mashindano ya kumi na moja namna familia ya mtume, …contest.cdafricaa.com/sawahili/mashindano ya...

13
MASHINDANO YA KUMI NA MOJA NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA MISIKITI MIWILI MITUKUFU Taarifa za mshindani JINA LA MSHINDANI* NAMBA YA PASIPOTI NAMBA YA KITAMBULISHO AU KADI YA URAIA* JINSIA* URAIA* TAREHE YA KUZALIWA* MJI (AU MJI WA KARIBU)* MJI ANAOISHI* NAMBA YA SIMU (1) * NAMBA YA SIMU(2) – Sio lazima BARUA PEPE (Email) – Sio lazima TAASISI AMBAYO IMETOA CHETI * CHETI CHA KARIBUNI CHA MASOMO ALICHOPATA* KAZI ANAYOFANYA SASA HIVI TAREHE YA CHETI* KIPENGELE KILICHOWEKWA ALAMA YA NYOTA LAZIMA KIJAZWE MASHARTI YA MASHINDANO 1. NI SHARTI KWA MSHINDI WA SAFARI YA HIJA ASIWE AMEWAHI KUHIJI 2. MSHINDANI AWE TAYARI KUTAHINIWA ANA-KWA-ANA JUU YA MASWALI YOTE ALIYOYAJIBU KATIKA WARAKA HUU. 3. ATAZINGATIWA KUWA MSHINDI YULE ALIYEJIBU MASWALI YOTE ISIPOKUWA MASWALI MAWILI. 4. NI MARUFUKU KUJAZA ZAIDI YA NAKALA MOJA KWA MSHINDANI MMOJA. IKIBAINIKA, ZOTE ZITATUPWA 5. MWISHO WA KUPOKEA MAJIBU KWA NJIA YA KIUNGANISHI CHA MTANDAONI NI TAREHE 25/8/1440H SAWA NA TAREHE 20/04/2019 6. NI LAZIMA MAJIBU YAFANYWE MTANDAONI KUPITIA TOVUTI YA MASHINDANO. IWAPO MAJIBU HAYO YATAJIBIWA KATIKA KARATASI NI LAZIMA YAINGIZWE KATIKA TOVUTI ZAWADI ZA MASHINDANO ITAPIGWA KURA KATI YA WASHINDI WALIOSHINDA KATIKA OFISI KUU YA KAMATI YA ULINGANIAJI KWA AFRICA, RIYADH, SAUDI ARABIA. KISHA WASHINDI SABA WA MWANZO WATAKAOSHINDA (KWANJIA YA KURA) KUTOKA KATIKA KILA NCHI WATAZAWADIWA MOJA YA ZAWADI ZIFUATAZO: 1. SAFARI YA HIJA. 2. KOMPYUTA. 3. SIMU ZA MKONONI. لغة السواحلية ال

Upload: others

Post on 28-Oct-2019

32 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

Taarifa za mshindani

JINA LA MSHINDANI*

NAMBA YA PASIPOTI NAMBA YA KITAMBULISHO AU KADI YA URAIA*

JINSIA* URAIA*

TAREHE YA KUZALIWA*

MJI (AU MJI WA KARIBU)* MJI ANAOISHI*

NAMBA YA SIMU (1) *

NAMBA YA SIMU(2) – Sio lazima

BARUA PEPE (Email) – Sio lazima

TAASISI AMBAYO IMETOA CHETI *

CHETI CHA KARIBUNI CHA MASOMO ALICHOPATA*

KAZI ANAYOFANYA SASA HIVI TAREHE YA CHETI*

KIPENGELE KILICHOWEKWA ALAMA YA NYOTA LAZIMA KIJAZWE

MASHARTI YA MASHINDANO

1. NI SHARTI KWA MSHINDI WA SAFARI YA HIJA ASIWE AMEWAHI KUHIJI

2. MSHINDANI AWE TAYARI KUTAHINIWA ANA-KWA-ANA JUU YA MASWALI YOTE

ALIYOYAJIBU KATIKA WARAKA HUU.

