article from world aquaculture magazine · pdf fileufugaji mkubwa wa perege nchini malawi kwa...

9
U f u g a j i m k u b w a w a p e r e g e n c h i n i M a l a w i k w a k u t u m i a t e k n o l o j i a y a u l i s h a j i w a k u t u m i a v i m e l e a h a i v i n a v y o p a t i k a n a k w e n y e m a j i . T a a r i f a y a m a f a n i k i o R a y K o u n e M a l a w i : N c h i y a w a l a j i w a s a m a k i . Ingawa nchi ya Malawi inapakana na ziwa la tisa kwa ukubwa duniani na la tatu kwa kina kirefu Afrika, uvuvi uliopitiliza umesababisha kupungua kwa samaki ziwani,taarifa ya mwaka 1990-1991. Perege ambaye huitwa chambo kwa jina la asili la Malawi anapendwa sana nchini humo, kwa sasa samaki huyo anauzwa dola nne mpaka nane ya pesa za Marekani kwa kilo moja. Hii imetokana na uhaba wa samaki huyu aitwaye chambo, bei imekua kubwa kwa sababu mahitaji yameongezeka na samaki wamepungua. Kabla ya mwaka 1990, samaki huyo alikuwa akipatikana kwa urahisi na bei ilikuwa ndogo, kilo moja ilikuwa ikiuzwa dola 1.5 ya pesa za Marekani. Tangu mwaka 1990 ongezeko la watu nchini Malawi ni asilimia tatu kwa mwaka, hiyo imepelekea upungufu wa samaki kwa tani 80,000 kwa mwaka 2017 ukilinganisha na mwaka 1990. Perege ni samaki anayependwa sana nchini Malawi na analiwa sehemu zote za nchi. Soko la perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa dola 2.4 ya pesa za Marekani kwa kilo moja nchini Malawi. Katika mazingira mazuri, ufugaji wa perege kwa kutumia teknolojia ya ulishaji wa vimelea hai ni uwekezaji mzuri na wenye faida kubwa. T e k n o l o j i a y a u l i s h a j i p e r e g e k w a k u t u m i a v i m e l e a h a i . Teknolojia hiyo ni mpya na ni kwa ajili ya ufugaji wa perege na kamba, ni endelevu na haiharibu mazingira. Ni teknolojia inayotunza ubora wa maji na kuzuia wadudu na mimea haribifu pia huongeza vimelea vyenye protini kwenye maji. Mkusanyiko wa vimelea vya rangi ya kijani, bakteria huwanufaisha kamba na perege wanaochuja vimelea vilivyopo kwenye maji na kuvitumia kama chakula. Njia hiyo husaidia sana kupunguza gharana za chakula kwa perege na kamba hivyo kuinua kiwango cha ulishaji. Uzuri wa teknolojia hii ni namna ambavyo amonia inaondolewa kwenye maji kwa kutumia vimelea hai vyenye virutubisho muhimu kwa perege na kamba, teknolojia hii ni sawa na kupata faida mbli kwa wakati mmoja,sawa na methali isemayo kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Uzoefu wa ufugaji perege kwa kutumia teknolojia yaulishaji wa kutumia vimelea hai bado ni mdogo,hasa pale matarajio ya kufikia kiwango cha asilimia nne mpaka tano cha A R T I C L E F R O M W O R L D A Q U A C U L T U R E M A G A Z I N E J u n e 2 0 1 7 V o l u m e 4 8 , N u m b e r 2

Upload: danghanh

Post on 07-Feb-2018

267 views

Category:

Documents

5 download

TRANSCRIPT

Page 1: ARTICLE FROM WORLD AQUACULTURE MAGAZINE · PDF fileUfugaji mkubwa wa perege nchini Malawi kwa ... perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa ... kutotoleshea mayai

ARTICLE FROM WORLD AQUACULTURE MAGAZINE

June 2017 Volume 48, Number 2

Ufugaji mkubwa wa perege nchini Malawi kwa kutumia teknolojia ya ulishaji

wa kutumia vimelea hai vinavyopatikana kwenye maji.

Taarifa ya mafanikio – Ray Koune

Malawi: Nchi ya walaji wa samaki.

