baada ya kujaza fomu hii kwa makini, tafadhali ...mtunza hazina: mr. stephen mkomwa, (simu:...

2
BAADA YA KUJAZA FOMU HII KWA MAKINI, TAFADHALI NAKILI TAARIFA HIZI MUHIMU UZITUME KWA KATIBU NA MRATIBU WA HCF(T) KWA SMS Katibu: Kihundo A (0755-087521) Mratibu: Singano M (0655-616886) Barua-Pepe: [email protected] OMBEA KAMATI YA MAANDALIZI, DODOMA Mwenyekiti: Ms. Anna Mangula, 0713-432588 Makamu M/Kiti: Mr. James Mtae, 0755-464000 Katibu: Mr. Peter Tolokaa, 0763-833147 K/Msaidizi: Ms. Vivian Mchilasi, 0752-640802 M/Hazina: Mrs Leonida Alex, 0752-481169 Mjumbe: Mrs Eliamani Swai, 0713-335798 Mjumbe: Dr. Enid Chiwanga, 0784-514467 Mjumbe: Ms. Christina Ndone, 0785-357727 Mjumbe: Mch. Suday Meshack, 0712-371013 Mshauri: Mch. John Msakafu, 0754-753096 DODOMA HCF-v24a-BROCHURE OK FINAL-E+L (3.6.2015 T16.38pm) = Conf. St. John's Sept. 10-14, 2015 HCF Tanzania Makao Makuu C/O Umoja wa Kujisomea Biblia (UKB) Tanzania, S.L.P. 2313, Dar-es-Salaam, Upanga, Mtaa wa Kalenga, Kitalu Na. 591, Karibu na Hospitali-Muhimbili. M/Kiti: Dr. Elifuraha Mumghamba (Simu: 0788-422245), Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili S.L.P. 65014, DSM. Barua pepe: [email protected] Makamu M/Kiti: Ms. Grace Sabuka (Simu: 0717046714), Hospitali ya Kairuki (Mikocheni), S.L.P. 65300, DSM. Barua pepe: [email protected] Katibu: Mr. Amon Kihundo (Simu: 0755087521) Hospitali ya TaifaMuhimbili, S.L.P.65000, DSM. Mtunza Hazina: Mr. Stephen Mkomwa, (Simu: 0754452670) Hospitali ya Aga Khan, DSM. Barua pepe: [email protected] KWA KUJIANDIKISHA, JAZA FOMU HII WEKA/INGIZA FEDHA KATIKA AKAUNTI YA HCF na KISHA UTUME TAARIFA (SMS) KWA WOTE MTUNZA HAZINA na KATIBU wa HCF TANZANIA NBC: TAWI LA MUHIMBILI JINA LA AKAUNTI: SCRIPTURE UNION, DEPT. OF HOSPITAL CHRISTIAN FELLOWSHIP AKAUNTI Na: 041201043597 AU NMB: TAWI LA MUHIMBILI, JINA LA AKAUNTI: HEALTHCARE CHRISTIAN FELLOWSHIP (HCF) TANZANIA, AKAUNTI Na: 2096600029 NB.: TUMA SMS Yenye Jina lako kamili, Kituo chako cha kazi, jumla ya fedha ulizotuma, kwa Benki ipi (NMB au NBC) kwa *Mtunza Hazina na Katibu wa HCF Tanzania*, au UJE NA FEDHA YAKO MKUTANONI. KWA MAWASILIANO ZAIDI UONGOZI WA KITAIFA - HCF TANZANIA Kubom ili m HEA U KONGA ST DO moa na kuangusha madhabahu ya Baali kumjengea BWANA Mungu aliye hai madhabahu takatifu (Amu.6:25-26) (Amu 6:25-26) ALTHCARE CHRISTIAN FELLOWSHIP (HCF) TANZANIA USHIRIKA WA KIKRISTO KATIKA HUDUMA ZA AFYA TANZANIA” [Reg. No. S.A. 14631] Je, Unajua Ukweli Huu Kuwa, Watu Wengi Zaidi Hupita Hospitalini Kuliko Makanisani!” AMANO LA-15, HCF TANZANIA T. JOHN s UNIVERSITY-TZ (SJUT), ODOMA, (10-14 SEPTEMBA, 2015)

