7 umdhaniaye siye ndiye-final - boston university · ! 2! c) amevaa!nguo!nzuri!! iv)...
TRANSCRIPT
![Page 1: 7 Umdhaniaye Siye ndiye-final - Boston University · ! 2! c) Amevaa!nguo!nzuri!! iv) Walipomjaribisha!acheze!!walikubali!kuwa!! a) hajuikucheza! b) anapenda!kompyuta! c) Alicheza!vizuri!mpaka!wakashangaa!](https://reader031.vdocuments.site/reader031/viewer/2022040201/5e5f5fd48bfcf009443f6035/html5/thumbnails/1.jpg)
© Boston University
LANGUAGE PROGRAM, 232 BAY STATE ROAD, BOSTON, MA 02215 www.bu.edu/Africa/alp
[email protected] 617.353.3673
Umdhaniaye Siye ndiye: Mazoezi
Zoezi la 1: Toa maana ya msamiati ufuatao
i) Kudhani ii) Msanii
iii) Sanaa
iv) Huenda v) Kufadhili
vi) Kurukaruka
vii) Kujaribisha viii) Kubisha
ix) Kukataa x) Kawaida
Zoezi la 2: Tunga Sentensi kwa kutumia maneno katika swali la Kwanza
Zoezi la 3: Chagua jibu lililosahihi i) Kikundi cha ngoma kilikuwa na shida ya
a) sanaa
b) ngoma
c) msanii
ii) Waliona njia ya kutatua tatizo lao ni a) kuweka matangazo mitaani
b) Kutafuta watu maofisini
c) Kupiga ngoma na kusubiri
iii) Kwanini walifikiri mtu yule hangeweza kucheza ngoma?
a) Kwasababu ana laptop b) Anafanya kazi ofisini
![Page 2: 7 Umdhaniaye Siye ndiye-final - Boston University · ! 2! c) Amevaa!nguo!nzuri!! iv) Walipomjaribisha!acheze!!walikubali!kuwa!! a) hajuikucheza! b) anapenda!kompyuta! c) Alicheza!vizuri!mpaka!wakashangaa!](https://reader031.vdocuments.site/reader031/viewer/2022040201/5e5f5fd48bfcf009443f6035/html5/thumbnails/2.jpg)
2
c) Amevaa nguo nzuri
iv) Walipomjaribisha acheze walikubali kuwa
a) hajui kucheza
b) anapenda kompyuta
c) Alicheza vizuri mpaka wakashangaa
v) Mara nyingi watu huhukumu wengine
a) Kwa kuwaangalia tu b) Kwa kuongea nao na kuwafahamu
c) Kwa mavazi yao
Zoezi la 4: Kweli si Kweli:
i) Kikundi cha ngoma hakikuwa kimepungukiwa na wasanii ii) Wasanii wengi walikuja kujiunga
iii) Wanakikundi walitaka watu wanaojua kucheza ngoma
iv) Walidhani mtu yule hajui kucheza ngoma v) Walifikiria hajui kucheza kwasababu alivyovaa
Zoezi la 5: Kuandika Muhtasari
Andika Muhtasari wa igizo hili kama unamwadithia mtu mwingine.
Zoezi la 6: Jibu swali hili Elezea maana ya methali hii “Umdhaniaye Siye Ndiye” kama
Ilivyotumika katika hadithi hii.
Zoezi la 8: Jibu swali hili
Taja methali au msemo wa Kiingereza unayofanana na methali hii
Unaweza kuelezea methali hiyo hutumikaje?
![Page 3: 7 Umdhaniaye Siye ndiye-final - Boston University · ! 2! c) Amevaa!nguo!nzuri!! iv) Walipomjaribisha!acheze!!walikubali!kuwa!! a) hajuikucheza! b) anapenda!kompyuta! c) Alicheza!vizuri!mpaka!wakashangaa!](https://reader031.vdocuments.site/reader031/viewer/2022040201/5e5f5fd48bfcf009443f6035/html5/thumbnails/3.jpg)
3
Zoezi la 9: Jibu Swali hili
Andika kisa kifupi kingine ambacho kinaweza kuelezea methali “Umdhaniaye Siye Ndiye”.
Zoezi la 10: Jibu Swali hili Jaribu kuigiza methali hii ili kufanya mazoezi