Ingawa nchi ya Malawi inapakana na ziwa la tisa kwa ukubwa duniani na la tatu kwa kina

kirefu Afrika, uvuvi uliopitiliza umesababisha kupungua kwa samaki ziwani,taarifa ya mwaka

1990-1991. Perege ambaye huitwa chambo kwa jina la asili la Malawi anapendwa sana nchini

humo, kwa sasa samaki huyo anauzwa dola nne mpaka nane ya pesa za Marekani kwa kilo

moja. Hii imetokana na uhaba wa samaki huyu aitwaye chambo, bei imekua kubwa kwa

sababu mahitaji yameongezeka na samaki wamepungua. Kabla ya mwaka 1990, samaki huyo

alikuwa akipatikana kwa urahisi na bei ilikuwa ndogo, kilo moja ilikuwa ikiuzwa dola 1.5 ya

pesa za Marekani. Tangu mwaka 1990 ongezeko la watu nchini Malawi ni asilimia tatu kwa

mwaka, hiyo imepelekea upungufu wa samaki kwa tani 80,000 kwa mwaka 2017 ukilinganisha

na mwaka 1990.

Perege ni samaki anayependwa sana nchini Malawi na analiwa sehemu zote za nchi. Soko la

perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa dola 2.4 ya pesa za Marekani

kwa kilo moja nchini Malawi. Katika mazingira mazuri, ufugaji wa perege kwa kutumia

teknolojia ya ulishaji wa vimelea hai ni uwekezaji mzuri na wenye faida kubwa.

Teknolojia ya ulishaji perege kwa kutumia vimelea hai.

Teknolojia hiyo ni mpya na ni kwa ajili ya ufugaji wa perege na kamba, ni endelevu na

haiharibu mazingira. Ni teknolojia inayotunza ubora wa maji na kuzuia wadudu na mimea

haribifu pia huongeza vimelea vyenye protini kwenye maji. Mkusanyiko wa vimelea vya rangi

ya kijani, bakteria huwanufaisha kamba na perege wanaochuja vimelea vilivyopo kwenye maji

na kuvitumia kama chakula. Njia hiyo husaidia sana kupunguza gharana za chakula kwa

perege na kamba hivyo kuinua kiwango cha ulishaji.

Uzuri wa teknolojia hii ni namna ambavyo amonia inaondolewa kwenye maji kwa kutumia

vimelea hai vyenye virutubisho muhimu kwa perege na kamba, teknolojia hii ni sawa na kupata

faida mbli kwa wakati mmoja,sawa na methali isemayo kuua ndege wawili kwa jiwe moja.

Uzoefu wa ufugaji perege kwa kutumia teknolojia yaulishaji wa kutumia vimelea hai bado ni

mdogo,hasa pale matarajio ya kufikia kiwango cha asilimia nne mpaka tano cha

Page 2: ARTICLE FROM WORLD AQUACULTURE MAGAZINE · PDF fileUfugaji mkubwa wa perege nchini Malawi kwa ... perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa ... kutotoleshea mayai

Figure 1. Imhoff cones are used to measure biofloc volume in BFT tanks at Chambo Fisheries.

Figure 2. A schematic of the process of biofloc technology to promote nitrogen uptake via heterotrophic bacteria that becomes a food source for tilapia and shrimp.

Page 3: ARTICLE FROM WORLD AQUACULTURE MAGAZINE · PDF fileUfugaji mkubwa wa perege nchini Malawi kwa ... perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa ... kutotoleshea mayai

ulishaji.Mapungufu ya utaalamu wa matumizi ya teknolojia hii ni makadirio ya kiuchumi

kwenye ujenzi wa mfumo wa teknolojia,gharama na thamani ya kiuchumi katika matumizi ya

teknolojia hii mpya ya ufugaji wa perege.Uzoefu wa kitaalamu uliopatikana katika kituo cha

ufugaji cha Chambo umetatua baadhi ya changamoto zilizoorodheshwa hapo juu.

Kituo cha ufugaji perege cha Chambo.

Kituo cha ufugaji cha Chambo ni kikubwa barani Afrika kinachotumia teknologia ya ulishaji

wa kutumia vimelea hai,kipo pembezoni mwa mji wa Blantyre nchini Malawi.Shamba hilo

lilianza uzalishaji mwaka 2013 likizalisha perege aina oreochromis mossambicus na

oreochromis shiranus kwa masharti ya kutokuagiza na kufuga oreochromis niloticus nchini

Malawi.