Upload: others

Post on 20-Nov-2020

20 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: BAADA YA KUJAZA FOMU HII KWA MAKINI, TAFADHALI ...Mtunza Hazina: Mr. Stephen Mkomwa, (Simu: 0754452670) Hospitali ya Aga Khan, DSM. Barua pepe: stephen.mkomwa@akhst.org KWA KUJIANDIKISHA,

BAADA YA KUJAZA FOMU HII KWA MAKINI, TAFADHALI NAKILI TAARIFA HIZI

MUHIMU UZITUME KWA KATIBU NA MRATIBU WA HCF(T) KWA SMS

Katibu: Kihundo A (0755-087521)

Mratibu: Singano M (0655-616886)

Barua-Pepe: [email protected]

OMBEA KAMATI YA MAANDALIZI, DODOMA

Mwenyekiti: Ms. Anna Mangula, 0713-432588 Makamu M/Kiti: Mr. James Mtae, 0755-464000 Katibu: Mr. Peter Tolokaa, 0763-833147 K/Msaidizi: Ms. Vivian Mchilasi, 0752-640802 M/Hazina: Mrs Leonida Alex, 0752-481169 Mjumbe: Mrs Eliamani Swai, 0713-335798 Mjumbe: Dr. Enid Chiwanga, 0784-514467 Mjumbe: Ms. Christina Ndone, 0785-357727 Mjumbe: Mch. Suday Meshack, 0712-371013 Mshauri: Mch. John Msakafu, 0754-753096

DODOMA HCF-v24a-BROCHURE OK FINAL-E+L (3.6.2015 T16.38pm) = Conf. St. John's Sept. 10-14, 2015

HCF Tanzania – Makao Makuu

C/O Umoja wa Kujisomea Biblia (UKB) Tanzania, S.L.P. 2313, Dar-es-Salaam,

Upanga, Mtaa wa Kalenga, Kitalu Na. 591, Karibu na Hospitali-Muhimbili.

M/Kiti: Dr. Elifuraha Mumghamba (Simu: 0788-422245),

Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili S.L.P. 65014, DSM.

Barua pepe: [email protected]

Makamu M/Kiti: Ms. Grace Sabuka (Simu: 0717046714), Hospitali ya Kairuki (Mikocheni), S.L.P. 65300, DSM.

Barua pepe: [email protected]

Katibu: Mr. Amon Kihundo (Simu: 0755087521) Hospitali ya TaifaMuhimbili, S.L.P.65000, DSM.

Mtunza Hazina: Mr. Stephen Mkomwa, (Simu:

0754452670) Hospitali ya Aga Khan, DSM.

Barua pepe: [email protected]

KWA KUJIANDIKISHA, JAZA FOMU HII

WEKA/INGIZA FEDHA KATIKA AKAUNTI YA HCF na KISHA UTUME TAARIFA (SMS) KWA WOTE

MTUNZA HAZINA na KATIBU wa HCF TANZANIA

NBC: TAWI LA MUHIMBILI JINA LA AKAUNTI: SCRIPTURE UNION,

DEPT. OF HOSPITAL CHRISTIAN FELLOWSHIP

AKAUNTI Na: 041201043597

AU NMB: TAWI LA MUHIMBILI, JINA LA AKAUNTI: HEALTHCARE CHRISTIAN FELLOWSHIP (HCF)

TANZANIA, AKAUNTI Na: 2096600029

NB.: TUMA SMS Yenye Jina lako kamili, Kituo chako cha kazi, jumla ya fedha ulizotuma, kwa

Benki ipi (NMB au NBC) kwa *Mtunza Hazina na Katibu wa HCF Tanzania*, au

UJE NA FEDHA YAKO MKUTANONI.

KWA MAWASILIANO ZAIDI UONGOZI WA KITAIFA - HCF TANZANIA

Kubomoaili

madhabahu

HEALTHCARE

“USHIRIKA

KONGAMANO

ST.

DODOMA

Kubomoa na kuangusha madhabahu ya Baali kumjengea BWANA Mungu aliye hai madhabahu takatifu (Amu.6:25-26)

(Amu 6:25-26)

HEALTHCARE CHRISTIAN FELLOWSHIP

(HCF) TANZANIA USHIRIKA WA KIKRISTO KATIKA HUDUMA ZA

AFYA TANZANIA” [Reg. No. S.A. 14631]

Je, Unajua Ukweli Huu Kuwa,

“ Watu Wengi Zaidi Hupita Hospitalini Kuliko Makanisani!”

