27.b – malkia

6
CH 27 [FINAL].indd 10 13/04/2012 11:19

Upload: well-told-story

Post on 07-Mar-2016

283 views

Category:

Documents


4 download

DESCRIPTION

Chapta 27– Malkia: Economy yetu

TRANSCRIPT

Page 1: 27.b – Malkia

CH 27 [FINAL].indd 10 13/04/2012 11:19

Page 2: 27.b – Malkia

market..

Aiii! Kwani vitunguu zako zinakuja na ndege?

hio bei ni ghali.

Nkt! Maskini!

Kama hamna pesa songeni niongee na mwenye duka.

hehehe

mnacheka nini...

?

aaaargh

kwetumarket

CH 27 [FINAL].indd 11 13/04/2012 11:19

Page 3: 27.b – Malkia

Mheshimiwa! Mheshimiwa!

Mheshimiwa! Tutakutana kwa

maskan!?

Mnaona? ...He knows class

1

2 3

7

8

914

15

16 ...kwani minister

ana-need gari ngapi

Auuu uu! Wameharibu

biashara yangu…

CH 27 [FINAL].indd 12 13/04/2012 11:19

Page 4: 27.b – Malkia

…tunaumia huku nao wananona na magari

kubwa kubwa!

Hao watu wana-deserve.

Unadhani wanauza

mangoes?Nyinyi ni watu wadogo

sana kuelewa vile government ina-spend.

Vile ina-spend pesa yao inahusu Wakenya wote.

Hata hao MP hawalipi taxes wananunua

unga ghali,

Gas na mafuta imependa,

nilipeleka mtoto wangu hospitali na hakukuwa

na madaktari

Hizi shida zote ni juu hawa watu

wanatumia pesa zetu vibaya.

hahaha! Wewe Mama Mboga unajua nini?

CH 27 [FINAL].indd 13 13/04/2012 11:19

Page 5: 27.b – Malkia

Stop! Cheki…

Poleni sana! Msi pigane

Hehe! Nimetumwa hapa na

mheshimiwa kulipia hasara.

...

Pesa ya serikali ina husu watu wadogo kama

hawa?

Serikali ikitumia pesa mingi kwa barabara, pesa ya mahospitali

ina punguka.

Kwa hivyo vitu ni ghali juu wananunua

magari wasiohitaji?

Aaaah, yes!

Actually… wako right.

CH 27 [FINAL].indd 14 13/04/2012 11:19

Page 6: 27.b – Malkia

CH 27 [FINAL].indd 15 13/04/2012 11:19