O. mossambicus na O. shiramus wanaongezeka uzito polepole ukilinganisha na O. niloticus

ila minofu yao ina ladha nzuri na ulishaji mdogo wa chakula. Ufungaji wa mtambo wa umeme

wa jua uliounganishwa kitaalamu na mtunzi wa mada hii ni mtaalamu wa Sust Aqua Fish Farm

wa Afrika ya Kusini, pia ndiye aliyeandaa mpango wa uzalishaji wa samaki, usimamizi na

ufundishaji.

Utaalamu wa ufugaji samaki mjumuisho

Kituo cha ufugaji wa samaki cha Chambo kina vifaa vya kuhifadhi samaki wazazi, chumba cha

kutotoleshea mayai yaliyochukuliwa toka kwa majike, sehemu ya kulelea vifaranga, mashine

ya kutengenezea chakula cha samaki, majokofu na sehemu ya kukuzia vifaranga.

Kielelezo namba 4 kinaonyesha mzunguko wa uzalishaji wa perege aina ya O.shiranus.

Kituo cha ufugaji perege cha Chambo kina matanki manane ya kukuzia vifaranga yenye ujazo

wa maji mita 780 kila moja, lenye uwezo wa uzalishaji wa tani 100 ya samaki kwa mwaka,

wastani ni kilo 20 kwa mita moja ya ujazo wa maji.

Blantyre ni mji uliopo mita 1130 juu ya usawa wa bahari, hali ya hewa ni ya baridi kiasi,

uzalishaji wa samaki hufanyika kwenye nyumba ya kioo ya kuhifadhia joto linalotokana na

mionzi ya jua.Matanki yametengenezwa kwa ubunifu mkubwa, yana umbo la herufi R, kuna

mahali pa kukusanyia mabaki ya chakula na kinesi cha samaki baadaye kuziondoa. Mfumo huo

pia unadhibiti ubora na mzunguko wa maji kwa kutumia vifaa maalumu vilivyowekwa ndani

ya matanki hayo. Mfumo huo una punguza gharama za uzalishaji na mapato yanaongezeka.

Perege hulishwa chakula chenye wanga na mafuta kidogo kuliko protini, matokeo ni kupata

samaki wenye mafuta kidogo na kuwa na minofu mizuri.

Mfumo wa uzalishaji perege kwa wingi

Ubunifu wa teknolojia hii una faida ya mtiririko, kila tanki hupandikizwa vifaranga vya perege

na wakifikia uzito unaotakiwa wanavuliwa kila baada ya wiki tatu. Hii inawezekana kwa

sababu ya kutumia vyumba vya wavu (kielelezo namba 5), perege wanasogezwa kila baada ya

Page 4: ARTICLE FROM WORLD AQUACULTURE MAGAZINE · PDF fileUfugaji mkubwa wa perege nchini Malawi kwa ... perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa ... kutotoleshea mayai

Figure 3. A battery of eight 766-m3 multi-cohort sequential SAFF-BFT grow-out tanks at Chambo Fisheries near Blantyre, Malawi.

Figure 4. Farmed production cycle of Shiranus tilapia from a four-tank biofloc technology module producing up to 400 t/yr of 218-g fish year-round.

Page 5: ARTICLE FROM WORLD AQUACULTURE MAGAZINE · PDF fileUfugaji mkubwa wa perege nchini Malawi kwa ... perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa ... kutotoleshea mayai

wiki tatu kwenda kwenye chumba kikubwa. Usimamizi mzuri wa mfumo huu wa uzalishaji

huleta faida ya tani 4.6 mpaka 5.8 kila baada ya wiki tatu. Mfumo huu unaongeza mapato

mara mbili na kupunguza gharama za uendeshaji ukilinganisha na ufugaji wa makundi ambao

husubiri perege waliopandikizwa wavuliwe ndio wapandikizwe wengine.

Mfumo huu wa ufugaji perege ulibuniwa na mtaalamu kutoka Sust Aqua Fish, ni ufugaji wa

kutumia tanki moja lenye vyumba vya wavu. Mfumo huu ulishafanyika mashariki ya kati na

baadaye Malawi, kwa kutumia ufugaji wa kuzungusha maji yale yale bila kuongeza mengine.

Perege aina ya O. shiranus walifikia uzito wa kuuzwa wa gramu 218 kwa samaki mmoja, kwa

muda wa siku 189 tangu walipoanguliwa. Joto lililofaa kwa ukuaji wa samaki hao ilikua ni kati

ya nyuzi joto 27 mpaka 29 sentigredi. Peregei baada ya kuvuliwa wanahifadhiwa katika

chumba chenye baridi sana au barafu na baadaye kuuzwa.