3. ATAZINGATIWA KUWA MSHINDI YULE ALIYEJIBU MASWALI YOTE ISIPOKUWA

MASWALI MAWILI.

4. NI MARUFUKU KUJAZA ZAIDI YA NAKALA MOJA KWA MSHINDANI MMOJA. IKIBAINIKA,

ZOTE ZITATUPWA

5. MWISHO WA KUPOKEA MAJIBU KWA NJIA YA KIUNGANISHI CHA MTANDAONI NI TAREHE 25/8/1440H

SAWA NA TAREHE 20/04/2019

6. NI LAZIMA MAJIBU YAFANYWE MTANDAONI KUPITIA TOVUTI YA MASHINDANO. IWAPO MAJIBU HAYO

YATAJIBIWA KATIKA KARATASI NI LAZIMA YAINGIZWE KATIKA TOVUTI

ZAWADI ZA MASHINDANO

ITAPIGWA KURA KATI YA WASHINDI WALIOSHINDA KATIKA OFISI

KUU YA KAMATI YA ULINGANIAJI KWA AFRICA, RIYADH, SAUDI

ARABIA. KISHA WASHINDI SABA WA MWANZO WATAKAOSHINDA

(KWANJIA YA KURA) KUTOKA KATIKA KILA NCHI

WATAZAWADIWA MOJA YA ZAWADI ZIFUATAZO:

1. SAFARI YA HIJA.

2. KOMPYUTA. 3. SIMU ZA MKONONI.

السواحلية اللغة

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

ت):ٱ رئ ى ر ٱتجااااي تفااااقتل هللااااالىت ااااا ت ت ااااي اتلاااا تجلت جااااا

بيتو دتهذاتالت هللاالىتنانتالااحيت(جذا هت تمنتال ذابتاألليمت،لتلتج ادتفيهتبإلحيدتبظلم،توه تب دلتجب ت

الجليل

S1 Katika kufasiri kauli ya Allah Mtukufu isemayo kuwa: (Na mwenye kutaka (kufanya) uovu kwa dhuluma (kwa makusudi) ndani ya huo (Msikiti Mtukufu wa Makka) tutamuonjesha adhabu iumizayo) Sura Alhaj (22), aya 25 yamekuja maelezo kwamba: (lau kama mtu atakusudia kufanya dhuluma ndani ya huo Msikiti Mtukufu wa Makka huku akiwa yuko katika mji wa Aden (Yemen) Allah atamuonjesha adhabu iumizayo). Tafsiri hii imenukuliwa kwa Swahaba Mkubwa:

تIbniabbas, Allah amridhieتتابنتنبيست

J1 ابنتمهللا دتتتIbnimasoud, Allallah amridhieت

Ibniumar, Allah amridhieت ابنتنمرت

فااااقتاألماااارتبيلت جااااهتح اااا تالب اااا تالحاااارا تتاآلياااا جب...هئ مئ خئ حئ جئ ٱٱت ااااي ت ت ااااي

تدالل تنل S2ت

Amesema Allah Mtukufu kuwa: (Elekeza uso wako upande wa Msikiti Mtukufu) Sura Albaqara (2), aya 144. Katika kuamrishwa kuelekea kwenye Nyumba Tukufu (ya Alkaaba) kuna ushahidi wa:

Hadhi ya Nyumba Tukufu (Alkaaba)تتمكين تالب تالحرا

J2 تتاستقبي تالك ب تنندتالص ةوج بتWajibu wa kuelekea Alkaaba wakati wa kuswali

Yote yaliyotajwaت جميعتميتسبق

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

تاآلي جب...هئ مئ خئ حئ ٱ ي ت ت ي تفقتالب تالحرا ت

يتملنتدخلتفيه،توذلكتفق تيخبىت ت ي تفقتهذهتاآلي تجنهتج لتالب تالحرا تجمينا

S3ت Katika kuielezea Nyumba Tukufu ya Makka Allah Mtukufu amesema kuwa: (Na mwenye kuingia humo atakuwa na amani) Sura Aal-imran (3), aya 97. Allah Mtukufu anatoa habari katika aya hii kwamba ameifanya Nyumba Tukufu kuwa sehemu ya amani kwa mwenye kuingia humo. Hiyo ni:

