![Page 1: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/1.jpg)
WAKALA WA VIPIMO
TAARIFA ZA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KWA SEKTA YA
VIWANDA NA BIASHARA KIPINDI CHA MWAKA 2005-2015
UTANGULIZI
Wakala wa Vipimo ilianzishwa mwaka 2002 kwa sheria ya Wakala wa Serikali Sura
Na. 245 ya mwaka 2002. Kabla ya kuwa Wakala, ilikuwa Idara chini ya Wizara ya
Viwanda na Biashara
Wakala wa Vipimo inafanya majukumu yake kwa kutumia sheria Sura Na. 340 na
kupitiwa upya mwaka 2002.
Wakala ina jukumu kubwa moja ambalo ni kumlinda mlaji (mwananchi) kupitia
vipimo sahihi.
Katika kipindi cha mwaka 2005-2014 Wakala ilitekeleza majuku yake na kupata
mafanikio mbalimbali kama inavyooneshwa katika picha mbalimbali hapo chini
MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KATIKA KIPINDI HIKI
1. Kuanzishwa kwa Kitengo cha Bandari kwa ajili ya kusimamia vipimo
vitumikavyo kupimia mafuta yanayoingizwa nchini pamoja na gesi
2. Kununua vifaa mbalimbali vya kitaalam kwa ajili ya kuboresha huduma ya
ukaguzi wa vipimo vinavyotumika katika biashara ili kumlinda mlaji (
mwananchi)
3. Ununuzi wa viwanja kumi na tisa ( 19) vya Wakala kwa ajili ya kujenga ofisi
na vituo vya kupimia magari yabebayo mafuta
4. Ukarabati wa ofisi mbili (2) za Morogoro na Tanga
5. Kufanya utafiti wa jinsi mfumo wa vipimo katika sekta ya gesi asilia ( Natural
gas) kwa ajili ya kusimamia sekta hiyo
6. Ujenzi wa vituo vya kupimia magari ( Calibration bays) yabebayo mafuta vya
Iringa na Mwanza, na kukiboresha kituo cha zamani cha Ilala
7. Kujenga vituo vya kukagua bidhaa zilizofungashwa mipakani (Sirari,
Namanga, Horiri, Horohoro na bandari za Mwanza, Tanga,Dar es Salaam).
8. Maandalizi ya kujenga kituo cha kukagulia magari Misugusugu mkoani Pwani
( michoro ipo tayari mchakato wa kumpata mjenzi unaendelea)
![Page 2: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/2.jpg)
9. Wakala imepanua wigo wa maeneo ya kufanyia kazi hivyo imeongeza ajra
kwa watanzania. Kabla ya 2015 watumishi walikua ……….. na mpaka mwaka
uliopita wa fedha 2013/2014, watumishi walikuwa………………
10. Wakala imefanikiwa kununua magari mazuri ya kufanyia kazi tofauti
na ilivyokuwa hapo awali.
BAADHI YA VIFAA VYA KITAALAM VILIVYONUNULIWA NA WAKALA KATIKA KIPINDI HICHO
Vifaa vya kitaalam vilivyonunuliwa na Wakala
![Page 3: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/3.jpg)
Vifaa vya kitaalam vilivyonunuliwa na Wakala
![Page 4: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/4.jpg)
Vifaa vya kitaalam vilivyonunuliwa na Wakala
![Page 5: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/5.jpg)
Vifaa vya kitaalam vilivyonunuliwa na Wakala
![Page 6: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/6.jpg)
WAKALA INASIMAMIA VIPIMO VINAVYOTUMIKA KATIKA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA
ILI KUPATA BIDHA ZENYE VIPIMO SAHIHI
Ukaguzi wa Bidhaa
zilizofungashwa, viwandani,
bandarini na baadhi ya vituo
vya mipakani
![Page 7: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/7.jpg)
Ukaguzi wa Bidhaa zilizofungashwa, viwandani, bandarini na baadhi
ya vituo vya mipakani
![Page 8: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/8.jpg)
Upimaji wa bidhaa viwandani kupata usahihi wake.