Chakula maalum cha perege hutengenezwa hapo hapo kituoni

Chakula cha perege wazazi, vifaranga wadogo na wanaokua, hutengenezwa kwa kutumia

mashine ya kutengenezea punje punje zinazozama ndani ya maji chenye uwiano wa kitaalamu

wa kaboni na naitrojeni.Mashine hiyo ina uwezo wa kusaga, kuchanganya, kutengeneza punje

punje na kukausha, pia kuchekecha ili kutenganisha ukubwa wa punje punje. Chakula cha

perege wenye uzito zaidi ya gramu tano hutengenezwa kwa kuchanganya, mashudu ya mbegu

zinazokamuliwa mafuta, unga wa mahindi, vitamin na mchanganyiko wa madini yanayotakiwa

kwa perege. Molasi huchanganywa ili kushikanisha chakula cha samaki na virutubisho pia

huzuia sumu ipatikanayo kwenye mahindi na mashudu.

Perege waliongezeka uzito zaidi kwa kuwalisha chakula chenye protini asilimia 20.2, chenye

uwiano wa kaboni na naitrojeni ya 15 kwa 5, uwiano wa chakula kilicholishwa na kiasi cha

samaki kilichozalishwa ni 1.

Perege walilishwa kila baada ya masaa manne mpaka wakifikia siku 45-60, chakula chao

huongezwa vitamini C na kitunguu saumu ili kuongeza kinga dhidi ya magonjwa. Baada ya

miezi mitatu ya ufugaji mfululizo wa samaki kwenye tanki, ni muhimu kupunguza kipimo cha

madini hasa shaba, chuma na manganizi maana kiasi hubakia kwenye maji wakati wa ulishaji.

Mikakati ya utengenezaji chakula cha perege.

Chakula cha perege ni asilimia 55 – 65 ya gharama za uzalishaji kwenye mabwawa, vizimba na

ufugaji wa kutumia maji yanayozungushwa kwenye tanki. Kituo cha ufugaji perege cha

Chambo kimefanikiwa kupata uwiano wa chakula kilicholishwa perege na kiasi cha uzito wa

perege kilichozalishwa kuwa 1 kwa kulisha samaki chakula chenye protini asilimia 20.2, sawa

na uwiano wa kaboni na naitrojeni 15:5 kwa perege aina ya O.mossambicus na O.shiranus.

Upungufu wa protini kwenye chakula wanacholishwa perege katika mfumo wa teknolojia ya

kulisha vimelea hai, hufidiwa na protini iliyopo kwenye vimelea ambavyo perege huvipata

Page 6: ARTICLE FROM WORLD AQUACULTURE MAGAZINE · PDF fileUfugaji mkubwa wa perege nchini Malawi kwa ... perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa ... kutotoleshea mayai

Figure 5. A single multi-cohort sequential 766-m3 SAFF-BFT grow-out tank at Chambo Fisheries.

Page 7: ARTICLE FROM WORLD AQUACULTURE MAGAZINE · PDF fileUfugaji mkubwa wa perege nchini Malawi kwa ... perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa ... kutotoleshea mayai

kutoka kwenye maji, perege wanao uwezo wa kuchuja vimelea hivyo kutoka kwenye maji na

kuvitumia kama chakula. Njia iliyotumika kutengeneza vimelea hai ni kaboni + naitrojeni →

kaboni + naitrojeni kwenye vimelea hai →kaboni + naitrojeni kwenye viumbe hai wanaofugwa

majini.

Jedwali namba 1,inaonyesha faida ya perege waliolishwa vimelea hai katika kituo cha ufugaji

samaki cha Chambo. Mafanikio ya asilimia 36.6 cha kiwango cha protini na asilimia 20.9 ya

kiwango cha chakula cha kutia nguvu kilichotumika kwenye ukuaji wa perege katika kuongeza

minofu kwenye perege. Mafanikio yaliyopatikana katika kituo cha ufugaji perege cha Chambo

kwa kutumia teknolojia ya kulisha vimelea hai imeonyesha asilimia 20 mpaka 25 ya kiwango

cha chakula cha kutia nguvu kilichomeng’enywa na perege. Teknolojia ya ulishaji wa aina

hiyo haijatumika kwa wingi,utafiti zaidi unahitajika ufanyike ili kuongeza matumizi ya

teknolojia hiyo sehemu nyingine duniani.