Wakati wa Jahilia (kabla ya Uislamu)تتالجيهلي

J3 تتاإلسWakati wa Uislamu

Yote yaliyotajwaتتجميعتميتسبق

اايت ت)ي نا: تتاآلياا ... ى ر ذ يي ىي ٱت:جاي تفااقتل هللاالىت اا ت ت اي ييما

تالت هللالىتننتالاحيبيتالجليل تو دتهذات) لدينهم،توم يلمتلحجهم

S4تKatika kufasiri kauli ya Allah Mtukufu isemayo kuwa : (Allah ameifanya Alkaaba Nyumba Tukufu ni kisimamizi cha watu) Sura Almaida (5), aya (97), imenukuliwa kwamba (Maana ya kisimamizi cha watu) ni kwamba Alkaaba ni mhimili wa dini yao na ni muongozo wa Hija yao) . Tafsiri hii imenukuliwa kwa Swahaba Mtukufu:

Ibniabbas, Allah amridhie yeye naتتابنتنبيستbaba yake

J4 ابنتمهللا دتتتIbnimasoud, Allah amridhie yeye na baba yake

Ibniumar, Allah amridhie yeye na babaت ابنتنمرتyake

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

وها تيتلا تهاذهتتم تاي تالك با تيا تال ات دفاعتحلياهتالن ا:ت،تحيجا تالب ا تالحارا صحيبيتجليل،تكيلت

فاقتنقباهتح التال ا تالحي ار،تتوبقايتذلاكاآلي ت ... خس حس جس مخ جخ مح جح مج تاآلي

تفمنته ؟S5ت Ni Swahaba Mtukufu. Alikuwa mhudumu wa Alkaaba Tukufu. Mtume, Allah

amfikishie rehema na amani, alimpa ufunguo wa Alkaaba siku ya ukombozi wa Makka huku akiwa anasoma aya hii: (Hakika, Allah anakuamrisheni mzirejeshe amana kwa wenyewe) Sura Annisaa (4), aya 58, na ufunguo huo umebaki kwa kizazi chake mpaka wakati huu. Je, Swahaba huyu ni nani?

Othman bin Affan, Allah amridhieتتنثميلتبنتن يل

J5 نثميلتبنتجبيتال يصتتOthman bin Abil-as, Allah amridhie

Othman bin Twalha, Allah amridhieت نثميلتبنتطلح

)جنظاااااااااامتتت تتاباااااااااانتنماااااااااار ااااااااااي ت تت ى ر ذ يي ىيميٱت ااااااااااي ت ت ااااااااااي

تالش يئر (

S6ت Amesema Allah Mtukufu kuwa: “ (Yazingatieni) Hayo. Na yeyote anayeheshimu alama za (dini ya) Allah, hakika hayo ni katika uchamungu wa nyoyo”. Sura Alhaj (22), aya 32. Ibniumar, Allah amridhie yeye na baba yake, amesema kuwa: “Alama kubwa zaidi za dini ni…….”

Nyumba Tukufuتتالحرا تالب

J6 تتاملش رتالحراAlmash-ar Alharaam

Arafaت نرفيت

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

ج اابتبناا:تنباادتملاايتجفااي تماانتمناالتياا تالنياارتح اا تالب اا تالحاارا ت)تجلتالن اا:تتناانتجاايبرتباانتنباادت ت

ان نااا اتبنااا:تنبااادتاملطلااا ،تفلااا التجلتي لااابكمتالنااايستنلااا تساااقييتكمت"ت املطلااا تيهللااااق لتنلااا تلمااا ،تفقاااي

تنل ت( ت واهتمهللالم تهذاتالحديثتيد اتفشربتمنهفنيول هتدل اتت" لنزن تم كم

S7ت

Imenukuliwa kwa Jabir, Allah amuwie radhi, kwamba Mtume alipo ondoka Mina siku ya kuchinja na kuelekea kwenye Nyumba Tukufu ya Makka alikwenda kwa familia ya Abdilmuttwalib na kukuta wanawapa watu maji ya Zamzam. Mtume alisema: “Endeleeni kuchota maji enyi familia ya Abdilmuttwalib. Lau kama si kuchelea kwamba watu watakushindeni katika kugombea kuwapa watu maji ningejiunga nanyi katika kuchota. Walimpa ndoo na akanywa kwa kutumia ndoo hiyo”. Hadithi hii ameipokea Muslim. Hadithi hii inatoa ushahidi wa:

