Transcript
Page 1: HADITHIYABIBLIAILIYOCHORWA PDF kwenye Yakobo … · 2017-03-01 · hadithiyabibliailiyochorwa yakobo na esau mwanzo suraya 25-33 pdf kwenye na uchapishe hii s kwakuwaesaualizaliwakablatuya

HADITHI YA BIBLIA ILIYOCHORWA

Yakobo na EsauMWANZO SURA YA 25-33

sPakua na uchapishe hii

PDF kwenye www.jw.org

KWA KUWA ESAU ALIZALIWA KABLA TU YANDUGU YAKE PACHA, YAKOBO, BABA YAOALITAKA KUMPA ESAU BARAKA YA PEKEE.

LAKINI ESAU HAKUITHAMINI.

UKINIPA HUO MCHUZIMWEKUNDU, UNAWEZA

KUCHUKUA BARAKAYANGU!

ESAU ALIPOKUWA AMEONDOKA,BABA YA YAKOBO, ISAKA,AKAMBARIKI YAKOBO.

ESAU ALIGUNDUA KWAMBA YAKOBOALIKUWA AMEPATA BARAKA YAKE YA PEKEE.

LAKINI VIPIMIMI?

NIBARIKI MIMIPIA, BABA YANGU!

ESAU ALIAMUA KWAMBA ATAMLIPIZAYAKOBO SIKU MOJA.

MIMI NITAMWUAYAKOBO, NDUGU

YANGU!

www.jw.org ˘ 2013 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

Ukurasa wa 1

Page 2: HADITHIYABIBLIAILIYOCHORWA PDF kwenye Yakobo … · 2017-03-01 · hadithiyabibliailiyochorwa yakobo na esau mwanzo suraya 25-33 pdf kwenye na uchapishe hii s kwakuwaesaualizaliwakablatuya

YAKOBO ALIKIMBIA LAKINI AKARUDI NYUMBANI BAADA YA MIAKA MINGI . . .

ESAU YUKO NJIANIKUJA KUKUTANA NAWE,

NA AMEAMBATANA NAWANAUME 400!

ATATUUASISI SOTE!

TUTAFANYANINI?

YAKOBO ALIOGOPA SANA.

EE YEHOVA,UNIKOMBOE KUTOKAKATIKA MKONO WAESAU KWA SABABUMIMI NINAOGOPAATANISHAMBULIAMIMI NA FAMILIA

YANGU!

KABLA YA KUKUTANANA ESAU, MPELEKEENIZAWADI YA MAMIA YA

WANYAMA. LABDAATANIONYESHA FADHILI.

AKIWA NJIANI KUMWONA ESAU,YAKOBO ALIKUTANA NA MALAIKA.MALAIKA HUYO ALIMBARIKI YAKOBO.

SASA YAKOBO ALIJUA KWAMBAYEHOVA ANGEMLINDA . . .

www.jw.org ˘ 2013 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

HADITHI YA BIBLIA ILIYOCHORWA � Yakobo na Esau � Ukurasa wa 2

Page 3: HADITHIYABIBLIAILIYOCHORWA PDF kwenye Yakobo … · 2017-03-01 · hadithiyabibliailiyochorwa yakobo na esau mwanzo suraya 25-33 pdf kwenye na uchapishe hii s kwakuwaesaualizaliwakablatuya

ESAU ALIPOMKARIBIA, YAKOBOALIMWINAMIA MPAKA CHINI MARA SABA.

KWA KUWA MIAKA MINGI ILIKUWA IMEPITA NA YAKOBO ALIMWONYESHANDUGU YAKE FADHILI, ESAU HAKUTAKA TENA KUMWUA YAKOBO. ESAUALIMKUMBATIA YAKOBO, NAO WAKAFANYA AMANI.

TUNAJIFUNZA NINI KUTOKANANA YAKOBO NA ESAU?

KWA NINI ESAU ALIMKASIRIKIA SANA YAKOBO?

MADOKEZO: MWANZO 27:41; METHALI 14:30.

NDUGU YAKO AU DADA YAKO ANAPOKASIRIKA

AU ANAPOTENDA BILA FADHILI, UNAPASWA

KUFANYA NINI?

DOKEZO: 1 PETRO 3:8, 9.

www.jw.org ˘ 2013 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

HADITHI YA BIBLIA ILIYOCHORWA � Yakobo na Esau � Ukurasa wa 3


Top Related