Kiwango cha protini kilichotumika kwenye ukuaji wa perege katika teknolojia ya kulisha

vimelea hai ni yenye ufanisi kwa asilimia 100, ukilinganisha na teknolojia ya kuzungusha maji

kwenye matanki ya kufugia perege ni asilimia 162 zaidi ya ufanisi, ukilinganisha na ufugaji wa

vizimba (Jedwali namba 1). Ufugaji wenye ufanisi mkubwa katika kituo cha ufugaji samaki

cha Chambo na wataalamu kutoka SustAgua Fish Farms umeonyesha kupungua kwa gharama

za ulishaji ukilinganisha na wanyama kama kondoo, kuku wa kisasa, nguruwe na ng’ombe wa

nyama.

Matokeo ya kiuchumi katika kituo cha ufugaji samaki cha Chambo, imepunguza gharama za

chakula, cha samaki kwa asilimia 50 ukilinganisha na mifumo mingine ya ulishaji samaki.

Teknolojia ya kulisha vimelea hai kimepunguza gharama za uzalishaji wa perege kwa kiasi cha

dola ya marekani 1.30 kwa kila kilo moja ya perege nchini Malawi kwa mwaka 2016.

Takwimu zilizopatikana katika shamba la ufugaji perege la Chambo, zimeonyesha teknolojia

ya ulishaji vimelea hai,inazalisha samaki kwa gharama nafuu ukilinganisha na teknolojia ya

ufugaji wa vizimba kwa asilimia 60, ufugani wa kuzungusha maji kwenye tanki kwa asilimia

34 na kwa ufugaji wa mabwawa yaliyorutubishwa na mbolea ni kwa asilimai 8.5. Ikizingatiwa

kuwa ufugaji wa kutumia mifumo hiyo imefanyika nchini Malawi.

Matumizi mazuri ya maji yenye ufanisi

Faida kubwa ya kutumia teknolojia ya kulisha perege vimelea hai una matumizi madogo ya

maji ukilinganisha na mifumo mingine ya ufugaji wa perege. Kituo cha ufugaji perege cha

Chambo hutumia lita za maji 150 kuzalisha kilo 1 ya perege, ufugaji wa kutumia mabwawa

hutumia lita za maji 2500-5000 kuzalisha kilo 1 ya perege. Mapato makubwa ya perege

yatokanayo na matumizi ya teknolojia ya kulisha vimelea hai yanayotoa nafasi ya kuweza

kuitumia teknolojia hiyo sehemu za uwanda wa juu wa Afrika na pembezoni mwa miji

mikubwa kupunguza gharama za usafiri. Matumizi ya teknolojia ya kulisha vimelea hai katika

Page 8: ARTICLE FROM WORLD AQUACULTURE MAGAZINE · PDF fileUfugaji mkubwa wa perege nchini Malawi kwa ... perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa ... kutotoleshea mayai

Table1.Productyield,energyandproteinretentioninediblepartsofAtlanticsalmon,tilapia,pigs,chickensandlamb.

Harvestyield(%)a 86.0 86.8 86.8 86.8 86.8 72.5 65.6 62.5 46.9

Edibleyield(%)b 68.3 46.3 46.3 46.3 46.3 52.1 46.1 40.0 38.2

FCRc 1.15 1.00 1.27 1.60 1.10+fertilizerN 2.63 1.79 12.7 6.3

NetEnergyretention(%)d 23.0 20.9 15.9 12.5 19.3 14.0 10.0 n/a 5.0

NetProteinretention(%)e 31.0 36.6 18.3 14.0 10.8 18.0 21.0 5.0 5.0

aHarvestyieldisyieldofguttedandblendanimalbEdibleyieldisratiooftotalbodyweightthatisnormallyeaten,muscle,bodyadiposetissueandliver,lung,andheartforpig.