![Page 9: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/9.jpg)
Ukaguzi wa Bidhaa zilizofungashwa, viwandani, bandarini na baadhi
ya vituo vya mipakani( maafisa Vipimo wakikagua)
WAKALA KUSIMAMIA USALAMA
![Page 10: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/10.jpg)
Upimaji wa mwendo kazi wa magari kwa kutumia vifaa vya
kitaalam ( maarufu tochi)
WAKALA HUSIMAMIA VIPIMO VINAVYOTUMIKA KUPIMIA MAFUTA YAINGIAYO NCHINI
![Page 11: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/11.jpg)
Usimamizi na udhibiti wa kiasi cha mafuta ya petrol na gesi
yaingiayo nchi kupitia vipimo sahihi (Wakala inasimamia)
WAKALA HUSIMAMIA VIPIMO VITUMIKAVYO KUPIMIA MAFUTA KWENYE SOKO
![Page 12: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/12.jpg)
Upimaji wa matenki kwa kutumia kifaa cha kitaalam (Prover)
![Page 13: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/13.jpg)
Upimaji
wa
matenki
ya ardhini
Upimaji wa matenki ya treni
![Page 14: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/14.jpg)
Upimaji wa matenki makubwa ya kuhifadhia mafuta na gesi
![Page 15: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/15.jpg)
WAKALA HUTOA ELIMU WA WANANCHI KUHUSU MATUMIZI YA VIPIMO
SAHIHI
![Page 16: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/16.jpg)
Afisa vipimo bw. akitoa elimu kwa naibu Katibu Mkuu wa Viwanda na
Biashara Bi…………..
![Page 17: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/17.jpg)
Kaimu meneja wa Habari Bi. Irene John akifafanua jambo kwa waandishi wa
habari kuhusu matumizi ya vipimo ( Hawapo pichani)
![Page 18: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/18.jpg)
Utoaji wa elimu kwa wananchi kwenye maonyesho kuhusu
vipimo
![Page 19: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/19.jpg)
MAENEO MAPYA YA KAZI ZA VIPIMO YAMEONGEZA AJIRA KWA VIJANA
Maeneo mapya maafisa wakipima urfu wa mabati kama yanakidhi matakwa
ya sheria ya vipimo
![Page 20: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/20.jpg)
Maafisa wakipima ili wajiridhishe vipimo vyake
![Page 21: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/21.jpg)
MAGARI YA WAKALA KIPINDI CHA NYUMA KABLA YA 2005
![Page 22: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/22.jpg)
MAGARI YA WAKALA KATIKA KIPINDI KUANZIA 2005
![Page 23: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/23.jpg)
![Page 24: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/24.jpg)
WAKALA INATEKELEZA MIRADI MBALIMBALI
Ofisi ya Morogoro baada ya kukarabatiwa, Picha mshauri
mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo.
![Page 25: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/25.jpg)
Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa
mkoani Iringa
![Page 26: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/26.jpg)
Mfano wa kituo cha kupimia magari yanayobeba mafuta
kitakachojengwa eneo la Misugusugu mkoani Pwani
(Impression drawings)
![Page 27: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/27.jpg)
Ofisi itakayojengwa eneo la Misugusugu kwa ajili ya kazi za
kituo hicho
![Page 28: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/28.jpg)
WAKALA IMEPATA TUZO MBALIMBALI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA
(1)
(2)
(1). The Most Accountable and Transparent Organization Award receive in
Ghana during African Public Services Exhibitions
(2) OIML Award for Excellent Achievements in Legal Metrology in Developing
Countries
![Page 29: WAKALA WA VIPIMO - Tanzania · mwelekezi (Consultant) akikabidhi funguo za jengo. Kituo cha Kupimia magari yabebayo mafuta kilichojengwa mkoani Iringa . Mfano wa kituo cha kupimia](https://reader030.vdocuments.site/reader030/viewer/2022040401/5e7c199c3901b6286307dc30/html5/thumbnails/29.jpg)