Hadhi na ubora wa familia yaتتفضلتبن:تنبداملطل Abdlilmuttwalib

J7 تتفضلتسقيي تالحيجWema wa kuwapa maji mahujaji

Yote yaliyotajwaت جميعتميتسبق

تومسااجدت،املسااجدتالحاارا ت الت شاادتالرحااي تحالتح اا تس ساا تمهللااايجد ااي ت)تناانتالن اا:تتناانتجباايتهر اارةت

تمت قتنليه تهذاتالحديثتيد تنل ت)ومسجدتاأل ص لالرس ت

S8تImenukuliwa kwa Abuhuraira, Allah amridhie, kwamba Mtume, rehema na amani ya Allah iwe juu yake, amesema kuwa: (Haifungwi safari isipokuwa kwenda kwenye misikiti mitatu tu: Msikiti Mtukufu (wa Makka), na Msikiti wa Mtume na Msikiti wa Majid Aqsaa). Hadithi hii imepokewa na Bukhari na Muslim. Hadithi inatoa ushahidi wa

ند تج التشدتالرحي تل لىتهذهت

تاملهللايجد Kutofaa kusafari kwenda kwenyeت

Misikiti isiyokuwa hii

J8 جلتهنيكتمهللايجدتجخرىتيج لتشدت

تالرحي تحليهي Kwamba kuna misikiti mingineت

inayofaa kuifungia safari

Kufaa kufunga safari kwendaت ج التشدتالرحي تللقب تmakaburini

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

يصالقتال جار،تف شاهدتم اهت هللااي تلقدتكايلت سا ت تاقيل )ت ضا :ت تننهايتج تاملاممنللتاتننتنيئش

ت ماانتاملممناايت ،تسااامتياارج نتح ااا تبياا ههن،تمااايتي اارفهنتجحااادتمتل ااايت اا (ت واهتالبخاااي تبمااروطهن لمنتال

تومهللالمت تيد تهذاتالحديثتنل

S9تImenukuliwa kwa Aisha, Allah amridhie, akisema kuwa: (Hakika, Mtume rehema na amani ya Allah iwe juu yake alikuwa anaswali Alfajiri, na waumini wanawake wanahudhuria swala hiyo pamoja na Mtume rehema na amani ya Allah iwe juu yake, wakiwa wamejifunika gubigubi kwa shungi zao. Kisha wanarudi majumbani mwao kukiwa hakuna yeyote anayewajua kutokana na giza). Hadithi hii ameipokea Bukhari na Muslim. Hadithi inatoa ushahidi wa:

حرصتالاحيبييتتات ض :ت تننهنتاتنل ت

تالص ةتفقتاملسجدتالنب تت

Bidii na ari kubwa ya Swahaba wanawake, Allah awaridhie, katika kuswali katika Msikiti wa Mtume.

J9 ج التخروجتالنهللاي تللص ةتفقتاملسجدتمعت

تااللتزا تبيلحجيبتوال تت

Kufaa wanawake kutoka kwenda kuswali msikitini wakiwa wamejisitiri

na kujihifadhi.