Skinisexcludedfromallanimalsexceptintilapiawhereskinhasbeencounted.Harvestandedibleyieldsfortilapiabaseduponthe

workofEl-Zaeemetal.2012determinedfor125to185gtilapiacFCR=(kgfeedfed)/(kgbodyweightgain)dNetEnergyretention=(energyinedibleparts)/(grossenergyfed)forallanimalsexcepttilapiatakenatwholecarcassenergycontentfromLupatsch(2012)eNetProteinretention=(kgproteininedibleparts)/(kgproteinfed)forallanimalsexcepttilapiatakenatwholecarcassproteincontentfromLupatsch(2012)fFCRdatabaseduponresultsachievedatChamboFisheriesfeeding20.2%proteinfeed(C/Nratio=15.5:1)feeding127gto147gOreochromisshiranusgFCRdatafromChowduryetaal.(2013)feedinga32%proteinfeed,GEof16.7MJ/kg,DEof14.3MJ/Kgraisingfishupto220ghFCRdatabaseduponachievementsinlargescalecagecultureraising127/147gNiletilapia(O.niloticus)on32%proteinextrudedfeedsIFCR,ediblemeatyield,energyandproteinretentionaspercentagesofediblemeatyieldinbeeftakenfromSmil(2002)jCalculatedfromDianaetal.(1994).SupplementalFeedingofTilapiainFertilizedPonds.JOURNALOFTHEWORLDAQUACULTURESOCIETY

Vol.25,No.4December.1994.

Datafrom:

1)Bjorkli,J.(2002.Proteinandenergyaccountinsalmon,chickenpigandlamb.M.Sc.Thesis,NorwegianUniversityofLifeSciences(UMB),

NorwayforAtlanticsalmon,pigs,broilerchickensamdlamb.

2)El-Zaeemetal.(2012)FleshqualitydifferentiationofwildandculturedNiletilapia(Oreochromisniloticus)populations.AfricanJournal

ofBiotechnologyVol.11(17),pp.4086-4089.

3)Smil,V.2002.NitrogenandFoodProduction:ProteinsforHumanDiets.AmbioVol.31No.2,March2002

4)UnpublishedinventorydatafromChamboFisheries(historicaldatainarchives)

5)Dianaetal.(1994).SupplementalFeedingofTilapiainFertilizedPonds.JOURNALOFTHEWORLDAQUACULTURESOCIETYVol.25,No.4December.1994.

Broilerchickens Beefi LambMeasurementparameter Atlantic

salmon

Bioflocraisedtilapia

(realized)f

RASraised

tilapiag

Cageculturetilapia

(typical)h

Greenwater

TilapiaPondsjPigs

Table2.Comparisonofsustainabilityindicatorsamongproteinproductionsystems.Livestocktypeandsystemtypefor Food Wholecarcass NEmissions PEmissions Landuse Consumptivefoodfishaquaculturespecies conversion Protein (kg/tonne (kg/tonne (tonnes freshwater

(kgfeed/kg Efficiency protein protein edible useedibleweight) (%) produced) produced) product/ha) (m^3/tonne)

Beef*1 31.7 5.0 1200.0 180 0.24–0.37 15497

Chicken*1 4.2 25.0 300.0 40.0 1.0–1.20 3918

Pork*1 10.7 13.0 800.0 120.0 0.83–1.10 4856Finfish(average)*1 2.3 30.0 360.0 48.0 0.15–3.70 5000 *2

Bivalvemolluscs*1 notfed notfed -27 -29 0.28–20.00 0

Large-scalelakecageculturefarm 3.5 30.7 361.4 87.2 0.00 0 *3

Greenwaterpondfarm(+fertilizer+manureN) 2.4 23.3 526.4 143.3 4.06 2500 *4

SAFF-RAStilapiafarm 2.7 38.7 0.0 0.0 450-600 0.12-0.15 *5

SAFF-BFTtilapiafarm 2.2 79.2 0.0 0.0 220-305 0.2 *6

Notes:

*1SourcedatafromPhillips,Beveridge,andClarke1991;FAO2003;Halletal.2011;Boumanetal.2013;

*2ConsumptiveuseisdifficulttocompareacrossthewidespectrumofaquacultureproductionsystemsInthevastmajorityofcases,wateroutfallsfromaquaculturearemuchcleanerandmoreeasilyrecycledthanforlandanimals.*3Feedconversionof1.6:1arebeingachievedbylargescalelakecageaquacultureoperationsonLakeKariba.NlossescalculatedfromtotalNfedlesstotalNfeddividedbyNrecoveryinfishat16%proteinusingaproteinconstantof6.25.PlossescalculatedfromtotalPfedlesstotalPrecovereddividedbythewholecarcassproteincontentoftilapia.*4Feedconversionof1.1:1calculatedon30.1%proteinfeed(resultsfromDianaetal.1994)andanedibleweightyieldof46.3%afterEl-Zaeemetal.2012