KONGAMANO LA-15, HCF TANZANIA

ST. JOHN’s UNIVERSITY-TZ (SJUT),

DODOMA, (10-14 SEPTEMBA, 2015)

Page 2: BAADA YA KUJAZA FOMU HII KWA MAKINI, TAFADHALI ...Mtunza Hazina: Mr. Stephen Mkomwa, (Simu: 0754452670) Hospitali ya Aga Khan, DSM. Barua pepe: stephen.mkomwa@akhst.org KWA KUJIANDIKISHA,

KONGAMANO LA-15 HCF,

ST. JOHN’s UNIVERSITY-TZ (SJUT), DODOMA (10-14 SEPTEMBA, 2015)

Mpendwa……………………………………………………….. Ninakusalimu katika Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ninakukaribisha sana kwenye Kongamano la 15 la HCF (HealthCare Christian Fellowship) Tanzania yaani Ushirika wa Kikristo Katika Huduma za Afya, Tanzania. Neno Kuu: “Kubomoa na kuangusha madhabahu ya Baali .. ili kumjengea BWANA Mungu aliye hai madhabahu takatifu” (Amu.6:25-26) HCF ni nini? HCF ni Ushirika wa Wakristo wote wanaofanya kazi katika sekta ya afya ulimwenguni kote ambao wanamwamini na kumkiri Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yao binafsi. Ushirika huu sio Kanisa bali hufanya kazi kama mkono wa makanisa ili kutimiza agizo kuu la kuihubiri Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote na hii ni pamoja na wagonjwa tunaowahudumia na wafanyakazi wenzetu (Mk 16:15). MADA za KONGAMANO: Mada Kuu: Kuvunja madhababu ya Baali na kumjengea

BWANA Mungu madhabahu takatifu Zingine ni: Historia fupi ya HCFI na HCF Tanzania, Maombi yenye kujibiwa, Matoleo kwa Mungu na baraka za utii katika utoaji, Changamoto za kiroho-A: Ujana hadi Ndoa takatifu, Changamoto za kiroho-B: Ndoa na Wana-ndoa, Kushuhudia wagonjwa/wafanyakazi na kufungua tawi.

KUFUNGUA na KUFUNGA KONGAMANO: Kongamano litafunguliwa na Askofu W. Mongi wa TAG, Dodoma na litafungwa na Mganga Mkuu wa Mkoa, Dodoma. Mnenaji wa Neno Kuu la Kongamano ni Mch. Nikodemu Mwahangila kutoka Mbeya. Watoa mada zilizotajwa hapo juu ni Watumishi wa Mungu kutoka Madhehebu mbali mbali ya Kikristo (AIC, Anglikana KKKT, Pentekoste-PHAMT na TAG). Wakristo wote wa Sekta ya Afya mnakaribishwa. USAFIRI: Unategemewa kusafiri kwa basi hadi Dodoma mjini kituo cha mabasi, na kuchukua teksi (Tshs. 5,000), Bajaji (Tshs. 2,000), Boda-boda (Tshs. 1,000) au Dala-dala (Tshs. 400), kwenda Chuo Kikuu cha St. John’s.

WAFANYAKAZI

WafanyakaziTanzaniapekee.kuchangia LUGHALughawatahudumiwa GHARAMA WajumbeMbaligharamasikukila

WajumbeWenyejiUniversity25,000 KUTUMA

VITU

ST. JOHN

Tafadhali

Hiki

Kwa

Tuma

Jina la Ukoo: …………………………………………………………… Jina la Kwanza Jinsia: Mwanamume Umri (Zungushia) Anuani ya Posta: Simu zako: ………………………………… Barua Pepe (Email): Kazi yako na wadhifa

Dhehebu/Kanisa: Tarehe ya kufika Tarehe ya kuondoka Taarifa ya Ziada/Mlemavu: ………………………………………………………………………………………Kumbuka: WajumbeAlhamisi jioni tarehe(11.9.2015) nawataondoka Jumatatu Waweza KutumaM-Pesa: 0755087521Airtel-Money: 0788 Akaunti za BenkiTafadhali wekana Nakala ya Fomuwa Benki husika

WAFANYAKAZI WOTE na WASHIRIKI BINAFSI KATIKA SEKTA YA AFYA MNAKARIBISHWA

Wafanyakazi wote wa ngazi zote katika Sekta ya Afya Tanzania nzima mnakaribishwa kuhudhuria Kongamano hili la pekee. Pia Washiriki binafsi mnaohudumia wagonjwa na/au

changia huduma ya HCF Tanzania mnakaribishwa sana.