.Yote yaliyotajwaتتجميعتميتسبق

10س

ال شااي تاآلخاارة،تساامتيرجااعتكاايلتيصاالقتمااعت ساا ت تتجلتم اايذتباانتجباالناانتجاايبرتباانتنباادت ت

تنل حرصتالاحيب هذاتالحديثتنل يد تمت قتنليه تتح ت مهتفيصلقتبهمتللكتالص ة

S10تImenukuliwa kwa Jabir bin Abdallah, Allah amridhie, kwamba: (Muadh bin Jabal alikuwa anaswali swala ya Isha pamoja na Mtume, rehema na amani ya Allah iwe juu yake, halafu anarudi kwa watu wake na kuwaswalisha swala ile ile). Hadithi hii ameipokea Bukhari na Muslim. Hadithi inaonesha ari na bidii ya Swahaba katika:

10ج

Kuswali pamoja na Mtume, rehema naتتالص ةتمعت س ت تamani ya Allah iwe juu yake

J10 تتحد اكتفضيل تالص ةتفقتاملسجدتالنب تKuwahi fadhila za kuswali katika

Msikiti wa Mtume, rehema na amani ya Allah iwe juu yake

Yote yaliyotajwaتتجميعتميتسبق

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

11س

املجايو ةتتتل سا تاملساجدتالنبا تباا تال بايستبانتنباداملطل تنمرتبنتالخطيبتج ادتال ي وق

ايجوتت،للمسجد،تفطل تمنهتجلتيبياعتاأل فاثسرتال بايستت،جوتيتصادقتبهايتللمساجدت،جخارىتتي اهتج ا

تامل فتيد تنل هذاتتللمسجد تجلتيتصدقتبهي

S11ت Alfarouq (Umar bin Alkhatwab), Allah amuwiye radhi, alitaka kupanua msikiti wa Mtume kwenye ardhi ya Abbas bin Abdilmuttwalib iliyokuwa jirani na Msikiti. Umar alimuomba Abbas amuuzie ardhi hiyo au ampe ardhi nyingine badala yake au aitoe sadaka kwa ajili ya msikiti. Abbas alichagua kuitoa sadaka ardhi hiyo kwa ajili ya Msikiti. Tukio hili linaonesha:

11ج

نل تن عتحرصتاآل تواألصحيب

تاملهللالمللتوالت س تنليهمت

Namna watu wa familia ya Mtume na Swahaba walivyokuwa wakiweka mbele masilahi ya Waislamu na

kurahisisha mambo yao. J11

التهللايبقتفقتاملهللايهم تفقتاألو يفتالسيميت

تالحرمللفقتت

Ushindani katika kutoa Wakfu, na hasa kwa ajili ya Misikiti Miwili

Mitukufu.

.Yote yaliyotajwaتتسبقتجميعتمي

تجو تمنت ي تبت س تاملسجدتالحرا تمنتالخل ي تالراشدينته ت 12سS12ت

Khalifa (Kiongozi) wa kwanza kupanua Msikiti Mtukufu wa Makka ni:

12ج

Abubakar Siddiq, Allah amridhieتتجب تبكرتالصديق

J12 نمرتبنتالخطيبتتUmar bin Alkhatwab, Allah amridhie

Ally bin Abiitwaalib, Allah amridhieتتجبيتطيل نلقتبنت

13س

بيملسااجدتالحاارا تبااامرتماانت ساا ت تياامذلت،توكاايلتيتوجطيبااهماانتجناادىتالناايست اا لاتصااحيبيتجلياال،تكاايلت

ح تجلتل فقت،تفمنته ؟سن ت هللاعتوخمهللاللتS13ت Ni Swahaba mkubwa. Alikuwa mwenye sauti nyororo na nzuri sana.

Alikuwa akiadhini katika Msikiti Mtukufu (wa Makka) kwa amri ya Mtume wa Allah mpaka alipokufa mwaka 59H. Je, ni nani Swahaba huyo?

13ج

Bilal Ibnirabah, Allah amridhieت ب تبنت بي

J13 جب تميذو ةتالجمحقتتAbu-mahdhuura Aljumahiy, Allah amridhie

ن:جش

Abu-thaalabah Alkhushaniy, Allahت ب تث لب تالخ

amridhie

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

14س

،تفمانتتتمنتجبرلتال لمي تالذينتلهمتد وستفقتاملساجدتالحارا تب ادتوفايةتالرسا تصحيبيتجليل،تكيلت

تته ؟S14ت Ni Swahaba mkubwa. Alikuwa katika wanachuoni wakubwa sana

wanaofundisha katika Msikiti Mtukufu (wa Makka) baada ya Mtume kufariki dunia. Je, ni nani Swahaba huyo?