determinedfor125to185gtilapia.51.7%ofNinputsoriginatedfromfertilizersand48.3%viaformulatedfeed.Pemissionsascalculatedfornote*3

above.Landusebasedupon10.522tonnes/Hawatersurfaceareaand20%ofpondfarmaceragecomprisingoflevees,watersupplyanddrainagechannelling.Waterusebasedupondrainingatharvestandevaporativeandseepagelossesof76.25%ofvolumelossespercycle.*5Feedconversionratioof1.27:1intheSAFF-RASon32%proteinfeed.NandPlossescalculatedasfornote*3above,althoughzerodischargeisachievedviaeitheranoxidationlagoonornutrientrecoveryduckweedlagoon.Landusedoesnotincludenutrientrecoverylagoons.*6Feedconversionratioof1:1on20.2%proteinfeed(=C/Nratioof15.5:1intheSAFF-BFTbaseduponChamboFisheriesresults).NandPlossescalculatedasfornote*3above,althoughzerodischargeisachievedviaeitheranoxidationlagoonornutrientrecoveryduckweedlagoon.Landdoesnotincludenutrientrecoverylagoons.

Page 9: ARTICLE FROM WORLD AQUACULTURE MAGAZINE · PDF fileUfugaji mkubwa wa perege nchini Malawi kwa ... perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa ... kutotoleshea mayai

kituo cha ufugaji perege cha Chambo, kimetoa mavuno mazuri ya perege yenye kuleta

ushindani na pia ni endelevu kwa kutumia gharama ndogo za ulishaji chakula.

Utunzaji mazingira endelevu

Ufugaji wa perege kwa kutumia teknolojia ya kulisha vimelea hai pamoja na kuzungusha maji

kwenye tanki zinao mfumo wa kuondoa taka ngumu na virutubisho vilivyomo ndani ya maji

(naitrojeni na fosforasi). Ukilinganisha na ufugaji perege wa vizimba ambapo mabaki ya

chakula,kinyesi na virutubisho vilivyomo ndani ya maji, hubakia na hubadilisha hali ya

mazingira ya maji.

Mifumo minne ya teknolojia ya ufugaji wa perege ikilinganishwa kwa kufuata vigezo vifuatvyo

(Jedwali namba 2).

• Uwiano wa chakula kilicholishwa samaki na kiasi cha uzito wa samaki kilichozalishwa.

• Matumizi ya protini kwenye minofu ya samaki.

• Naitrojeni iliyotumika kutengeneza protini kwenye minofu ya samaki.

• Fosforasi iliyotumika kutengeneza protini.

• Eneo lililotumika kuzalisha uzito/kiasi cha samaki

• Ujazo wa maji yaliyotumika

Kwa matokeo yaliyoonyeshwa katika jedwali namba 2, teknolojia ya ulishaji vimelea hai

inayotumika katika kituo cha ufugaji perege cha Chambo kwa ufadhili wa Susta Aqua Fish

Farms ni bora zaidi,ikifuatiwa na teknolojia ya kuzungusha maji katika matanki ya kufugia

perege. Ufugaji perege kwa kutumia mabwawa yaliyorutubishwa yanao uwiano mdogo wa

naitrojeni na fosforasi inayosababishwa na upotevu wa virutubisho hivyo kwenye mazingira ya

bwawa. Ufugaji wa kutumia vizimba sio endelevu kimazingira ambapo mabaki ya

chakula,kinyesi na virutubisho hubakia ndani ya maji, kwa hiyo hubadilsha mazingira ya eneo

husika.

Maendeleo ya baadaye ya SustAqua Fish Farms na kituo cha ufugaji perege cha

Chambo.

Teknolojia ya ulishaji wa vimelea hai katika ufugaji wa perege na kamba imeongeza

maendeleo makubwa katiaka fani ya ufugaji wa viumbe vya kwenye maji duniani.

Wanasayansi wanaamini kuongeza vimelea vinavyotumiwa na samaki kama lishe ni maendeleo

yatakayopunguza gharama za chakula cha perege na kamba. Kituo cha ufugaji perege cha

Chambo kina malengo ya kutumia teknolojia hiyo sehemu zenye hali ya joto nchini Malawi na

kwingineko duniani. SustAqua Fish Farms imehamisha mfumo huo wa ufugaji perege kutoka

nchi za mashariki ya katika na kuwekeza zaidi kusini mwa Afrika.