maswali muhimu kabla ya biashara

Download Maswali muhimu kabla ya biashara

If you can't read please download the document

Upload: vijana255

Post on 13-Apr-2017

308 views

Category:

Economy & Finance


31 download

TRANSCRIPT

MASWALI MUHIMU KABLA YA KUANZA BIASHARA

Stephen Charles Asande

1.Mtu anawezaje kufanikiwa kupitia ujasiliamali?

Uchunguzi unaonesha kuwa wajasiliamali wenye maendeleo wana tabia fulani zinazofanana.Uchunguzi huu hautabiri mafanikio kwako,Ila unaweza kukupa msingi mzuri katika kuanza biashara kwa kukufanyauwe mwangalifu katika kujua kipi ni bora au muhimu kukijua kiundani kabla hujaingia kwenye biashara.

Stephen Charles Asande

.

Stephen Charles Asande

1.Mtu anawezaje kufanikiwa kupitia ujasiliamali?

Unapima vipi uwezo wako katika kufanikiwa?.Jiulize maswali yafuatayo-Je ninaweza kuvumilia nitapokutana na magumu?

-Je nina nia ya dhati kujiongoza mwenyewe?

-Je maamuzi ninayofanya yatafanya mabadiliko ya kweli?

-Je nina uwezo wa kuona kila kona ihusuyo biashara?

-Je nina msukumo utaoniwezesha kufanya kazi kwa bidii?

-Je nina uelewa wowote wa biashara yoyote?

Haimaanishi kila mfanyabiashara mwenye maendeleo alikuwa na majibu ya "NDIYO" kwa maswali hayo juu.Yawezekana ukawa na "HAPANA" kwa baadhi ya maswali.Usivunjike moyo tafuta msaada na ushauri utakaokusaidia kufika malengo yako!.

Stephen Charles Asande

2.Ninatambua vipi kama ninaweza kuanza biashara?

Biashara ndogondogo zina vitu vingi vinavyofananafanana.Yafuatayo ni sifa za kukuwezesha kufanikiwa katika biashara.

-Kuwa tayari kujitoa

Ujasiliamali unshitaji kujitoa katika muda,hali na maamuzi pia.

-Uchangamfu

-Utahitajika kuwachangamkia watu tofautitofauti kwa mfano wateja,wafanyakazi(uliowaajiri au unaofanya nao kazi katika biashara mfano wasafirishaji) na watu wa mauzo(wasambazaji) kama hupendi kuongea na watu usio wajua, biashara inaweza kuwa ngumu kwako.

-Uwezo wa kuongoza na kujiongoza

Watu watahitaji majibu ya maswali yao(bidhaa/huduma).Hivo basi yakupasa kujua ni namna gani unajipanga katika kuhakikisha unawapa majibu yao kwa wakati.Wakati huohuo unaongeza idadi ya watu wenye maswali.

Jipime uwezo wako na jifunze kutoka kwa watu waliofanikiwa katika hiyo biashara.Je unaweza kuzidisha huduma na kupita wengine? Je unahitaji elimu gani ili kukidhi mahitaji ya wateja wako?

Pitia majarida,vipeperushi mbalimbali zinazohusu biashara ili upate kujifunza kutoka sehemu na watu tofautitofauti.

Stephen Charles Asande

3.Ninawezaje kukuza soko langu?

Kwanza yabidi kujua wateja wako ni akina nani.Pia inabidi ujue kiundani kuhusu soko lako!.-Je soko lako ni lipi hasa?

-Wateja wako wanatoka wapi hasa?(mijini,vijijini,watalii n.k)

-Ni kwa nini wanunue kwako?(Vitu vya kuangalia ubora,bei,mazingira,huduma,promosheni)

-Vitu gani wateja wanaviangalia katika bidhaa?

Utafiti utakupa majibu ambayo yana zaidi ya uzoefu wako katika biashara!

Stephen Charles Asande

4.Je kuna mtu yeyote anaweza kuwa na majibu kwa maswali yangu?

Hapa yakubidi utambuwe uwezo wa watu tofautitofauti walio kwenye biashara na washauri wa kibiashara kupitia semina,radio,television n.k

Stephen Charles AsandeStephen Charles Asande

5.Kwa nini nataka kuanza kufanya biashara?

Stephen Charles Asande-Kuwa bosi wa maisha yako-Kukuza kipato-Tatizo la ajira(Unemployment)

6.Ni biashara gani nataka kuifanya?

.

Stephen Charles Asande

7.Wateja wangu ni akina nani?

.

Stephen Charles Asande

8.Huduma/bidhaa gani biashara yangu itatoa!?

.

Stephen Charles Asande

9.Je nipo tayari kutumia muda na hela ili kuanzisha biashara?

.

Stephen Charles Asande

10.Ni tofauti gani nitaiweka katika biashara tofauti na wengine?

.

Stephen Charles Asande

11.Biashara yangu nitaifanyia wapi?

.

Stephen Charles Asande

12.Je ninahitaji kuajiri mtu/watu?(wangapi?)

.

Stephen Charles Asande

13.Bidhaa zangu nitazipata wapi/kwa nani?

.

Stephen Charles Asande

14.Kiasi gani cha pesa nitakihitaji?

.

Stephen Charles Asande

15.Je nitahiyaji mkopo

.

Stephen Charles Asande

AFISAMIKOPO



16.Ni muda gani itanichukua mpaka bidhaa/huduma kuwaa sokoni?

.

Stephen Charles Asande

17.Ni muda gani utanichukua mpaka kuanza kupata faida?

.

Stephen Charles Asande

18.Nani ni washindani zangu?

.

Stephen Charles Asande

19.Niuzaje bidhaa zangu?

.

Stephen Charles Asande

20.Biashara hiyo ni halali?(Au ninawezaje kufanya taratibu za kisheria kwa hiyo biashara?)

.

Stephen Charles Asande

21.Kodi zipi ninapaswa kulipa kwa biashara yangu?

.

Stephen Charles Asande

22.Aina zipi za Bima nazihitaji katika biashara yangu?

.

Stephen Charles Asande

23.Namna gani nitaisimamia Biashara yangu?

.

Stephen Charles Asande

24.Nitatangaza vipi biashara yangu

.

Stephen Charles AsandeStephen Charles Asande