14ج

Abdallah Ibniabbas, Allah amridhieتتنبد تبنتنبيسyeye na mzazi wake

J14 خيلدتبنتال ليدتتKhalid Bin Alwalid, Allah amridhie

Usama bin Zaid, Allah amridhieت جسيم تبنتل د

15ست،تفمنته ؟يلق تبهللايققتالحرمللصحيبيتجليل،تكيلت

S15ت Ni Swahaba mkubwa. Alipewa lakabu (jina mbadala) la Mleta maji (mvua) wa Misikiti Miwili Mitukufu. Je, Swahaba huyo ni nani?

15ج

Abbas bin Abdulmuttwalib, Allahتتال بيستبنتنبدتاملطل amridhie

J15 تتنبد تبنتنبيسAbdallah Ibniabbas, Allah amridhie yeye na mzazi wake

Zubeir bin Awwam, Allah amridhieت ال بلىتبنتال ا

16ست بيلحرمللتالشر للتمنتمظيهرتاهتمي تاآل تواألصحيبت

S16ت Miongoni mwa vielelezo vya namna Familia ya Mtume na Swahaba walivyoienzi Misikiti Miwili Mitukufu ni:

16ج

Kuifanya Misikiti hiyo jukwaa laتتاتلنشرتال لمج لهميتمنبىاتkusambazia elimu ya dini.

J116 تتال نيي تبهميل س تهميتوتKuipanua na kuihudumia.

.Yote yaliyotajwaتتسبقتجميعتمي

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

17ستبت س تاملسجدتالنب ،تف ادتجب ابهتح ت ي تنمرتبنتالخطيبت

S17ت Umar bin Alkhatwaab aliupanua Msikiti wa Mtume na kuongeza milango yake mpaka ikafika:

17ج

Milango minneتتج ب تجب اب

J17 تتست تجب ابMilango sita

Milango minaneت سميني تجب اب

18س

ته،تبت سا جحدتالخل اي تالراشادينتبيملصللل؛تلكثىةتالنيس،تفقي تالنب تت يقتاملسجدتها29فقتني ت

ص،توج اااالتجنمدلااااهتماااانتجااااانتناااالتببنيئااااهتننيياااا تنبلااااىة،تحيااااثتبناااا:تجاااادا هتماااانتالحجااااي ةتاملنق شاااا توالوت

،تفمااانتتوباااداخلهيت ضااابيلتمااانتالحديااادتمثبتااا تبيلر ااايص،توسااااق هتبخشاااا تالهللااااايجالحجاااي ةتاملنقااا ة،ت

ته ؟

S18ت Katika mwaka 29 wa Hijra Msikiti wa Mtume ulikuwa finyu na kutoenea kwa wenye kuswali kwa sababu ya wingi wa watu. Mmoja kati ya viongozi waongofu aliupanua. Aliliimarisha sana jengo lake pale alipojenga kuta zake kwa mawe yaliyotobolewa na ndani yake kuwekwa nondo za chuma zilizoshikizwa kwa risasi, badala ya mawe yaliyotiwa nakshi na kushikizwa kwa chokaa. Pia paa lake alilijenga kwa mbao za Mvule. Je, Swahaba huyo ni nani?

18ج

Abubakar Siddiq, Allah amridhieتتجب بكرتالصديق

J18 نمرتبنتالخطيبتتUmar bin Alkhatwaab, Allah amridhie

Othman bin Affan, Allah amridhieت نثميلتبنتن يل

19ست؟ه تفمن،تيل ط800النب تتسجدفقتاملتتهحلقل ميذتبلغتنددتصحيبيتجليل،ت

S19ت Ni Swahaba Mkubwa. Idadi ya wanafunzi wa darasa lake katika Msikiti wa Mtume ilifika 800. Je, Swahaba huyo ni nani?