LUGHA KATIKA MKUTANO Lugha ya mkutano itakuwa ni Kiswahili. Wasioelewa Kiswahili watahudumiwa kwa utaratibu maalum.

GHARAMA ZA MKUTANO (Makisio 2015)

Wajumbe wa kulala bweni St. John’s University of TZ Mbali na gharama za safari kutegemeana na mahali unapotoka, gharama za mkutano (kujiandikisha, malazi na chakula) kwa siku zote nne ni: Tshs. 90,000/- kwa mtu mmoja. Gharama kwa kila kimoja ni kama ifuatavyo:

Kujiandikisha kila mjumbe x 1 = TShs. 25,000/-

Chakula, Chai/Maji/Soda x siku nne (4) = Tshs. 45,000/-

Malazi: Tshs. 5,000/- kwa siku x 4 = Tshs 20,000/-.

Wajumbe wenyeji na wa kutwa Wenyeji na wa kutwa (ambao hawatalala bweni St. John’s University) gharama zote ni Tshs. 46,000/- (Kujiandikisha – Sh. 25,000/-, Chakula+Vinywaji x siku zote tatu =Tshs. 21,000/-

KUTUMA FEDHA MAKAO MAKUU YA HCF TANZANIA Mshiriki binafsi, Mwanachama, au Viongozi wa HCF wajitahidi kukusanya fedha za Wajumbe waliojiandikisha na kuzituma kwa pamoja kutumia Akaunti ya NBC au NMB kama ilivyoandikwa nyuma ya kipeperushi hiki. Tunawashukuru wanachama wote, washiriki binafsi na marafiki wa HCF Tanzania ambao kwa moyo wa kupenda na kwa hiari yenu mtakuwa tayari kuwachangia wajumbe na wawakilishi watakaopata nafasi ya kuhudhuria Kongamano hili.

VITU VYA KUJA NAVYO BINAFSI na HALI ya HEWA Kila mjumbe anashauriwa kuja na Biblia, shuka, neti, taulo, sabuni, mswaki, dawa ya mswaki na mwamvuli. Utabiri wa hali ya hewa: Joto nyuzi 19-280C na inategemewa kutakuwa na mvua kiasi.

FOMU YA KUJIANDIKISHA KUHUDHURIA KONGAMANO LA 15, HCF TANZANIA (2015)

JOHN’s UNIVERSITY-TZ (SJUT), DODOMA

TAREHE 10-14 SEPTEMBA, 2015

KUJIANDIKISHA

Tafadhali Jaza Taarifa Zako Katika Kipande

Hiki Kisha Zinakili na Kuzituma kwa SMS

Kwa Mratibu HCF Tanzania: 0655616886 na

Katibu: 0755087521, Na/Au

Tuma kwa Barua-Pepe: [email protected]

…………………………………………………………….………

Kwanza na Kati: …………………………………………………….…..

Mwanamume (………………....... ) / Mwanamke (………………….)

Zungushia) miaka: 20-24, 25-29, 30-34, 35-39, 40-44, 45-49, 50-54, 55-59, 60+

Posta: ……………………………………………………………….……......

…………………………………/……………………………………..…......

(Email): ………………………………………………………………….....

wadhifa wako:……………………………………/………………….....

Dhehebu/Kanisa: ………………………………………………………………..……...

kufika SJUT, Dodoma: ………………………... Saa: …………………...

kuondoka SJUT, Dodoma: …………………..... Saa: …………………..

Ziada/Mlemavu: ………………………………………………………........

………………………………………………………………………………………......... Wajumbe watapokelewa St. John’s University-Tanzania (Dodoma)

tarehe 10.9.2015. Kongamano litafunguliwa Ijumaa asubuhi na Litafungwa Jumapili jioni (13.9.2015). Wajumbe wa kulala Jumatatu asubuhi tarehe 14.9.2015.

utuma Pesa Kwa Simu: 0755087521 (Amon Kihundo); Tigo-Pesa: 0654385713 (Godwin Magwira);

0788-422245 (Elifuraha Mumghamba).

Benki za HCF ziko nyuma ya kipeperushi hiki. weka Pesa za Kujiandikisha katika akaunti mojawapo na kumbuka kuja

Fomu ya Benki Uliyotumia Kuingiza Pesa iliyotiwa sahihi na muhuri husika.