwa wanawake kama walezi wakuu katika familia. Hii inamaanisha pia kuwa wanawake wengine watalazimika kujiuzulu kazini wakati hakuna kinga ya kutosha ya kijamii na hio itazuia uhuru wao wa uchumi mwafaka.

l Wanawake ambao wanaendelea kufanya kazi watalazimika kuangalia masomo ya watoto wao wakiwa nyumbani wakati wanashughulikia majukumu yao ya kazi, kuhakikisha chakula iko kwa nyumba pamoja na kuwashughulikia wazee na pia wanaume na wanawake watastahili kukabiliana kiakili na janga hili.

l Vizuizi vya kusafiri ulimwenguni vinaathiri wafanyikazi wa kike wanaohama kama wafanyikazi wa nyumbani.

l Wafanyikazi wa ndani katika nchi zilizoathiriwa mzigo wa kazi bila kulipwa nyongeza ya kazi. Wengine wamefukuzwa kikatili bila fidia. Wengi wao hawalindwi na mpango wowote wa malipo baada ya kazi.

Masomo yakujifunza kutoka kwa magonjwa ya liyolipuka hivi karibuniSomo moja kutoka kwa janga la ebola barani Afrika mnamo 2014-16 ni kwamba kwa sababu ya Maswala ya Kijinsia, Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo, theluthi mbili ya watu walioambukizwa ilikuwa wanawake. Wakati huo wanawake walitengwa kwa jumla na shirika la kufanya uamuzi iliyosimamia janga hilo. Katika mkoa ulioambukizwa ebola, wanawake hawakuwa na usemi wakati rasilimali zilizotengwa kwa afya ya uzazi zilikuwa zinaelekezwa kushughulikia masaibu yaliyozuka . Hiyo Ilisababisha vifo vya akina mama kupanda kwa 75%.

Kuna matarajio kidogo kuwa mambo yatabadilika wakati wowote hivi karibuni. Kwa mfano, kote ulimwenguni 72% ya wakuu wa serikali wakuu wa afya ni wanaume. Kikosi kipya kilichotengwa kushughulikia maswala ya COVID-19 huko Amerika; wanaume ni 12 ambao kumi na moja kati yao ni wazawa wa kabila fulani.

Kufungiwa kwa familia manyumbani kunasabisha kwa wingi dhuluma na unyanyasaji kwa wanawake kwa sababu; mwenzi amezoea kudhulumu, vurugu kutokana na ukosaji wa pesa, hatari ya ngono vurugu, mimba kuongezeka kwa kiwango kikubwa kwa watoto wadogo wa shule ambao hawako shule kwa sasa.

Jiunge na kampeni ya kuwasihi serikari watekeleze na kupitisha sheria ya mataifa ILO C.190 inayozungumzia kuondolewa kwa vurugu na unyanyasaji katika ulimwengu wa kazi.

Photo: Anna N

ylander, Union to U

nion