19ج

Muadh bin Jabal, Allh amridhieتتم يذتبنتجبل

J19 نبدالرحمنتبنتصخرتتAbdulrahman bin Swakhri, Allh amridhie

Zaid bin Thabit, Allh amridhieت ل دتبنتسيب

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

20س

يجتمااااعت،فتلااااهتفااااقتمسااااجدت ساااا ت تت بهللااااايرتيطاااارتلااااهتت،تكاااايلتصااااحيبيتجلياااالتوماااانت تب اااا تالن اااا:ت

ت،تفمنته ؟تتالنيستحليهتفقتنلمتالنهللا توجيي تال رب

S20تNi Swahaba mkubwa ambaye anatoka katika familia ya Mtume. Alikuwa na busati lililokuwa likitandikiwa katika Msikiti wa Mtume na watu wanajumuika hapo wakisoma historia ya Waarabu na fani ya Shajara (Elimu ya kujua mpangilio wa koo na nasaba za watu). Je, ni Swahaba gani huyo?

20ج

Aqiil bin Abiitwaalib, Allah amridhieتتنقيلتبنتجبيتطيل

J20 ج رتبنتجبيتطيلتتJaafar bin Abiitwaalib, Allah amridhie

Ally bin Abiitwaalib, Allah amridhieتتنلقتبنتجبيتطيل

21س

يتفقرا ،تمنهمتجب تهر رةتتجمين تمنتالاحيب تكين اتيب ت لتفقتمسجدت س ت ت ت ت،توكين اتجنيسا

تميتاالسمتالذ تكيلتيطلقتنليهم؟S21ت Ni kundi la Swahaba waliokuwa wanalala katika Msiiti wa Mtume.

Walikuwa watu masikini. Miongoni mwa Swahaba hao ni Abuhuraira. Je, kundi hili lilikuwa linaitwaje?

21ج

.Watu wa Kubaتتجهلت بي

J21 تتجهلتالصWatu wa Sufa

Watu wa Dhikiriت جهلتالذنر

22س

كيناا ت اارجمتلجمااعتاألماا ا تلتقاا تبإناادادتالط ااي تللحجاايجتبينتبااي همت ااي فتالك باا ،توكاايلتجو تماانت

توهذاتال ملتيهللامل تت–جدتالرس تت– ي تبهذات ص :تبنتن بت

S22ت Wakuraishi walikuwa wakikusanya mali ili waandae chakula kwa ajili ya mahujaji kwa kuzingatia kwamba mahujaji hao ni wageni wa Alkaaba. Wa kwanza kufanya kazi hii ni Kuswai bin Kilab babu wa Mtume. Je, kazi hii inaitwaje?

22ج

Siqaya (utoaji wa huduma ya maji)تتالهللاقيي ت

J22 تتالرفيدةRifada (ukarimu kwa wageni)

Sadana (huduma)ت الهللادان

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

23س

تاملساجدتالحارا ت يللتجبياهتجوتجخياهتفاقتبكيلتالرجلتيلق حمهت ت ت)تبنتل دتبنتجسلم، ي تنبدالرحمنت

تيد تهذاتالق تنل ت)ف تيت ر تلهS23ت Abdulrahman bin Zaid bin Aslam, Allah amridhie, amesema kuwa: (Katika

Msikiti Mtukufu (wa Makka) mtu alikuwa anakutana na mtu aliyeua baba yake au ndugu yake na hamfanyi chochote). Kauli hii inaonesha:

23ج

Utukufu wa Msikiti Mtukufu (waتتحرم تاملسجدتالحرا Makka)

J23 تت ظيمتال ربتللمسجدتالحراHeshima ya Waarabu kwa Msikiti Mtukufu (wa Makka)

Yote yaliyotajwaتتجميعتميتسبق

24س

هاااتانتاادتتفر اا ت)القرامطاا (تنلاا تاملسااجدتالحاارا تفااينتهك اتحرمتااهتو تلاا اتالحجاايجتو هباا اتت317فااقتنااي ت

جمااا ا تالنااايستو مااا اتالقتلااا تفاااقتبباااىتلمااا تو ل ااا اتبااايبتالك بااا توا تل ااا اتالحجااارتاألسااا دتوجخاااذوهتم هااامت

تفبقيتنندهم ت

S24ت Katika mwaka wa 317 wa Hijira kundi la Karmathians (Shia) walivamia Msikiti Mtukufu (wa Makka) na kuuvunjia hadhi, waliua mahujaji, walipora mali za watu, walitupa maiti waliowaua kwenye kisima cha Zamzam, walin’goa mlango wa Alkaaba, walin’goa Jiwe Jeusi na kaondoka nalo ambapo walibaki nalo kwa muda wa:

24ج

يت12 Miaka 12تتنيما

J24 18يت Miaka 18تتنيما

يتت22 Miaka 22تتنيما

25سي تيبلغتنددتجب بتاملسجدتالحرا تحيليا

S25تImefikia idadi ya milango ya Msikiti mtukufu wa Maka kwa sasahivi:

25ج

Milango 200تتبيبتت200

J25 210تتجب ابتMilango 210

يت220 Milango 220تتبيبا

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

26س

لااامتح شاااي تب ابااايتتللحجااارت)الحطاااايم(تلتنظااايمت ليااا تدخااا توخااااروجتاملصااالللتخااا تجو ااايتتالصاااال ات،ت

توجسني تجنمي تالنظيف توالصيين ،تألو تمرةتفقتالتي ختفقتال هد تS26ت Kwa mara ya kwanza katika historia vimewekwa vizuizi vinavyohamishika

ili kupangilia uingiaji na utokaji wa wanaoswali wakati wa swala, wakati wa kazi za usafi na ukarabati katika wakati wa utawala wa:

26ج

Abasiaتتال بيس :

J26 تتاململ كيMamluki

Saudiaتتالهللا د

27س

اتخي ا تبصانين تنهللاا ةتج شاتامللكتاملمس تنبدال تبنتنبدالرحمنت تس دتاتطي ت تساراهتاتدا ا

تالك ب تاملشرف تفقتمك تاملكرم تألو تمرةتفقتالتا ختني

S27ت Kwa mara ya kwanza katika historia Mfalme Abdulaziz bin Abdulrahman Alsaudi Muasisi wa Taifa la Saudia, Allah amrehemu, alianzisha kiwanda maalumu cha kutengenezea kitambaa cha kufunikia Alkaaba katika mji Mtukufu wa Maka mwaka :

27ج

H 1346تتها1346

J27 13471347تتها H

H 1349تتها1349

28ستج ش ئتم هدتالحر تاملكيتالشر فتبيملسجدتالحرا تفقتني ت

S28تChuo cha Msikiti Mtukufu wa Maka kilichopo hapo kilianzishwa mwaka:

28ج

H 1485تتها1385

J28 13871387تتها H

H 1388تتها1388

MASHINDANO YA KUMI NA MOJA

NAMNA FAMILIA YA MTUME, SWAHABA NA WALIOWAFUATIA WALIVYOTUNZA

MISIKITI MIWILI MITUKUFU

29س

تىجما تخطا تالحارمللتالشار للتح ا تبلق تالرئيسا تال يما تلشامولتاملساجدتالحارا تواملساجدتالنبا ت

تS29تفكمتنددهي؟تتت،ال ديدتمنتالل يتTaasisi inayosimamia masuala ya Misikiti Miwili Mitukufu inasimamia kutafsiri hotuba za Ijumaa katika lugha nyingi. Je, lugha hizo ni ngapi?

29ج

Lugha 8تتل يتت8

J29 10تتل يتتLugha 10

Lughaتتل ت12

30س

تفماايذاتبب ضااهمي الشاار لل الحاارملل طللقطااي تلاارب شاابك تبإ شااي تالهللااا دي تال ربياا تاململكاا يماا

ت؟ مك تواملدين بلل يربطت القطي تالذ يهللاملS30ت Saud Arabia imeanzisha mtandao wa usafiri wa Treni inayounganisha kati

ya Misikiti Miwili Mitukufu. Je, Treni hiyo inayo unganisha kati ya Maka na Madina inaitwaje?

30ج

Treni ya Haramainتتل طي تالحرمل

J30 تتاملشينر طيTreni ya Mashaair

Treni ya Mamlaka(Nchi ya kifalme yaت اململك طي Saud Arabia)